Subhanaallah kwanini wasichana wakipendana na wanaume mnakuwa rahisi kuku haribu kwanini usijiweke ghali maana akisha kuku haribu hawezi kukuona maana kesha pata alichokihitaji na waomba wasichana mjiweke expensive msidanganyike kwa chipsi keku upingwe na mwaume haja kuoa wala hana masulia yoyote yale
@saudahassan66672 жыл бұрын
Waaaaooo fabi umekipatia sana hiki kipindi uko vzr hongera sana
@khadijaali46572 жыл бұрын
Mm nakusifia Fabi ww ni mzuri sana handsome mashallah
@azizaaziza79962 жыл бұрын
Hkk tena sana
@gracekadzo17672 жыл бұрын
Sana na sana
@nipautago85742 жыл бұрын
Asante fabiani kisaka! Mlete na Hawa
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
Mmmmmmmmh hawa hawezi kumleta maana waliachana nae toka mwaka jana alisaidiwa ila hakudaidika hata sjui yupo wapi kwa sasa
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Yule yule tunae mfahamu au hawa mwingine?
@kiri58072 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي Yule asubiri HIV tu km hanayo .
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
@@myunaniniahmad6463 yule yule tunae mfahamu sisi
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
@@kiri5807 ila hawa alikuwa mjinga yule alisaidiwa sana tena zaidi ya sana lakini hakubebeka kamwe jamani khaaa
@princessmakwega24442 жыл бұрын
Fabi upo good Sana kipindi Kipo Bomba una kimudu
@hamidaa43722 жыл бұрын
Ahsanten kwa kututoa stress kipindi kizur mno japo sijamaliza kuangalia
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
Kabisa
@shameemrashid52192 жыл бұрын
Wa pili leo jamn gonga like hapa
@sarahadam45352 жыл бұрын
Mmh unamdanganya hajui kwa kweli kuimba
@danielmwaikambo69352 жыл бұрын
Kuimba hajuwi
@pilimusa32172 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@jaharaoman64782 жыл бұрын
Hongera Muxmum kipindi kizur sana
@salmasalim60552 жыл бұрын
Wow 👍🏼
@whimsymaverick30572 жыл бұрын
Dada amekaa sexy sana, pure feminine. LOVABLE🌷
@husnamadai98922 жыл бұрын
Mmmh
@brigitharmacha49912 жыл бұрын
Maximum nachowapenda huwa hamkosei especially kwenye vipindi vyenu kaka fabi big up sana
@maximumtvonline2 жыл бұрын
asante sana
@حميده-ر4ظ2 жыл бұрын
Mmmh, Hao wa Dada wanarembuwa hadi rahaaaa🤑🤑Fabi fanya uchukuwa jiko hilo la gase likakulipukiye🔥🔥🤣🤣🤣Maximum tuta kuchangiya pesa ya matibabu🤗🤗nakutaniya Fabi usikasirike😀
@hamedahameed1482 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂haki Mungu anakuona
@brigitharmacha49912 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@حميده-ر4ظ2 жыл бұрын
@@hamedahameed148 jamani we uwoni wanavyo rembuwa😁Yani wasije Waka tuchukuliya Fabi wetu.
@hamedahameed1482 жыл бұрын
@@حميده-ر4ظ fabi tunakuhitaji bado 😂😂
@nyamkamawanjara292 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭nimecheka hadi machozi
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Naona dada etu kaanza kumfanyia interview fabi 🤣🤣safi✌🏻🤣mi nipekupenda dog langu ucheshi wake 💕💕👌
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Sauti ya dd kama inamuita fabe jamani😃
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Wanaume wanapenda nusunus hao so kuwaamni abadani wakwenderrrrr zao hko
@danielmwaikambo69352 жыл бұрын
Kuimba hujuwi
@alawisalim91392 жыл бұрын
Wow
@mozahlyan8162 жыл бұрын
Big up
@khadjaiddlis2832 жыл бұрын
Wanaume wabaya sana yaani hawana huruma hata
@halimasaid49772 жыл бұрын
Kweli kabisa
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mtihani mapezi hayo vip mtu atafute maisha mwaname akupe nini mayatizo tu mm sihitaji nafanya kazi kwa bidii nafanya maisha yangu bass
@kiri58072 жыл бұрын
Ndio hapo . Dunia ya leo wanaume hawapendi kutegemewa hata awe nacho atawanyima wanawe ndani anaenda kuwasaidia watoto wa mwanamke mwengine nje ambao kamkuta nao tu .
@kadijahajali39182 жыл бұрын
@@kiri5807 mtihani kwa kweli ishaalah mm natafuta maisha yangu bass
@kiri58072 жыл бұрын
@@kadijahajali3918 . Ndio hapo . Mimi pia sitaki ugomvi na mume simuombi chake akinipa napokea hakunipa simuulizi mwenyewe naingiza rizki yangu alhamdulillah maisha yanakwenda . Niko piece .
@kadijahajali39182 жыл бұрын
@@kiri5807 ishaalah mm nipo oman nafanya kazi
@kiri58072 жыл бұрын
@@kadijahajali3918 Vizuri , Mimi niko UK
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Mtihani mkubwa huo wa zina tu mkristo mwislam hee auwahu akibaru mungu nisuru na baalaa hizo
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Kaaga hivyohivyo ukijiona unapendwa mwanzako wa kwanza kukwambia nakupenda na wewe ukampenda mwisho wa siku kila mmoja yuko kwake basi jua wote watakuja na kauli hiyohiyo mwishoe utaishia kubanjuliwa tu kama chombo cha starehe na utabaki hivyohivyo ukijishaua na umri unakwenda
@veronicaemanuel90642 жыл бұрын
Dada mashauzi mengi sana. hata sijakuelewa kabisa kila nikijitaidi kukuelewa sikuelewi
@zaitunisaidi36952 жыл бұрын
Sotyy yake siyo ya kweli ata akiongea amanishi
@zanurashabani22302 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@henrykissinger48162 жыл бұрын
Fabi inafaa uwe mpelelezi wa serikali
@barakatabdul32122 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@bonifaceibunga94432 жыл бұрын
Hapo kwa paji ya uso kiligongwa ngeu ktk fumanizi
@salmanassor87322 жыл бұрын
Huyu mdada anaonesha mjeuri maana anaulizwa swali na yy anauliza na kutaja iyo miaka ya nyuma ulokuwa nayo pia shida ovyooooo
@anisabodle11782 жыл бұрын
That voice mmmh
@mariamhamisi5982 жыл бұрын
Haya sasa kazi inaanza comment kwanza leo sijisikii kusikiliza kesho ishaallah nitasikikiza bwana fabii
@tanzaniaafrica70192 жыл бұрын
Pole
@essserleem32542 жыл бұрын
Leo Fab u look whaaoooh na huyo dada ni mrembo na mchangamfu
@queenhuu28522 жыл бұрын
Kumekuchaa TUnaendeleea kuumizwa wanawake ,,
@mamawawili40692 жыл бұрын
Hy kaka nampenda mchunguz anatak kujua had walichoongea🤣🤣🤣🤣🤣🙈🙈
@lililili56212 жыл бұрын
Fabi napinga hilo mwanaume anaweza kuwa na mahusiano nje na mke a cjui lakin mwanamke ni rahic sana kumgundua kama ana chit na ndy maana mwanaume ana weza kuoa wake wawili lakin sio mwanamke kuolewa na wanaume wawili
@mereyamhomesmariamhomes34642 жыл бұрын
Fabi vaa miwani ukiwa kwenye kipindi mana wengi wanakuona ww huwa na hisia
@zuhurakhasimu9692 жыл бұрын
Kweli kabisa ana macho mazuri sana mashaa Allah 😘😘😘
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ila miye naona macho yake ndivo yalivo
@bimkubwaali16052 жыл бұрын
11
@salmanassor87322 жыл бұрын
Hiki kipindi fabi kimekupendeza sanaaaaaa
@asmarajabu57862 жыл бұрын
weee
@burayhin2 жыл бұрын
Duuh
@halimaakter82882 жыл бұрын
Fabi aliekuweka kwenye hichi kipindi amekupatia sana
@mrsliverpool42352 жыл бұрын
kabisa😂😃😄
@graceshayo13472 жыл бұрын
Yan mpk laha jmn embu mtuletee nyingne maan nzur
@malengabutaley84692 жыл бұрын
Pole sana sister ila unachonishangaza nikuogopa kutaja mri ulionza mausiano tulitaka kujuwa
@margarethasway84502 жыл бұрын
Ujue alianza mapenzi kwenye umri mdogo so anajua tutamshangaa
@vumilaameshaa9692 жыл бұрын
😁😁😁😁imenibidi nicheke tufanye colabo tu🚶🚶
@لَاإِلٰهَإِلَّااللّٰهُمُحَ-ي2ه2 жыл бұрын
Kipindi kizur sana nmekipenda nami natamn sku nije nitoe yalonikandamiza nyuma ya mahusiano aki wanaume n wapenda nusu nusu hao me pia nawapa 30%tuu ya kuamin 😂😄
@mouwanahamisi82162 жыл бұрын
Mwanaume ni rahis kuwa na mahisiano Zaid ya watu wawili na wasijuane lkn mwanamke akiwa na mahusiano mawil ni rahis Sana kumgundua cos mwanamke anapenda kwel ukion anabadilika jua kuna penzi jipya uko
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
Wanaume kwa sababu waongo sana hawana mapenzi ya ukweli 10 kwa 1wanapenda mahusiano na kila mwanamke wala hawajui nani bora wamo tu
@khadijahali48372 жыл бұрын
😊😊nitaangalia kesho In shaa Allah
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
Aamiin
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
🤭🤣
@khdigahk42462 жыл бұрын
Njoo bas wajina wngu tuangalie Leo tukisubilia mda WA kupika ghada😅🇴🇲
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
@@khdigahk4246 😆😆 unapenda ghada me napenda aasha wajina wngu ntaangalia nyuma ya Ramadan inshallah 😅🤣🤣🇧🇮🇸🇦
@sikudhanimoshi69672 жыл бұрын
@@khdigahk4246 mambo vp mpenzi pande gani
@faudhiasalum72792 жыл бұрын
🙄
@azharrtxj87732 жыл бұрын
Ewe, kime valuka,, sasa mbona stori imegeuka Faby ndo ahojiwa... tatito la kumfanyia intavew mtangazaji mwenzio
@khadijarashidbo31842 жыл бұрын
Pol San
@asiyaamoury85562 жыл бұрын
Fahaby kk ❤
@fainesimathiasi1792 жыл бұрын
Kwanza huyo.dada anaonekana maraya😂
@salmatuleteesehem71jmnmahm592 жыл бұрын
Sio maraya ni malaya😁
@pilimusa32172 жыл бұрын
@@salmatuleteesehem71jmnmahm59 🤣🤣🤣🤣🤣
@nasraabdallah8502 жыл бұрын
Kwenyeswala lakumchoka mwanaume best atamimi uwanachokaga tu atauwa sielewi uwa natakaga mapumziko atasijui kwanini🤣🤣alafu nikiwa biz nabiashara zang uwa sipindi sim yampez ata chat uwa sipend lkn marafiki nachat vizur nasim napokea. Wapenz watatuvumilia tu🤣
@hamidaa43722 жыл бұрын
😂😂😂😂😂saut inamuita fabi
@sifatiiman2 жыл бұрын
😄😄😄🤣🤣
@dorcaskidoti2492 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
😂😂 astaghfiru llah 🙏
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
Team Wi-fi mnacheka nini sasa sauti inamuita fabian 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
@@المهلهلالحراصي 😂😂 unaona je wawe mke na mume?😆😆
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
Huyu dada sijamuelewa hata kidogo😏😏
@zuhurakhasimu9692 жыл бұрын
😂😂
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
@@zuhurakhasimu969 Au weye umemuelewa mwenzangu😄😄😄
@zuhurakhasimu9692 жыл бұрын
Story yake nzur inafurahisha sana ila kitu kimoja tu kaniboa hataki kusema miaka yake 🙂
@omarhome22602 жыл бұрын
Gaiiii
@abdulazizalqamshoaui84212 жыл бұрын
mushkila simuache tu kupenda kam mm tafuten tu flus😃😃
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Botlra Ata mtu alieumizwa kwenye ndoa naweza muelewa ivi mtu hujaolewa unaweza je kumpenda mtu kiasi icho ufuuu😂😂😂😂😂😂
@ruqayyahmohammed31882 жыл бұрын
5tena single forever 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Fulus mambo yote
@ramlajuma15982 жыл бұрын
Kaka mtangazaji shikamooo 🙄😂😂😂
@khdigahk42462 жыл бұрын
Kwaniaba yke marbaaaaaa❤️
@ladymuna49452 жыл бұрын
Basi kazi unayo, ikiwa ukimchoka mtu mume, umechoka angalia usijemchoka na mumeo mana utamaliza
@ramlajuma15982 жыл бұрын
@@ladymuna4945 kivipi 🙄🙄🙄🙄
@ladymuna49452 жыл бұрын
@@ramlajuma1598 sasa yy yuasema akimchola mtu ndo ishatoka. Sasa otakuaje kesho akiolewa ikiwa harudi nyuma
@sophiaomar70342 жыл бұрын
😅😅😅
@lailaoman38562 жыл бұрын
Uyu anaujiwa na anaoji ananibowa
@azharrtxj87732 жыл бұрын
Hki jamani nacheka mimi eee hdi mbavu cna
@omanruwi49352 жыл бұрын
uyu dada namuangalia marambili mbili mbona wamefanana nakakafabi au ni ndgu
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
Du nilijua mimi tu na haswa angalia midomo yao haswa wanapokua wakiongea
@omanruwi49352 жыл бұрын
@@swaumdodoma7591 mdomo na machoukiwangalia
@saebajoma84192 жыл бұрын
Wakwanza
@halimahussein60662 жыл бұрын
Huyu nae aliitwa alikuja mwenyewe eti sitaki kutaja umri anahashuo akwende huko kwanza anajiona mjuaji hata mwanaume asinge wezananae maana anyone anaonekana tyu unapo taka kwenda kuhojiwa kunavitu unatakiwa uviseme
@missmoona44972 жыл бұрын
Makubwa kusifiana tena
@sarahadam45352 жыл бұрын
Ila fabi umefanana na mama ako
@swaumdodoma75912 жыл бұрын
Unamjua mama ake?
@azharrtxj87732 жыл бұрын
😂😂😂😂
@pilimusa32172 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mama yake unamjuwa
@inongee11412 жыл бұрын
Sinza sehemu gani?Mimi mwenyewe nimekulia sinza nimesoma shule ya mapambano. Kuna jirani yetu walikuwa kina miranzi au ndio nyie
@bonifaceibunga94432 жыл бұрын
Huyu Grace inaonekana ni malaya sana maana anasema huwa hakai na mwanamume zaidi ya miezi 6 lkn kijana wa kiislam alikaa naye nearly miaka 2.......... Majina ya Grace ni fuska sana shortly
@HanipherHassan-i4d Жыл бұрын
Haya majina nibalaa jamanii
@myunaniniahmad64632 жыл бұрын
Hiv ugumu unakujaga wapi pale mtu anashindwa kusema miaka yake?
@ashaabdalla9242 жыл бұрын
Hata nashangaa sana tena wasanii ndio hao miaka wanayotaja tofauri na walivo na hawajui ukipunguza ukizidisha ni sawa umri unakwenda haurudi wanajiangaisha tu kujifanya wachanga
@khalidsalum17402 жыл бұрын
Ujingaa tuuu unawatafunaaa
@charozawadi72172 жыл бұрын
🤣🤣
@veradiana62942 жыл бұрын
Fabi ilo jicho vp mbona linalegea sana kulikon
@azharrtxj87732 жыл бұрын
😂😂😂
@pilimusa32172 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
😆😆😂😅😅 mushkila 🙄
@khdigahk42462 жыл бұрын
Nobeee 😅😅😅
@khadijahali48372 жыл бұрын
😂😂
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
@@khadijahali4837 tuwahi kwamtetezi 🏃🏃🤣🤣
@khadijahali48372 жыл бұрын
@@khadidjasuleiman8006 kwakweli 🏃♀️🏃♀️
@khadidjasuleiman80062 жыл бұрын
@@khadijahali4837 siku hiyo naisubiri kwaham wallah eti tuache kuchatiiii😆😆
@halimasaid49772 жыл бұрын
Ile story ya yule bint na mchumba wake mbona sijaona yena
@azharrtxj87732 жыл бұрын
Hawaaa wale wa kula chips na utumbo na firigisi
@pilimusa32172 жыл бұрын
@@azharrtxj8773 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kina nani hao waliokuwa wanakula firigisi
@kadijahajali39182 жыл бұрын
Huna kazi wewe huna la kufanya nywele huchani ndiyo wanaume wakuwacha una aibu tu wewe
@mrsliverpool42352 жыл бұрын
😃😂😁😀
@princess.s.r74462 жыл бұрын
Wivu uo😁😁
@mereyamhomesmariamhomes34642 жыл бұрын
Shida sio kuchana ni dizaini tuu wadada wengi wanafanya hivyo
@zuhurakhasimu9692 жыл бұрын
Ila wabongo bwana hatari sana🤣🤣
@المهلهلالحراصي2 жыл бұрын
Eti nywele huchani 🤣🤣🤣🤣🤣
@mrsliverpool42352 жыл бұрын
huyu hata story yake haisisimui..hajaumizwavizuri bado hakuna hata sehemu moja alipata hisia kali wakati a kuelezea... alafu kuimba hujui ...bora ubaki huko kwa utangazaji
@halimaakter82882 жыл бұрын
Kweli kabisa atuulize tulio umizwa
@rukaiyaahmadsuleiman39512 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mrsliverpool42352 жыл бұрын
@@halimaakter8288 umeona eeh
@mrsliverpool42352 жыл бұрын
@@rukaiyaahmadsuleiman3951 kwani uongo😃😀😁😄
@khadijahali48372 жыл бұрын
Sasa mlitakaje 😣
@shadrackmazemba67362 жыл бұрын
dada grace anatumia jina gani FB instagram... ? Mi shabiki ake sana kwenye sports aisee