MAPENZI BASI 💔 Love Story | DONTA TV

  Рет қаралды 21,022

DONTA FAMILY

DONTA FAMILY

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 17 күн бұрын
Nimerauka sana kutoka 🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇸🇦 nawapenda wote 🎉🎉❤❤❤
@shukransadala
@shukransadala 17 күн бұрын
Jamani waliommisi vick tu like hapa❤
@SalomeGone
@SalomeGone 17 күн бұрын
Amepotea sana dada etu Vicky
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 17 күн бұрын
Ila Vicki yuko kwa baba joan sires ya maskin
@SharksSimba
@SharksSimba 17 күн бұрын
Wa kwanza jamani. Like zangu nipeww.
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 17 күн бұрын
Maya nimekumic mwaya😂😂😂nimefrahi kukuona love you. Mayasa
@RukiaShomary
@RukiaShomary 17 күн бұрын
Pole jarufu atakukumbuka huyo
@LeilaAbdi-p4i
@LeilaAbdi-p4i 17 күн бұрын
Mpende akupendae asokupenda achana nae wacha nijipende mwenyewe mafunzo mazuri sana ❤❤❤❤
@RizikiZiki
@RizikiZiki 16 күн бұрын
Amina ebupendeka basi Jarufu anakupenda❤❤❤
@JACKLINEKAZUNGU-w3n
@JACKLINEKAZUNGU-w3n 17 күн бұрын
Maya nmekumic hongera San kwa mumtuliza jaruf❤❤❤
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 16 күн бұрын
Amina una danganywa ila brown hujawahi Penda Kwel ana wajaribu ana waharibia wanaume wenzake Tu
@glorymanga3650
@glorymanga3650 17 күн бұрын
Kazi nzuri❤
@JeanJacquesmotivation-hn6tn
@JeanJacquesmotivation-hn6tn 17 күн бұрын
Amina unasema wanaume ni mbwa 😂 umbwa wenyewe nyinyi😅😅😅
@AisherJuma-d2q
@AisherJuma-d2q 17 күн бұрын
Maya ni mzuri aky❤
@JumaKavula-u5e
@JumaKavula-u5e 17 күн бұрын
Maya nilikumc kweli💞
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 16 күн бұрын
Asante mayasa napenda staili zako 🎉🎉🎉
@saidiadallah-ol8lh
@saidiadallah-ol8lh 17 күн бұрын
Maya we ni mzuri aisee
@bonheurwikendjamusambya3131
@bonheurwikendjamusambya3131 16 күн бұрын
Maya weye ni mzuri
@RebekahAndio
@RebekahAndio 16 күн бұрын
Nikema vile nelly alimpa mimba Vicky wakafukuzwa kazi oooh Amina bahati haiji mara mbili.
@CynthiaRayoh
@CynthiaRayoh 17 күн бұрын
Aki Leo nimechelewa from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@DoktaGidawida
@DoktaGidawida 17 күн бұрын
Wanaume kama jarufu jamn wapo wapi mbn hawapo huku manyara jamn mm nimempenda
@KilapayaIbuni
@KilapayaIbuni 16 күн бұрын
Nice work
@SalamaCharo-q6k
@SalamaCharo-q6k 17 күн бұрын
Penz la kweli dadangu solapesa hisia moyo n damu hapo ndo ukweli ila pesa uhongane uhm😮sija afikia ila pole amina
@Frangle-w1h
@Frangle-w1h 17 күн бұрын
Brown nakukubali sana Brow
@LoiceKatana-ci1tx
@LoiceKatana-ci1tx 16 күн бұрын
Amina ulimupenda kunambi kumbe hakupendi, umeachwa ndio unarudi kwa jarufu kumbe kashapata pole sana😢😢😢😂
@joelkaja24
@joelkaja24 17 күн бұрын
Hii movie imenifuza kitu kweli na hivyo dio nimeaza kujieshimu kwa wasio nipeda💪💪💪
@Bahati-bh7xw
@Bahati-bh7xw 16 күн бұрын
Amina toshaga kitambaa Bana eee 😂😂😂😂😂mwamuke muzuri ww nakupenda Ila kitambaa hiko ndio kinaniuma
@joycemuenimutua4506
@joycemuenimutua4506 16 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Amina bado sijamaliza kucheka kimekuramba vizuri sana 🇰🇪
@AbdoulSilva-y8j
@AbdoulSilva-y8j 17 күн бұрын
Wakwanza mim Léo naomba ata like moja bs
@FelistusmuemaMuema
@FelistusmuemaMuema 17 күн бұрын
❤chukua nimepea like😅
@ShannieSambi
@ShannieSambi 17 күн бұрын
🙏🙏🙏
@maryamrashid-s6
@maryamrashid-s6 14 күн бұрын
Amina unaempenda hakupendi usiyempenda ywakupenda😅😅
@AishaH-e3k3w
@AishaH-e3k3w 17 күн бұрын
Wacha we braun asant umempat mtoto wa kikwetu sanzbar
@سيييققق
@سيييققق 15 күн бұрын
Amina na hivyo vilemba vyako apana badilisha banaa 😮😮
@AishaH-e3k3w
@AishaH-e3k3w 17 күн бұрын
Mh amin usjifananishe asa biaisha maana hakuna anaemfkia vtendo vyake
@officialkhan7755
@officialkhan7755 17 күн бұрын
nic
@SalomeKawogo
@SalomeKawogo 16 күн бұрын
jamn vaileth nmefurahi kukuona nlikumisi
@RebeckAunt
@RebeckAunt 16 күн бұрын
Na wa miss sana vicky na Nelly waliendaka wapi ?Amina ulitakiwa kumpenda akupendaye❤
@DelvinChepkorir-t1d
@DelvinChepkorir-t1d 16 күн бұрын
Ako kwa movie ya Baba Joan ,,,,,,uko Kwa Umaskini wangu🎉Vicky
@jestinamwilapo8653
@jestinamwilapo8653 16 күн бұрын
Vick yupo kwa baba Joan saivi
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 16 күн бұрын
Unahonga Amina 😢😢
@SaumuMwaringa
@SaumuMwaringa 17 күн бұрын
😂😂😂jaman huyu Amina nampenda nyie mie
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 16 күн бұрын
kununuliwa Nguo na Mwanamme Duh Jarufu MIMI Nakupenda,, kwa Moyo wako wa Upendo pia una Huruma
@azkingog-h8q
@azkingog-h8q 15 күн бұрын
Kazi nzuri lakini mbona mnachelewesha kuachia
@SalomeKawogo
@SalomeKawogo 16 күн бұрын
anii amina mwanaume mwenyew brown anayekuomba tuu ela hee nd unapendwa hapo
@SamouOman
@SamouOman 17 күн бұрын
Kazi nzur jaman pongezi kwenu
@James-xk6ux
@James-xk6ux 16 күн бұрын
Ndo ukome 🤪🤪
@EstherJamal-p8x
@EstherJamal-p8x 17 күн бұрын
Mupende akupendae
@rodahatandi5533
@rodahatandi5533 16 күн бұрын
Pole Amina
@enah-j9w
@enah-j9w 16 күн бұрын
Hivi nyie mnatuchukuliaje eé hamna story Tena za kuekti Yani mchezo ulivoamza tushajua kinamalizikia kitu gani hemu kueni wabunifu muoneni clam vevo anavyotumia akili nyingi nyie ilimradi tuu mushuti muambiwe mumo tuu n'a nyie 😂😂😂 just ushauri tuu 😅😅😅
@TeshmonyAntonio
@TeshmonyAntonio 13 күн бұрын
ni kweli kuna stori nyingine walitoa inafanana na hii kabisa
@GraceBriton
@GraceBriton 13 күн бұрын
Hata kama walishaigiza lakini si ni nzuri na umeinjoy??😂😂😂😂😂
@elizabethkunyatila2913
@elizabethkunyatila2913 17 күн бұрын
Amina kwa michezo😂😂
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 16 күн бұрын
et ukalale wapi kwan una fugaa majini au😢
@jamilashabani8580
@jamilashabani8580 16 күн бұрын
kwel Mapenzi Basi
@AyishaOman-cw4xs
@AyishaOman-cw4xs 14 күн бұрын
❤❤❤❤
@ThamimaRajabu-bs2nd
@ThamimaRajabu-bs2nd 17 күн бұрын
❤❤❤
@PromieJosam
@PromieJosam 16 күн бұрын
Hivi wanawake mnatoaga wapesa zamchezo?
@SansbilaOmaar
@SansbilaOmaar 17 күн бұрын
Km hujajifunz kit ap wewe ni mbuz😂
@SadiNiyonkuru-g1p
@SadiNiyonkuru-g1p 3 күн бұрын
😂😂😂😂
@MariamRiziki-o8x
@MariamRiziki-o8x 17 күн бұрын
Wakwanza
@MartinmutuaMuthini
@MartinmutuaMuthini 17 күн бұрын
𝑨𝒎𝒊𝒏𝒂 𝒑𝒐𝒍𝒆
@TAPROOTKINGORE-or69TK
@TAPROOTKINGORE-or69TK 17 күн бұрын
Iko 🎉🎉🎉🎉🎉
@AdmiringBrain-qr8er
@AdmiringBrain-qr8er 17 күн бұрын
🙏🙏🙏
BROKEN HEART | 01 | 💔 LoveStory
25:23
DONTA FAMILY
Рет қаралды 16 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Support each other🤝
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 81 МЛН
Sigma Kid Mistake #funny #sigma
00:17
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 30 МЛН
STEP FATHER | 01 | Love Story ❤️
26:24
DONTA FAMILY
Рет қаралды 531 М.
BROKEN HEART | 02 | 💔 LoveStory
22:00
DONTA FAMILY
Рет қаралды 10 М.
BINTI TAJIRI 💞 Love Story | DONTA TV
23:38
Donta Plus
Рет қаралды 142 М.
MSELA NDAVA 💞💞  Part 1 | Love Story | DONTA TV
18:45
Twizy Dady Family
Рет қаралды 12 М.
BEFORE I MET YOU 💔 { 3 }
22:31
Donta Plus
Рет қаралды 62 М.
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН