Mpoki na wewe Dada, uwezo wenu wa kuigiza unaongezeka kila siku. You send Tanzania to the top.
@Chekesha3 ай бұрын
👍👍👍👍
@mtz55822 ай бұрын
Ughaibuni hapa .nimekaa na work mates hawajui Kiswahili lakini wameelewa somo la hii episode ..it can happen to anyone globally Ni one of a kind to watch...Sikuelewa kinachorndelea toka mwanzo hivyo kushindwa kutabiri mwisho like most episodes .. .well done
@issahatibu7 күн бұрын
nomasan ebhne mumetisha wakongwe 100
@BenbossMunezero14 күн бұрын
Burundi tunawakubali sana
@hawaalihassan3932Ай бұрын
Akili ni nywele anazo hana 😀😀😀
@mr.baraka5085Ай бұрын
Mpoki jeuri kwisha, watching from Kakamega, Kenya.
@elikanahsuku65893 ай бұрын
Mpoki Leo kapatikana anajifanyaga wakishua😂😂😂😂
@Chekesha2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@sergebaleke6953 ай бұрын
Hata ma basi yana endaga moshi ni yako 😂😂😂 Mpoki bhana 😂
@Chekesha3 ай бұрын
😃😃😃😃
@JamesMichael-lg7qv2 ай бұрын
Kwanza nyie watu nyie😂Sasa uyo avua viatu kwamba vinambana au😂😂😂
@Chekesha2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@MeckitilidaTushabe-or9hu3 ай бұрын
Duuu 😢😢
@MchagaUk3 ай бұрын
Unacheza na wachaga
@Chekesha2 ай бұрын
🤣🤣🤣
@aixsal3 ай бұрын
Mpoki - 1:00 ana miaka minne kwenye hiyo nyumba - 4:10 amehamia kwenye hiyo nyumba miaka nane iliyopita
@Chekesha3 ай бұрын
🤣🤣🤣🤣👍
@eliadastan572 ай бұрын
😁 😁 Yani anamiaka minne kwenye hio nyumba ila kodi amelipa miaka nane