The two gentle men and Macharia you have spoken like 1m men.God bless you both
@lizzymoh1172 жыл бұрын
kabiza wameongea poa
@baloz89742 жыл бұрын
Watu wenye akili zao mola awabariki bila chuki au ubaguzi.
@michellesnaidah65032 жыл бұрын
Kabisa baba the 5th
@danielkimuyu30442 жыл бұрын
Hon.Raila,accept results and become official opposition leader.
@georgeodhiambo5982 жыл бұрын
You see! You don't even know what you are talking about. There is no post called official opposition leader under the current Constitution. That title died with repeal of the old Constitution. It is neither created nor defined, nor facilitated under the Constitution. Contrary to what I have many others stating, including Ruto, oversight over the Executive was fully transferred to Parliament. Lastly there must be a basis for acceptance or rejection of results.
@mwangangingui12212 жыл бұрын
If the IEBC commissioners are dissatisfied by what chebukati did,then how do u expect Raila to accept and how do u expect kenyans to accept?The four commissioners clearly have explained that there was no openness and form 34c did not much with form 34A even the vote cast exceeded the registered voters.Wacha iishie Kwa court wakitaka ku nulifie wa nulify
@eliudlumwaji78972 жыл бұрын
Ignorance at its best.
@RK-xv1si2 жыл бұрын
Hata warudie kura ni za Ruto!
@ummiissaabdulissaabdul81172 жыл бұрын
kwani ww uko na kura za watu wote ww yako nya ruto usiseme kura nza ruto
@stephenmoise13612 жыл бұрын
Hata kama ni ya Ruto lakini ashinde kihaki na ukweli si ya kuiba.
@RK-xv1si2 жыл бұрын
@@ummiissaabdulissaabdul8117, Do your math!
@rihannaajie38662 жыл бұрын
@@RK-xv1si math from where?
@lizwabo92662 жыл бұрын
Ruto ndio president Raila please stop wasting time we need peace tun
@jacintakoki582 жыл бұрын
Chenye mungu amepanga hakuna wa kupangua,wacha waende kotini Ruto the fifth na wembe ni ule ule wanajisumbua
@starlife35502 жыл бұрын
Wewe ujui Ruto utateseka Hadi ukufee
@baloz89742 жыл бұрын
@@jacintakoki58 chibukati ndio amepanga na ruto. Kama kweli ruto haogopi angekuwa mzalendo wakusema warudi katika kura na sio kutwa nchi kimabavu na wizi.
@samuelkaranja.57882 жыл бұрын
He is president elect. Uhuru still the president until power handover
@andrixmwema80642 жыл бұрын
Raila you are the 50th
@loisaclementine18262 жыл бұрын
Atakuwa asha kufa 😂
@andrixmwema80642 жыл бұрын
@@loisaclementine1826 akufe huyu Mzee ndio uleta shida Kenya wakati tunaishi kwa aman
@Berry-v4p2 жыл бұрын
@@andrixmwema8064 wewe ni mjinga, ukufe mbele yake
@andrixmwema80642 жыл бұрын
@@Berry-v4p the Old Grotesque Mzee and Grave is like you and the phone you are typing
@reachlemaina44142 жыл бұрын
Uzuri sio wewe unapeana uhai
@mombimosh64122 жыл бұрын
Last man ameongea kama wazee watano pamoja ,,👋👋👋
@dankago86682 жыл бұрын
May the truth be known and prevails
@elizabethapondi71582 жыл бұрын
Chebucati has been putting Kenya in problem every election so he should be jelled to set example to any body abuse consistution
@jaymokamande80692 жыл бұрын
We already living in a difficult time so one person greed should not ditch us back to more problems
@catemuteti3352 жыл бұрын
There is no need of going back to election...let them go back to IEBC portal and recount again...we want to move on in peace.
@rodgerskeya51632 жыл бұрын
Yes that's what we want
@lizlee21972 жыл бұрын
No 2 Unaongea kama kuku imenyeshewa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@nurunabulayi79582 жыл бұрын
Hata warudie itakua tu kama 2017 ni kutuchosha tu
@abdirizakibrahim19752 жыл бұрын
Nimewapongeza Kenya kwa kua na amani na amani ndo maisha mjue kua hakuna atake ishi vizuri katika Kenya bila amani mupendane
@onyaluoma8482 жыл бұрын
I salute the residents of nakuru
@masonsanders76892 жыл бұрын
How It was set up for 4iebc commissioners to curtain raise for Raila and Babu Owino's RO to be found on day Ruto is declared. Intelligence must do something, RAILA's goons overworking.
@peterkipchumba18992 жыл бұрын
J. Cherera needs to be taken to class for mathematics to know.0001% of 14000,000 is 1400.
@miriamgitonga4722 жыл бұрын
Former teacher need help with maths.
@eliudlumwaji78972 жыл бұрын
It was 100.01 (read .01)and not .0001.
@ceciliawanjanjeru11522 жыл бұрын
Hesabu ya primary school
@ceciliawanjanjeru11522 жыл бұрын
@@eliudlumwaji7897 0.01%=0.0001
@eliudlumwaji78972 жыл бұрын
@@ceciliawanjanjeru1152 Can't be equal.
@sinanoma2 жыл бұрын
Irudiwe tena na msimamishe chebukati kazi muchague mwenye kiti mwingine wa iebc hata kama ni ruto anatafuta haki pia angependelea hio
@bernardomondi26322 жыл бұрын
mwizi hawezi kukubali
@tukutanechuom33662 жыл бұрын
lord of poverty aka Mr KEMSA project ya mr pandora aren't smart after all. With all the resources a sitting prezo na former PM got beat by their junior 🤣🤣🤣 blue imepotea kama clouds🤣
@tukutanechuom33662 жыл бұрын
I thought mr KEMSA aka project ya mr pandora always claimed he won, now even with mr pandora's help bado ameshindwa🤣🤣 clear indication baba has never won any election before 🤣
@tukutanechuom33662 жыл бұрын
@@bernardomondi2632 your two masters combined with other tribal kings combined wamenyororoshwa na mmoja kuzidisha ni junior ya hao wote🤣🤣 dynasties kaput🤣🤣
@mwangangingui12212 жыл бұрын
The biggest problem is chebukati.kwanini wale commissioners wengine wamekataa matokeo?This will be nulification direct because the 4 commissioners who refused are the witnesses and will explain the court what happened.
@alfredyegon43252 жыл бұрын
Raila braib the four IEBC officials and briging goons in bomas to bring chaos
@helensusana20262 жыл бұрын
Washindwe katika Jina la Yesu.
@paulinegithimbo39742 жыл бұрын
Stupidity eti hakulidhiswa sababu ma commissioner hawakulidhika😂😂😂😂
@marthanjihia49452 жыл бұрын
Failure is failure fiiire
@starlife35502 жыл бұрын
This is a true Kenyan tuseme ukweli
@ibrahimomar92632 жыл бұрын
Munasumbuwa wakenya hakuna kuraa ijaibwa wongo
@rehemaidd7722 жыл бұрын
Raila apewe haki yake
@judithwambui4332 жыл бұрын
Raila atajua Mngu atabaki kuitwa Mngu na habandilika kamwe akumbali tu matokeyo God bless Kenya
@mercymwiti71852 жыл бұрын
Azimio team to do their maths properly from the IEBC Public Portal simple
@patriciaakinyi87512 жыл бұрын
The two gentlemen who have talked about justice I clap for them. Injustice is the worsed thing you can tell someone to accept and move on with.
@fectoryab18332 жыл бұрын
One day we'll know the truth
@mamaommi56962 жыл бұрын
Kweliiiii kabisaaaa kakaaaaa
@samuelkamochu68082 жыл бұрын
On the issue of only two tribes ruling Kenya since independence, why can't we agree on a rotational presidency? Each year we have a president from one tribe beginning with one from the El Moro community, followed by the Makonde. A bottoms up approach to leadership experience.
@JanetRosesB2 жыл бұрын
And kisii😂
@danielkyeli92962 жыл бұрын
Huchanguzi ulikuwa mzuri fair to everyone ata koti inajua aede anaeda bure ameshindwa
@jacintakoki582 жыл бұрын
Shida yake huwa akubali matokeo,hatukatai apeleke kesi kotini wembe ni ule ule.anajisumbua bure Ruto the fifth wapende wasipende bado kuapishwa tu!mungu akisema ndio hakuna wa kupinga.
@vivianatieno23702 жыл бұрын
very very true
@cliffordmwambani44872 жыл бұрын
sasa mtu aibe tu awachwe juu ni mkenya... Saa zingine pia tukue serious na hizi issues
@breinix47352 жыл бұрын
I agree with you
@falesbanda75202 жыл бұрын
Niuongo mutupu sisi wa Africa tukishindwa hatukubali nini?
@rosembathe36662 жыл бұрын
Straight to court
@janewanjikumuchira64482 жыл бұрын
We just request peace in 🇰🇪 Nakuru people let's continue keeping peace in our country we are . brothers and sisters. Also Mr RUTO is not a refugee to be rebuked.
@mwangifaith78662 жыл бұрын
Utaeda kuchaguana peke yako au na group yako wale wengi hatutachaguana tena hatuwezi kila uchaguzi kuwa tunachaguana mara zote raila anahusika kwa uchaguzi upuzi na ujinga wa raila unabore
@kirui16192 жыл бұрын
Kenya is officially in the hands of hyenas, 😰 thank you uhuru
@blessedmama53672 жыл бұрын
yes ! at least hyenas waits for the lions and leopards to kill so that it can go to eat the remains … if kenya was officially handed to the lions , destructions and intimidations could be the norm .
@ruffjuli42412 жыл бұрын
Raila angeshinda wangesema iebc wako fair mnafanya juu chini mumwangushe Ruto but mungu yuko nae madharua matusi kumtenga yote bado hamjatosheka God is very powerful naachi mtu wake
@Cyrus-ps6jh2 жыл бұрын
Sikuridhika pia mm na hizo results
@rihannaajie38662 жыл бұрын
How?
@karaniwambui77352 жыл бұрын
Raila umetusumbua sana Mungu aishie hai akuuhukumu yeye mwenyewe.
@hustlernaturalrocks2922 жыл бұрын
Very true 🙏
@marthanjihia49452 жыл бұрын
Nimsumbufu kwani ni yeye huibiwa,kila saa
@iannjaps56492 жыл бұрын
We are just wasting time in court mark my words.... I don't know who advises Azimio team
@patricksonandanje46322 жыл бұрын
Wale wanakataza Raila kwenda mahakamani waelewi wanachosema.Mnalilia watoto wenu kurudi shuleni wakati huyo mtoto unasomesha na atake kuania kiti ya uraisi NA USHINDI WAKE UIBIWE wewe kama mzazi utafurahia?AS KENYANS LET US STAND FIRM AND REJECT IMPUNITY IN THIS COUNTRY. RAILA HAVE THE RIGHT TO GO AND CHALLENGE HIS STOLEN VICTORY IN SUPREME COURT.
@tukutanechuom33662 жыл бұрын
The maths don't favor mr KEMSA aka project ya mr pandora ata akiongezewa za wajakoya na mwaura 🤣🤣
@acsvvsv67422 жыл бұрын
Hata mathematics says ruto has the most votes 🤷 this is a waste of time honestly,kama huna kitu ya kufanya sema tu
@loicewangare45112 жыл бұрын
Wenye hawa a watoto shule wanyama e?? wazazi wameripwa fees na Kenya si ya RAILA pls tumechoka na wajaluo na vita plus tergass kila election???
@patricksonandanje46322 жыл бұрын
Go back to school and learn. CHEBUKATI MANIPULATED THE RESULTS ALONE .AND DECIDED TO DECLARE THE WINER WITHOUT CONSULTING OTHET COMMISSIONERS .Do understand the meaning of a commission?Chebukati should have declared the result along with other pending commissioners.Thus was a total fraud from Chebukati.Taking blood money to his own family. Shame.
@patricksonandanje46322 жыл бұрын
@@loicewangare4511 Ruto pia hata kulipia school fees. We need to stop impunity in this Country to.
@rugendorunene5452 жыл бұрын
Even if we were to vote 10 time's Mzee Kitendawili hawezi shinda William Ruto☑☑.
@huwanamnahizo31292 жыл бұрын
Raila ni mkweli kabisaaa wacha aende kotini.. Huenda akakubali result
@angle36002 жыл бұрын
Uhunguzi ufanyike,na haki itendeke,ama Uhuru aendelee kuongoza kenya
@kefaondu67332 жыл бұрын
Wezi hawafai kuongoza nchi
@rachelmichaelle50892 жыл бұрын
Haki gani? Do you really know what really happened in Bomas between the IEBC commissioners and the issue... Wacha waede kotini....Kwani anaibiwa every election!? so sad.
@michellesnaidah65032 жыл бұрын
Wanamcheza oyee bahati 2times
@michellesnaidah65032 жыл бұрын
Ndio maana wajakoya aliambia ruto, wewe ni mwanaume
@christopherochieng25182 жыл бұрын
Ruto akiingia hapo,mujuweni over moi,35 yrs,na ata change katiba.
@helenkimo10782 жыл бұрын
Si muefe nayeye madhabahu ya mt kenya hakuna yalivunjwa hakuna damu tena mahakamani niyanini?
@ronahcherononyaribo74172 жыл бұрын
Nyinyi mko na mapepo inaeasubua
@reubengitagia1152 жыл бұрын
Results declared in polling stations were final and baba wanted that
@jcobnyamweya84642 жыл бұрын
Naona watu wanadharau baba but hakuna shida siku moja wataliaaa sana
@everlynemutune39342 жыл бұрын
Haki itedeke simple and clear
@violetdinah97042 жыл бұрын
Round 2 70 +2
@ericmachoka60012 жыл бұрын
Despite ruto's win, we can't run away from the fact that only two tribes have produced kenyan presidents for the past 60 years, kenya has 42 tribes, Mt kenya have benefited greatly in terms of development than other regions, presidence means power, resources and government jobs for tribes mate, can we have a honest debate no matter, what is your views? ❤️❤️🇰🇪🇰🇪❤️❤️🇰🇪🇰🇪❤️❤️🇰🇪🇰🇪
@catevioleta49432 жыл бұрын
I think those are the words of Uhuru trying to instigate tribal divisions amongst the Kenyan people.remember he tried to do everything possible to block ruto's presidency. Even the four iebc rebels are still his projects again just like raila was,anyway it's not about the two tribes in Kenya but about three families in kenya who want to deny other millions of kenya a chance to lead.Kenya belongs to all of us not three families.
@nancyokello15292 жыл бұрын
Thank you for reminding Kenyans ...we need change and other parts of Kenya needs development too
@ruthouma17852 жыл бұрын
Hate speech
@johnombwayo70142 жыл бұрын
Nyinyi ni maumbwa sana
@reginanjogu34062 жыл бұрын
Hao wamepoteza tu kama baba, they're insane...what do they have for runoff...fools ... thanks for the last guy he said Kenya should move on en the loser should accept defeat
@agripinamuhavi56692 жыл бұрын
Kwavile kenya iko na community mbili ambazo ndio zinafaa kuwa president ithink it's time to stop voting they should just share the presidency mkikuyu akichoka anapatia kalenjin for me I will never wast my time going to vote anymore My take
@collinskiprop82862 жыл бұрын
plz nakuru we want our children to go do school kipikana tna ishindwe kabxaa xo westing of time atutaki
@reubengitagia1152 жыл бұрын
Swearing in plans underway it will be the easiest case ever in Supreme Court
@faithderio19582 жыл бұрын
The elections will declared null and void. Kenya ni ya watu wote. Tupatane supreme court. Chebukati you are horrible
@khadjahsaba18892 жыл бұрын
You gentlemen mmeonga kama2m
@harronmuhoho54352 жыл бұрын
Atuna iyo time tena tupewe nafasi tufanye kazi mwenye alishinda nisawa..... Atutakuwa tukishindia kitu moja
@marygatinda53092 жыл бұрын
ww unaujiga.sana
@josphatcheramgoi76712 жыл бұрын
When in history grandfather raila has ever agreed election results?he should not have been cleared fit for it at first it was amistake
@thevineyard71492 жыл бұрын
Kawaida yao wameibiwa
@sirryhmes52772 жыл бұрын
Tuanze uchaguzi tena wakuu,Niko tayari kijana wenu
@janekiruki91872 жыл бұрын
Do you know how many billions are required to prepare the elections?
@janekiruki91872 жыл бұрын
Do you know how many billions are required to prepare the elections?
@sirryhmes52772 жыл бұрын
@@janekiruki9187 justice should be followed,tuta changa hio pesa
@abdallahyunus75382 жыл бұрын
The supreme Court will order for a recount and not a rerun...hakuna pesa za election nyengine but what will come out of the recount kuna watu watakimbia
@angle36002 жыл бұрын
Chebukati si mtu mzuri,hua hangalii mtu uso kwa uso,hiyo ni dalili ya ubaya
@davidkamau83532 жыл бұрын
Huyo was pili ameongea Kama kipii kabisa
@kirui16192 жыл бұрын
Nothing like amani the evonomy will be a scraped
@thevineyard71492 жыл бұрын
Jitayarishe uchague utachoma kanisa gani.
@kirui16192 жыл бұрын
@@thevineyard7149 we jichome fala ww!
@peacemaker27892 жыл бұрын
Kenya yetu ime enda hivo..noo free and fair election...Maoni yangu hakuna haja ya kupiga kura..kuibiwa live live..dunia nzima washaaa shangaa na historia ya kenya..mwenye atachaguliwa akalie kiti miaka 30..sioni haja ya kusumbua wananchi kwa kitu sio ya halali
@michellesnaidah65032 жыл бұрын
Aiii baba alichezwa
@christinembuva712 жыл бұрын
Kurudia Kura Kama chibukati AKO ofisini ni ni KAZI bure maybe mtafute mwenye kiti mwingine . Bure tutazidi kupoteza maafisa WA IEBC ,Mimi na jua hakuna MTU anaweza tambua huyu ni Fulani bila kuambiwa ,msaliti WA IEBC officials AKO katikati yao
@bernardomondi26322 жыл бұрын
Exactly
@njihiapeter85642 жыл бұрын
tunataka oburu odinga asimamie
@anneferguson11582 жыл бұрын
@@njihiapeter8564 why oboru?
@queenlisa83932 жыл бұрын
👏👏👏👏
@mdqweqwe2512 жыл бұрын
Akuna Uchaguzi ruto atoke mala moja kwenye na fasi iyo ama sizwo ata kufa kifo kibaya kama baba yetu
@ruzindazajonas85062 жыл бұрын
Ni kama kawaida yake Raila, atahaibika tu! Samezoea! Mungu hawezi kumruhusu mtu kama Laila kau kiongozi wa nchi kama Kenya.
@jackieshamim31622 жыл бұрын
Jifunze kuandika kwanza ndio uweke comment ya ujinga hapa
@bestclips88912 жыл бұрын
Enyewe ju mkipiganiwa hamuoni...so now mkiibiwa ni mzuri
@jacklinemuthee19322 жыл бұрын
Mkate nusu jamani
@suleimanissa61132 жыл бұрын
Pigeni kura ya maoni kama uchaguzi urudiwe au hapana
@thevineyard71492 жыл бұрын
Hata hiyo ni gharama
@calebjunior90552 жыл бұрын
Amani Amani Amani
@lilycatetama52142 жыл бұрын
Apo sasa
@catherinendilima68932 жыл бұрын
5 TIMES Failed ?
@skinsuccess39862 жыл бұрын
He had everything and still didn't make it.He should relax
@nancyokello15292 жыл бұрын
He had everything but he wanted a free and fair .....he didn't want to cheat just to get it
@lilycatetama52142 жыл бұрын
Lazm tuchague tena
@danielmacharia59452 жыл бұрын
Waste of time,country is broke,children has been home,
@ummiissaabdulissaabdul81172 жыл бұрын
Haki ipatikane asituletee hapa ruto ruto zirudiwe zirudiww
@humblegirlkwamboz2 жыл бұрын
Ujingaaaaaaaaaa mtupu watoto wanafaa kurudi school alah
@alfredyegon43252 жыл бұрын
Raila is a man of chaos and violence every time and then he rejects elections and we people of kenya we have votes that y we vote for ruto
@morasimba2902 жыл бұрын
Na wewe watu wako wanasemaje
@blessedmama53672 жыл бұрын
Wow ! these community is well mannered ! they are mixed supporter and opposers yet no yelling .
@ABDALLAHRAJABU-z6w Жыл бұрын
Chuphi ngala
@ummiissaabdulissaabdul81172 жыл бұрын
Haki ipatikane asituletee hapa ruto ruto zirudiwe zirudiww