Binadam tunapaswa tuwe nashukurani siku zote hata kwa kidogo tunacho pata ona sasa tamaa mbele mauti nyuma 😢😢😢
@Kimwana255
Kz zuri sana jamani mapenzi yanauma jamani mm pia napitia ihi Hali ebu nipeni pole Kwa like
@AgnesDavidmtalemwa21 сағат бұрын
Max ni hensam jamn kama unamkubali gonga like🎉
@rizikimwadaba118612 сағат бұрын
Ila wabongo mnaboa sana hivi mnafeli wap kuongea kiingereza,,, I don't want peace I want problems always 🤣🤣🙌... Msinipige bas nawapenda wabongo wenzangu🤣🤣🤣
@Victoriambalangu14 күн бұрын
Kweli wamezingua nkajua na hemedy yupo na pale wameandik donta tv,rk Tunga na clam VEVO nkajua wameshare wote bc wamo kwa movie kumbee nothing
@user-qg5zt1sh3q16 сағат бұрын
Mko vizur ila mwachemsha.juu hakuna venye ametoka tayari apo kwako ameenda kwa mtu mwengine bila kujua uyo mtu mwengine walipatana.vip.simwaona venye mwachemsha.
@TheodoraNzuyu-ht9ruКүн бұрын
Max uko poa Sana, nimeipenda hiyooo❤
@user-lq9ud4hx8q14 күн бұрын
kazi nzuri sana kuanzia leo nitakuwa nawafuatilia
@GeradhAdiliano14 күн бұрын
sooo kwa ulimwenguu huuu kiukweli tuu hakuna ndoa jaman wengi ni pesaa kwanza mamb mengine yanafaata dhuuuuu???????