MAPOKEZI YA APOSTLE JOHN CHI, NCHINI TANZANIA NA PROPHET SS ROLINGA

  Рет қаралды 14,280

Haleluya Tv

Haleluya Tv

Күн бұрын

Пікірлер
@loyceyoel7732
@loyceyoel7732 7 ай бұрын
This is the legacy of Prophet T.B.Joshua.Kazi yake inaonekana sasa ,Mungu azidi kubariki kazi hii kubwa, Ni kweli Bara letu la Africa ni kazima lipone. May the Living God bless our servants kwa maono haya makubwa. Amen.
@altentic8616
@altentic8616 6 ай бұрын
my prayers that more and more confessional Christian schools will be opened in Tanzania and Kenya and throughout Africa.
@oscanyakunga
@oscanyakunga 7 ай бұрын
Mungu nimwema karibu tanzania❤
@shammhagama2527
@shammhagama2527 7 ай бұрын
Prophet John chi is a very humble man of God. Karibu Tanzania
@ananiadamian4597
@ananiadamian4597 7 ай бұрын
Kama ndoto ,Moja ya maombi yangu ya Muda mrefu miaka mitatu iliyo pita hatimaye Mungu amejibu Mungu akubark sana Brother na prophet Lolinga
@isayachaula
@isayachaula 7 ай бұрын
Napenda sana kuona viongozi wa serikali kutii sauti ya Mungu hakika nchi yetu ina neema Amen
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki 7 ай бұрын
Najiunganisha na ujio huu wa pastor John chii pamoja na familia yangu na watoto wangu namini nimefunguliwa Kwa jina la Yesu kristo Ameeen 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 7 ай бұрын
jmni mtu wa watu Proph. Rolinga amejianda mnoo baba wa watu. Mungu ambariki na kumfunika nabii wake kwa kweli
@antoinetteshivachi9562
@antoinetteshivachi9562 7 ай бұрын
Ñabii ss Rollinga good work of GOD you are more than President in Jesus name
@tumpelukongolukongo4069
@tumpelukongolukongo4069 7 ай бұрын
Be blessed John Chi 🙏
@DerrickKazunda
@DerrickKazunda 7 ай бұрын
Papa masumba ubarikiwe
@lightmashauri1725
@lightmashauri1725 7 ай бұрын
Haleluya Mungu ponya Tanzania ...haka kawimbo ni 🔥🔥
@vivianeaimeenkwetchoua2975
@vivianeaimeenkwetchoua2975 7 ай бұрын
Amén amen🙏🙏🙏🙏
@MatronaThomas-wz5si
@MatronaThomas-wz5si 7 ай бұрын
Najiunganisha na familia ktk JIna la YESU mimi Henry J
@egbertcharles
@egbertcharles 7 ай бұрын
Asante Yesu kwa hii Neema, Maombi yangu kwako eh Mungu ni kwamba marafiki zangu na wote watakao fika kwa ajiri ya kutatuliwa shida zao wakapate kujibiwa maombi yao kwa Jina lako Yesu Kristo.
@joachimmbeki3442
@joachimmbeki3442 7 ай бұрын
Mapokezi haya kweli..hongera Tanzania..
@coolsinare8824
@coolsinare8824 7 ай бұрын
leribakaa sakaya enlibe rakush bratelee..karibu sana man of GOD niko moshi hapa but nataman ku paa mpaka dar ardhi yetu imepewa neema na mimi na mke wangu tunapokea mambo haya makuu
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki 7 ай бұрын
Baba SS ROLINGA, MUNGU akubariki sana Kwa kazi ya MUNGU unayo ifanya 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@hosealutangilo5058
@hosealutangilo5058 7 ай бұрын
Welcome 🙏 TO OUR NATION TANZANIA
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 7 ай бұрын
Welcome Prophet John Chi to Tanzania May our living God use you to heal the nation and everyone in Jesus mighty Name
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 7 ай бұрын
waoow kashuka na Kenya Airways..asanteni jirani kwa kumbeba mtumish kumleta Tanzania
@mukunderashid9092
@mukunderashid9092 7 ай бұрын
Najiunga mimi na nyumba yangu yakupokeya Baba Jonh Chi. Mungu ni mkuu sana ❤❤❤
@EvaKalage
@EvaKalage 7 ай бұрын
Ahsante Yesu kwa neema hii
@janethmwihumbo1289
@janethmwihumbo1289 7 ай бұрын
😢Ee Mungu tupe macho ya rohoni
@LoiceRiziki
@LoiceRiziki 7 ай бұрын
Hongera sana MUNGU akiwa upande wetu nani atatishidaaaa
@mlasideborah9804
@mlasideborah9804 7 ай бұрын
Hallelujah Mungu ni mwema sana
@elishamafulu106
@elishamafulu106 7 ай бұрын
AMEN
@pauloropian2367
@pauloropian2367 7 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania mungu ibariki Africa
@renisonruwa8990
@renisonruwa8990 7 ай бұрын
Heal my family and our land Kenya 🇰🇪 🙏
@catherinemukami4190
@catherinemukami4190 7 ай бұрын
Hongereni ❤! Safii sana Mungu ni mwema
@DerrickKazunda
@DerrickKazunda 7 ай бұрын
Najiungani
@joycekimorgo5239
@joycekimorgo5239 7 ай бұрын
To God be the glory
@AngeltshilandaMutombo
@AngeltshilandaMutombo 7 ай бұрын
❤❤❤❤
@Wamisangi
@Wamisangi 7 ай бұрын
Maelfu ya Watu. Tayari uongo. Yohana 4:24
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 7 ай бұрын
Mbalikiwa mwakipesile ndo mchungaji tu hawa wengine ni wachumia tumbo
@mussatete2618
@mussatete2618 7 ай бұрын
Na Nyisake Chaula
@veronicankhwazi7954
@veronicankhwazi7954 7 ай бұрын
Safi sana John chi
@ChazkKasubi-le4dj
@ChazkKasubi-le4dj 7 ай бұрын
Amen 🙏
@bharyasarbjit1187
@bharyasarbjit1187 7 ай бұрын
Apostle John chi My Grandson Arjun Bharya age 11 can't walk feed speak please pray Heal Bless Him we are in Tanzania East Africa.
@EvaKalage
@EvaKalage 7 ай бұрын
Jesus heal our land
@ShautielyNosiani-vw4wx
@ShautielyNosiani-vw4wx 7 ай бұрын
Aminasana
@pauloropian2367
@pauloropian2367 7 ай бұрын
Amen
@edwinmbunda6709
@edwinmbunda6709 7 ай бұрын
Ni neema kubwa kwa kweli
@mags8569
@mags8569 7 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@PatrickKUMALILWA
@PatrickKUMALILWA 7 ай бұрын
Tunatakiwa kufika saa ngapi uwanja wa Taifa?
@Shalom803
@Shalom803 7 ай бұрын
Jehovah Heal our land😢
@EnockMakina
@EnockMakina 7 ай бұрын
Amen Amen Amen mutumishi wamungu
@RAMANETWORKS.
@RAMANETWORKS. 7 ай бұрын
Benny was here but leaved legacy of deaths
@RAMANETWORKS.
@RAMANETWORKS. 7 ай бұрын
Red carpet
@scarcitypharemond7367
@scarcitypharemond7367 6 ай бұрын
❤❤❤
@EvaKalage
@EvaKalage 7 ай бұрын
Jesus heal our land
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН
JISOO - ‘꽃(FLOWER)’ M/V
3:05
BLACKPINK
Рет қаралды 137 МЛН
"Идеальное" преступление
0:39
Кик Брейнс
Рет қаралды 1,4 МЛН
APOSTLE JOHN CHI APOKELEWA NA RC CHALAMILA, DAR AOMBEWA..
9:42
Haleluya Tv
Рет қаралды 13 М.
MAKAO MAPYA YA HUDUMA NJIRO ARUSHA MJINI !Feb 2024
9:56
Mbingu Duniani Tv
Рет қаралды 3,5 М.
THE MOST POWERFUL RUQYAH REMOVES Djinn IN THE HUMAN BODY AND BLOODSTREAM
1:40:25
UNABII WA 2025 KUNA  RAIS ATAFIA MADARAKANI...
28:54
Haleluya Tv
Рет қаралды 203 М.
Какой я клей? | CLEX #shorts
0:59
CLEX
Рет қаралды 1,9 МЛН