Amen, Amen Amen,iko nguvu katika kumwabudu Mungu ktk Roho na kweli,manisha watu wa Mungu, kwakweli Mtumishi wa Mungu Apostle Mutalemwa Mungu azidi kukubariki na kukuinua ktk viwango vingine 🙏🙏
@cillyajoachimchuwa7432 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa ujumbe mzuri wa Yona😊
@bwengejeanboscoame2581 Жыл бұрын
Asnte unanifunguwa macho I love u
@jacquelinenyange5549 Жыл бұрын
Amen Apostle Ubarikiwe sana🙏
@jamesdioniz4860 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu Chief Apostle
@jacklineikoki6653 Жыл бұрын
Barikiwa Sana chief mtalemwa ❤️❤️ MUNGU azidi kukuinua kukubariki na kukulinda 🙏🙏
@francejack6436 Жыл бұрын
Mara nyingi huwa natoa machozi nikikusikiliza mtalemwa sijujua Ni kwanini na mara nyingi naota ndotoni Niko karibu na ww Kwenye huduma Wakati ndio Kwanza nipo kijijini huku ninachoweza kusema Mungu azidi kukutia nguvu .nilibarikiwa , nabarikiwa na nitaendelea kubarikiwa kupitia huduma yako Amen .
@alicekalemela7435 Жыл бұрын
Asanteeeee Yesu, Asante Apostle , hili funzo limekuja kwa wakati wake. Napokea my breakthroughs in marriage, in career, in ministry, in business, in family, in health , all round in Jesus mighty name amen.
@domitiladsm Жыл бұрын
Amen and Amen. I am so blessed by this sermon. Asante Yesu 🙌🏽
@faustinriziki6787 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN 🙏 🙏🙏 barikiwa Sana mtumishi wa Mungu Apostle Mtalemwa
@bathshebanyaboke7192 Жыл бұрын
AMEN AMEN AMEN AMEN pokea sifa na utukufu Mfalme wa Amani MUNGU akubariki Sana mtumishi
@yvonnemashuda3004 Жыл бұрын
Somo muhmu sana hili.. Nafuatilia na kuomba nalo,ahsante sana mtumishi wa Mungu !!
@leatimoth3611 Жыл бұрын
Amen amen ❤🎉nakupenda sana maana mungu ajakutumia mm singekuwa hapa leo natami siku mojo nifike kwenyee kanisa lako
@maglindaanyango Жыл бұрын
"Amen barikiwa".
@edwinonsombi Жыл бұрын
Amen ña pokea
@stellahokworo6561 Жыл бұрын
Amen 🙏 nimebarikiwa sana na mafundizo mema katika jina la Yeso Kristu mnazareth aliye hai 🙏 Amen
@cillyajoachimchuwa7432 Жыл бұрын
Thanks for the help you doing today. Good stand up with you every time.
@elizabethmwambai480 Жыл бұрын
Ubarikiwe pastor Kenya
@SonofMajor1 Жыл бұрын
Glory to God. Powerful Sermon indeed. Ubarikiwe sana Apostle.
@happpyfuraha Жыл бұрын
Amen mtmsh kila gereza nililo wako naomba mungu anitoa
@episonfelician7670 Жыл бұрын
Ameeen Nitatoka kwenye mikono ya adui kuanzia sas nakuwa huru katika maisha yangu na huu ujumbe upate kunibariki
@OmanOman-yn2zj Жыл бұрын
Ameen ameeen and ameeen ubarikiwe sana dady MUNGU akutumie zaidi🙏🙏🙏 MUNGU wangu nisaidie nijuwe kuomba🙇♀️🤲🤲
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mtumishi Mungu akuongezee mafuta.mara dufu nakuombea.sana
@beatriceshine7552 Жыл бұрын
Amen
@kyalalove Жыл бұрын
One thing I thank God for is to be in ECG TJN Tanzania, Apostle Mtalemwa the man of God you have helped me to spot being spoiled...Be a blessed man of God.
@selemanimwanamulenda4655 Жыл бұрын
amin sana…na kusikia ni kiwa marekani state ya connecticut
@edwinonsombi Жыл бұрын
AMEN
@joelsagide9607 Жыл бұрын
From Kenya
@penwelinatimothy9057 Жыл бұрын
Ameeen and Ameeen. What a revelation .Mungu akubariki sana,mafundisho yako yananijenga sana,na nikikusikiliza wewe ni kama kumsikiliza Major1. God bless you man of God
@Gedius482 Жыл бұрын
Amen
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
Son of Major one
@sophykedogo9738 Жыл бұрын
I connect Mungu nitoe kwenye Giza niweke kwenye mwangaza
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
Asante kwa mafundisho haya
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Serikali imebadilisha kusema kutakatisha fetha imechukuliwa kwenye biblia kukuweka kwenye shimo Asante.
@shacksbobo4303 Жыл бұрын
Hakika baba Mungu hakubaliki umekua sababu ya mm kusoma biblia kwa kutafakali sanaaaah na mafundisho yako yananisaidia kwa kiasi kikubwa mno. Nakufatilia sanaaaa ktk utube chanel yako nikiwa zanzibar nahitaj maombi yakoo
@lameckwilliam8311 Жыл бұрын
Akili nyingi ufahamu mkubwa niko mbali ila unanisaidia sana kwa mafundisho yako. God bless you Apostle
@marthawillium2547 Жыл бұрын
Neno Kwa wakati.I connect to the power in Jesus Mighty name
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Nakupendaga unavohubiri jamani nawapendaga na gwajima mnaeleweka sana mm nyie ni kaka zangu nimeomba muwe ndugu zangu nikiomba nasemaga yesu mm ni mdogo wa.lafiki zako gwajima na mtalemwa nifiche nifiche jamani huwaga napita
@branquowilliam96446 ай бұрын
Aminamkuu
@aidanongole9341 Жыл бұрын
hallelujah
@aminaaa3227 Жыл бұрын
Ameeen
@langolambinguni8653 Жыл бұрын
Ameni ameni ameni
@Gracejohnkanyiki Жыл бұрын
Ameen🙏
@joelsagide9607 Жыл бұрын
Apostle, Mtu anaeza kua mwombezi hata kama bado ako na vitu vya kiganga, sababu siamini kwa hizo vitu; nilipewa na sijui maana yake kiti na mbangili niko nayo kwa mkono nikukosa kuvaa gari langu linashikwa au kuharibika au kugongwa.
@joelsagide9607 Жыл бұрын
Tafadhali naitaji kizungumza nawe kwa kupata mwelekeo wa kuondoka kwa hali hii.
@edwardthe7927 Жыл бұрын
L
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Silaha za kuvunja
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Nasikiliza nikiwa pwani kibaha mlandizi 13.3.2023 siku ya jumatatu saa saba na dakika hamsini mchana
@glaydysmoranga Жыл бұрын
MUNGU NISAIDIE NIKAWESE KUTUMIA KWA IMANI NITOKE KWA ROHO YA MADENI KUTOKA KENYA
@sussychemaimak9884 Жыл бұрын
Our God is able
@glaydysmoranga Жыл бұрын
Amen
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Mnatengeneza.kizazi.kikaidi.wanawake.nyie.shaulianeni.achen kuvaa masuruali mtumishi amebeba huduma kubwa sana anaweza asizungunzie suluali kwa wanawake inaniuma sana hamfikilii
@justinenjau6670 Жыл бұрын
Ninakushukuru sana kwa kufuatilia huduma ya mtumishi wa Mungu, na kwa kutambua na kuheshimu wito wa Mungu ndani yake. Ninapenda utambue, Roho, Tabia na Utu wa ndani wa mtu ni wa muhimu zaidi! Wapo watu wanavaa nguo ndefu nje, na hata mavazi ya kidini lakini ndani yao wameharibika na wanafanya mambo ya siri ya uovu. Lakini la muhimu, ni ya heri hawa hawako club, ila wapo kanisani wapate msaada na neema ya Mungu! Marko 2:17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. Mathayo 9:10 Tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake. Tunakupenda sana na Mungu akubariki sana
@festinamwakipale3919 Жыл бұрын
Wanawake mliopo hapo mmevaa mizuluali mko huru.hamjui kuwa mavazi hayo hayasitiri mwili yaani.watu wa mbali tunaogopa huduma ya mtalemwa nyie mnaingia madhabahun.kama clabu.mko huru tu nyie wanawake acheni.masiara
@justinenjau6670 Жыл бұрын
Ninakushukuru sana kwa kufuatilia huduma ya mtumishi wa Mungu, na kwa kutambua na kuheshimu wito wa Mungu ndani yake. Ninapenda utambue, Roho, Tabia na Utu wa ndani wa mtu ni wa muhimu zaidi! Wapo watu wanavaa nguo ndefu nje, na hata mavazi ya kidini lakini ndani yao wameharibika na wanafanya mambo ya siri ya uovu. Lakini la muhimu, ni ya heri hawa hawako club, ila wapo kanisani wapate msaada na neema ya Mungu! Marko 2:17 Yesu aliposikia aliwaambia, Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio hawawezi; sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi. Mathayo 9:10 Tazama, watoza ushuru wengi na wenye dhambi walikuja wakaketi pamoja na Yesu na wanafunzi wake. Tunakupenda sana na Mungu akubariki sana