Zamani freemarso walikuwa wanatoa kafara wazazi wao, baadaye wakaruhusiwa kutoa ndugu yoyote, baadaye tena wakaruhusiwa kuzaa nje ya ndoa na kutoa mtoto kafara na sasa hivi wanaruhusiwa kutengeza ukaribu na mtu kama ndugu na kisha kumtoa kafara. Sasa Sah, ngoja tuone hadi mwisho wa mchezo😊
@lindakapongo8421Күн бұрын
asante kwa hekima
@DesertTearsКүн бұрын
Hapo Kuna dots nyingi sana zinahitaji kushikanishwa, otherwise babake halisi wa mtoto yuko wapi?? Je inawezekana huyo mtoto alitolewa kafara au?
@ibrahimmsula201Сағат бұрын
Uko sahihi
@OtiliaPius-dr1beКүн бұрын
Polen sana hata mimi nilikua nashangaa wanavyosema mama wa mtoto alienda kula bata jaman😢😢
@rendozrendo7804Күн бұрын
Haya mambo yanashangaza yanauma sana
@AliMohamed-w3bКүн бұрын
Mtu wa kawaid haezi kuchinja mtoto mdogo Bro, hao ni mashetani na nia yao ni kuchukua malipo yao
@marwamwita3716Күн бұрын
Pole Sana kaka malipo ni hapa hapa duniani
@fredyMishoshoКүн бұрын
Mwandishi unamaswali ya hovyo, hujui kunyosha kiswahili😢😢
@fatmaalnabhani3609Күн бұрын
Jamani bangi imepita kipimo, Imani imepotea sasa
@JennyYusuph5 сағат бұрын
Kwayoyot alieusika nayy afaniwe iviv ckukamatuwa
@ibrahimmsula201Сағат бұрын
Hiki kitu huyu anakijua vizuri kuongea kwake tu kunatoa picha
@HamisiDungaКүн бұрын
Mashetani wanataka kafara ya mtu umpendae
@renatusmathias1162Күн бұрын
Itakuwa kuna issues za mahusiano hapo. So sad aisee, ukimsikiliza anayehojiwa unaelewa
@MonicaMwokaСағат бұрын
Hujibu maswali yanavyotakiwa umspinda pinda tu maneno
@wazirisaid832611 сағат бұрын
Kwa ukaribu wako uliokua nao kwa huyo mtoto vipi mama yake asikupe taarifa mpaka wewe uone post mtandaoni? Iweje watu wengine ndio wakupe taarifa? Je, inawezekana Jojo hakukutaarifu tukio hilo kwakua amehisi unahusika? Inawezekana baba yake mzazi amechukia kwa wewe kuwankaribu na mwanaye? Mbona tukio la bodaboda unaonekana unakitunga na baadaye ukwama kutunga maneno? Watu huteka watoto ili wapate fedha kwa wazazi wao lakini watekaji hawa hawakutaka pesa ila wametaka uhai wa mtoto, vipi unahisi ni kafara? Haya mambo ni pasua kichwa sana!!
@KuruthumBilaliКүн бұрын
Innalillah wainna ilàih rajiuna
@ClementDeusКүн бұрын
baba mzazi ni yup?
@JusthaugustinKagirobwio10 сағат бұрын
Hata mm nauliza mwenye jibu hatujibu
@engzuberir.akilenza1764Күн бұрын
Mtu akiwa na pesa hata kama ni mjinga anaonekana kuwa na busara sana. Kweli tutafute hela.