Рет қаралды 172
Bwnana yesu asifiwe karibu katika channel yetu ya Nzuguni pentecost-neno tv,channel inamilikiwa na kanisa la Dodoma Pentecost church,mmpt nzuguni kanisa lililoko chini ya Mr&Mrs Mchungaji na Askofu CHARLES ZAKAYO NDASI.
Kanisa liko makao makuu y Nchi Dodoma karibu na kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani (Nanenane bas terminal), Kata ya Nzuguni "C" NEW CBE CHUO'
Unaweza pia kutoa sadaka yako ya kubarikiwa kwa mafundisho na kuboresha channel hii kuwa bora na kupata mafundisho mazuri na picha angavu kwa (M-PESA NO:+255763225421 +255748636064 TUPOKIGWE NASOBILE MWANJEJELE na Mungu wa mbinguni akubariki na kukutunza kwa sadaka yako nzuri.