SHEIKH IZZUDDIN ANASTAHIKI KUPONGEZWA KWA KUKUBALI MAKOSA || Muhammad Bachu. 4/2023.

  Рет қаралды 61,124

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 308
@othmanali7408
@othmanali7408 Жыл бұрын
binafsi nimefurahi mno shekh Izuddini .Allah akuongoze ktk njia iliyosawa wewe na sisi amin amin amin
@BarisaAli-fm2fb
@BarisaAli-fm2fb Жыл бұрын
Ni vizuri kukubali makosa...Allah atuongoze sisi sote hapa duniani na akhera🤲
@fauzia4610
@fauzia4610 Жыл бұрын
Sheikh izzudin mungu akujalie maisha marefu InshaAllah
@omytifa6403
@omytifa6403 Жыл бұрын
Ameen
@MustafaOyoo-qz7rp
@MustafaOyoo-qz7rp Жыл бұрын
Allah awalipe mema masheikh wetu muhammad bachu na izudin.tusiwe kama mashabiki wa mpira.tufuateni haki tupate nuru
@mustafajuma8016
@mustafajuma8016 Жыл бұрын
Wajna umenena vyema
@kassimmanaramalika8592
@kassimmanaramalika8592 Жыл бұрын
Tatizo Sio kukosowa watu ni lugha mbaya inayotumika Na kejeli ndioo hayo yanayoshusha thamani ya unayoyarekebisha watu,kama umeyaelewa hayo Allahumma Amiin Yaa Rabbi Mwenyezi Mungu atuongowe woote Na Sisi tuwe wenye kustafid na elimu zinazotolewa na Sio wenye kutiana chuki na kuoneshana vidole inshallah, waalaykum msalaam warahma tullahi taala wabarakatu ndugu yangu Muislaam Shukran
@nayeemn9275
@nayeemn9275 Жыл бұрын
Hakuna aliye musafi pia Cheikh izzudin Allah akupe mema duniani na Akhera, Akupe umri mreefu wenye kheri na Baraka, nakupenda kwa ajili Yaa Allah.
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Allhamdhullillaih kwa kuleta najita kwa maneno hayo na marekebisho kwa masheikh wetu wote ALLAH awajalie kheir amiin
@ramadhanitwahili6837
@ramadhanitwahili6837 Жыл бұрын
Tatizo njia munazo zitumia kukosoana siomzuli ila wewe unawashushua wezako ila wewe pia shekhe unalekibshwaga ujai kukubali sasa sijui mashekhe wote awajui zaidi yako.usinielewe vibaya shekhe bachu insha Allah mungu atongoe sote.
@MohamedSaid-wo2be
@MohamedSaid-wo2be Жыл бұрын
Kweli kabisa
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akubarikini mashekhe wetu na akuzidishieni elmu
@hafidhidrisa7162
@hafidhidrisa7162 Жыл бұрын
ameen
@ameirchum-qw5yv
@ameirchum-qw5yv Жыл бұрын
Allah atujalie ikhlaasw ktk kauli na amali zetu tufanye amali kwa ajili ya allah tabaaraka wa taala❤❤❤
@zuzadomikano3765
@zuzadomikano3765 Жыл бұрын
NDUGU Sheikh Mohamad BACHU ,UKWELI umekoseyasana Ruska katika myenendo ya SHEIKH BUN BAZ ALIVYO KUA ANAWAKOSOA WENZIE MFANO WA SHEIKH ALBANI ,BILA KULETA TAHARUKI SAUDIA NZIMA ,UNANITIA MASHAKA KANA KWAMBA HUNA RADHI SEHEMU NYINGI WEWE ,ALLAH AKU ONGOZE KABISA.
@dazzwazenji
@dazzwazenji Жыл бұрын
Huna la kuongea Bora kaaa kimya
@omarmwabege
@omarmwabege Жыл бұрын
Maa Shaa Allah.sheikh izzudeen Leo umenifurahisha sana.Allah akuhifadh
@tanzania_001
@tanzania_001 Жыл бұрын
MashaAllah 😊
@MunahyaMubaraka
@MunahyaMubaraka Ай бұрын
ALLAH atuongz INSHALLAH nasikia faraja sana mkielewanaaa
@mahsinmbarak7191
@mahsinmbarak7191 Жыл бұрын
Huyu Muhammad bachu mjuaji sana na hawi mtu kujifanya mjuaji isipokua mwenye kutawaliwa na ujahil 🙌🏻
@fakihkhsaid9353
@fakihkhsaid9353 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi hakika kazi yako tunaiyo allah akupe akhlasi zaidi
@chabunu3367
@chabunu3367 Жыл бұрын
Shukran sheikh yuzzdini tumefurahi Wala usiwe na shaka na sisi shukran wabilahi tawfiq
@abuuabdillahtv8457
@abuuabdillahtv8457 Жыл бұрын
Shekh upo saw shekh muhamad allah akuifadh na akuongoze wanaokupnga wanafikil dini inaenda kwa rai
@jumamuhd620
@jumamuhd620 Жыл бұрын
Shekh izzudin tunakukubali lkn hakuna mtume hata moja alie kua hajakosea . kukosea ndio sifa za binadamu. ALLAH (SW) ndie asie kosea.
@abubakaridris6186
@abubakaridris6186 Жыл бұрын
MashaAllah shaikh bt na ww juzi uliswalisha makafiri swala ya maghrib hukmu yake nini?
@rukialulosman8945
@rukialulosman8945 Жыл бұрын
Mashaallah sheikh hakuna mkamilifu isipokua Allah. Jazakallahu kheir kwa sheikh aliye mrekebisha. Shukran
@MohwaaMohwaa-x4n
@MohwaaMohwaa-x4n 2 ай бұрын
Bachu nakuelewa sheikh AALAH AKUHIFADHI
@ramadhanosman7840
@ramadhanosman7840 2 ай бұрын
Alaah akuhidhi akhii wallah tunanufaika kwadarasa zak
@MnawawiTvonline
@MnawawiTvonline Жыл бұрын
pongezi sana sheikh izudin
@aishabunu6281
@aishabunu6281 Жыл бұрын
Ameen 🤲 kiukweli sheikh wetu izzudin Mashaallah may Allah protect you Ust.
@ZanhaZan-ns3vq
@ZanhaZan-ns3vq Ай бұрын
Mashallah mashallah mashallah mashallah ❤❤❤❤
@yasirsaid8464
@yasirsaid8464 Жыл бұрын
MAA SHAA ALLAH barakALLAHU FIYKA
@mesasaid-kj3nq
@mesasaid-kj3nq Жыл бұрын
Mashallah sheikh Jana tulikuwa wote kwa iftar ya Hassan omar nilifurah kukuona
@fahadtimimy9413
@fahadtimimy9413 Жыл бұрын
Shekhe pia akubali kwamba mtume muhamad sallallahu aleyhi wasalam awapenda sana maswahaba zaidi kuliko sisi....shekhe kasema mtume atupenda sisi kuliko maswahaba
@preciouslanguagecentre8918
@preciouslanguagecentre8918 Жыл бұрын
Kama hivi mm ndo napenda masha allah . Allah ajaze Kheir
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Жыл бұрын
Naam, kazi nzuri Masha'Allah na Allah anawapenda sana wenye kutubia. Kama huyu Sheikh Izudin Allah amuhifadhi amiin. Swali kwako Sheikh Muhammad, je nawewe uko tayari kutubia kwa kosa lakutupa kitabu cha Sheikh JAAFAR AL_BARZANJI? Maana huyu mwenye unamsifu leo na kumuombea dua pia umekubali kama yuko na imani, anasoma hicho kitabu ambacho ulikiita kitabu cha "SHIRKI"...
@maheralmuayqily1900
@maheralmuayqily1900 Жыл бұрын
Ndugu samahani kwani kitabu cha maulidi barazanjii kina hadhi kubwa kuliko QUR'AN mpk atubie kwa kukitupaa
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Жыл бұрын
@@maheralmuayqily1900 bila samahani ndugu yangu ki imani.. jibu ni kwamba hicho sio chakupimanisha na QUR'AN ao vitabu vikuu vya hadiths, lakini vitabu vya wanazuoni wakiislamu ambao wamefanya jitaidi kubwa kwenye dini haifai kuwazalilisha. Ao kutupa vitabu vyao kimakusudi kwakukejeli.
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 Жыл бұрын
Swadakta natoe live bachu akiri kosa Hilo Kama ajua hadhi ya wanachuoni hapo tutajua anaheshima kwa ja Mii kwa Sasa Hana hadhi
@i_gabbykisalo4280
@i_gabbykisalo4280 Жыл бұрын
@@muftishaban.a.musamombasak6577 Naam Mufti...Allah atuongoze wote amiin
@abdulmwakubambanya9091
@abdulmwakubambanya9091 Жыл бұрын
Barakh Allah fikh
@wastarayusuf93
@wastarayusuf93 Жыл бұрын
Shekhe izudin allah akujaze kheri na akuhifadhi na uaduwi na akupe umri twawil na wenye manufaa sana . hakika hiyo ni ishara ya uchamungu. Ila huyo bachu kajifanya kakukosowa wenziye mbona yeye huwa akubali kurekibishwa????? Wewe bachu una kibri sana na ipo siku moja alla atakudhalikisha tu na kama umemkosowa kwa kutaka kumuabisha allah atakuaibisha wewe. Maana tunavyo kujuwa wewe ni mkaidi na haukumkosowa kwa ikhlaaswi.
@Idri683
@Idri683 Жыл бұрын
Ikhlass iko moyon , wajuaje wewe kma hakufanya kwa Ikhlass??
@abdallahsaid1968
@abdallahsaid1968 Жыл бұрын
Waja wema hawaombewi dua mbaya ila itakufika wewe unae muombea kua making bachu anafanya kwaajili ya Allah
@azamomar9920
@azamomar9920 Жыл бұрын
Acha dhana usimdhania mtu nikosa kubwa katika uwislam siku zote mtu asemae ukweli au kusmamia haki basi huwa na maadui wengi ilikua hivyo ivo hata kwa mtume Muhammad s.a.w kipindi analingania watu juu ya uwislaam walio muelewa nakumkubali mapema walikuwa niwachache mno hususani wale alio wachagua Allah lakini kadri siku zilivyo kwenda watu waliingia uwislaam kwa wingi basi namimi sioni sababu yawewe kumchukia mtu nakumuombea dua mbaya haliyakuwa kasimamia hakki nakuwazindua watu kuepukana na batwil je nikuulize swali lait asingemkosoa uyo sheikh unafkir ni watu wangapi wangeishi kwa kutumia hiyo kauli yake? Au ni vizazi na vizazi? nasiku zote ukiona unamchukia mtu kisa kasema nakusema kwake nikwa ajili ya Allah na Mtume wake basi jua kwamba anayo yasema yanakugusa ivyo basi yakupasa kama muislaam mwenzangu kuachana na hayo yote ambayo hakutu amrisha Allah wala kutufundisha mtume Muhammad s.a.w kwani kuzusha jambo katika dini nikumkosoa Allah na mtume kwamba kuna vitu walisahau katika dini sasa sijui yupo mwanadam au kiumbe yeyote anaweza kumkosoa Allah tuwe nahof ya mwenyezimungu ndugu zangu Allah hajaribiwi wala kufanyiwa mzaha tuache ushabiki katika dini tujitume kuisoma dini yetu kisawa sawa namuomba Allah atuongoze katika haki na atuepushe na batwil tuiache nakila tunalo lifanya liwe kwaajiliyake Allah Amiin.
@wastarayusuf93
@wastarayusuf93 Жыл бұрын
@@Idri683 Huyu bachu huwa tunamfata kwenye mitandao sana akirekibishwa huwa hakubali kuwa kakosa na ujeuri mwingi sana. Mfano kakosolewa akitukana barzanji ya maulidi nabii s.a.w. kitabu kimetungwa na mwanachuoni mkubwa yeye eti anakirusha kua hakifai kina shirk maskini akapige goti aelimishwe aache kibri. Mfano mzuri kwa shekh izzudin huyo ndio uchamungu. Sio kua na kibri.Ndio maana hatuna uhakika kua amemrekibisha mwenziye kwa ikhlaaswi.
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
Amiin
@HassanAli-eq8ko
@HassanAli-eq8ko Жыл бұрын
Mashaallah jazakumllah kheir amiin
@zawiaissa8912
@zawiaissa8912 Жыл бұрын
mashaallah Allah awaongoze
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh 4 ай бұрын
Amen amen 🕋🤲🤲🤲
@TeamKRX
@TeamKRX Жыл бұрын
Huyu ni shekh mshari sana sana baba ake hakuwa hivi
@mussajakaswaleh4383
@mussajakaswaleh4383 Жыл бұрын
Kisichofanana na mwenyewe wallahi nafurahi sana ya mungu aendele kumlaza sheikh Nassor bacho pema palipo na wema sauti kabisa ya babako Masha Allah
@rajabjuma277
@rajabjuma277 Жыл бұрын
Sheikhe izzudin Allah akuhifadhi sio raising mtu kukubali kosa zaidi mtu kosa lake atakutupia ubaya kwa lolote mimi nakiri mohammed bachu unapo rekebisha mm binafsi napenda mana dunia imejaa bidaa hii Allah awahifadhi
@masijidrahmaanolinetv6922
@masijidrahmaanolinetv6922 Жыл бұрын
Daaah niujasiri kweli
@MuhammedSalim-gk3mr
@MuhammedSalim-gk3mr Жыл бұрын
Ma sha allah
@HardwareMoshi1
@HardwareMoshi1 Жыл бұрын
Mashallah tabarkallah
@suleimanabdul-karim1212
@suleimanabdul-karim1212 Жыл бұрын
Mashallh Allah akubarik sheikh Muhammed
@blacknature3691
@blacknature3691 Жыл бұрын
Ambariki nini kuzuwa mizozo kama nzi anadema popote kwani yeye kakamilika?
@amissandayishimiye-su4wm
@amissandayishimiye-su4wm Жыл бұрын
Maashaallah ndo uislam unataka hivyo.Allah akuhifadhini
@balkisamisi2131
@balkisamisi2131 Жыл бұрын
Allahuma amin
@MussahOthman-eq6nv
@MussahOthman-eq6nv Жыл бұрын
MashaAllah
@coyancodavao4004
@coyancodavao4004 Жыл бұрын
Sheikh Izzuddin hana mshipa wa ubishi kama wako
@bwanabrainex433
@bwanabrainex433 Жыл бұрын
😂😂😂Dah ckutegemea hii
@saidyussuf2291
@saidyussuf2291 Жыл бұрын
Na wewe Muhammed Bachu , ukubali kukosolewa na sio ukikosolewa ulipize kwa kukosoa tuu na wewe, na uo ni mfano wa wewe kuiga na pia tumia njia nzuri za kukosoa na kuweka sawa watu .
@jumamuhd620
@jumamuhd620 Жыл бұрын
Hata km ungekosea mara 100 tunakukubali iyo ndio moja kati ya sifa y binadamu. Mm Ahyan Othman Moh'd kutoka Zanzibar.
@KhalidAbdallaKassimKassim
@KhalidAbdallaKassimKassim Жыл бұрын
mashaallah she mohd bachu
@khamissalim8708
@khamissalim8708 Жыл бұрын
Àmeen ya rabbi
@yassirjuma-nv1kh
@yassirjuma-nv1kh Жыл бұрын
Maashaa Allah niwatakie kila la kher mashekh wetu lkn mimi nahis kukosoan mitandaon si vizur kam ungelimtafuta na kumkosoa ingelikua vizur zaid Allah atuongoze katik haki na tuifuate
@muftishaban.a.musamombasak6577
@muftishaban.a.musamombasak6577 Жыл бұрын
Kabisa ndugu .lakini Hilo lakumfuata haliwezekani sababu yeye ataka dunia ijue kuwa yeye NI MTU mkubwa katika jamii. Kiufupi hakuna kwa ajili ya ALLAAH ni kwa ajili ya viumbe
@MasudiAli-o8q
@MasudiAli-o8q 9 ай бұрын
Mashallah
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Ameeeeen 🤲🤲🤲🤲🤲
@EVERSONMDOGO
@EVERSONMDOGO Жыл бұрын
Maa shaa Allah
@habibumadege8187
@habibumadege8187 Жыл бұрын
Izudin nawewe muhammad ALLA akulipeni wema,ilatu natoa angalizo kwako muhammad bachu Nawewe ujitahidi uache lughamaya nakujiona wewetu ndiyo shekh msomi kulikowote isijjetena wewe ndiyowewe kwakuwa IZUDIN umemkosoa na kakubali kosa baasi ukaona ee mimi ndiyomimi hatawewe yanaweza kukutokea kamavile baadhi ya wanachuoni waliopita,
@samirahimid205
@samirahimid205 Жыл бұрын
Sheikh Izzudin ametumia hekma ya Hali ya juu,na kuziba aliye mrekebisha. Ilikuwa inatosha. Vipi leo sheikh Muhammad Bachu wewe umetengeza hoja upya sio sawa.
@saidkipalo4427
@saidkipalo4427 Жыл бұрын
Wewe Ushakubali hata mara moja kama Umekosea?
@feisalfarsy6562
@feisalfarsy6562 Жыл бұрын
Mm nakukubali sana sheh wang
@jabirkasunzu6841
@jabirkasunzu6841 7 ай бұрын
Aamiiin 🤲🏼
@lancetkenya6720
@lancetkenya6720 Жыл бұрын
Wewe mtoto ni kibri kinakutawala
@blacknature3691
@blacknature3691 Жыл бұрын
Sio tu kibri naukosefu wa nidhamu na adabu
@yusufutambala2840
@yusufutambala2840 Жыл бұрын
Amiin
@NaaalsGroup-us8bq
@NaaalsGroup-us8bq Жыл бұрын
Amina rablahlamin
@rashid-4392
@rashid-4392 Жыл бұрын
Ameen.
@makhanguwakhutu2408
@makhanguwakhutu2408 Жыл бұрын
aamin
@SalehLofy
@SalehLofy 9 ай бұрын
Masalafy Wanapenda mabishano na mashindano na wakikosea hawakubali kukosolewa
@MuhammadKhamismohammed
@MuhammadKhamismohammed Жыл бұрын
Sasa nahisi watu wa bidaa wameanza kumuewa vzr huyu Muhammad bachu.Allah awajaze kheri
@zeitunMohammed
@zeitunMohammed Жыл бұрын
What shallow reasoning
@yes_yes1310
@yes_yes1310 Жыл бұрын
Na wew ukirekebishwa urekebike pia 😂😂😂 kijana wetu .
@fauzia4610
@fauzia4610 Жыл бұрын
😂😂😂 kwel kabsaa
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes Жыл бұрын
Akiwa kakosea mbona anakubali tu,
@yes_yes1310
@yes_yes1310 Жыл бұрын
@@MrNoNonsenseYes una uhakika na ilo usemalo ? Ebu rejea mada ya haleluya ,kisha utajipa jibu.
@MrNoNonsenseYes
@MrNoNonsenseYes Жыл бұрын
@@yes_yes1310 Ebwee, yani katika mada zote hiyo ndo mada uliyoichagua 🤣🤣🤣 Kwahiyo wewe unaunga mkono Halleluyah ina maana moja na La ilaha ila Allah 🤔😪
@yes_yes1310
@yes_yes1310 Жыл бұрын
@@MrNoNonsenseYes Sina maana iyo ,ila natak kujua ahadi alio itoa kwenye ile mada je alitekeleza ,na kama alitekeleza atuonyeshe iyo video alokiri kukubali kurekebishwa,Ni hilo tu... ✍🏽
@saidhamad9723
@saidhamad9723 Жыл бұрын
Kuwa makini na riyaa km amerekebeshika ilikuwa haina haja ya wewe tna kuanza kumnadi tna kuwa kakubali makosa yke na kuonekena yy hana elimu vzr km ulivo wewe
@sultansaidsalehe3805
@sultansaidsalehe3805 Жыл бұрын
Haina maana hyo coz kila mwanadamu anakosea
@saidhamad9723
@saidhamad9723 Жыл бұрын
@@sultansaidsalehe3805 hapana asiekosea ila ni namna ya urekebishwaji sio mzuri huyu ata kumuita shekhe alikuwa hamuiti angalau kabadlka kidg ....elimu anayo ila atafte njia nzr ya kurekebisha wenziwe
@MohamedSaid-wo2be
@MohamedSaid-wo2be Жыл бұрын
Kweli kabisa lkn yeye hawezi kukubali makosa anadia watu lkn yeye hawezi na ndio anajifanya ajua zaidi yeye huyu bachu utafkiri hakosei yeye na yy ndio mkosowaji mkubwa sana eti mashekhe wote wakosea ila yeye hakosei
@omarabdi3604
@omarabdi3604 Жыл бұрын
mbona ww hukubali kukosolewa uki kosolewa una leta comet tele
@azuukasha3225
@azuukasha3225 Жыл бұрын
Huyu bachu anadharau na kujua kwingi
@rayaali7551
@rayaali7551 Жыл бұрын
AZU UKASHA. SASA HAPO SHEKHE MUHAMMAD BACHU ALICHO KOSEA NINIII. AZU UKASHA WACHA KUSIMAMISHA FITNA ZA KISHETAANI. HASA PALE UNAPO ONA WAWILI WAPONGEZANA NA DUWA NJEMA KUOMBEANA. WACHA FITNA ALLAAH HAPENDI TUNATAKIWA KUJIFUNZA NA KUCHUKUWA MFANO WA VIONGOZI WETU WA DINI KAMA HAO WAWILI HAPO. MFANO MWEMA MZURI WENYE MAENDELEO YA KIELIMU SAWAAAAA AZU UKASHA WACHA CHUKI WACHA DHARAUU WACHA UCHOCHEZI. NI KHARAAAM
@AmCool_
@AmCool_ Жыл бұрын
Airtime.
@jakuabdull34
@jakuabdull34 Жыл бұрын
Sawa lkn si sawa kukosoana hadharani ni vyema kutafuta njia sahihi
@AbdallaMwagora-sm1rj
@AbdallaMwagora-sm1rj Жыл бұрын
Aliyekuletea kesi kwako elimu yake ni changa kama yako .sheikh izudin ni muungwana na alielewa ni wapi alikosea ,lkn mtoto wa bachu ajiona ameibeba elimu yote .angesema tu nimepata ujumbe si kusema nimepata kesi.hapo ni kujikweza.
@abdullahkipeta8546
@abdullahkipeta8546 Жыл бұрын
Huku naona wengi wanao coment ni mashabiki wa shekh huyu maana wanamkubalia kwa kitendo chake Cha kuwasema mashekhe hadharani 😭😭😭dah lakini sio nzuri maana anatafuta umaarufu kwa nguvu sana
@hekimasanga6028
@hekimasanga6028 Жыл бұрын
Aliyekosea alikosea hadharani na watu waliondoka na huo msimamo dawa yake ni kukosoa mtandaoni ili jamii iliyoathirika ipate kurudi kwenye usahihi
@abdullahkipeta8546
@abdullahkipeta8546 Жыл бұрын
@@hekimasanga6028 HATA JINA LAKO LINA TUJUZA KUA HAKUNA KITU KIKUBWA KAMA HEKIMA ,,YULE YULE NDIE ALIEKUA NA NANAFASI YA KUREKEBISHA IKIWA ALIKOSEA KWA MAANA ILITAKIWA AENDE KUZUNGUMZA NA SHEKH MWENYEWE NA SIO MTANDAONI AKHIL KAREEM.
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Жыл бұрын
Unatafuta umaarufu kupitia izzu deen ila sisi tumemuelewa na wala hajakosea
@LukmaanSalum-ys8nf
@LukmaanSalum-ys8nf Жыл бұрын
Ni vizur ila na ww acha ujuwaji mtu humkosoi hvyo mwite pembeni mueke sawa sio kumkosoa hvyo acha ujuwaji
@twalibali1990
@twalibali1990 Жыл бұрын
Sheikh Izudin ma sha Allah ni msomi namkubali hakutaka upate kiki amekufunga bao nahuku wacheka sio kwamba hawezi majibizano ela amechukua yale maneno yasemayo waidha khatwaba humul jahiluna qalu salama
@alidingongo443
@alidingongo443 Жыл бұрын
Lengo lako lilikua kumdhalilisha maana mumezoe mashekhe wa Tz kuteta mitandaoni amekujibu kwa ustaarabu sie watu wa Mombasa swali mbona hukuongelea zile zilizopita?
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Amiin thuma amiin
@mansurabubakar3906
@mansurabubakar3906 Жыл бұрын
Mh muftiwaDunia
@saeedmohammed4166
@saeedmohammed4166 Жыл бұрын
Subhanallah!! Unaonekana una chuki juu yake, ila mwezi huu hujacherewa ni mzuri mno wa kurekebisha nyoyo zetu. Tumuombe sana Allah azibadilishe nyoyo zetu, tupendane kwa ajili yake
@FathimaZubair-jt4cg
@FathimaZubair-jt4cg Жыл бұрын
😍😍😍
@Kalaharidesertstorm
@Kalaharidesertstorm Жыл бұрын
Izzuddin ashakuwa shekhe wetu bravoalayk😂😂😂😂😂
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
😂😂😂
@salmaali7080
@salmaali7080 Жыл бұрын
Kwani ungempigia simu privete asingetoa clip yakurekebisha,hayo maneno yako ni ya kibryy
@Mwinyi-pr3re
@Mwinyi-pr3re Жыл бұрын
Shek hmuhammedi bachu wewe kila siku anakosolewa je mbona hutaki kukubali makosa yako j mbele ya watu kama alivyo fanya shekh izzu din.. Au unaona ufakhari kurekebisha wenzako??????
@niffonlinetz7214
@niffonlinetz7214 Жыл бұрын
INAELEKEA UMFATILII VIZURI NDO MANA UMEKUJA NA HII COMMENT
@binseifalsuleimaniy503
@binseifalsuleimaniy503 Жыл бұрын
Fatilia darsa zake utaona kma anakubali au hakubali
@jumamahmoud9271
@jumamahmoud9271 Жыл бұрын
Fatilia durusi zake uone akikosolewa nukta tuu anakuja kurekebisha.ukimuona hajarekebisha alupokosolewa basi tambua kua yeye ndio yupo ktk haqi.
@zuheorsalim7759
@zuheorsalim7759 Жыл бұрын
Mnajua km huyu kijana ametahayari sna yeye alifikiri ndo anzanzsha ligi kubwa dabble
@husna34562
@husna34562 Жыл бұрын
😂😂😂😂ajawah izudin kujibu mtu
@AhmadaTahir-cu8se
@AhmadaTahir-cu8se Жыл бұрын
Na watu TU naoooo. Nasi clip 3 zooot kazungumza bila makosa ispokua moja TU na hao watu wakaacha 3 kwa kufuwata 1?
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
😅😅😅walifata hiyo hiyo moja ili waendelee kufanya jimai mchana . Watu hupenda rahisi
@abdulrahmanmussa4479
@abdulrahmanmussa4479 Жыл бұрын
Watu wanatafuta upenyo 😂😂😂
@abiabi9353
@abiabi9353 Жыл бұрын
Hiyo moja ndiyo ilokuwa na hatari
@zuwenasleiman3587
@zuwenasleiman3587 Жыл бұрын
Kweli clips tatu zote zilikua sawa tatizo watu si wafatiliaji wa mambo
@burayhin
@burayhin Жыл бұрын
huyu mtoto mnafiki kwel wallah, wapi shekh izu dini kasema ukitaka umuingilie mkeo mchana wa ramdhani na ukwepe kafara basi fungua kwa kula? kama sio utovu wa adabu ni nini? atufanya sisi hatuna masikio na uwelewa kama alivo yeye mtovu wa adabu, mi siku zote nasema huyu mwana wabachu hana adabu kabisa, na in shaa allah hutoondoka hapa duniani mpaka athari za wana wazuoni uliowakosea adabu zikupate
@rayhannahilyas5203
@rayhannahilyas5203 Жыл бұрын
Nenda kasome alaf kumbe unajua sasa kwann mkiambiwa na sheihk Abdallah humeid mnakasirika
@maryamsalim3233
@maryamsalim3233 Жыл бұрын
Mm naona ubora wa mtu alo kosa ni heri umfate mtu pembeni umrekebishe makosa yake lakini sio kwa mtandao ama dini yako yasema hivo
@canoksancomprehensivelearn7182
@canoksancomprehensivelearn7182 Жыл бұрын
Sheikh Izzuddin namjua ninmchamungu na hana kibri nilihisi tu angekubali haki na kiukweli masheikh wote tuwe kama sheikh Izzudin. Allah atufanye tuwe kama yeye hana kibri
@mustafawendo6739
@mustafawendo6739 Жыл бұрын
Mola atupe mwisho mwema
@aminamwinyi4427
@aminamwinyi4427 Жыл бұрын
Mawazo yangu ikiwa sheikh atateleza basi, sheikh mwenzi mwenziwe ampigie simu amueleze alipokosea, alafu yule mkosa atarudi tena ajirkrbishe, kuli kuliko aibu hino please, kwa sababu nimeona clip ingine Bachu nawe unakosolewa, sasa tutaendelea ivi mpaka lini , mwishowe mutate mkiateta nyinyi sisi tuwewapi? Sasa Bachu umekosolewa. Anie kukosea nae ametowa clip pua
@habibumadege8187
@habibumadege8187 Жыл бұрын
Kukubali makosayako nidalili ya uchamungu nawengine hasawewe yatakiwa nawewe uige mwenendohuo maana ww unatabia ya lughachafu na kibri hutaki kushindwa hatakama nikosakweli nasisi tunaoushahid ukikosolowa hatakama nikweli hukubali, nihayotu
@abdulmohamed6241
@abdulmohamed6241 Жыл бұрын
Imam shafi anasema"unaponikosoa nivute pembeni unieleze,ukinikosoa hadharani hujanikosoa ila utakuwa umenitukana(umenivunjia heshima tangy)hapa imam shafi alileta funzo kubwa sana Allah amrehemu
@shadali7616
@shadali7616 Жыл бұрын
Mbona we ukubali kushindwa weye .... pia una takiwa ukubali kushindwa ....
@ustadhayub8733
@ustadhayub8733 Жыл бұрын
Sheykh izzu ddiin yuathibitisha Kwa alivyo fanya kweli Ahly bayti wa mtume s,a,w wako na hutokea kufanya kama alivyo kua baby Yao mtume s,a,w .Kwa kweli si rahisi ulimwengu huu shekhe kukubali makosa yake tena hadharani .
@MalikshotelsMalikshotels
@MalikshotelsMalikshotels 3 ай бұрын
Lengo lake n kumuingilia mke wake na siyo kwa maji
@fauznuhu9981
@fauznuhu9981 Жыл бұрын
Je wewe uko hivyo!?
@swabrianwar1020
@swabrianwar1020 Жыл бұрын
wwe lini ulkubali makosa?
@OstaziRamadhan
@OstaziRamadhan 12 күн бұрын
Izudini wewe ni muungwana ivyo na wengine wajifunze kutoka kwako
@MuzammilBakary
@MuzammilBakary Жыл бұрын
Je ww umekosolewa x ngapi? Na wapi umekiri? Acha ushamba
RADDI KWA MTOTO WA BIEDH MUONGO WA MAMBRUI || Muhammad Bachu.
45:06
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 3,7 М.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2,3 МЛН
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 67 М.
MJADALA MAALUMU WA KUPANGA TARATIBU ZA MUNAQASHA  || SEHEMU YA KWANZA || 29/5/2023.
1:01:49
ASILAUMIWE  RUSAGANYA ALISEMA KWELI//INAFAA KUFANYA JIMAI MCHANA WA FUNGA.
16:00
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 105 М.
BACHU ATANDIKWA TENA NA SHEIKH SAID, WANYAMA WALIZUNGUMZA
21:03
BABDEO MILADU
Рет қаралды 35 М.
SABAS AL KUBRA ALAUMIWA BAADA YA MUNAQASHA WA SEHEMU YA KWANZA
17:31
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 27 М.
Muhammad Bachu PAMBANENI NA ALBANI KWANZA KISHA NDIO MUJE KWETU.
12:39
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 19 М.
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 122 МЛН