Eeeeh bwana Yesu,ninaomba unikumbuke na mimi ninapofwatilia ibada zote kupitia KZbin,chini ya kuhani na mwalimu MUSA R MWACHA. Ninaomba kibali katika biashara yangu takasa mikono yangu,Ee MUNGU mkuu naomba unisaidie.🙌🙋🙋🙋🙏🙏🙏🙏
@FistonWilly2 ай бұрын
Eeeehhhwe YESU CHRISTO ujapo ponya wote Hawa wanaombewa Ni zungukiye huko us nilioko. Nipate Uponyaji Kwa Damu ya Yesu Christo Wa Nazareth Aliye Hai Utusaidiye Mimi na familia yangu inapendeza ikiwa pamoja na ukoo wangu Amina
@Prisca-yd5io12 күн бұрын
Bwana yesu kristo atukuzwe kupitia ibada hii mungu akafungue ufahamu wa mdg wangu jema mwaule na erick mizimu ya ukooo ikafuchika
@LeahNyakundi-b5q14 күн бұрын
Eee mungu wa eliya mungu wa Daniel mungu wa isacah mungu wa ibrahimu naomba unikumbuke mimi maisha yangu na watoto wangu na family yetu na baba yangu yangu msazi uponye baba yangu msazi
@MarrySozi26 күн бұрын
Bwana yesu kristo atukuzwe sana kuhani naomba utuombee Mimi na family yangu tupokee uponyaji
@SophieSibomana-r1q5 ай бұрын
Yesu Kristo wa kuhani Na mwaalim Mussa Richard niinuwe tena kwenye byashara 'yangu Na unifungulie safari yangu Na unibariki tena.nipe mtaji wakutosha ili niendeleze byashara yangu .ee Bwana yesu ninakuomba unisaidie
@neemaelia34369 ай бұрын
Amen Najiungamanisha Mungu Aniponye
@FrancineByamungu4 ай бұрын
Najiunga na maombi hii ya kuhani musa ,Mungu abomowe nakuvunja vunja misingi yote ya shetani, za bachawi, za adui zangu na za badui wa jamaa langu kwa jina la yesu
@user-vf8st2sx4e6 ай бұрын
Amina na bomowa kila mazabahu ya shetani ,mapepo mu maisha yangu
@user-io1tp6nz8m2 ай бұрын
Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
@SmilingJellyFish-vf6xy8 ай бұрын
Lakini wachawiiii Mungu abarani Hawa wote wanawumiya kwa Ajili ya wachawi. Mana Barikiwa Baba Musa Lichard mucha
@ishengomahenry26444 ай бұрын
NAJIUNGAMANISHA NA NGOME YA YESU KRISTO WA NAZARETH ALIE HAI AMEEN
@user-dz8nt1yc7l10 ай бұрын
Najiungamisha na madhabahu yako kuhan musa mungu baba nisaidie .mm na family yangu
@CapalotPablo4 ай бұрын
Ninamuunganisha Ayubu Haruna Mgongolwa na Maombi ya kuhani na mwalimu Musa Richard Mwacha.YESU MUNGU MKUU MFUNGUE HUYU KIJAJA.MIZIMU NA UCHAWI UMUACHIE.
@drmaryjohnmponda34845 ай бұрын
Eeeh Yesu kristo usikie MAOMBI yangu
@user-io1tp6nz8m6 ай бұрын
😢😢😢😢😢😢 Yesu tusaidie Kwa tupate ushindi kwa family yetu hallelujah
@KiigeMhonoАй бұрын
Eeeh Mungu kupitia Ibadan hii na maombi haya amony kiige MHONO akafunguliwe kwa jina la Yesu kristo.
@Caren-og7qd8 ай бұрын
Mungu niponye niondolee roho za kuzimu zinazonifuatilia
@jenniferlopezy36445 ай бұрын
Najiungamanisha na ibada ya leo yesu Kristo
@djlupusenter10ment556 ай бұрын
Najiungamanisha na ibada yaleo yesu Kristo wa ngomeni nisadie
@VivianJuma-pw5jw9 ай бұрын
Waganga wachawi wote kufa kwa damu ya yesu kristo amina
@ceciliamanuel572 Жыл бұрын
Amém e e e e Atukuzweb milele YESU KRISTO 🙏🙏🙏🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@user-io1tp6nz8m6 ай бұрын
Ameeeeeen pishop barikiwa sana ❤❤❤❤❤
@dannyleo17364 ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu
@VivianJuma-pw5jw9 ай бұрын
Navunja roho za mizimu na majini mahaba na roho za mauti katika jina la la yesu kristo amen
@gracesenzota65555 ай бұрын
Awesome GOD 🔥
@shabanikingazi519011 ай бұрын
Najiongamanisha na mazabau hii yesu naomba nisaidie pokea maombi yangu
@magrethherin71106 ай бұрын
Mage na familia yangu tunajiungamanisha na ibada hii ee yesu tusaidie
@jenniferlopezy3644 Жыл бұрын
Mungu naomba unisameee dhambi zangu ,,,
@user-io1tp6nz8m6 ай бұрын
Hoooi Yesu tusaidie ❤❤
@Kigalirwanda-c5y6 ай бұрын
Najiunganicha na Yesu. wangomeeeni Baba Musa Lichard Mwacha. Balikiwa. Tena. Mungu. Nitowe. Muzigo. Amieeeen
@mamaziada1346 ай бұрын
Kila ugonjwa virusi vya ukimwi vitoke kwenye mwili wangu na familiya yangu aminaa
Amina mtumishi wa mungu kwa ibaada nzuri mungu akubariki
@FrancineByamungu4 ай бұрын
Ee Mungu wangu uniguse nami
@JosephatJustinian-kl5hc Жыл бұрын
Najiungamanisha na madhabahu hii, namuomba Bwana Yesu amponye mke wangu.
@EdinaKonga6 ай бұрын
Navunja roho za mizimu.majini mahaba na roho za mauti katika jina la yesu kristo!!
@SarahJacob-hg7xf9 ай бұрын
Bwana yesu kristo atukuzwe najiungamanisha na madhabau ya ngome ya yesu Kila madhabau ya umaskini inayofuatilia maisha yangu ninanayavunja kwa damu ya yesu ninalaani umasikini kufaaaa leo mm sio maskini
@user-yb2jo7re1l Жыл бұрын
Amen.nikweli.BABA
@Kigalirwanda-c5y6 ай бұрын
Navunja. Uchawi ya nambuga aicha. Pamoja Namuchawi. Wake Veronike. Wakufe Kwajina La Yesu. Ameeeeeeeeeeeeeeen hiyo uchawi tumevunja ikufe
@FlorenceLahity-bk8ps10 ай бұрын
AMEN 🙏🙏🙏 baba
@merryguza33077 ай бұрын
Navunja kila jini anae chukua kivuli changu kuhalibu mahusiano yangu ,naamuru akate moto kwa jina la yesu
@MawazoMamy-eu9blАй бұрын
Amina
@Kigalirwanda-c5y6 ай бұрын
Roho yangu kira mazingira ya mawozo. Mbaya. Yote itoke Kwajina layesu Ameeeeen. 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️
@jonahmg4380 Жыл бұрын
Amen amen blessed from Kenya 🇰🇪🇰🇪I love this pastor
@benganabenjamin3304 Жыл бұрын
Nabomowa misingi aliyo jegwa ndani yajamaa yangu iondoke uchawi wametiya ndani ya kizazi changu navunja Kwa damu ya Yesu wanazarete Yesu nisaidiye
@benganabenjamin3304 Жыл бұрын
Najiungamicha na maombi iyi mazabawo uchawi wamepanda ndani yanyumba yangu nateketeza kwa damu yayesu Mungu wa kuhani Musa nisaidiye
@fikirinimulenda3152 Жыл бұрын
Yesu Kristo wanazareti usitupite
@daynadiny3791 Жыл бұрын
Amina 🙇♀️🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@kabwefrancine993 ай бұрын
hee mungu nijibu na mimi🇧🇮🤲🤲
@chakimtaratibu9255 Жыл бұрын
Amina Yesu nichukulie mizigo yangu yote. Bwana Yesu nionee huruma mimi mwenye dhambi
@gracesemu965910 ай бұрын
Amina baba asante yesu unaejibu majibu ya matatizo yangu
@NabutuwaOlivia3 ай бұрын
Yesu lord 🙏🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
@DeborahTerry-yk6fk10 ай бұрын
Ameen nimepona kwa jina la Yesu kristo wa Nazareth aliye hai
@KABWEMBIRIZIАй бұрын
Amen
@princessprecious6995 Жыл бұрын
Mungu azidi kukutunza mtumishi
@SarahJacob-hg7xf11 ай бұрын
Najiungamanisha na madhabau ya yesu kristo wa Nazareth Alie hai Kila misingi ya ufalme wa mashetani uliojengwa kwenye ukoo wetu tunavunja kwa damu ya yesu na kujenga misingi ya yesu kristo wa Nazareth
@dalifula-hr2nw Жыл бұрын
Amina❤
@khalid-id8ms10 ай бұрын
M 2:04 Mungu tusaidie, rudi yesu
@ishengomahenry26444 ай бұрын
NI KWELI BABA AMEEN
@user-lf4mq6xs1q10 ай бұрын
Amin bab
@oliviathomas633010 ай бұрын
Navunja misingi ya mizumu , majini , kuzimu , waganga , kichawi , vujika Kwa damu ya yesu Christo mwana wa mungu amen
@NalukabaBitomwa-qq5ww3 ай бұрын
Eeeeh bwana Yesu ninaomba unikumbuke pamaja na familia hangu baba