TUMIA MAMLAKA HII ILI KUFUNGULIWA-- PR. DAVID MMBAGA

  Рет қаралды 38,339

MAHUBIRI TV

MAHUBIRI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 135
@annamanyam2010
@annamanyam2010 2 ай бұрын
Namshukuru na kumtukuza Mungu wa Mbinguni, nimepata period kwa muda wa siku 17 mfufulizo, nikaenda hospital na kupewa dawa lakini bado haikukata, lakini baada ya kujiungamanisha na maombi haya Mungu ameniponya na period imekata kabisa. Asante Mungu
@JoramJaphet
@JoramJaphet 2 ай бұрын
Amen
@PatriciaLeonard-rs1kj
@PatriciaLeonard-rs1kj 2 ай бұрын
Amina
@VailethKegoye
@VailethKegoye 2 ай бұрын
ameni
@helenongara1679
@helenongara1679 2 ай бұрын
Hallelujah! Sifa na utukufu kwa Mungu!
@gracenjeri2325
@gracenjeri2325 18 күн бұрын
Amen
@AgripinaKivike
@AgripinaKivike 2 ай бұрын
Ila wasabato Kama tutaelewa ptr mbaga anavofundisha tutapendeza saana mabakibaki ya ufarisayo yapo Roho mtakatifu tutawale na utuongoze ameni. Haleluya
@daudnyore4696
@daudnyore4696 2 ай бұрын
Wengi hawataki Kubadilisha Mtazamo wa kiakili
@neisaprince
@neisaprince Ай бұрын
Mungu endelea kutumika kwenye maisha yangu hatima yangu Iko kwako🙏🙏
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 Ай бұрын
Nimerudi tena kusikiliza neema Mungu aliyo mpatia Mch .Mmbaga. Nimerudi hapa kwa mara ya Tatu. Ila leo ,nimemsikia Mungu akiniambia soma Waefeso sura ya Tatu. Baada ya kusoma Roho Mtakatifu amenisemesha, 'Ombea Kanisa lipokee ujumbe huu hasa fungu la kumi'. Hii siri niya kufunuliwa Kanisani (Waefeso <a href="#" class="seekto" data-time="190">3:10</a>). Asante sana Mungu kwa mafunuo haya. Zidi kumtumia Mch .Mmbaga na team yake . Bariki kila atakaye msikiliza aelewe ,apate neema ya mahitaji yake yake yote. Kisha Injili itakwenda kwa haraka nawe utarejea kutuchukua Kwenye makao ya amani . Kwa Jina la Yesu nimeomba .Imekuwa .
@Mapenzi2635
@Mapenzi2635 2 ай бұрын
Baba yetu wa MBINGUNI, nakutukuza daima kwa kumtumia Mch. Mmbaga. Leo naombea hufahamu wako ujidhihirishe kwa kila atakaye msikiliza Mch. Mmbaga, asikie sauti yako ikimdhibitishia kuwa neno lako ni Kweli na lakuaminika. Kwa Jina la Yesu, AMEN.
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 ай бұрын
Amen
@godlovemapunda774
@godlovemapunda774 Ай бұрын
Ee Mungu wangu naomba ktk maombi haya ndoa yangu uitete shetan anataka kuvunja amina
@wiza2309
@wiza2309 Ай бұрын
Amen Mchungaji. Mungu anisamehe kwakweli na kunifungua. Mimi ni mdhambi nahitaji kuokolewa na damu ya Yesu.
@MakaleCostancia
@MakaleCostancia 10 күн бұрын
Pr Mbaga, huyu jehova tunayemwabudu naomba akupe maisha mareeefu sana Ww n sababu ya mimi kuwa na maisha hya niliyonayo kupitia maombi yako nilipata kazi tna siy kazi tu, kazi nzuri na hpo ni baada ya miaka mitano nkitafuta Asante nko nyamongo Tarime ulikuja net event Nakukumbuka sana sina namna ya kuwasiliana na wewe MUNGU WA MBINGUNI AKUTUNZE Ombi langu leo Kama MUNGU alivyonitendea awatendee na wengine
@DeborahMganga-p9y
@DeborahMganga-p9y 28 күн бұрын
Pastor Mbaga Mungu wetu wa mbinguni aliye juu kuliko vitu vyote aendelee kukubariki katika siku zote za maisha yako.
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 2 ай бұрын
Jina la bwana wetu Yesu kristo liimidiwe nimepokea neno 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
@JacklineMoti
@JacklineMoti 2 ай бұрын
Amen 🙏🙏 naskia kufarijika sana mafundisho yenye uelewa Bwana akuongoze siku sote mtumishi WA Mungu 🙏🙏🙌
@GloriaKayumbaKabange
@GloriaKayumbaKabange 7 күн бұрын
Nous rendons grâce à Dieu pour votre vie, pasteur que Dieu vous bénisse
@kalengalukozi9242
@kalengalukozi9242 2 ай бұрын
Hubarikiwe sana mtumishi wa Mungu David kwa mafundisho siku ya leo nimepata chakula chenye uzima Amen
@Joycependopendo-dv2tb
@Joycependopendo-dv2tb 2 ай бұрын
Amen bwana asifiwe namshkuru niko salama nabarikiwa na mafundisho haya mzuri
@AwAw-i3d
@AwAw-i3d 2 ай бұрын
Bariwa sana, kwakweli nilidhofika sana kulingana n changamoto kazini, nikaamua naacha kazi leo asubui nikiwanaski hili somo nikapata nguvu mpia naendelea n kz, Mungu amenipa nguvu mpia sifa n heshima zimrudie amen 🙏🙏
@PheadaKasigwa
@PheadaKasigwa 2 ай бұрын
Ahsante mtumishi wa Mungu aliye hai umeugusa moyo wangu na kufunu wazi mapungufu yangu ukweli nikuwa naona kama Mungu yuko mbali nami lakini kuanzia leo yeye ni Aba kwangu.
@williammanyasi9196
@williammanyasi9196 Ай бұрын
Guy pr mungu amubariki pop
@hellen.b4ga2cj7m
@hellen.b4ga2cj7m Ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe....Nafurahia Mafundisho yako sana Mchungaji Mbaga hakika yamenibadilisha mtizamo wanguu Kiroho🙏🙏🙏
@RoseMwema-ix8hb
@RoseMwema-ix8hb 2 ай бұрын
Amen,am much transformed, God bless you pastor mmbaga
@berthadaudi-n2m
@berthadaudi-n2m Ай бұрын
Kwa kweli MUNGU ananipenda yaani ulichofundisha na kuomba ni kama nimekueleza Pasta, Asante Mungu kwa kunijibu ninaamini umenifungua leo
@KajuraMkama
@KajuraMkama Ай бұрын
Asante Mungu kwa kuruhusu kusikiliza mafundisho haya ambayo napata kuwekwa huru kupitia kristo mwana wa Adamu katika jina la Yesu kristo Amina.
@jonacemanyama4858
@jonacemanyama4858 2 ай бұрын
Natamani kukusikiliza Tena na tena Mungu aliehai akulinde Pr.DAVID AZAEL MMBAGA,pamoja na familia Yako.AMINA.
@Issasaku-n6f
@Issasaku-n6f 15 күн бұрын
Asantee Mungu kwa neema yako nimekuwa huru
@judithdaniel5089
@judithdaniel5089 2 ай бұрын
Amina, Ahsante sana pastor Mungu akubariki unapoendelea kufanya KAZI yake kwa bidiii
@edsonmashama6782
@edsonmashama6782 2 ай бұрын
Ninabarikiwa sana na mafundisho yako! Mungu amenitendea mengi na makuu tangu nimemjua hyu Mungu! Ni dhahili na hakika Baba yetu hayuko mbali nasi
@JamesMushi_jr
@JamesMushi_jr 25 күн бұрын
Yeremia 23:23
@JacksonSwai-g2y
@JacksonSwai-g2y 5 күн бұрын
Unanibariki sana Pastor Mmbaga
@agnesmushi5709
@agnesmushi5709 2 ай бұрын
Mungu wewe ni Aba , nisaidie leo 🙏
@Marianamsafiri-sm2vx
@Marianamsafiri-sm2vx Ай бұрын
Amen mchungaji.Mungu naomba unisamehe dhambi zangu, pia uniondowe katika kila vifungo vya ukoo na vya familiya,uniponye na adui zangu uniondelee kila mikosi na mabalaa Amen 🙏
@williamkasubi2436
@williamkasubi2436 2 ай бұрын
Atukuzwe Yesu Kristo, Baada tu ya maombi haya nimepokea muujiza wangu.
@Wolfpricencee
@Wolfpricencee Ай бұрын
Amina
@gracej876
@gracej876 2 ай бұрын
Eeh Mungu wangu endelea kunifundisha mimi mwana wako ni mengi bado tunajifunza haswa mambo ya kiroho, naja mbele zako fungua moyo wangu na uingie ndani yangu na ukaishi hapo kwakuwa nimekuchagua wewe kuwa Bwana na mwokozi wangu. Angaza maisha yangu eeh Mungu wangu mimi mwanao nipo tayari kuongozwa nawe. Maisha yangu nayakabidhi mikononi mwako ukaniongoze siku zote za maisha yangu. Nawaombea na watu wako ulimwenguni kote yeyote akuitaye kwa jina lako basi ukawatendee sawa sawa na mapenzi yako Amen🙏
@vinniebaraka132
@vinniebaraka132 2 ай бұрын
Barikiwa sana pastor David, hii channel imenifunza mengi na kunifanya niwe na ujasiri wa kumtafuta mungu
@bridgetmbawala1029
@bridgetmbawala1029 2 ай бұрын
Somo hili limeniinua kiimani. Namshukuru Mungu. Mungu akubariķi mchuñgaji.
@bridgetmbawala1029
@bridgetmbawala1029 2 ай бұрын
Sifa na utukufu kwa Yesu.
@GetrudeMachimu
@GetrudeMachimu 2 ай бұрын
Eeh Mungu katika maombi haya naomba kugunguliw nguvu za giza zote katika maisha yangu na mchumba wangu agunguliwe kwa jina la Yesu familia yangu na mdogo wangu binamu yangu watoke gerezani naamin Baba umetenda Amina😢
@DanfordMvela
@DanfordMvela Ай бұрын
Bwana akuinue zaidi pr
@lutenenhatagambaga5050
@lutenenhatagambaga5050 2 ай бұрын
Prom mbaga ubarikiwe sana tunabarikiwa mm na familia yangu; ulikuja Kilolo ckupata mda wa kukupa ushuhuda ila naamini tutakutana siku nyingne nikwambie Mungu alichotutendea.
@PhinaMoses-kd6fs
@PhinaMoses-kd6fs 2 ай бұрын
Ahsante MUNGU napona kupitia mtumishi wako sifa ni kwako baba
@AlexAlipo
@AlexAlipo Ай бұрын
Amen,nabarikiwa sana mtumishi wa mungu kwa kweli mungu amekupa karama ya ualimu na sio uchugaji tu ,
@WastonMkane
@WastonMkane 24 күн бұрын
Ingawaje sijajua somo lilitolewa lini, lakini MCHUNGAJI ww ndiye uliyenirudisha kwa bwana. MUNGU ashukuliwe sana
@WastonMkane
@WastonMkane 24 күн бұрын
Aamen
@AtimGrace-yk8sn
@AtimGrace-yk8sn 2 ай бұрын
Amen aki nabarikiwa sana na ingili hii nikiwa Nairobi mutumishi wa mungu na mungu azidi kukutumia
@FridaMwaihojo
@FridaMwaihojo 2 ай бұрын
Asante sana Mtumishi wa Mungu kwa mafundisho mazuri
@SamuelMwambene-b5s
@SamuelMwambene-b5s Ай бұрын
Asante sana pasta kwakunifundisha siri hii ya maombi naomba mungu akubariki sana sana mpendwa wangu.
@KaviraMulumbi
@KaviraMulumbi 2 ай бұрын
Amen amen ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@tuyizereJoel-n3q
@tuyizereJoel-n3q Ай бұрын
Nashukuru MUNGU kwakukupa uwezo uwezowamahubiri.
@irineDancan
@irineDancan 18 күн бұрын
Amen and amen mimi nikohapa saudi karibu nikufena na sikukufa
@dianapeter9311
@dianapeter9311 Ай бұрын
Naomba Mungu amponye baba yangu,, pr naomba uniombee
@EverlyneSinganga
@EverlyneSinganga 2 ай бұрын
Amen....kpitia kwa mafundisho yako naendelea kukua kiroho na pia kumwona mungu kama kaka na rafiki wangu wa karibu.....yale mungu amenitendea na mahali amenitoa acha sifa na utukufu ziendelee kumrudia yeye maana anasitaili
@Theodora-k3h
@Theodora-k3h 2 ай бұрын
Pastor Asante kwa maombi Mana nimefunguliwa na mungu kutoka kwenye nguvu za Giza Mana ulipoomba Mara ya Kwanza nilihisi Giza limetanda usoni nakama nahisi kuanguka Ila Mara ya pili na ya tatu nikajihisa nipo sawa kabisa namshukuru mungu kwa uponyaji🙏
@rosemutinda3076
@rosemutinda3076 2 ай бұрын
Amen my lovely Big Brother Jesus Christ my Saviour kwa kunifungua 🙏🙏🙏
@EvaMgongolwa
@EvaMgongolwa 2 ай бұрын
Ahsante kwa Neno ubarikiwe mtumishi,
@PatriciaMwamba-h6y
@PatriciaMwamba-h6y Ай бұрын
Tunashukuru sana Bwana kwa somo ii
@jeunerosemango8109
@jeunerosemango8109 2 ай бұрын
Amina. Asante kwa maombi. Mungu nyumbaji na wa rehema ametenda maajabu.
@VanessaJohnson-lw5mz
@VanessaJohnson-lw5mz Ай бұрын
Amen Pastor.nimefunguliwa
@AshaMazuri-m4g
@AshaMazuri-m4g 2 ай бұрын
Amina nimebarikiwa sana mchungaji naomba uniombe nizidikuwa na ujasili
@esthersikilio657
@esthersikilio657 15 күн бұрын
NIMEBARIKIWA SANAAA
@EvaKsrsiti
@EvaKsrsiti Ай бұрын
Asantee mtumishi kwa somo❤
@SweetbetVentura
@SweetbetVentura Ай бұрын
Amen Amen 🙌
@BeatriceKingeli
@BeatriceKingeli 2 ай бұрын
God bless you pastor mafundi zo yakoyameninua sana
@lilianeerica3318
@lilianeerica3318 2 ай бұрын
Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen Ameeeen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏❤️
@rebeccamwangi9888
@rebeccamwangi9888 2 ай бұрын
Amen barikiwa sana mchungaji. Nimebarikiwa
@GeorgeBarnaba-to5sx
@GeorgeBarnaba-to5sx 2 ай бұрын
Amina, na kuelewa sana pastor
@pmgpmg7717
@pmgpmg7717 2 ай бұрын
Thanks pastor for sharing napenfa mahubiri yako Sana. Teach us about tithe. Nikichukuwa tithe kwa kusaidia watoto yatima au kwa kujenga kanisa nitakuwa nimekosea?
@rechaelnjeri335
@rechaelnjeri335 2 ай бұрын
Sanaaaa hufai saka ni ya mungu pekeee
@ajelicakobiazaaieaqk3278
@ajelicakobiazaaieaqk3278 Ай бұрын
Nina mskru mungu Kwa kupitia mafundizo yameninua kiroho Sana mungu akubariki pastar undelete kubariki wengine
@elizabethmakaranga218
@elizabethmakaranga218 2 ай бұрын
Mch Mbaga barikiwa sanaaa
@fatumachagudadui3138
@fatumachagudadui3138 2 ай бұрын
Amina Mungu atusaidie
@ngolorose
@ngolorose 2 ай бұрын
Amina pastor tume barkiwa
@magdalenawerema1658
@magdalenawerema1658 2 ай бұрын
God bless you Pastor Mbaga
@eunicenyandiko1389
@eunicenyandiko1389 2 ай бұрын
Amen hallelujah ❤❤
@gladysmwende7500
@gladysmwende7500 Ай бұрын
Amen and Amen
@vinniebaraka132
@vinniebaraka132 2 ай бұрын
Sifa na utukufu kwake mwenyezi Mungu
@asiri-romy-simba3671
@asiri-romy-simba3671 2 ай бұрын
Zidi kubarikiwa Pastor
@golasrichard4400
@golasrichard4400 Ай бұрын
Yesu tusaidie katika saa hizi za jioni
@DayanaMoshiro-gd8pr
@DayanaMoshiro-gd8pr Ай бұрын
Hakika nimeiyona nguvu ya mungu pr ulivyo momba nimeona mwanga mkali kama moto na ulivyomaliza maombi nikaswet hakika bungu kaniweka kaniponya🙏🙏🙏
@pendomarc9286
@pendomarc9286 Ай бұрын
Amen 🙏
@EuniceOlumbe
@EuniceOlumbe 2 ай бұрын
Pr. Niombe nguvu za Giza inanisumbua na watoto wangu kuna mtoto wangu aliingia Kwa Devo na inamsumbua sana
@NgegeGilinde
@NgegeGilinde 2 ай бұрын
Mungu nisaidie niodokane nazabi napepo watama
@dativapeter6700
@dativapeter6700 2 ай бұрын
Mchungaji naomba uniombee nipokee uponyaji ili niwe ushuhuda kw wengine,n Mungu wa mbinguni ukabari
@mtumishiraymond2001
@mtumishiraymond2001 2 ай бұрын
Amina 🙌🏿
@LenaAuko-tj1io
@LenaAuko-tj1io 2 ай бұрын
Amina Sana from saidi
@phiniassoli3903
@phiniassoli3903 Ай бұрын
Somo Zuri ubarikiwe pr
@stevenkaunda1124
@stevenkaunda1124 2 ай бұрын
Bwana Yesu asifiwe. Jamani huyu mchungaji amewahi kufundisha somo la kutafsiri vitu lipo humu ndani you tube ila sijui lonaitwaje. Yaani majina ya vitu na maana yake naomba msaada jamani
@AnnaMathias-sy2iu
@AnnaMathias-sy2iu 2 ай бұрын
Kutafsiri ndoto au
@carenjepkemboi6333
@carenjepkemboi6333 Ай бұрын
Amen 🎉🎉🎉❤❤❤❤
@elizabethgodfreytondo3052
@elizabethgodfreytondo3052 2 ай бұрын
Amen!
@alicemwaka3762
@alicemwaka3762 2 ай бұрын
Emeeeen
@PauloMole-lv4tf
@PauloMole-lv4tf 2 ай бұрын
Ameen
@abbasmkambara5815
@abbasmkambara5815 2 ай бұрын
Mbaga Baba laooo 💪
@Trizah-254-e
@Trizah-254-e 2 ай бұрын
AMEN
@khadijajulius2611
@khadijajulius2611 2 ай бұрын
ameena
@mophinenyaboke8678
@mophinenyaboke8678 2 ай бұрын
Nitataka kuamini kwa zia hivi pastor niombee
@linzah7563
@linzah7563 Ай бұрын
Nimebarikiwa sana kulijikuta na wasi wasi sana lakini baada ya hili somo nimejikuta grafla nina amani na furaha sana
@abiahmagembe170
@abiahmagembe170 12 күн бұрын
Ni Mibaraka Tele atufundishayo huyu.mjolli wa Kristo aendelee kulindwa,kujaliwa Afya njema na familia yake pasiwepo na changamoto yoyote aendelee kutukumbusha jinsi ya kuyaishi maisha ya BWANA.
@DianaLameck-tj7rv
@DianaLameck-tj7rv Ай бұрын
Mungu azidi kukutumia pastor,mimi naomba naomba namba yako pastor Mbaga nahitaji kuja oficini kwako.
@DeboraMuyenjwa
@DeboraMuyenjwa Ай бұрын
Pasta nasumbuliwa sana na peresha,naomba unikumbuke kwenye maombi
@princessmbusiro
@princessmbusiro Ай бұрын
mchungaji nauliza hilo ombi uliloelekeza hapo je naweza kuomba na watu 2 ndugu au rafki lakin tuko mbali hata kimkoa lakin tunaombea kitu kimoja na tukapata majibu au mpaka niwe peke yangu barikiwa
@davidmisiwa4622
@davidmisiwa4622 2 ай бұрын
MUNGU AIBARIKI HUDUMA HII
@AsaMtuli
@AsaMtuli 2 ай бұрын
Balikiwa mchungaji
@thejungletv493
@thejungletv493 Ай бұрын
Kuna sehemu sijaelewa kusudi la kuchinja mnyama agano la kale ilikua kuwakilisha damu ya Yesu ambayo ingemwagika na dhambi ya Kaini ilikua kukiuka huu mfumo wa ibada akapeleka mazao ya kondeni Sasa hapa kwenye unga au divai hapa ilitolewaje kuwakilisha damu ili msamaha utoke mwenye maelezo please??
@IliminaKiwanga
@IliminaKiwanga Ай бұрын
Natamni haya mahubir niwe nasikikiza mda wote tu sijui na download vip yajaetu kwenye sim yangu na ki share kwawatu wengi zaidi
@aleroalero277
@aleroalero277 2 ай бұрын
Wakati mchngaji unaomba imekuja picha kama mwamke amevali mavazi ya kiganga amelala chali, naamini Mungu ametenda jambo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 ай бұрын
Ushindi umepatikana
@Ungwamissi
@Ungwamissi 2 ай бұрын
Amen❤️‍🩹
@AgripinaKivike
@AgripinaKivike 2 ай бұрын
Mch Mbaga kanisa letu Lina idara na ni nzuri tu je kwa Nini maombi na maombezi hata ikiitwa vingine isiwe idara kamili hi ikiwa idara na ikaimarishwa tutawavuta wote kwa christo
@MahubiriPrMmbaga
@MahubiriPrMmbaga 2 ай бұрын
Ipo kanisan
KICHOCHEO CHA MAJIBU YA MAOMBI-Pr.David Mmbaga
50:52
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 33 М.
FUNGA HIVI UONE FAIDA ZAKE | PR. DAVID MMBAGA.
1:00:19
SAVP TV
Рет қаралды 3 М.
Бенчик, пора купаться! 🛁 #бенчик #арти #симбочка
00:34
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 3,8 МЛН
Life hack 😂 Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:17
Leisi Crazy
Рет қаралды 81 МЛН
А что бы ты сделал? @LimbLossBoss
00:17
История одного вокалиста
Рет қаралды 11 МЛН
UKIOTA UNAKUNYWA MAZIWA WEWE UMEFAULU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
28:20
arkas online tv
Рет қаралды 3,7 М.
ULIKUWA UNAJUA KUHUSU ALAMA HIZI?- PR DAVID MMBAGA
1:16:09
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 13 М.
ONYO AU MAONYO YANAPO PUUZWA - PR. DAVID MMBAGA
1:09:55
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
NGUVU YA MSALABA WA KRISTO MAISHANI || PR. DAVID MBAGA
51:52
Pizzo Online TV
Рет қаралды 24 М.
SILAHA KUBWA YA KUVUNJA MADHABAHU || PR DAVID MMBAGA
56:10
Ikwabe Injili tv
Рет қаралды 31 М.
JAMBO MUHIMU KULIKO YOTE MAISHANI - PR DAVID MMBAGA
1:12:38
MAHUBIRI TV2
Рет қаралды 183
SHETANI ANAOGOPA... SIKILIZA HII
1:05:11
MK GOSPEL TV
Рет қаралды 8 М.
MUNGU ATAINGILIA KATI MAMBO YAKO? | PR.DAVID MMBAGA -
1:23:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 77 М.