No video

Kauli ya kwanza ya Qayllah baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa

  Рет қаралды 29,002

Mwananchi Digital

Mwananchi Digital

Күн бұрын

Mtoto wa msanii Nurdin Bilal maarufu kama 'Shetta' Qailah Nurdin Bilal amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chipukizi CCM Taifa baada ya kupata ushindi katika mkutano Mkuu wa Chipukizi Taifa.
Katika uchaguzi huo uliofanyika Desemba 20, 2023, kinyang'anyiro cha nafasi ya Mwenyekiti waliowania nafasi hiyo ni Neema Kinyonga aliyepata kura 13, John mpoto kura 17, Hytham Mwanyemba kura 96 na Qilla Nurdin akipata kura 303.
Baada ya ushindi huo Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Chipukizi Taifa, Qailah Nurdin Bilal akapata nafasi ya kuzungumza na kuahirisha mkutano wa uchaguzi.

Пікірлер: 47
@hadijajuma3773
@hadijajuma3773 8 ай бұрын
Hongera sana binti.Hiki chombo wana CCM tukitunze.Hongera Bilali.🎉🎉🎉🎉
@muna1165
@muna1165 8 ай бұрын
Hongera sana dada kaira
@joycehaule9717
@joycehaule9717 8 ай бұрын
Mwenzenu namuona Joket mdogo wow
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 8 ай бұрын
Np na ww young jaketi
@aminathaabubakarmasoud565
@aminathaabubakarmasoud565 8 ай бұрын
MashaAllah hongera sana Qaira ❤❤❤❤❤❤❤❤🎉
@user-zu8kt4yn4n
@user-zu8kt4yn4n 8 ай бұрын
Very good 🎉
@kazkaz1943
@kazkaz1943 8 ай бұрын
Sasa wewe husojielewa sema siasa mchezo mchafu siwez muingiza mwanangu wakat hapo unataman hata uteuliwe ubunge viti maalumu huwez sababu baba yako alikua bize kucheza dansi hakukufundisha chochote😂😂😂
@user-uw7hf7bo1u
@user-uw7hf7bo1u 8 ай бұрын
Congratulations
@AliChwaya
@AliChwaya 5 ай бұрын
Vijana ndio taifa la kesho waswahili wanasema binadaam sio samaria kwa maana ya kwamba samaki kadri anavyokuwa mkubwa anazidi kuwa na nguvu lakini binaadam kadri anavyozidi kuwa mkubwa anazidi kuwa dhaifu hivyo tunapaswa kuwapa nafas vijana na kuwawezesha
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 8 ай бұрын
Nimependa❤
@elizabethraymond6388
@elizabethraymond6388 8 ай бұрын
She is so smart
@user-sc2kh3zq1v
@user-sc2kh3zq1v 8 ай бұрын
❤❤❤❤
@aud548
@aud548 8 ай бұрын
Mwaka 2050 Dogo wa Mwigulu akiwa mbunge wenu Iramba msishangae😂😂😂😂 its all in cycles...
@user-jz2su4co4d
@user-jz2su4co4d 8 ай бұрын
Ongera sana sana sasa piga kitabu utimize ndoto zako
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 8 ай бұрын
Huu ujinga upo Tz tu trust me😂😂😂😂😂😂😂
@lajo.
@lajo. 8 ай бұрын
Kwa mbali Qaillah kama Joketi
@kaizajr8991
@kaizajr8991 8 ай бұрын
Kwa maono yangu Jokate anabahati, ila huyu mtoto ana maandalizi ya siasa toka udogoni hivyo ni vigumu sana kuja kumuona kwenye mambo kama ya u miss, muziki, baadh ya scandals maana amejua njia yake mapema sana. Unadhani da Jokate angejua atakuja kuwa hivyo angecheza kama video vixen kwenye nyimbo ya Diamond !!????
@joycehaule9717
@joycehaule9717 8 ай бұрын
Hata mimi nimeona hivyohivyo aisee
@user-oy9wr2zc6x
@user-oy9wr2zc6x 8 ай бұрын
Dogo yupo vizuri
@salehhassan87
@salehhassan87 8 ай бұрын
Dogo yupo vzr ahongere
@issakitundu617
@issakitundu617 8 ай бұрын
CCM ni chama flani hivi kina mikakati yenye akili sana katika nchi hii, inaandaa viongozi wa baadae kila kukicha. Kuna vyama bado vinapoteza nguvu kupinga kila kitu badala ya kujiandaa na uimarishaji wa chama
@VenySichimata-ll5mx
@VenySichimata-ll5mx 8 ай бұрын
Nimempenda buree huyu mtt
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂hii ndo Tz
@user-rs4vz2vt9z
@user-rs4vz2vt9z 8 ай бұрын
Uchaguzi wa matawi na kata ccm bila mbumge na diwani kuamua ni bure,hupiti,ccm ni walewale.wanasafisha njia,sasa ni aibu kwa chama.
@MastoMasto-iy4nl
@MastoMasto-iy4nl 8 ай бұрын
Uyu mtoto mjanja kama babayake vile
@alikidungura9419
@alikidungura9419 8 ай бұрын
Vyama vyengine vikifanya hivi kwa watoto huambiwa wanalea watoto kisiasa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 8 ай бұрын
HIVI MNAOSIFIA HILI SWALA LA HUYU MTOTO KUSHINDA HAMUONI KUWA SHERIA INAKATAZA WATOTO KUHUSISHWA NA SIASA CHINI YA UMRI WA MIAKA 12 HADI KUMI NA NNE?NA VYAMA VINGINE VIKIANZA MTINDO HUU TUSIJE ONA MSAJILI WA VYAMA ANAWAZUIA
@kuchimillionaire6683
@kuchimillionaire6683 8 ай бұрын
New thieves on training
@AdamSaffi211
@AdamSaffi211 8 ай бұрын
Chipukizi? Are we serious, hii nchi imeoza kiasi gani jamani. By the time they are 18, yatakuwa majangili kuzidi akina Kinana and co! How much stupidity can we torelate in this country!
@doreenchuwa3630
@doreenchuwa3630 8 ай бұрын
Kiongozi bora anatengenezwa na wewe , wacha mawazo mgando. Na wewe tengeneza watoto wako wafike hapo. Uache kuita watoto majangili
@DICKSONTimoth-xk7rj
@DICKSONTimoth-xk7rj 8 ай бұрын
​@@doreenchuwa3630kabisa yaani kuna watu wengine wanaongea upumbavu tu
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 8 ай бұрын
​@@doreenchuwa3630machizi tu ukiyaambia andaa damu yako ije ikomboe taifa wanashinda nao kwenye vigodoro alafu wanatukana watoto wa wenzao.
@chiefchacha2992
@chiefchacha2992 7 ай бұрын
Sasa hizo ni itikadi za kichama mkuu, Why're u so furioud Tata....! Ndo maana CCM watakuwa wakishinda kila siku, kwani wana msingi imara sana, Wamejijenga mashinani kuliko chama chochote....! Wana MTAJI mkubwa wa WATU kuliko wengine, na hizo sio FEDHA za serikali ndugu ni za CCM wenyewe... Najua point ya mwisho ndo utashika...
@user-ri7ju9fx9v
@user-ri7ju9fx9v 8 ай бұрын
Eti ana miaka mingapi huyo binti?
@SidatiSaidi
@SidatiSaidi 8 ай бұрын
11
@halimamasai2234
@halimamasai2234 8 ай бұрын
Hongera binti yetu miaka 11 namuona Samia wa badae maashallah mungu akupe umri mrefu na afya njema inshaallah
@MkisiStylish
@MkisiStylish 8 ай бұрын
Hii ngoma imeimbwa na wangoni tukiaachana na CCM😂
@anethkapinga4185
@anethkapinga4185 8 ай бұрын
😂😂😂😂
@teddysanga1840
@teddysanga1840 8 ай бұрын
utawala wa kifalme
@valentinoswenya748
@valentinoswenya748 8 ай бұрын
Hiii nchi ni yaajabu sana watu wapo bize kupromoti vitu vya kijinga inchi inapotea kimaadili wanaume wanapakuana uku leo mijitu inasema mpeni laaaa haya mwisho tutaona hizi propaganda mnazofanya mwisho wake nn
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 8 ай бұрын
Yn ni ujinga mtu wnaalibu pesa kuandaa ujinga km u ndo mana magu alifuta u ujinga kbs
@terashangwe255
@terashangwe255 8 ай бұрын
Kwani si wameamua kupakuana unataka kuwafanya nini
@Amiri6Baba
@Amiri6Baba 8 ай бұрын
Hii inchi ina vituko sana 😂
@user-jv3su2yh8u
@user-jv3su2yh8u 8 ай бұрын
uwez elewa sasa hv ila mungu akikupa uhai miaka 25 mbele utaelewa😂
@frankmlalila1705
@frankmlalila1705 8 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@nishaabdula5015
@nishaabdula5015 8 ай бұрын
Ujinga mtu ccm yn
EXCLUSIVU : IMEVUJA SAUTI YA AHMED ALLY AKIDEKA KIMAHABA KWA MREMBO
6:14
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН
OMG what happened??😳 filaretiki family✨ #social
01:00
Filaretiki
Рет қаралды 13 МЛН
Yum 😋 cotton candy 🍭
00:18
Nadir Show
Рет қаралды 7 МЛН
Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais
5:23
DW Kiswahili
Рет қаралды 13 М.
#EXCLUSIVE: Siri ya Chama, Pacome | Mtaalamu wao wa Dar afichua kila kitu
14:57
黑天使遇到什么了?#short #angel #clown
00:34
Super Beauty team
Рет қаралды 47 МЛН