Amen, wa Mama tuna macho ya Rohoni, tuchangamke kwa ajili ya watoto wetu, na familia zetu kwa ujumla.
@miriammbwambo-cr4jn3 ай бұрын
Asante yesu kumjaalia mama yangu kuwa muombezi wa family nisaidie namimi nisichoke kuwaombea watoto wangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿Mungu ibariki Tanzania🙏
@nadzua1750Ай бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana kwa mafundisho haya mm kama mama nitaanza kuombea familia yangu
@scholasticanchia28 күн бұрын
Mungu akutunze milele yote mtumishi
@evalynerwegasira74853 ай бұрын
PASTOR GEORGE. WEWE NI MWALIMU MZURI SAANA. TWAMBIE KUHUSU MAWINGI NA LIPSTIC.
@CatherineMakokha-dg6ws2 ай бұрын
Amen and amen humble in Jesus mighty name, dear lord I'm humble before you God have mercy on on my life 🙏🏼🙏🏼🤲🤲
@eliasifiwekimaro55703 ай бұрын
Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri.Sijui km naweza kukushauri ila nikusihi umwombe Mungu akufunulie ikiwa mapambo km wanja,lipstic,nywele za bandia hazimpendezi Mungu Umsihi mama mchungaji aachane navyo.Usije ukaenda mbinguni na watoto wako na mama mchungaji akabaki.Mungu akubariki na kukuinua zaidi.
@AnnNanjala-fw5vu3 ай бұрын
Nimebarikiwa sana natamani hiki kitabu nitakipataje, niko kenya Nairobi
@melissazaina14403 ай бұрын
Napenda sana mahubiri yako sana ,unanifundisha mengi sana ,
@MissVie-tj3kg3 ай бұрын
Asante sana pastor George mungu akubariki kwa kutufundisha neno lake 🙏🙏🙏,,,nitapta kitabu vipi kupitia mtandao tafadhali
@nitikekubetta91523 ай бұрын
Amen amen asante baba kwa neno Yesu anifungulie milango
@ShukuruManu2 ай бұрын
Mungu akujazemafutaa
@BetsyMining3 ай бұрын
Mungu nisaidie nidumu kwa maombi hadi familia yangu ikombolewe kutokana na laana ya jamii yao
@dorcanyarangi48143 ай бұрын
Amina nimekubali namtumia hii video mama yangu akirmini atafunguliwa na sisi tutafunguliwa 🤲🤲🙏🙏 asante mtumishi wa Mungu
@filorammbaga57103 ай бұрын
Asante Mutu wa Mungu kwa maelekezo yako mimi kama mama namna ya kuomba .
@annbonareri3 ай бұрын
Amina ...Ahsante mchungaji kwa neno la mungu ❤
@RosemaryOwori3 ай бұрын
Amen🙏🙏🙏watching again this moment be blessed paster
@silviak17763 ай бұрын
Amen 🙏🙏🙏 🙏🙏🙏♥️🇰🇪
@graceurasa20823 ай бұрын
. AMEN
@HappinessWilliam-y6n3 ай бұрын
Ubarikiwe sana pastor
@MIRIAMMICHAEL-t4v3 ай бұрын
AMEEN 🙏 hakika ninajifunza mengi kupitia weww pastor 🙏
@sarahmafie22863 ай бұрын
Ameen mtumishi wa MUNGU
@totoshagileon-33 ай бұрын
Amen, barikiwa sana muchungaji 🙏🙏
@WanjalaJob3 ай бұрын
AMeeeeen pst
@GiftSisso3 ай бұрын
Nimeomba zaidi ya miaka 30 bila mafanikio leo.nimegundua nn cha kufanya. Mume wangu huramkiwa mambo mabaya na mama yake maana alikubali kuwa rafiki wa mpango wa kando wa Baba yake..mm yake hakumpenda nae ss ameicha imani anaeandaranda na mipango ya kando. Mungu atanikumbuka test langu kwa Jina la Yesu. Mm mwenyewe mama hakunitamkiq.mema maana alitaka niwe mwislam mie nikamfuata Yrsu. Namshukuru Mungu kwa.wakati huu.
@julienneaboki41053 ай бұрын
Asante mu ngu kwa maombi ya kilio cha hana umenibariki sana
@GiftSisso3 ай бұрын
Umenibariki saana. Barikiwa mtumishi.
@mwanaishamkumbwa9353 ай бұрын
Pastor ubarikiwe milele........
@achiatumbulu23183 ай бұрын
Asante Yesu.
@phyllisnanjlawafula4433 ай бұрын
Amen Amen
@AgnesNyaleso3 ай бұрын
Amen amen amen 🙏
@fredgersimbeye53943 ай бұрын
Amen
@EdinaMwaisumo-cg3mi3 ай бұрын
Ameeeen
@stellasoy93063 ай бұрын
🙏🙏
@AquilineNzioka-r2f3 ай бұрын
Mungu asante kwa ajili ya maombi ya anna ,njia yangu imefunguka kwa Jina la Yesu Amina..
@ShukuruManu2 ай бұрын
Sijawayi kuona mutumishi kamauyu
@helansakeyan53073 ай бұрын
NIMEFURAHI ASANTE ROHO MTAKATIFU NIMEANZA CHUO HAPA MTANDAONI NANINAJIPIMA NIMEFAULU