mapigo Tisa mlitisha saana mkaicheza ngoma sahihi ya asili ya waha.lkn sasa nyimbo mliziimba za kisiasa wakati jaukwaa halikuwa la siasa mliondoa radha hapo
@gilbertbahulugo18903 жыл бұрын
ingoma yi muhila iwachu
@deoglatiaslameck35856 жыл бұрын
Mdumishe utamaduni wenu
@ladislaustumbu45097 жыл бұрын
Nilipenda mlivyocheza. Mjikite kuimba Matatizo hahususi katika jamii, muelimishe kama mlivyokuwa mkifanya siku nyingi pale Kigoma. Nafahamu uwezo wenu katika "kuchegeta Mnyanga" Usamberee wetu. Mimi ni mfuatiliaji mzuri Wa Katagi, Denga za akina mama, mapigo saba na Tisa. Kuna haja ya kufanya mapinduzi kwenye mziki Wa Asili pia.
@piterndanamba62875 жыл бұрын
😂😂😁umenikumbusha mbali kaka .denga yaan imibhala maarfu kama sherehe
@hawayusuphu38215 жыл бұрын
Liemba
@piterndanamba62875 жыл бұрын
Tabhagaa namabhanga 😂😁😂😁 mmenikumbusha mbali daah! C kut mpooo
@charlesbibombe23012 жыл бұрын
Punguza longo longo, xheza. Ngoma utamu wake kucheza