Uyu mtoto anakaliba ya uongozi uyu ni tajiri wa abadae na fisadi ajae uyu
@victorcephas361810 ай бұрын
Atafika mbali sana huyu
@SwabahaAbdull10 ай бұрын
❤
@MARRYALEX-p3n10 ай бұрын
Dah toto jasili hadi raha
@imma_billy10 ай бұрын
👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
@josephkiwale37410 ай бұрын
Acheni wivu
@ssam338510 ай бұрын
Kwl hii mpya hamna uchungu na wananchi hela zinatafunwa tu
@abi-onlinetv418110 ай бұрын
Hizo ni hela za chama sio za Serikali. Chama kina Miradi yake
@samsonmwijage186910 ай бұрын
Hivi ni vikao vya uchaguzi halali ndani ya chama Kama UVCCM, UWT, WAZAZI, NEC, KAMATI KUU NA MKUTANO MKUU. Huu ni utaratibu wao ndani ya chama kwa kwa bajeti ya fedha za chama.
@AlexMakungu10 ай бұрын
Chama kisicho jali hali ya wananchi wake mbona hayati mzee mkapa aliikata watoto wanajua nn kuhusu siasa ama ni upotoshaji wa makusudi kabisa
@nishaabdula501510 ай бұрын
Ni ujinga tu ulo wajaa
@thomasgabriel58810 ай бұрын
Mmmmmhh
@abdallahkikungulu914110 ай бұрын
Upuzi wa ccm huu
@rereshap941610 ай бұрын
Upuuzi ?! Kalagabahoo ! Kama uko upinzani jifunzeni toka CCM, wanzenu wanawekeza kwa watoto na vijana mapemaaa. Msitegemee kuing'oa madarakani, nyie mjibwetekee hivyohivyo 😂😂
@samsonmwijage186910 ай бұрын
@@rereshap9416: sahihi vyama vingine havina uwekezaji na utaratibu huu vinabaki kuwa watazamaji tu.