Sheikh je ukitokwa na madhii na wadii je unatakiwa kuoga janaba
@abdab84663 жыл бұрын
Jamani fiqh inachanganya Sasa kama ni hivo si manii inapita kwenye tundu ya mkojo ya mwanamme, manake niulize kuna mwanamme anaetia kidole ndani ya uume akijisafisha mkojo ama hua ni juu tu
@bestoftiktok44363 жыл бұрын
Shukran ushaadh
@saumuraj-km9jq Жыл бұрын
😁😁😁😁mashaAallah
@shardalove11593 жыл бұрын
Shukran
@abdab84663 жыл бұрын
Na hio manii power yake hua inaogelea kwenye madhii ndio iruke na kuslide bila madhii manii hayaezi kutoka lazima kuwe na seminal fluids
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Maini ninini jamani
@mwidadifakii75973 жыл бұрын
@@aishaarusha894 maini tena? Maini ni liver
@abdab84663 жыл бұрын
@@aishaarusha894 si maini ni manii ambayo ni sperms
@bashan-nofaly56013 жыл бұрын
Sheikh naomba kujua namna ya kujitwahirisha kutokamana na madhii
@mzeemohamed92863 жыл бұрын
Sijaelewa kitu kimoja ukitokwa na madhii au wadii unaruhusu kuoga josho la janaba?
@dr.a.s.mwinyi81433 жыл бұрын
Hapana. Unaosha tu.
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Maini gani jamani misielewi
@sadih53333 жыл бұрын
@@aishaarusha894 😁
@sadih53333 жыл бұрын
@@aishaarusha894 olewa kwanza
@aishaarusha8943 жыл бұрын
@@sadih5333misielewi
@mohamedmahindi32633 жыл бұрын
Sasa shekh siitakuwa tunafua nguo za ndani kila wakati kama sisi tusiooa mara kwa mara maji maji yanatutoka
@mzeemohamed92863 жыл бұрын
Mtihan kweli
@yusufmwangichannel66923 жыл бұрын
Kwa nyinyi ambao hamjaoa au kwa nyinyi msio oa?
@aishaarusha8943 жыл бұрын
Usipate tabu ya kukoga nenda baharini ukajitumbukize ukitoka ushajitwaa risha🤸♂️
@mohamedmahindi32633 жыл бұрын
@@aishaarusha894 nazungumzia nguo za ndani maana kila muda twatoa vimaji maji nashekh kasema najis je tukiw makazin si twaswali na najis