Eee Mungu wangu nipo mbele yako naomba Toba Mungu natubu mbele zako unisafishe kwa Damu ya Yesu kristo Ameen
@MoriahRobert5 ай бұрын
Bwana Yesu wa kuhani musa mahusiano yangu na baba watt wangu yanaelekea kufa nakuomba unisaidie sina mwingine zaid yako mwanangu ana miez nane tuu sitaki akue bila baba
@SaraphinaJaphet-y9eАй бұрын
Asate yesu Asate yesu asate yesu kwa kunipa kazi asate yesu kwa kunipa mchumba asate yesu kwa miujiza dambo dambo kwa akili zangu haikuwa lahisi kufika hp nilipo au kuvipata hivi vyote ila ni ww yesu asate sana
@SaraphinaJaphet-y9eАй бұрын
Najiungamanisha na tomba mungu safisha uwovu wote dani ya mweli wangu nakila abacho nilikikoseya mungu nisafishe kwa damu yako
@SaraphinaJaphet-y9eАй бұрын
Asate yesu najuwa nimeshapona najuwa nishafunguliwa najuwa nishainuliwa
@emmysanga97632 жыл бұрын
Eee roho mtakatifu karibu kwenye maisha yangu ee roho mtakatifu nifundishe kuomba 🙏ee roho mtakatifu usiniache mimi 🙏🙏😭🙏🙏
@coletasilayo87712 жыл бұрын
Amina sana. Mtu mnyenyekevu. Mtu wa Mungu aliyeutoa kwa Yesu kweli kweli. kuhani na mwalimu Musa richard Macha. barikiwa dady
@Michael-sd5lv Жыл бұрын
Amen Amen najiugamanisha na roho mtakatifu akawe ju ya maisha yangu Kwa damu yayesu kristo wanazareti alie hai 🙏🙏🙏😢😢😢😢
@RizikiKatana-g6f25 күн бұрын
AmenAmen
@jenniferlopezy36448 ай бұрын
Nipo mbele zako naomba Toba nisafishe kwa damu ya yesu
@SaraphinaJaphet-y9eАй бұрын
Niko mbele yako yesu nikikuomba tomba
@EliaMwashibanda4 ай бұрын
Mungu anisaidie safari ya wakovu sio lahisi kama watu wanavyoweza kufikili nighalama kubwa yesu atusaidie 😢😢😢😢😢😢
@marcelinawafula80582 жыл бұрын
Eeh Yesu niondolee roho ya hasira Mungu wangu kupitia hii toba
@rehema1499Ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ASANTE SANA NASHUKURU YESU
@kapiriisavictoria41752 жыл бұрын
Eee Yesu nipe nguvu ya kukumbuka maovu yangu yote, na ninaomba toba. Naomba unisamehe. roho wa Mungu, Naomba unisamehe, usinipite mwokozo. Eee Yesu nisaidie.
@NoraNora-gv7md6 ай бұрын
Mungu fungua maisha yangu leo
@Daniel_kimambo2 жыл бұрын
Amen
@afamefunaokeke69662 жыл бұрын
asante yesu ume kutubeba kwa gharama kubwa..
@NoraNora-gv7md4 ай бұрын
Mungu nifungue amini
@JenniferLopezy2 ай бұрын
Asanteee sana Mungu
@tumpeernest96902 жыл бұрын
Eee roho mtakatifu karibu kwenye maisha yangu ukawe mwanga wangu ameen🙏