Kwa uwezo wa Allah amenibadilisha san kwa mawaidha yake Allah amzidishie neema huko alipo nampenda sana shekh Nasoro kwa ajiri ya Allah
@ab.a83533 жыл бұрын
Allah alimpa kipaji cha kufikisha risala kwenye nyoyo za binadaamu. Allah amrehemu ya Rabb
@bintsalimalbimany53403 жыл бұрын
Mashallah hii ndio Swadaka yenye kuendelea Mashallah Allah akujaalie swadaka yako hii sheikh Massor ikufae huko uliko na sisi Allah atupe mwisho mwema😭😭😭😢Allah akutilie nuru katik kabri lako😢😢😢😢👐👐👐
@omadal13 жыл бұрын
Amin Thumma Amin
@kkutanzania53863 жыл бұрын
Amini
@jabirkasunzu6841Ай бұрын
aamiiin
@abuuzainab14893 жыл бұрын
Allahumma Aamiin...Sheikh wangu kipenzi Allah akujaalie pepo yawe makazi yako
@haarunsaidabdillahi40823 жыл бұрын
Allah tunakuomba kaburi la Sheikh wetu Almarhum Nassor Bachu liwe ni kama bustani za peponi. Allah humma ammin Yaa Rabbi.
@nelsonsalim2703 жыл бұрын
Inshallah
@maseledotto84903 жыл бұрын
Amiin
@sekubambwambo52853 жыл бұрын
Wallah huyu shekhe sijawai kumwana kwenye uhai wake lakini shekhe huyu amenijaa moyoni mahaba yasoelezeka
@balozibalozi44833 жыл бұрын
Kweli kabisa Mw/mungu amrehemu sheikh wetu nampenda namkubali namsikilza kila mara hakika tunafaidika na Elimu aliyotuachia!
@khadijaiddi48873 жыл бұрын
Maasha Allah Allah alifanye kaburi lako liwe kiwanja miongoni mwa viwanja vya peponi yarabi
@jumayahya26613 жыл бұрын
Uyu sheikh wallahi aliipigania sunna haqi yakuipigania ndio maana mabidaa walimchukia.kwasababu yakusema kweli.Allah amlipe pepo ya firdausi.
@jadisaid59933 жыл бұрын
Allah mrehemu Shekhe wetu huyu
@yunusjuma43402 жыл бұрын
Mungu akurehemu shekhe umetutoa kwenye giza na bidaa
@sahraqaalib9023 жыл бұрын
Namuomba Allaah Subhana wata'ala amlaze mahali pema peponi pepo ya Firdous, Moyo wangu umemshiba sheikh sijamuona duniani namuomba Allaah Subhana Wata'ala anikutanishe nae peponi
@suleimansheshe84903 жыл бұрын
Wallahi nampenda sana huy shekh maashaallah kila nimsikilizapo hua anauathir moy wang muda mwengine huniliza (inshaallah)Allah. Amrehem ampe kila kheri huko akhera alipo amuepeshe kila Shari na amjaalie kua n miongoni wa watu wa peponi aamin
@HauaAliSaide3 ай бұрын
Allah azidi kumpandisha daraja Allah Pepo ya fridausi
@ahmedislam98683 жыл бұрын
Rahimahullaah shaikhul islaam Naasor Bachu.. Allaah Amlipe kwa ilmu ya Dini aliyotuachia ... Hafidhakallaah akh Muhammad Nassor ... Allaah akupe Nguvu na Umri Taweel uendeleze Kazi aliokuachia mzee wako...uzidi kutuelimisha dini InshaAllaah... tuko pamoja nawe Ibn Naasor Bachu . JazaakAllaah khair .fi Amanillaah
@mohamedathman10273 жыл бұрын
Allah amrehemu Sheikh wetu, amfanyie kaburi lake liwe ni bustani la peponi.
@laisamaujud1157Ай бұрын
Muhammad bachu bado ukijana sana ushauri wangu kwako unatakiwa usome sana tena sana na wala usione haya kukunja goti na ikisha usafishe nyoyo yako lillah ikisha kaa kitako somesha elmu hata kama kwenye kibaraka mm naamini utamzidi baba yako rehmahu llah na pia uwache mambo ya majadilialo ispokuwa pale penye umuhimu sana Asalaam aleykum.
@amyassyassin79093 жыл бұрын
Mwalim wa walim Allaah Amrahan na Awahifadhi kizazi chake
@skjjsj18893 жыл бұрын
Allah amrehemu sheikh yetu
@lacroquetalacroqueta68133 жыл бұрын
Allah akupe sheikh wetu Jannatul Firdous wa jamiil muslimin
@nuramoboy2 жыл бұрын
Nimesoma chuo nimesoma darsa tokea kipindi hicho kijimsikiti kiduchu cha kikwajuni hadi tukajenga Rahaleo kisha kikwajuni Alhamdulilah nimefarijika kuwa Sh.Nassor mwalim wangu..waru wengi wanamwita Sh. Ila huyu ni Maalim .Allah amsameh..Muhammad simkumbuki ila nawafahamu Watoto wake wengine tulosoma nao Rahaleo..Ila Sh. MUHAMMAD tafadhali fundisha usishiriki katika majibizano..
@saidimadzumba22662 жыл бұрын
Muhammad hana shida kinajana yuko sawa ila watu tu pia wanahasad nyingi kwake! Allah amlinde muhammad bachu pia
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Kuwajibu watu wanao vuruga dinni na kudanganya ummah ni katika jihdi kubwa na unapata thawabu kwanini umkataze asipambane na batwil wkati mtume alipambana na batwil na watu wa batwil kwhiyo unataka awe msoma visa tuuh ili mfurahi kigusa washirikina na uzushi hamtaki hiyo akuna katika dini yetu basi uislamu utaharibika huu bila kupambana na batwil 😂😂😂 watu siku zote hawataki mema bindamu anapenda kuskia uovu tuh kila muda
@laisamaujud1157Ай бұрын
@@saidimadzumba2266shida anayo tena wala sio husda kama usemavyo anatakiwa Muhammad asome tena asome kwel kwel na ikishe aache majibizano atakuwa mrithi sahihi wa baba yake rehmahu llah
@hamadKhamis-p6k3 ай бұрын
Uwaweke na maswahaba na mitume peponi ya rabbil alamiina
@abdulrahmantalib56373 жыл бұрын
Allah amrehemu na amsamehe madhambi yake. Katuelimisha mambo mengi Allah amlipe kheir
@HashimSalim-qj7zn3 ай бұрын
ALLAH AMREHEMU NA AMLIPE KILA LA KHERI KWA KUTUACHIA MAALIM MUHAMMAD PIA TUNAJIFUNZA MENGI KUPITIA YEYE MPAKA NATAMANI NINGALIZALIWA KATIKA FAMILIA HIO
@abdulmohd68803 жыл бұрын
Mashallah babaako hakuwa na kawaida ya kutovukia adabu wengine km ulivyo ww wala hakuwa na majivuno na mipasho km ulivyo ww, iga kw uyu mzee emu ucvunjie heshima wengine
@sakinat25273 жыл бұрын
Swadakta akhui
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
Chakurithi huzidi tu ila baadhi ya mawaidha ya baba yake alikua akitusi masheikh wengine japo alikua hataji majina,kama utakua unakumbuka mawaidha yake kuhusu mtu kutamka nia alitumia maneno makali sana,wakati alikua atueleweshe tumuelewe na sio kusema maneno Yale,sasa kwaiyo huyu anazidi tu ila hajui kama anambebesha baba yake jukumu
@abdallahsalum73013 жыл бұрын
Ndolililo Baki Hilo mungu ameiwekaelmu ndimpo kwa mwanawe
@abdul-jalil64783 жыл бұрын
@@wasilaahmad3528 soma dini kwanza halafu utakuwa na kinywa kipana cha kuongea na kukosoa masheikh, huna elimu hivyo sidhani km una uthubutu wa kukosoa kwa kejeli wale waliokuzidi kwa kila kitu usifate mkumbo fulani kakosoa kuhusu sheikh fulani naww ukosoe.. Kaeni chini musone dini km walivyofanya hawa munaowakosoa nyinyi saivi, hawa walikaa wakapinda goti kusoma hawakuona tu clip mitandaoni wakaja kukosoa wakiwa na ujinga kichwani hapana, walisoma kwanza na ndio maana anaekosolewa kakaa kimya.. Ukipotosha hadharani unatakiwa ukosolewe hadharani pia ili kila uliyempoteza aelewe ttzo ni kitu gan.. Badala ya sheikh kumkosoa sheikh mwenzake imekuwa sasa hata asojua hata dini yke kwa asilimia 2 nayy anakuja youtube kukosoa tusome kwanza ili tujue huyu anaekosolewa kakosea kweli ama na sio kuwavamia wenye elimu kwa maneno yasiyofaa
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
@@abdul-jalil6478 fasukuti anillaimi jawabu, ma ana bi a'adi mil jawabu walakinna minal usdi an tujaba l- kilabu 🤐🚫
@MunahyaMubaraka3 ай бұрын
Allah aturehem inshaallah
@babauna34582 жыл бұрын
Allah amrehemu mwalimu wetu Nassor bachu. Kutoka wadogo tukipenda mawaidha yake.
@ibrahimbakari79733 жыл бұрын
Allah amrehem
@muddypara55113 жыл бұрын
Allah amlehem alimpakipaj nakuomba Allah utuongoze nasi
@fatmaseif82383 жыл бұрын
Allah akuepushe na adhabu ya kaburi na moto wa jahannam na akusamehe makosa yako amiin
@suleimanmido29423 жыл бұрын
Allah amlipe wema amiin
@hassanmati4622 жыл бұрын
Maasha Allah
@mustafamtanganya75383 жыл бұрын
Yan shekh nasoro bachu Alikuwa shekh khasa , mawaidha yake ukiyasikiliza lazma ya kuathir katika moyo hii niishara ya kwamba alikuwa shekh mwenye imaan kwelikweli , mtu mwenye imaan akikulingania lazima yakuguse kwasababu imaan yake inakuathir wewe Allah amrehem shekh wetu.
@suleimansheshe84903 жыл бұрын
Aamin yaa rabbi kuna mud m huniliza
@shabaninuhu36162 жыл бұрын
Allah mpe pepo ya firdaus nuzula
@jiongezeemaarifa14963 жыл бұрын
Thanks for sharing!
@samirhassanlau50003 жыл бұрын
Masha alha shukrani sana Alha akurehem na alifanye kaburi lako liwe na nuru simba wa MIMBARI
@ab.a83533 жыл бұрын
Allahumma ameen
@hamicdenasr73293 жыл бұрын
Allah ya rahman ya rahm mjalie akhera njema
@jumarashid51462 жыл бұрын
Allahumma Amin ya Rabbi
@المنيرالسعدي3 жыл бұрын
اللهم ارحم شيخ ناصر باشو اللهم أسكنه في فردوس الأعلى
@suleimansheshe84903 жыл бұрын
اللهم امين امين امين يارب
@YussufSaid-ok4pu Жыл бұрын
اللهم غفرله و رحمه
@fayeezomary65633 жыл бұрын
Allah akurem inshaallh
@modricseif10183 жыл бұрын
Allah amrehemu inshaAllah🙏
@marymwetu47983 жыл бұрын
ALLAH AMSAMEHE MAKOSA YAKE AMKUBALIE MAZURI YAKE HAKIKA ALITUPA FAIDA NA ALIIBADILISHA JAMII KWA UJUMLA
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
Baadhi sio sote,cha muhimu ni dua tu Allah ampe pepo ya daraja la juu na amsamehakosa yake
@nuramoboy2 жыл бұрын
Allahhumma Amin
@warshysaid85642 ай бұрын
Wawahi umesema kweli yanapiga hasa mwenye moyo
@BinshakbuHemed-gb2zi8 ай бұрын
Allwah. Akurehmu. Sheh. Wetu.
@hanifatanzania72583 жыл бұрын
Allah mjalie pepo Amy
@kudrawanguvu59233 жыл бұрын
Allah Subhana Wataalla amrehem
@فاطمةسعيد-ث2ق3 жыл бұрын
Amiin
@hamadKhamis-p6k3 ай бұрын
Mm naskiliza mawaidha mbali mbali lkn sijamuon wa kumshinda huyu shekhe nakuomba Allah umpe pepo inayostahiki na juhud yake kwenye kuongoza waislamu
@Ali-nl2du3 жыл бұрын
Asadulminbar. Allah amrehemu.
@sadiqabdullah12943 жыл бұрын
Bahri allAh amrehemu
@nuramoboy2 жыл бұрын
Kulikuwa na mjadala mkubwa kuhusu mwezi Sh.Amir tajo na wengine walishirikishwa ila Sh.Nassor hakupewa nafasi nakumbuka sana zamani sana ilikuwa..Sh Nassor alitoa kitabu pia kuhusu mwezi ila naona kimetoweka ghafla
@dhahirdin2 жыл бұрын
Chuma icho ALLAH amraham
@A.S.H_Tv3 жыл бұрын
Hufanani na mzee wako hata nukta kwa ukosefu wa adabu za ikhtilaf
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
Huyu ndio anachochea ugomvi na fitna kwa waislamu,kwani hajui kama haingii peponi mfitinishaji??
@aliomar6123 жыл бұрын
@@wasilaahmad3528 tusimuhukumu but kiuhakika anakosea sheikh Mohammed bachu kwajinsi anavyorekebisha wenzake anawakosea abad anawakejeli na kuwadharau nakuwatukana hilo nikosa kubwa sanaa
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
@@aliomar612 huyu anakibri ndio maana,hakuna kitu kibaya kama kibri
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
@@aliomar612 huyu anakibri ndio maana,hakuna kitu kibaya kama kibri
@aliomar6123 жыл бұрын
@@wasilaahmad3528 kweli anakosea dadangu nivyema na sisi tukamnasihi kwa maneno mazuri na kwaupole huenda Allah akatia tawfiq akazingatia kma anakosea
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
امين ياراب العالمين🤲
@AA-yr7sr3 жыл бұрын
Amiin ya Rabbi Allahmin ya Rabbi
@hemedjackson22613 жыл бұрын
Amin.
@fayeezomary65633 жыл бұрын
Mashaallah
@nasirshekhi60703 жыл бұрын
Ya rabb Aameen 🤲
@hamadKhamis-p6k3 ай бұрын
Umpe pepo inayoshinda mashekhe wote yake yeye iwe juu Zaid km ilivoelimu yake nakuomba mola wetu uwajaalie na wazazi wetu walotangulia jannatul firdaus za juu
@Ali-nl2du3 жыл бұрын
Rahimahullah
@allahakujazekheriwowww56942 жыл бұрын
Pola Ampe jana
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
Kuna video zako unaziba comment wacha tucomment tu Ili utueleweshe vizur usizibe na usiwe unawatusi masheikh wengine ktk ambacho unakiamin wewe unataka na sisi tuamini?Allah ndio anajua jinsi gani atamuhukumu mja wake ,maana wewe kila sheikh unamkosoa ,lakini hatukushangai wewe ni mtoto wà nassor bachu ambao mnasema kutamka nia ni kharam
@harithhemed99203 жыл бұрын
Wasila@ nadhan hujaelewa ni vzur kokosowana kwenye dini ipo kama mtu kakosea na shekh nassor bachu allha amrehem ni shekh wa kisunnh na alikua akizitetea sunnah za mtume wetu na sio kumsingizia uwongo mtume hao wanaokosolewa wanamsingizia uwongo mtume
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
@@harithhemed9920 mwenyezimungu ndio anejua kama alikua akitenda haki au laa yake kashayajua bado yetu sisi hatujayajua Allah atupe hatma njema
@harithhemed99203 жыл бұрын
@@wasilaahmad3528 amin yarabillalamin tubōmbe mwisho mwema na pia tujitahidi kujishukhulisha na kutafuta elm walinganizi wamekuwa weng na wengine wanalingania bila ya elm ndio wanatutia matatizon sisi tusiokua na elm na ndio maana wanaporudishwa kwa kukosolewa weng wetu tunaona kama wanadhalilishwa
@wasilaahmad35283 жыл бұрын
@@harithhemed9920 apo umelenga kitu kaka haitakiwi muislamu kuwa hivo na mtume amesema fuata kile ambacho huna mashaka nacho bc
@aliybecka51693 жыл бұрын
@wasila ahmad wewe usiongelee mambo ya dini kabisa dini sio ushabiki wala kikundi cha tarabu angalia profile pic yako halafu utajua unahusiana na nini . Uislamu ni elimu sio maneno tu kupayuka
@Chadaiseiph Жыл бұрын
Choz lina ni dondoka
@amosmoses78003 жыл бұрын
MaSheHe wA sAsA ni MaSheHe wA maTumBo WaNaTembEa nA vx v8 WaNaishi maJumBA yA kiFaHaLi WaNakuWa kaLibu nA waHeshimiWa NA waNawaTukuZa nA kuWasiFiA waTawaLa TunAwaOnA TunawaJuA MmoJA anajiiTA ....k MweNginE ......e
@abdulazizshadau78693 жыл бұрын
Amiin....sijapata daee kama wewe east Africa, Allah atukutanishe jannah
@aliomar6123 жыл бұрын
Sheikh Muhammad nasor bachu kiukweli wakosea sanaa sheikh wetu kwajinsi unavyo rekebisha wenzako wawakosea adabu, kuwatukana, nakuwadharau, na kuwakejeli rekebisha kwa kutumia hikma na busara pasi nakutaja mtu jina ulicho kifahamu wewe sio lazima kila mmoja afahamu hivyo kuwa na adabu ya ikhilafu walihalifiana maimamu wakubwa lakini hawakutukanana wala kudharauliana niwajibu wetu kuchunga hishma zawenzetu waisalamu imemlazimu kila muislamu kumhishimu wenzake
@fayeezomary65633 жыл бұрын
Sem manen mazr hakk manen Mazr ni sadk
@alimasoudali82733 жыл бұрын
Allah akulipe kila la kheri sheikh letu ulimi wako umepandikiza mbegu za kheri zanzibar na afrika kwa jumla,umeondoka na umetuachia hazina kubwa sh.Muhammad Nassor Allah amhifadhi
@saidimadzumba22662 жыл бұрын
@@alimasoudali8273 Muhammad bachu Allah insha Allah amlinde na shari na hassad za watu! Like Father like Son kijana yuko sawa,wasiomuelewa wanamlaumu bila Elimu!
@yusufuheri65243 жыл бұрын
Hakika neno la mungu ni fumbo la Imaani kulifumbua tunahitaji utulivu wa akili