Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie na akubariki,BWANA YESU KRISTO atusaidie sana 🙏
@apostlefanuellukuwi3224 Жыл бұрын
Amina sana mtu wa Mungu sisi watumishi tutahukumiwa tusipo waambia watu ukweli. Tunajisahau na tunaona tukiwa ambia watu kweli watu wataondoka makanisani aa kheri niseme kweli niiokoe roho yangu
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Amen .Mungu anapendezwa nawanao sema ukweli maana wataponya mioyo ya watu. Mungu akubariki.
@mussofepapa-jj9mc Жыл бұрын
Amina mtumishi wambie hawayajui! Maana yaibilisi Alisha uteka ulimwengu mungu akubariki
@rehemakipesile4930 Жыл бұрын
Amina, wanawake Mungu atusaidie.
@samjuniormuheto9850 Жыл бұрын
Mungu akubariki dada kwa iyo neno la mungu umetwambia kweli mapambo siyo ya mungu
@juliettumusifu2334 Жыл бұрын
Amina🙏🏻
@sofiaamuri4995 Жыл бұрын
Asante sana mtumishi mungu akuzidishiye ujasiri
@marykilila8786 Жыл бұрын
Uko sahihi Mapambo ni ya shetani. Mwenye masikio atasikia .
@salimuismaily693 Жыл бұрын
MBONA HAPO NYUMBA MMEPIGA RANGI KWANINI NA MAPAZIA MAZURI PIA KWENYE HARUSI MNAVAA MAPAMBO LEO MNAYAITA MAPAMBO NIYA SHETANI SASA NYIE KILA KITU CHA SHEITA SASA MUNGU ANA NINI?
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
@@salimuismaily693 Neno la kiroho ukilitafisiri kimwili huwezi kupata maana.@salimuismaily7754,upo kimwili huwezi kumuelewa huyo dada anayehubiri,kuw makini usikufuru ndg yangu.
@christind655 Жыл бұрын
Amen 🙏mama wamungu 💕 barikiwa unaongeanga ukweli ....mafunzo yako ya nitie ngufu sana 💕🙏💕
@musamwafongo3430 Жыл бұрын
Mungu akubariki dadangu.
@fadhilijames7081 Жыл бұрын
Ubarikiwe Dada yangu kwa kusema kweli
@susanwanyoni249 Жыл бұрын
Amen and Amen, mimi nilianza kuacha polepole,sahi nafunga kitambaa kichwani,ubatizo ndio sijapata wa maji mengi natafuta
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Amen ! Mungu akubariki sana
@stewardkyamba6170 Жыл бұрын
Tafuta makanisa ya kipentecost ukabatizwe
@IdahNambelasiwala-qs3suАй бұрын
Amen and amen 🙏🙏
@lilliannyangela7227 Жыл бұрын
Dada Mungu akubariki na usiache kuambia watu ukweli.
@floraemeeelias7840 Жыл бұрын
Aminaa mtumishe sema semaaaaa🙏🙏
@tabithaibrahim8493 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@BerylSeer1 Жыл бұрын
Aminaaa mtumishi
@veronicamsambya7399 Жыл бұрын
Amen 🙏🏿 kubwa ❤❤
@PasteurJ.pierreMinani-lr3vg Жыл бұрын
Ubalikiw sana dada n'a mungu akubariki sana❤
@susanwanyoni249 Жыл бұрын
Ukweli kabisa hata uwezi tafautisha mkristo na wa kidunia
@fabiennyabenda6043 Жыл бұрын
Amina
@celinastani686 Жыл бұрын
Amen asante kwa ujumbe
@denisijosephat2361 Жыл бұрын
Amina mungu akubariki Sana.😅😅😅
@Deborakasa Жыл бұрын
Amen sana
@godwinkileo7702 Жыл бұрын
Amina kubwaaaa
@EstherWambui-t3p Жыл бұрын
Waaoo that's true, Mungu anisaindie❤
@davidmugo Жыл бұрын
Kazi nzuri
@Ziondaudi Жыл бұрын
Amen🙏
@jacksoncharles5411 Жыл бұрын
Amina dada,uko sahihi
@michaelwanyanga Жыл бұрын
Kuoneana haya na aibu ndio kunaleta tatizo ndani ya kanisa. Hata kama wachungaji watakaa kimya kwa ajili ya umaarufu, fedha, au utajiri bado Mungu hatokaa kimya kwani amenena mwenyewe kusema.."Hapendi hata mtu mmoja apotee bali wote wafikilie toba" Hivyo Mungu atajiinulia watu watakaonena kweli. Mungu akubariki, dada, kwa kuweka wazi na kukemea jambo hili ndani ya kanisa.
@nezerinejuma5510 Жыл бұрын
I love what you said ❤️🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@josephineharerimana9844 Жыл бұрын
Ubalikie
@christine97 Жыл бұрын
Anem ❤❤
@ivomhagama9796 Жыл бұрын
Mungu wa kweli,kanuni zake ni ngumu kumeza ,ila ukisha kubali ukweli Neno lake ni tamu kama Sega .unakuwa Hulu kabsa.cha msingi ni kukubali maumivu ya ukweli.
@BarazilLwezaula Жыл бұрын
Dad jitaidi utusaidie kubuli niili hii
@christine97 Жыл бұрын
Amen
@IdahNambelasiwala-qs3suАй бұрын
Very true
@failaprince9250 Жыл бұрын
Amena iyonikweli kabisa ukweli usemwa
@ezekielslyver-sk4yx Жыл бұрын
Wewe umekalili andiko kusema tujipambe kwa roho ya upole na utulivu hiyo roho tunaipataje
@FCITEBENEZERCARE-br1bn Жыл бұрын
2Korinto 10:3-6 huyu anahimiza soon anakataa anahimiza zaidi kwa kanisa lakoritho kwamba wao walizani kwamba wanweza kuwapendezesha waume mioyo yao kwa kuvaa vizuri kumbe kinachoangaliwa hapo ni tabia kumbuka vita vyetu sioktk mwili zaburi 119:9 kikubwa tii amli
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Andiko uliyo andika 2 Kor 10: 3-6 andiko nzuri inasema tunaishi duniani lakini hatupigani vita kama ulimwengu ufanyavyo . Silaha za vita si vya mwili inaendelea.......... Lakini mafasirio yako sikuyaelewa . Kama mtu havai vizuri anaonekaga hajieshimu mtu atamwambia je mtu asiye vaa vizuri eti eko natabia nzuri ? Zaburi 119 :9 andiko nzuri . Ni kwa kutii na kufuata neno Mungu . Kama hatutii na kufwata neno la Mungu ni bure.
@claudarajabu4 ай бұрын
@@beatricekamona3015amina
@danielmatemu9698 Жыл бұрын
Kwani wanawake mkiacha nyusi bandia, kucha bandia, makalio bandia, nywele bandia, kujichubua, kupaka makeups JE MTAPUNGUKIWA niini? Jitahidi msimkose Yesu na Mbingu kwa vitu visivyo na maana. Roho wa BWANA awape ujasiri wa kauisikia sauti yake ina JESUS MIGHTY NAME. Amen
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Ni huruma sana kwa sisi wanawake shetani ametunga kweli lakini hatujui kama ni vifungo vya shetani.
@ezekielslyver-sk4yx Жыл бұрын
Ivi aliyekataa kujipamba ni Peter au ni Mungu?
@AlineMukunda2 ай бұрын
Kunasikuniliwona mapepo barabarani zamani nilifikiria kuwanikawayida kumbemapepo yarangi😢 sasa langihizi watuwanapakala 😢ivinjonaelewa ninisasa kinachoedeleya ulimwenguhu nduguzagu mapepokuletamitido nawatu kuwayiga. 😢 kuwa rangi ni ibadayasanamu Mutumishi ubarikiwe kwaujumbehuu kuingiyambingunisofutu kuwaca rangizamapepo wadanganyifu wasikiye Rohowabwana anawambiya nini😂❤
Ndg. Jossy hiyo Ezekiel inamaanisha mwanamke ambaye ni Yerusalem yaani kanisa liliotoka Misri ndiyo lilikuwa na mavazi hayo. Kwani asili ya mwanamke ni Kanani, je, mwanamke alitupwa Misri? Mavazi aliyovishwa yatajwa kimwili lakini yanamaanisha ukweli wa Mungu ambao hakuwa nao kwa kuwa alikuwa uchi. Baadae akavua yale mavazi na kuvaa mavazi ya kikahaba. Yaani aliacha maagizo ya Mungu na kufuata mafundisho ya mungu Baali. Mambo ya rohoni hujulikana kiroho. Mwenye nia ya kujua na kutenda maagizo ya Mungu atajua, lakini mwenye nia ya kufuata mafundisho yaliyo mapenzi ya dhehebu hatajua - 1Wakor 2:6-16
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Andiko uliyo leta haulielewi Hujui maana ya hiyo andiko. Sasa shauri yangu ulivyo sema sio dhambi endelea nakujipamba kwako dada . Sio sharti mahubiri inakujaga ao mafundisho ni kwa mtu kujichagulia atafwata ao la. Mungu amesema mapambo Sio, yake . Mungu akusaidie sana .
@Jossy-qk8vw Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 Andiko liko wazi. 11Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, 12nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako. 13Kwa hiyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha, nguo zako zilikuwa za kitani safi, hariri na nguo iliyokuwa imetariziwa.
@Apostledanielsmith2543 Жыл бұрын
Apo sasa
@gordonomondi7161 Жыл бұрын
Warumi 9 verse 20. je kitu kilichoumbwa kimwambie Yeye aliyekiumba kwani uliniumba hivi? Kujipamba ni kama kuuliza Mungu kwa nini uliniumba vibaya? . Nywele bandia ni kutukana Mungu kwamba nywele alikupatia inaupungufu.( KUJIPAMBA NI KUREKEBISHA KAZI YA MUNGU).
@Jossy-qk8vw Жыл бұрын
kujipamba SIO DHAMBI. SOMENI BIBLIA VIZURI, Ezekiel 16 :11-13. tena Mungu Baba mwenyewe ndiye aliye yasema hayo maneno. 11 Nikakupamba kwa vito: nikakuvika bangili mikononi mwako na mkufu shingoni mwako, 12 nikaweka hazama puani mwako, vipuli masikioni mwako na taji nzuri sana kichwani mwako. 13 Kwa hiyo ulipambwa kwa dhahabu na fedha, nguo zako zilikuwa za kitani safi, hariri na nguo iliyokuwa imetariziwa....
@danielmatemu9698 Жыл бұрын
@@Jossy-qk8vw Mpendwa Mungu amekataza SISI KUJIPAMBA, sio yeye kutupamba. Ni kama ambavyo amekataza KUUA, ila yeye Mungu anaua. Kwahiyo unaposoma neno la Mungu, muombe ROHO MTAKATIFU akupe ufunuo wa kweli. Ukitumia akili ya kibinadamu makatazo mengi utayaona ni. Sawa. Mungu akubariki MPENDWA katika KRISTO
@Jossy-qk8vw Жыл бұрын
@@danielmatemu9698 Ni wapi amekataza mapambo? Hebu tuonyeshe kwenye Biblia, ni kitabu kipi na ukrasa upi unaosema mapambo ni dhambi? God is God of beauty. WACHENI mambo ya wafarisayo ya kukemea watu wasio na makosa na kuviita dhambi vitu visivio dhambi. Hebu nikuulize: wanadamu si wamepewa vipawa tofauti? Kuna watu wamepewa vipawa via udaktari, wengine vipawa vya kupika, wengine ushonaji , wengine engineer, wengine ni rubani wa ndenge, wengine ni madereva, NA WENGINE wamepewa vipawa VYA KUSUKA wenzao nywele. Pia watu wengine wamepewa vipawa mbali mbali kama fashion designer, make-up artist, barber, salon stylist HIVYO VYOTE ni viipawa ama riziki za wanadamu kutoka kwa nani? Sasa wale wenye kipawa cha kusuka nywele UNATAKA KUSEMA ni watenda dhambi?. Na make-up stylists unataka kusema ni watenda dhambi? Na je wenye vipawa vya ku-design ma perfumes na mafuta na manukato na powder mbali mbali, na shanga, na vipuli, na mabegi (hand bags). Na je wale wenye vipawa vya kudesign ma wigi, na ma eye glasses (spectacles/shades) na manguo na viatu, na rings? Yaani wewe huelewi ya kua hata kwenye film industry - hata filmu za kikristo make-up huwa zinatumika? Yaani wewe huelewi yakuwa hata VIATU ni mapambo? Sasa kuvaa viatu ni dhambi. Kwani binadamu tuliumbwa na viatu. Mbona basi hamsemi wanadamu tusitumie viatu ila tutembee tu vile tulivyo umbwa. Kama riziki ya mtu inatokana kwa kutengeneza wenzake nywele au ku-design ma nguo hebu tueleze hapo dhambi iko wapi na HICHO KIPAWA KIME TOKA KWA NANI? Soma Matt. 7: 6 Bwana Yesu anaposema msitupie nguruwe lulu zenu. Wajua lulu ni za nini? Tena acha nikutaarifu. Esther kwenye biblia alitumia mapambo. Je, alikua mtenda dhambi? kama hangetumia mapambo ange shida hiyo beauty pagent iliyo mwezesha kuwa malkia mpaka akawa na fursa ya kuwasaidia wana wa Israel kuto uwawa? ACHENI ZENU ! Kujipamba sio dhambi.
@salomemgaya1244 Жыл бұрын
Mnapotuambia mavazi ya gharama ni dhambi mnamaanisha nini ? Vazi la gharama linaanzia na bei gani ? Biblia imesema hivi " na kuvalia mavazi " hiyo mnayosema " na kuvalia mavazi ya gharama " hiyo mmeiongeza nyinyi . Mnatuchanganya hamueleweki
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Biblia inasema na kuvalia mavazi kwako wewe unaelewa ni watu wasivae mavazi ao vipi elezeya wewe .
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Na cha msingi Mungu alipenda kuzungumzia kuhusu mapambo ndo sababu alinipa hiyo andiko, sababu kuvalia mavazi kunaandikwa hapo ilibidi nayo izungumziwe.
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Usome 1 Timotheo 2:9
@godfielddashina Жыл бұрын
“Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha, wala kumtawala mwanamume, bali awe katika utulivu. ” - 1 Timotheo 2:12 (Biblia Takatifu) Huduma ya injili haijawekwa kwenye mikono ya wanawake. Kwa sababu hukujua hapo awali, basi jinyenyekeze kutii maagizo ya Mungu, naye atakubariki. Amina.
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Aliye sema simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha sawasawa na kitabu ulicho andika ndiye aliye niita ili ni huburi na somo Hilo nilipewa na Mungu mwenyewe. Mungu akitaka kuonya atatumia mtu yeyote sawasawa na Mapenzi yake . Amen.
@gordonomondi7161 Жыл бұрын
Kama wanaume hawataki kuhubiri kuhusu mapambo basi Wacha mwanadada aseme ukweli.
@godfielddashina Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 Mimi siamini kama mtu anaweza akaitwa Kwa huduma kinyume na maandiko. Sana mno inawezekana umeitwa kwa kuonya na siyo kuhubiri. Na hayo yanakuwa matamanio Yako binafsi. Nionyeshe kanisa la Mwanzo kama kuna yeyote mwanamke alikuwa mhubiri. Kwani Imani na huduma zimeanzia wakati huu tu? Chunguza kwa makini kubaini wito wako hasa ni Nini. Huduma ya kuhubiri imewekwa katika mikono ya wanaume.
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
@@godfielddashina mimi nilisema sijajiita mwenyewe na somo Hilo nimepewa na Bwana , mimi sina shida kama ni mahubiri ao maonyo , jambo la maana kwangu ni ujumbe niliopewa ufikie watu. Ukisikia mtu kama mimi anasema alipewa neno na Mungu usipinge maana Mungu anafanya yote anayotaka sawasawa na mapenzi yake.
@godfielddashina Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 Ninachokisema ni kuwa Mungu hawezi kufanya jambo Lililo kinyume na mpango wake. Hajawahi kuita mwanamke awe Nabii ktk historia ya ulimwengu. Huo ndiyo mkataa ambao hauwezi kubadilika.
@salimuismaily693 Жыл бұрын
BASI MUNGU ASINGE YAUMBA MAPAMBO MBONA UNASEMA VIBAYA VITU MUNGU ALIVYO WAUMBIA WANADAMU MUNGU AMEWAUMBIA WANADAM KILA KITU SASA HUTAKI WAKRISTO WAJIPAMBE MILIYAO NAWAKATI MWILI NI HEKALU LA MUNGU SASA WATU WASIVAE MAVAZI MAZURI KWANINI MUHIMU WATU KIJIPAMBA MIILIYAO YA NNJE NA NDANI USIDANGANYE WATU
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Sio mimi nilio andika 1 petro 3:3 uisome , Kisha kama uko Mkristo kamili umulize Mungu maana ya hiyo andiko. Mungu wetu anajibiaga. Asante.
@salimuismaily693 Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 ANDIKO LIPO SAHIHI INGEPASWA KUELEWA KWAMBA PALE MUNGU ALIKUWA ANAELEZEA NAMNA NZURI YA KIJIPAMBA NDANI YA NAFSI YA MTU NA SIO NNJE NA MUNGU PIA SI KWAMBA HAPENDI WATU WAJIPAMBE NNJE WATU WANAPASWA KIJIPAMBA NNJE NA NDANI YAO NDIO MAANA MUNGU KATUUMBIA MAPAMBO
@annehk8185 Жыл бұрын
@@salimuismaily693 naomba niambie Mungu aliumba lini na wapi hayo mapambo? halafu usipinge mafundisho kama hayakufai waachie wengine wanaoyakubali.
@salimuismaily693 Жыл бұрын
MBONA UNAMCHANGANYA MUNGU NA YESU SASA UNAMSHUKURU MUNGU AU UNAMSHUKURU YESU..? HUKUONA KWAMBA HATA YESU ALIMSHUKURU MUNGU NA KUMUOMBA MUNGU YAWAJE WEWE UNAMSHUKURU YESU ?
@eunicewangomwa5506 Жыл бұрын
Mbarikiwa Sana na yesu
@annehk8185 Жыл бұрын
anachokiamini huyo dada na unachokiamini wewe ni tofauti kabisa utapata tabu sana kaka na hutamuelewa.
@salimuismaily693 Жыл бұрын
@@annehk8185 KWELI BWANA
@EliasSampa-wt1cz Жыл бұрын
Sorry dada wew upo kweny kikosi kazi?
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Kikosi kazi ni kundi gani hiyo ? Labda sielewe ulizo yako kaka
@salimuismaily693 Жыл бұрын
YESU MWENYEWE ALIUMBWA ATAKUWAJE MUUMBA JE AMEUMBA NINI? HAJAUMBA KWA YAKINI BALI NI NABII NA MTUME WA MUNGU
@lilliannyangela7227 Жыл бұрын
Yesu ni Mungu, alikuyekuja kwa mfano wa mwanadamu ili atuokoe sisi wanadamu. Kila anayemwamini hatapotea, bali asiyemwamwini amekwisha kuhukumiwa. Yesu ni Mungu. Soma Biblia -Yohana 1:1….
@salimuismaily693 Жыл бұрын
@@lilliannyangela7227 Dada Lillian Nyangela Utukufu wa Yesu kama Mtume Aliyetumwa na MUNGU pia Walishatumwa MITUME wengine hata Kabla yake Utukufu wake upo pale pale"'- Kama utapata Muda utakaa sehemu Utulie utafakari Utagundua kwamba Kila Kiumbe chenye PUMZI ya Uhai kina ROHO na hiyo Roho Kila Kiumbe kimepewa na MUNGU na ndiyo Pumzi ya MUNGU ndani ya Kila Kiumbe Hiyo ROHO ndio NENO TOKA MWANZO ambayo ipo ndani ya Kila Mwili wa Kila Kiumbe SASA MUNGU KUINGIA KAMA ROHO NDANI YA MWILI ALISHA INGIA TOKE KWA BABA YETU (ADAM) NA (HAWA) - Eva - NAKILA MWANADAM ANA MWILI NA ANA ROHO NDANI YAKE AMBAYO NDIO MUNGU ILA MUNGU ALIWATEUWA BAADHI YA WANADAMU AKAWAFANYA NI VIASHIRIA KWAMBA YEYE YUPO MFANO-_ ADAM NA HAWA HAWANA BABA WALA MAMA HAWAKUZALIWA NNJOO KWA YOHANA MTOTO WA ZAKARIA KAMA UNAVYOJUA MWANAMKE ANAFIKIA UKOMO KUZAA NA MIAKA 45 - 5O Lakini Yohana ALIZALIWA KWA NENO TU COZ MAMA YAKE ALIKUWA NA ZAIDI YA MIAKA 90 NNJOO ISAKA WA SARA NAE NI KWA NENO TU KOZI MAMA ALIKUWA TASA TENA ALIKUWA KIKONGWE MIAKA ZAIDI YA 90 NNJOO KWA YESU NAE ALIZALIWA KWA NENO KOZ MAMA ALIKUWA BIKIRA NA AKAJIKUTA ANAZAA ZOTE HIZO NI ISHARA KWAMBA MUNGU YUPO ANAWEZA TUNAMJUA MUNGU NA TUNAMUONA KWA KAZI ANAZOFANYA NA MATENDO YAKE MAKUU NA MUNGU UKUMBUKE NI MOLA WA VIUMBE VYOTE NA VIUMBE WOTE TOKEA VILEVIDUDU VIDOGO VINAVYO ONEKANA KWENYE MICROSCOPE NI VYAKE MPAKA NYANGUMI MPAKA MALAIKA MPAKA MIMEA NA AINA ZOTE ZA MIMEA NA WANYAMA MPAKA MAJINI NA IBILISI VYOTE VINAMJUA MUNGU NA VIPO KWA AJILI MUNGU KAPENDA VIWEPO HATA IBILI ANAJUA KWAMBA YESU SIO MUNGU NA MUNGU MTUKUFU ANAYE PASWA KUSUJUDIWA YUPO NAOMBA KUNUKUU ANDIKO KIDOGO TAFAKARI KUHUSU YESU NA IBILISI Luka 4:6 Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari yake, kwa kuwa imo mikononi mwangu, nami humpa ye yote kama nipendavyo. Luka 4:7 Basi, wewe ukisujudu mbele yangu yote yatakuwa yako. Luka 4:8 Yesu akajibu akamwambia, Imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake. WAKUSUJUDIWA NA KUABUDIWA NI MUNGU PEKE YAKE HAKUNA ANDIKO YESU ALIYOSEMA WATU WAMUABUDU NA WAMSUJUDIE NA WAMUITE MUNGU ......THANKS
@beatricekamona3015 Жыл бұрын
Hata kwenye dini nilio komalia wanakataa kwamba Yesu si Mungu Ila mimi nimeshuhudiwa na roho wa Mungu kwamba Yesu ndiye Mungu. Ila na maandiko mengi yanashuhudia ila wengi wanafungwa macho ili wasione wala kutambua . Huruma sana
@salimuismaily693 Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 UNAJUA TUKISEMA MUNGU TUNA MSEMA YEYE AMBAYE ANAMILIKI UFALME WA KILA KITU ANATEGEMEWA NA KILA KITU, AMEUMBA KILA KITU ANAONGOZA KILA KITU ,ANASIMAMIA KILA KITU ANAENDESHA MAMBO YOTE MILELE TOKA MWANZO ,HACHOKI, HALI CHAKULA, HAZALIWI WALA HAZAI , HANA JINSIA SIO ME WALASIO KE , BEATRICE HEBU FIKIRIA UNAVYO MUITA YESU WAWATU MUNGU NA KUNAWAKATI YESU ALIKUWA MDOGO ANALISHWA CHAKULA NA KUNYONYESHWA NA KUOGESHWA KWELI MUNGU MUUMBA WA DUNIA NA KILA KITU TOKA MALAIKA MPAKA MBINGU NA ULIMWENGU MZIMA ALIKOSA NINI MPAKA APITIE MAPITO YA SIFA ZA KIBINADAMU ??? PIA JE MUNGU TUNAJUA KILA WAKATI ANAFANYA MAMBO MAKUBWA SANA KAMA KUTOA MWANGA WA JUA KUIZUNGUSHA DUNIA NA MASAYARI YOTE KUCHIPUSHA MBEGU ZOTE DUNIA NZIMA KUMUINGIZIA MTU HEWA NA KUTOA (KUMPUMULISHA MTU) KWA KILA MTU SASA WAKATI YESU YUPO TUMBONI NA UNA DAI YEYE NI MUNGU KAZI ZA MUNGU ALIKUWA ANAZIFANYA NANI WAKATI MDOGO AKIWA NA MWEZI AU MIEZI MITATU TUMBONI AU AKIWA MDOGO ???? JE BIKIRA MARIA WAKATI MUNGU YUPO TUMBONI KAMA UNAVYO DAI NANI ALIKUWA ANAMPA BIKIRA MARIA UHAI JE NNA NI ALIYE MKUZA YESU TOKA MDOGO MPAKA AKAWA MKUBWA ???? YESU NI MTUME MTUKUFU KUTOKA KWA MUNGU PIA WALIPITA WENGINE WATUKUFU PIA YUPO MUNGU NA YESU SIO MUNGU
@salimuismaily693 Жыл бұрын
@@beatricekamona3015 HIYO ROHO ILIYO KWAMBIA KWAMBA YESU NI MUNGU YENYEWE ILIKUWA NI ROHO GANI NA KAMA UTASEMA YESU NI MUNGU BASI KILA BINADAMU NI MUNGU KWANZA HEBU JICHUNGUZE TU TOKA MWANZO WAKO TOKEA ULIPOKUWA NDANI YA MBEGU KABLA BABA YAKO HAJA ZALIWA BABA AKAZALIWA MBEGU ZIKATENGENEZWA MBEGU YA BABA IKAKOMAA IKAINGIA KWENYE TUMBO LA MAMA UKAWA WEWE AISEE KAMA HUTOELEWA BASI