Kiukweli maubili yako yamenibadilisha sana naushuhuda mwingi kupitia mungu anayekutuma kutuubilia kiukweli nimemwona mungu kwenye maisha yangu kupitia mafundisho yako asante mungu akutunze
@giftjannet10472 жыл бұрын
Ubarikiwe sana nakufuwata nikiwa Kenya nirikuwa nafikiri nikwanini sijibiwe kumbe maombi nikidogo Mungu Akumpake Tena ninakupenda sana
@fidelismsigwa98232 жыл бұрын
Ubarikiwe sana Apostle Mtalemwa. Ubarikiwe sana siku moja nimekuja kanisani Makongo juu ukasema kila kitu Lazima tuombe Habari Nzuri Omba, habar Mbaya Omba. Nakuangalia nikiwa Israel kwasasa
@fgkl82002 жыл бұрын
Asante mtumishi nimeamini ulejesho umenishukia mda mrefu nimekuwa nikiwatch mambo ya mungu nazinzia mara hiyo lakini ya duniani niko macho sana sasa nilikuwa hata nimeshindwa kuomba,Nashukuru maana nimeelewa maombi yangu hayajatosha ubalikiwe nimekuwa nikiaja kuomba mungu nizaidie mungu nami nikumbuke nipate nguvu ya kuomba
@jeaninekabano91902 жыл бұрын
Nakupenda sana Apóstol Mtalemwa unafundisha masomo ambayo ni tiba kubwa kwangu Mungu azidi kukupatia nguvu ya ushindi nakushukuru sana kwa kujali kwako 🙏
@fortunatalacha8062 жыл бұрын
Amen, Mungu nisaidie niwe na maombi yenye utoshelevu,
@jamesdioniz48602 жыл бұрын
Amen Chief Apostle Mtalemwa Mungu azidi kukuinua kwa viwango vya juu, nimebarikiwa sana,powerful
@joycemushi2482 жыл бұрын
Amina baba nakupenda Sanaa sasa nifanyeje ili niwe napata taarifa za semina Niko Kilimanjaro na nataka kujua kuomba maombi yatoshelevu apostle yesu nisaidie
@sozansozan71082 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki Sana umenibadilisha ak 🙏
@victorialema40332 жыл бұрын
Powerful message My chief apostle, Thank you God bless you🙏
@leatimoth36112 жыл бұрын
Asante apostle mtalemwa Mungu akupe miaka mingi kama Ibrahim napenda unavyo kutufundisha nakuona nikiwa Lebanon 🇱🇧 thanks alot baba
@joycemushi2482 жыл бұрын
Jaman tatizo langu maombi hayatoshi uwiiii yesu nisaidie
@uajeupe42992 жыл бұрын
I'm so blessed with your teaching apostle. Yani kama vile haya mafundisho uliyaandaa kwa ajili yangu, kwani nimekuwa mtu wa kukata tamaa kwa wepesi sana. I pray once no answer, I stop praying. Thanks so much chief
@godwinmakomba27142 жыл бұрын
Asante Apostle Mtalemwa Umeweka uamsho ndani yangu
@festinamwakipale39192 жыл бұрын
Jamani napenda kumsikiliza mtumishi.huyu.napenda sana.anafundisha vizuri hatari.neema ya yesu ipo juu yake na bwana akuongezee neema
@jackimmwadime41242 жыл бұрын
Hakika mtumishi wa Mungu mafundisho yako yameniweka kiwanfo cha juu ..katika kumjua huyu yesu ..na kufahamu zaidi hili Nebo la Mungu...napenda kufwatilia mafundisho yako nikiwa Kenya 🇰🇪 Mungu wa mbinguni akubariki Sana
@dottomkuchu58902 жыл бұрын
Amina baba tunapona mno mno Mungu akubariki sn
@jacquelinenyange55492 жыл бұрын
Powerful Thank Apostle
@mariahyera37372 жыл бұрын
Watu wa Mungu ninaomba namba ya Mtumishi wa Mungu Pastor Mtalemwa.
@healingclinic9782 жыл бұрын
Nakuelewa Sanaa Baba mtalemwa
@gladysgladys73932 жыл бұрын
Hoo lord remember me this morning through this prophet of God
@monicagindo87372 жыл бұрын
Amen
@elizabethnamwinga32102 жыл бұрын
Powerful message.barikiwa sana
@tumaininziku54182 жыл бұрын
Nabarikwa sana na huduma Yako Mungu akubariki
@TeddyFriminiKessy11 ай бұрын
Najilaum sana kuikosa hii. Namwomba MUNGU akuleye tena kilimanjaro
@alimambabazi36662 жыл бұрын
I receive it in Jesus mighty name Amen 🙏
@OmanOman-yn2zj2 жыл бұрын
ameeen ameeeen baba 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana
@elizabethkasimila97712 жыл бұрын
Nakwambia uko sahihi ooo yes wewe kiboko unafundisha vizuri
@bonifacepetersahabu60502 жыл бұрын
Mungu azidi kukulinda maana. kwa mafundisho haya ! shetani hana kimya.
@bonifacepetersahabu60502 жыл бұрын
hana jipya.
@stellahokworo65612 жыл бұрын
Amen 🙏 Amen
@elizabethmwambai4802 жыл бұрын
Ameen ubarikiwe Kenya
@JacklineIkoki9 ай бұрын
🔥🔥🔥💪💪
@petronhungu25164 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥
@josephmunishi78102 жыл бұрын
Hakika maneno yako yanabeba neema na uweza(power).
@nyamburachristine12342 жыл бұрын
Mimi nimebarikiwa na mafundisho
@irenegerald-vl5op Жыл бұрын
Mwanza unakuja lini?
@namwetafue75782 жыл бұрын
Ameen
@petronhungu25164 ай бұрын
🤲🤲🤲🤲🤲
@alimambabazi36662 жыл бұрын
🙏🕊️🕊️🕊️🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌💨🕊️✌️
@apostlej.rministiryprophet22192 жыл бұрын
powerful message
@maglindaanyango2 жыл бұрын
Amen amen amen
@bahatinaomi58842 жыл бұрын
Baba !!! Sijui niseme Nini Mungu akubariki , Neno limeshuka kwa wakati wake. Aksate Sana.
@pamelaatieno28022 жыл бұрын
Powerful
@festinamwakipale39192 жыл бұрын
Ila kweli katikati ya yesu yuda lazima awepo yaan mtumishi wa nguvu.huyo wanawake mmevaa suruali.uhuru mmeupata wapi mayuda vaen gaun.mnanini.ivi mnaleta ubishoo kanisan.mnasubiri dhiki kuu ndo mje mvae gaun.wanawake nyie oooo