MAPENZI NI GAME | EPISODE 16 | Love Story💞

  Рет қаралды 100,787

KING_NOELY1

KING_NOELY1

Күн бұрын

Пікірлер: 1 000
@kingnoely1
@kingnoely1 2 ай бұрын
POLENI SANA KWA KUWACHELEWESHEA EP..16 KULIKUA NA TATIZO LA KIUFUNDI, NJE YA UWEZO WETU,, BURUDANI IMERUDI PALE PALE, TUENDELE KUBURUDIKA NA KUJIFUNZA, GONGA LIKE KAMA TUPO POAMOJA😉
@Lissahford
@Lissahford 2 ай бұрын
Pamoja sana kaka 🥰
@MathayoMollel-f6w
@MathayoMollel-f6w 2 ай бұрын
Poa twende sawa
@StellaVicent-ob9ju
@StellaVicent-ob9ju 2 ай бұрын
Tuliimiss sana
@FtmaKhami
@FtmaKhami 2 ай бұрын
❤❤❤🎉
@ShabaniNgogo
@ShabaniNgogo 2 ай бұрын
Mnazingua ya mpaka leo ndy mnaachia leo tutaacha kufatilia ss
@kadeejabeevi3541
@kadeejabeevi3541 2 ай бұрын
Wangapi hawampendi huyu kaka wa seee wagonge like
@VeronicaBrison
@VeronicaBrison 2 ай бұрын
Mm simpend kabisa et see kil mda
@official_bk446
@official_bk446 2 ай бұрын
😅😅😅
@sandemaleko5377
@sandemaleko5377 2 ай бұрын
Amevaa uhusika vizuri sana
@PriscaMwaswale
@PriscaMwaswale 2 ай бұрын
Ambao hawapendi uingizaji wa huyo mshikaji yugonge like hp chin Yan anakela mno!!!!!
@azizahjumatayr5662
@azizahjumatayr5662 2 ай бұрын
Kutumalizia mda2 cc
@subiramaxter8316
@subiramaxter8316 2 ай бұрын
Uyu wa c... C yuanikeraa heri pappi Sasa.yuafanya nasongeza mbele
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 2 ай бұрын
😂😂mshkaji gan kwan
@PriscaMwaswale
@PriscaMwaswale 2 ай бұрын
@@AishaRashid-z8k anae sema seee seee
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 2 ай бұрын
@@PriscaMwaswale 😂😂😂nmemsikia linaboaa mmbwa hilii
@irenekimaro6523
@irenekimaro6523 2 ай бұрын
Jamani kama uneesabu izo seee zimefika 10000 gonga like hapa😂seeeeeee😂😂😂😂
@VeronicaIbrahim-wv4dg
@VeronicaIbrahim-wv4dg 2 ай бұрын
Jamani leo wakwanza naombeni like vipenz
@Morine-bt2cw
@Morine-bt2cw 2 ай бұрын
Naomba uyu jamaa wa sii aondolewe kwenye movie ama aachane na sii zake kwa sababu anabkesha,naomba tafadhali❣️❣️❣️
@CaroDzame
@CaroDzame 2 ай бұрын
Kweli kabisa aachane nahiyo sii yake yaboa sana
@shukranjulius9526
@shukranjulius9526 2 ай бұрын
😅😅😅
@EMA-vq8vc
@EMA-vq8vc 2 ай бұрын
See😂
@sofiajumaa1454
@sofiajumaa1454 2 ай бұрын
Haswaaaa anaboa yani
@FurahaThadeus
@FurahaThadeus 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 chezea kina se,se,se,
@FaizaTatu
@FaizaTatu 2 ай бұрын
Huyu jamaa wa ccccc mutoeni anaharibu hii movie jamaa 😏😏😏😏
@fellidavids4469
@fellidavids4469 2 ай бұрын
Aki kweli😢
@sandemaleko5377
@sandemaleko5377 2 ай бұрын
Mi naona he is very talented. Amevaa uhusika vizuri sana
@bahatierene8385
@bahatierene8385 2 ай бұрын
Haswaa
@AbduliSuleiman-o9l
@AbduliSuleiman-o9l 2 ай бұрын
Sijui wamemtoa wapi😡
@HumphreydanielHumphreydaniel
@HumphreydanielHumphreydaniel 2 ай бұрын
Kweli yani anaigiza badala avae ualisia
@VeronicaIbrahim-wv4dg
@VeronicaIbrahim-wv4dg 2 ай бұрын
Kama unaikubari hii movie gona like hapa tujuane🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 2 ай бұрын
❤❤❤❤ movie ina mafunzo hatari
@JohariSefu
@JohariSefu 2 ай бұрын
@AllySalumu-x4w
@AllySalumu-x4w 2 ай бұрын
❤😂😂
@PhoebeOdera-kl3ip
@PhoebeOdera-kl3ip 2 ай бұрын
Leo nimewai jamani aah ❤❤ wp likes za kwangu 😂😂
@barakalameck7342
@barakalameck7342 2 ай бұрын
Huyo jamaa wa see apeleke huko uchoko wake kaharibu ratha yote kwanza anaiga sijui swagger za shoro milionea
@tausifautini407
@tausifautini407 2 ай бұрын
Simpend
@KhadijaSallum-b7l
@KhadijaSallum-b7l 2 ай бұрын
Atolew bhn hatutaki cee wal coooo
@juliusmalunde9636
@juliusmalunde9636 2 ай бұрын
Mpuuzi tu kwanza hawezi hata kumuiga sharomilionea
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@AishaRashid-z8k
@AishaRashid-z8k 2 ай бұрын
​@@juliusmalunde9636😂😂😂sijamuona lakin naanz kuchekaa
@KarolinaOman
@KarolinaOman 2 ай бұрын
Jaman ,yaani ,😂 mlianza vizuri sana ,ila kwenyw see ,see washabiki zenu mme tukwaza kwa hapo , ila mpo vizuri sana ,uyo wa uraya ndo kidogo ,,haya sas wanaomuona maua anaomba msamaha kwa huruma ,na wanaotaka maua arudiane na king noely ,gonga like hapa tujuane ❤🎉🎉
@SnaidaMdeta
@SnaidaMdeta 2 ай бұрын
Leo Mimi wa tano laik hata Moja bas
@RUKIASALM-f5f
@RUKIASALM-f5f 2 ай бұрын
jamani Nawasalimu kwa jina la SEE SEEE SEEE SEEE😅😅
@wambimwambizo3614
@wambimwambizo3614 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@ZalikaHamy
@ZalikaHamy 2 ай бұрын
Yan huy see katok wap anabowa bwana
@Kezia-t2m
@Kezia-t2m 2 ай бұрын
wamtoe uyo see see mbwembwe nyingi sana
@KhadijaKombo-bc5ow
@KhadijaKombo-bc5ow 2 ай бұрын
Hahahahaha, disko limeingia mmasahi,
@KhadijaSallum-b7l
@KhadijaSallum-b7l 2 ай бұрын
Anabowa bhn. Aaaaa😅😅😅😅
@MwanamvuaNassoro
@MwanamvuaNassoro 2 ай бұрын
Uyu wa see m ameniboesha😏😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@SleepyDolphin-kv8no
@SleepyDolphin-kv8no 2 ай бұрын
Dah kumbe ndoto mmeni shtua sana nyieeee
@NoshardZuberi
@NoshardZuberi 2 ай бұрын
Papy kakutana na pacha wake jamani😅😅😅😅😅😅,,,,,,team papy gonga like apaa
@MwanajumaHassan-j1l
@MwanajumaHassan-j1l 2 ай бұрын
Mumtoe uyu jamaa wa sii jmni anaboaa sna......ila nawapenda sna❤❤❤❤mnipe like zangu jmni
@PetronilaIngosi-en1gh
@PetronilaIngosi-en1gh Ай бұрын
Mandoto ziko huku sijapenda ata kidogo😂😂😂😂🎉
@Lilian.august
@Lilian.august 2 ай бұрын
See see see pumbavu embu mwondoeni huyu jamaa ni jau bna😏😏😏😏😏😏😏😏😏
@fellidavids4469
@fellidavids4469 2 ай бұрын
Anasinya sana bana
@KessyKeza-tg7mg
@KessyKeza-tg7mg 2 ай бұрын
Jameni iyi filamu ni Kali❤ naipenda sna eti see😂😂😂😂 ma flowers
@Limboto
@Limboto 2 ай бұрын
Like mbili tuu tafazal
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 2 ай бұрын
Tuliokuwa tunachungulia kila saa tujuane 😂😂 Ila kazi nzr san❤❤
@mirajikurwa4233
@mirajikurwa4233 2 ай бұрын
Uyu sii wamtoe anatupotezea mda sioni anachokifanya
@KENTARMG-f4p
@KENTARMG-f4p 2 ай бұрын
Iyo see ina mana gani sasa bro fanya filamu nawatu wana elewa nini mana ya kazi ; gonga like kama tuko pamoja
@NeemaMbuji-i7s
@NeemaMbuji-i7s 2 ай бұрын
Daaa kweli mapenzi game maisha yanatufundish mengi mnajua kuigiza vzr cn nawapenda
@RoseJoseph-e7l
@RoseJoseph-e7l 2 ай бұрын
39. Naombeni hzo like nijue raha yake
@SophiaAbihudgadiel
@SophiaAbihudgadiel 2 ай бұрын
Manina huyu jamaaa.wa.seee.kaharibu bhna hafai anautaka uchuga alafu hawezi akwende mwana kwenda
@azizahjumatayr5662
@azizahjumatayr5662 2 ай бұрын
Hahahaha
@usukwaejproduction9756
@usukwaejproduction9756 2 ай бұрын
Hongera kwa kazi nzuri, Me naomba niwe kinyume kidogo na wenzangu juu ya Mr sii. Kiufupi tunapaswa kufuatilia kwanza lengo la mhusika kupewa kipengele hicho na dhamira ya mtunzi kumweka mr si sasa tukikurupuka kumwambia amtoe maanaake tunataka kile tutakacho sisi na sio lengo la ujumbe wa mtunzi sasa Kumtoa si shauri na kwetu watunzi wa kazi za fasihi kuna wahusika wengine huwa tunawaweka ili kukera tu but na kuna ujumbe ndani yake ndo maana ukiangalia hatujawahi penda wahusika wenye matendo mabaya huwa twatamani washindwe ila hatuachi kuwatazama, mfano wachawi, katili wanyanyasaji na wahusika wengine wengi wanaokera wanakazi maaalumu, nafikili mmeona hata wahisika wenzake wanakerwa na si ila ndo kitu kinachofanya tuzidi mtazama me naomba asitolewe abaki mpaka lengo la mtunzi litimie nawahakikishia inawezekana ndiye atakuja pendwa zaid mbeleni me nawaelewa wote na hivi wamekutana na mwamba papi kuna mkorogo mtam unatengenezwa hapo balaaa keep it up kazi ni nziri saaaana Hizo sii ndizo zinamfanya awe mhusika wa kipekee Na tushaona ashaanza kuumbuka ka mtu anyejifanya anazo kumbe hamna tunao watu wa namna hii kwa jamii so asitoke abaki tupate funzo we mpka mwamba papi kaingia mtegoni sembuse wewe ukikutanane mtaani mtu wa matambo hayo si una nasa acha tule somo Ni vyema kuwasikiliza mashabiki ila kwa hili msimtoe kwenye reli mtunzi acheni tuone mwisho wake pia sio kila kipengele kitakufurahisha Naomba like kwa tunaotamani kumuona Mr sii mpaka mwisho ili kuona lengonla mtunzi Asanteni/ Hii kazi inafunzo kubwa sana mmetisha Its me Profesor Usukwa
@ruthyohanesy3739
@ruthyohanesy3739 2 ай бұрын
Umedadavua VZr sana barikiwa
@EllyManase
@EllyManase 2 ай бұрын
Wa kwanza mm jaman naomben hata like 2
@AlimaK-c7l
@AlimaK-c7l 2 ай бұрын
Mwambieni huyo mgeni apungize hizo siii anatuker 😂😂
@Nelly-s3h
@Nelly-s3h 2 ай бұрын
Huyu wa c c kaharibu msimuweke tena au aongee kiuhalisia atoe hayo maswaga yake lkn kwingine chukueni maua 🎉 yenu kama movie ilivyo maua 🎉😊
@DorcusRifin
@DorcusRifin 2 ай бұрын
Aaaaaaa bwanaaa eeeee,,,,uyu wa siii mmemwokota wap tn,,,,anapunguza utam bn,,,,😢😢
@TantineZuzu
@TantineZuzu 2 ай бұрын
Big up sana kwa kazi nzuri sana kwa team nzima ya King 🎉🎉❤❤
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym
@SurprisedBirdwingButterf-gi9ym 2 ай бұрын
King Noely you're a vry wonderful man ❤❤❤ in this world big up bro more likes in sha Allah 🙏
@monicahjoseph2528
@monicahjoseph2528 2 ай бұрын
Kaz safi Sanaa ❤❤❤❤❤❤,Alf hio sii siii ndio n😂😂😂😂😂😂😂😂😂💔💔💔💔💔💔aache ujinga huyo jamaa
@MagrethNkhambi
@MagrethNkhambi 2 ай бұрын
Nimekua wakwanza leo naombeni like zangu
@alfredmarydemakaya7514
@alfredmarydemakaya7514 2 ай бұрын
Na darasani uliisha wahi kuwa wa kwanza?
@zainabunechesa8659
@zainabunechesa8659 2 ай бұрын
ulipea nani like akuekee
@SaidyAlly-kp9be
@SaidyAlly-kp9be 2 ай бұрын
Jamn huyo sii ata anamfumo mzuri kwenye hicho kipande apana
@Sylviah-sm4mb
@Sylviah-sm4mb 2 ай бұрын
Uyu see atolewe apo haraka anaharibu mambo tena😂
@AnnaYusuph
@AnnaYusuph 2 ай бұрын
😂😂
@Chazontime
@Chazontime 2 ай бұрын
Biashara ya sisisisisisisisi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mnaniua kweliii,like zangu
@AlsoAlso-mq3pu
@AlsoAlso-mq3pu 2 ай бұрын
Mauwa nautaota sana tu,ndoto yako sasa imepitiliza unaota unakisu,beseni😅😅😅
@TinoKatuni
@TinoKatuni 2 ай бұрын
Tunao jua huyu jamaa wa ccccc ni michoreshooo ana maokoto kubabababbakeeeeee😂😂😂😂😂😂😂
@YusuphLichela
@YusuphLichela 2 ай бұрын
Bora mmalize maana munatutoa kwenye mood ya kufuatilia
@AngelKennedyMwamulima
@AngelKennedyMwamulima 2 ай бұрын
Jamani uyu seee anakela sana daah😂😂😂😂😂
@HalimaJuma-j8l
@HalimaJuma-j8l 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂eti sisisisiiii uwii mbavu zangu weee😂😂😂😂
@KelvinRamsey-x9q
@KelvinRamsey-x9q 2 ай бұрын
Umbwa Mimi 😅
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@Amo_thebarber
@Amo_thebarber 2 ай бұрын
Huyu jamaa wa cccc anazingua sana 😂😂😂😂
@rukiahamisi3079
@rukiahamisi3079 2 ай бұрын
Nilikua nikiboeshwa na Papi sasa kapata mrithi wake wakuboa
@ShamsaHassan-k5v8
@ShamsaHassan-k5v8 2 ай бұрын
😂😂😂Umeona eeeeh
@SalimSalim-wp3zx
@SalimSalim-wp3zx 2 ай бұрын
😂😂😂😂umetisha
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@husnasalim7874
@husnasalim7874 2 ай бұрын
Kabisa
@NajimaShabani
@NajimaShabani 2 ай бұрын
Yaaan huyu siii siiii siii Ananiboaaaa Natamaniii Nimezeeee😠😡😠
@MaryTesha-le2ql
@MaryTesha-le2ql 2 ай бұрын
Niko live🤸💪💪 king Noel i love u moree brodaa
@Amo_thebarber
@Amo_thebarber 2 ай бұрын
Kama unaikubali si lake hapa😂😂😂
@mosesmgomb-vz6fq
@mosesmgomb-vz6fq 2 ай бұрын
Wahuni wamektanaa,,papi na mr see😂
@GloryMukami-i4c
@GloryMukami-i4c 2 ай бұрын
Jamani landlord 😂😂😂 unaniua,, ccccc inakumlza
@CrsAlzaid
@CrsAlzaid 2 ай бұрын
Hivi sauzi niwapi mbona hili jina nalisikia sana wabongo wengi wakilitaja wakenya wenzangu kama mnajua niambieni ila kazi nzuri sana🎉
@Albatishabani
@Albatishabani 2 ай бұрын
Manake ni afrika kusini.
@CrsAlzaid
@CrsAlzaid 2 ай бұрын
@FastaHeradi ooh sawa nimeelewa.ssa
@kassimkinonono1466
@kassimkinonono1466 2 ай бұрын
Halafu mnampa kipande kikubwaa huyu jamaa ..anazngua please sisi wafuatliaj wa hii series muondoeni huyu jamaa anaharibu sna😮
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 2 ай бұрын
Huyu sii anaboesha sana mtoeni hapo😂😂😂😂😂
@AlaynaNurdiny
@AlaynaNurdiny 2 ай бұрын
Af kapewa muda mrefu kinoma af anaboa hatar kurudia sas so pw 😂😂
@VictoriaKitaly-b2y
@VictoriaKitaly-b2y 2 ай бұрын
Daah!!! Sio poa 😅😅 anakatisha stim ya kuangalia movie
@RizikiDula
@RizikiDula 2 ай бұрын
Kumbe umeona ameniboesha pia mm San wamtoe😂😂😂
@Bamutumubaya
@Bamutumubaya 2 ай бұрын
​@@RizikiDula😂kaniudhi, muda wote huo anaongea nini😮
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 2 ай бұрын
@@RizikiDula kabisa anaboo nakumbe hana hela 🤣🤣🤣🤣 analamba kikombe cha maziwa aliyo kunywa papi
@shizomaniga9627
@shizomaniga9627 2 ай бұрын
sijapenda hii see😂😂😂wallah🇧🇮
@UpendoMollel-vb4gw
@UpendoMollel-vb4gw 2 ай бұрын
Huyu wa siii katoka wapi tena anapoteza ladha ya move ban mtoeni na siiii zakeeee!!!
@RachelGoodluck-y6h
@RachelGoodluck-y6h Ай бұрын
Movie zenu ni ndefu sana bwana mpaka zinachosha punguzeni kidogo kha
@Jacklinekimario-s5q
@Jacklinekimario-s5q 2 ай бұрын
Huyu si wanini hapo jaman mi ananikera
@TereciahMutia
@TereciahMutia 2 ай бұрын
Ili nalo saa zote ni 'sii'. Lasinya sana litoeni hapa.
@eva-q1f2v
@eva-q1f2v 2 ай бұрын
Namtaka maua na kingnoely ww see tokaaaaaaa
@Marthamwandunda
@Marthamwandunda 2 ай бұрын
Duuuh 😢huyu ceeeee anaboaaaa hatareee Hadi movie imeanza nikeraaa
@LovenessJamesi
@LovenessJamesi 2 ай бұрын
Bhn uyo si atoleww bana anamaneno mwngi sanaa bhn na movies enywe dakika chache af jamaa anaongea sana kilamda Ccccc kah😢
@TayanaMshana
@TayanaMshana 2 ай бұрын
Uyo siii Hapna kwakweli tunaomba atolewe kwenye move anaharibu kabisaa😂
@BoniphaceKichere
@BoniphaceKichere 2 ай бұрын
Ccccccss final become a comedian 😂😂😂
@GcUh-mk4yw
@GcUh-mk4yw Ай бұрын
ILa kingi nakuomba umusameh mke wakwo kabisa Yani anateseka kabisa tena sana 😢 Maua pol sana lakini makosa Yako siyo kila mwanaume yoyote anaweza kuamini kabisa ILa kingi apewe mapua yake kabisa anajua Yani anajua ❤❤❤❤❤❤
@frolamaugo3924
@frolamaugo3924 2 ай бұрын
Kweli wasipo mtoa hiyo SI mala si araalibu movie
@AminiTuppa
@AminiTuppa 2 ай бұрын
hii mivi ni kali sana ila imechelewa sana plz kumi na saba isichelewe ivi t
@RizikiDula
@RizikiDula 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@RahelyEzekia
@RahelyEzekia 2 ай бұрын
kabisa tena
@hamidasaid-oh8fs
@hamidasaid-oh8fs 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@deusmaganga4348
@deusmaganga4348 2 ай бұрын
Noely naona mnatuzoea see, tutolee huyo Mr see😂😂😂
@Ibrahim-bp6sq
@Ibrahim-bp6sq 2 ай бұрын
Huyo see yuwachokesha kweli😂😂😂😂
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 2 ай бұрын
Kapatana na msela wake papi😅😅😅😅
@KhadijaSallum-b7l
@KhadijaSallum-b7l 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Thumaommy
@Thumaommy 2 ай бұрын
Mafala wawili Hawa siii hzo amehribu movie hta Leo haijaeleweka
@sfiaalanazi5479
@sfiaalanazi5479 2 ай бұрын
@@Thumaommy wote mabwege na hawana hela siii na papi hahahaaaaa
@Thumaommy
@Thumaommy 2 ай бұрын
@@sfiaalanazi5479 😂😂😂😂na waje Saudia waoshe vyombo naona ndio sii ztaisha ...akimuona muarabu 😂😂
@MaryamMubarak-lw8kw
@MaryamMubarak-lw8kw 2 ай бұрын
Uyu mr siii anatupotezea mda hatumtaki kabisa😮😮
@greysonkisinda7390
@greysonkisinda7390 2 ай бұрын
Hili fala sii wamelitolea wapi hata halijui kuigiza😂
@Tophernizermorokidd
@Tophernizermorokidd 2 ай бұрын
Ata kidog yn linakeraa
@KhadijaSallum-b7l
@KhadijaSallum-b7l 2 ай бұрын
😂😂😂😂
@EdouardKapama
@EdouardKapama 2 ай бұрын
Uyo wa sii yani anaaribu movie
@Mudymo8
@Mudymo8 2 ай бұрын
No 1 comment
@christinewanga7385
@christinewanga7385 Ай бұрын
Landlord kazidua😅 eti hizi biashara za Ccc ccc hauwezi kupunguza kdg😂😂😂🙌
@MrsRedmi
@MrsRedmi 2 ай бұрын
Uyu mshenz anaboa sii nini sasa adi mtu unaichukia move kwajili yke
@HusseinWaziri-j4w
@HusseinWaziri-j4w 2 ай бұрын
Wanaomkubali siii naombeni likes za zake😂😂😂
@AnnaChaula-x4f
@AnnaChaula-x4f 2 ай бұрын
Nimesubili mpaka nimekata tamaa mda wote nilikua na chungulia ❤
@dhahabudeche926
@dhahabudeche926 2 ай бұрын
😂😂😂tuko sote mm pia hua naangalia zilizo pita😂😂
@AnnaChaula-x4f
@AnnaChaula-x4f 2 ай бұрын
@@dhahabudeche926 😂😂
@priscaflorence5371
@priscaflorence5371 2 ай бұрын
Ula huyu Siii katokea wapi tenaaa 🤣🤣🤣🙌 ananikwaza mm
@ZephaniahSekwa-fl2go
@ZephaniahSekwa-fl2go 2 ай бұрын
Sijui tu mzee wa c akienda Marekani itakuwaje 😅😅
@christinewanga7385
@christinewanga7385 Ай бұрын
😂😂😂🙌
@leahmkemwa879
@leahmkemwa879 2 ай бұрын
King nakukubali sana na napenda unavyoigiza
@Bamutumubaya
@Bamutumubaya 2 ай бұрын
huyu wa south anaboa, episode ijayo apunguze wenge
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 2 ай бұрын
Asiwepo kbsaa ikiwezkana
@KhadijaSallum-b7l
@KhadijaSallum-b7l 2 ай бұрын
😅😅😅😅😅ceeee
@AghHh-v3f
@AghHh-v3f 2 ай бұрын
Samahani king Noel iyi parti Hayinaraha Atakidogo 😮😮😮 Ikikijama kimeharib utamu wa Move kabisa🎉🎉🎉🎉🎉
@josephsanga7820
@josephsanga7820 2 ай бұрын
Uyu jamaa wa C anafosi unyamwezi uyu jau sanaa
@edsonmakweta6347
@edsonmakweta6347 2 ай бұрын
😂😂😂 live
@queenbby92
@queenbby92 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@NuruAbdullah-h7g
@NuruAbdullah-h7g 2 ай бұрын
Ila see kauwaaa😂😂😂😂😂 daaah na mzee wakulelewa akajua maukoto yameingia ni mwendo wa see see see see kisha anaishia kuramba vikombe🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana
@Rehemamahumbi
@Rehemamahumbi 2 ай бұрын
tumeichokaa siii si
@sayunimnguruta98
@sayunimnguruta98 2 ай бұрын
Oyaa seee pika ugali 😂😂😂😂 Mau ujifunze Sasa na uheshimu mume wako ❤Dada ako sa sijui itakuwaje au basi😂😂😂😂😂😂
@naimanimo5891
@naimanimo5891 2 ай бұрын
Hii movie noma sana natazama nikiwa Kenya please 🙏 ep ingine musicheleweshe please❤❤❤❤
@GcUh-mk4yw
@GcUh-mk4yw Ай бұрын
ILa Ilo swali Si si si 😅😅😅 nacheka atak kuanguka chini naanguka😅😅 si si si
@RebecaMwamaka
@RebecaMwamaka 2 ай бұрын
Huyu nae wa see mmemtoa wapi
@VenerandaGabriel
@VenerandaGabriel 2 ай бұрын
Sii hatumtakii jaman😢
@SalmaAdam-xx2pg
@SalmaAdam-xx2pg 2 ай бұрын
Cpend kukomenti napenda kulike ila huyoo wasssss masdis Benz embumtoenii ss for wat
@MariamuMariamuhasani
@MariamuMariamuhasani 2 ай бұрын
Hiyo sin angenipa mimi ningelia mpaka magufuli angefufuka 😂😂😂😂😂😂😂😂
@AngelKennedyMwamulima
@AngelKennedyMwamulima 2 ай бұрын
Jamani uyu kaka see aondolewe kwenye hii move yaan hajui kuigiza
@DebbyNanyaro
@DebbyNanyaro 2 ай бұрын
Napenda sana move zako king noely 2naomba party 18
@alidola2919
@alidola2919 2 ай бұрын
Najaribu kujizuwia nisikosose mr 'see' lakini ananisukuma niseme😂😂😂...haya punguza see
@iradukundalvs4423
@iradukundalvs4423 2 ай бұрын
Hiyo jamaaa kwl hamna kitu anaharibu kbx na istoshe hajui kuigiza hio see nae inanikera !! 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@KabufunikeComedian
@KabufunikeComedian 2 ай бұрын
King Noël nakupenda bule yaaani♥️🥹lakini huyo jamaa wa sii si si apunguze🙅😂🤐🤭😂
@TransfiguredMaka
@TransfiguredMaka 2 ай бұрын
Hamjamuona siiii akilamba kikombe😂😂😂😂😂😂😂😂
@sammyNdabarishe-em9ul
@sammyNdabarishe-em9ul 2 ай бұрын
Nawe penda Sana but maua awache kuuza mboga sio biashara yake😂😂😂
@SaraMathayo-in3jb
@SaraMathayo-in3jb 2 ай бұрын
See😂😂😂😂wapi like see
@FelisterMwende-g7c
@FelisterMwende-g7c 2 ай бұрын
Kama unaamini uyu jamaa WA c Hana ata mia gonga like hapo😅😅😅
MAPENZI NI GAME [ EPISODE 17 ] Love story💞
35:07
KING_NOELY1
Рет қаралды 96 М.
PAKA WANGU episode 1
15:29
MWAKATOBE
Рет қаралды 284 М.
ССЫЛКА НА ИГРУ В КОММЕНТАХ #shorts
0:36
Паша Осадчий
Рет қаралды 8 МЛН
LAST CARD _ EP 35 (FINAL)
50:01
kp wa Aquino
Рет қаралды 494 М.
DUNIA (Ep 27)
27:45
ASMA FILMS
Рет қаралды 564 М.
TRUE LOVE FULL MOVIE
1:01:50
hemedy chande TV
Рет қаралды 1,5 МЛН