MAPYA MCHUNGAJI KIMARO: WAUMINI WAMUWEKEA BANGO LA MILIONI 6 "HADI NJE YA NCHI TUTAWEKA"

  Рет қаралды 33,096

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 127
@shalomchoirklpt4373
@shalomchoirklpt4373 Жыл бұрын
Mimi nadhani Mungu ameruhusu hili si kwa ubaya bali kuna baadhi ya mambo Mungu alitaka kumwonyesha. Kwanza Mungu alitaka kumwonyesha kuwa anachokifanya kina mchango na msaada mkubwa kwa jamii. Pia Mungu anaendelea kumkomaza na kumwandaa kwa makubwa zaidi. Love you much baba mchungaji kimaro
@adamchambo12
@adamchambo12 Жыл бұрын
Namkubali sana dr kimaro,Mungu akariki sana,Naunga mkono kuwekwa kwa Bango hilo,Hakika Mungu anamtumia vyema.
@annarosegodfreymuro1194
@annarosegodfreymuro1194 Жыл бұрын
Amina! Mbarikiwe sana Cha msingi tumuombee Watumishi wa Mungu wanatuhudumia lakini wanapitia mengi sana, wana vita kubwa sana, upendo tuliouonesha na tupige magoti kumuombea sana tukumbuke shetani yuko kazini na kazi yake ni kuvuruga.
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Hilo grp mliweke hadharani na wengine wa mikoa mingine tushiriki. Anatulea though kimtandao. We love him💞💞💕. Mchungaji Uncle I love you mtu wa Mungu
@jennytugara9470
@jennytugara9470 Жыл бұрын
Wamefanya kitu cha dhawabu kubwa na mapenzi yenu Mungu wa mbinguni awabariki na Taa ya mtumishi itaendelea kumulika ulimwenguni kotee
@zuwenaabdallah7748
@zuwenaabdallah7748 Жыл бұрын
Heee katisha mch.kimaro
@abigailbateyunga8187
@abigailbateyunga8187 Жыл бұрын
Hongera Baba 💯🔥 Kwa ushindi wa Kiungu Waflp. 1:6 Amina.
@danielezekieldaniel365
@danielezekieldaniel365 Жыл бұрын
Amina tumshukuru Mungu. Mimi ni miongoni mwa walioshiriki jambo hili la Baraka
@valentinovenant1568
@valentinovenant1568 Жыл бұрын
Hekima yako imewapendeza wanadamu na mungu ....kama mungu alivyoagiza tukuwe ktk kimo na hekima tumpendeze mungu na wanadamu... umetupendeza🙌🙌🙌❤❤❤
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Ni Mchungaji mzuriiii sanaaaa Nina mpendwa Sana kwa kweli napata Amani nikisikiliza maombi na mafundisho yake
@محمدالقايد-د6ب
@محمدالقايد-د6ب Жыл бұрын
Good baba be blessed
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Hakika upendo ni gharama, viva mchungaji Kimaro. Wachaga oyeeee.
@benhorta5121
@benhorta5121 Жыл бұрын
Upendo mkubwa ❤️
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Safi sana watu wa Mungu. Mmefanya kitu kikubwa sana na ni alama ndani ya Moyo wake mchungaji Kimaro
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
God bless you Pastor Kimaro
@oscanyakunga
@oscanyakunga Жыл бұрын
ASANTE mtumishi wa Mungu asante ubarikiwe Ameen
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Жыл бұрын
Hongera Askofu kwa maamuzi mazuri.
@helenlimmo
@helenlimmo Жыл бұрын
Kwakweli mungu awabariki sana Kwa kazi nzuri mlioifanya yaani machozi yamenitoka Kwa kitendo Cha furaha na Cha upendoKwa mchungaji wetu mwema Kwa kuweka bango lake kweli mchungaji mungu azidi kukuongezea karama mliwaza kuweka Hilo bango mungu awaongezee mara dufu asiwapungukie hata siku mojaa
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hawezi kuwaongezea hao ndani ya mioyo yao kuna visasi. Itakiwa wamuombee na sio kuweka bango la mipasho. Ukitasfiri kwa Kiswahili wakichoandika ni mipasho wa washabiki.
@happynescostat7420
@happynescostat7420 Жыл бұрын
Sijawai kuona upendo wa ajabu Kama huu😭😭😭
@euniestherwilliam1513
@euniestherwilliam1513 Жыл бұрын
Kibali cha kiungu hakifunikwi, hakika ukichaguliwa na Mungu utabaki kuwa juu
@veronicascottmollel7897
@veronicascottmollel7897 Жыл бұрын
Ameen
@SARAHHALIFA-wm2kg
@SARAHHALIFA-wm2kg Жыл бұрын
Kweli upendo unayo nguvu Sana kuliko imani.hauna BAYA mchungaji kimaro natamani siku Moja use askofu mkuu kkkt Tanzania nzima
@lizzybahati3739
@lizzybahati3739 Жыл бұрын
Mpakwa mafuta wa Mungu Mungu akubarki sana baba kimaro
@tumwaminmtewele7739
@tumwaminmtewele7739 Жыл бұрын
MUNGU. awabariki sana
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 Жыл бұрын
Awesome hongera sana
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Haya ni mahaba. Si mapenzi. Mapenzi yasiyojificha. Majaribu hayana budi kuja. Tinakuelewa sana. Ibilisi anakuonea wivu mno lkn hatakuweza kwa damu ya Yesu. Hatakuweza ng'oo
@husseingabo5497
@husseingabo5497 Жыл бұрын
wewe nini tulia hizo pesa wamezoharibu si wawapelekee wasio jiweza kuna watu muhimbili wamekosa hata milion moja tu ili wafanyiwe upasuaji acha kusaprt ujinga
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
@@husseingabo5497 wewe huongi? La muhimbili ni lingine na hili ni lingine. Maisha yana vipengele vingi sana, Luna wakati wa burudani,kawaida na huzuni na haya yote kila kiumbe anapitia. Sadaka hailazimishwi pa kupeleka bali kuwiwa pa kutoa. Hata huko tunatoa kwa muda wake. Acha maisha yaende kwa nyakati zake
@christophercostantine7497
@christophercostantine7497 Жыл бұрын
@Hussein Gabo wanampenda Sana mwanadamu kuliko Mungu hayo ndiyo Yale mafundisho ya Wanikolai yaliyozungumziwa ndani ya makanisa
@marynyaki5504
@marynyaki5504 Жыл бұрын
@@christophercostantine7497 Mungu ulishawahi kumuona?huwezi mpenda Mungu usiemuona,huku unamchukia mwanadamu unaemuona,Acha tupendane kwa kuonyeshana hivi hvi,sababu Sisi no wawakilishi wa Mungu duniani
@meryemanuel5292
@meryemanuel5292 Жыл бұрын
@@marynyaki5504 😍😍😍
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 Жыл бұрын
Mungu ndie wakumpeleka
@faridaaloyce4330
@faridaaloyce4330 Жыл бұрын
MUNGU akiamua hakuna wa kupinga..
@jescagodwin2732
@jescagodwin2732 Жыл бұрын
Kweli Maji mengi hayawezi kuzamisha upendo
@florahemmanuel8323
@florahemmanuel8323 Жыл бұрын
Huu NI Upendo Kuonyesha kuwa anagusa maisha ya watu na huduma iliyo ndani yake ni kuu
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 Жыл бұрын
Wooow wooow wooow
@waltersesuru43
@waltersesuru43 Жыл бұрын
Mungu nimwema kirawakati mungu nimwema.asante mungu kwa mchungaji kusameewa.asante sana baba asikofu.
@GracieTyno
@GracieTyno Жыл бұрын
Wow!
@leahdaniel1117
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Ukiinuliwa na MUNGU hakuna wa kukushusha chini
@ezekiamgimbaofficial5694
@ezekiamgimbaofficial5694 Жыл бұрын
Aise ndio maana wakamlaxmisha kuomba msamaha kisa wamesikia amewekewa bango
@delverosedastan5730
@delverosedastan5730 Жыл бұрын
Kweli ajishushae atakwezwa
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 Жыл бұрын
Upendo ni mhimu.Ndiyo maana Mungu alimtoa mwanae mpenzi kutufia sisi .Ni upendo
@Pihansmo
@Pihansmo Жыл бұрын
NYOTA YA YUSUFU HUNG'AA HATA GIZANI
@nmconsultinggrouplimitedpr245
@nmconsultinggrouplimitedpr245 Жыл бұрын
Hakika mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, wale wachungaji waongo na wala fedha za watu wao hawapati misukosuko, ila huyu msema kweli lzm apate misuko suko eeee ndo hivyo, Kimaro songa mbele kwa nguvu za Mungu
@invocavitmbise5296
@invocavitmbise5296 Жыл бұрын
♥️♥️♥️
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Жыл бұрын
Nina shaka na kurudishwa kwake Kjitonyama.ngoja tusubiri
@Pihansmo
@Pihansmo Жыл бұрын
Shaka gani mkuu
@matukutajuma156
@matukutajuma156 Жыл бұрын
HONGERENI SANA KWA KUWATIA MOYO WATUMISHI WA MUNGU WA KWELI
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
Yani mlijiongeza kwakweli, na kimeeleweka.
@gasparlubaga5866
@gasparlubaga5866 Жыл бұрын
Kweli jamaa wanampenda sana
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 Жыл бұрын
Huko sio kumpenda Bali ni kumpoteza, wangempenda wangemuombea kwa MUNGU sio KUWEKA mabango kama hivyo. MUNGU AWASAMEHE.
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Ukiwa na kibali HAIBADILIKI hata iweje MUNGU AKISEMA NDIO HAKUNA WA KUPINGA
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Hakuna la kiRoho hapo zaidi ya ukabila na jeuri ya pesa 😏😏😏
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Na iwe nuru ya christo, 🙏🏻
@broka_genius3615
@broka_genius3615 Жыл бұрын
Good
@danielsighis9953
@danielsighis9953 Жыл бұрын
Wenye kuelewa wataelewa tu.
@bethndaki3772
@bethndaki3772 Жыл бұрын
kazi ipo
@shavasjohnkay-cw8lg
@shavasjohnkay-cw8lg Жыл бұрын
Absalom style Hii ni safari ya kuelekea Hebron Mch. Kimaro kuwa ongea vzr na hawa waumini wenye mapenzi mema na wewe. Lipo jambo nyuma yao. Ni vizuri wakafundishwa kanuni. WATAKUPONZA. Tena unatakiwa uwakemee.
@magdalenajohn6564
@magdalenajohn6564 Жыл бұрын
Acheni ushabiki
@amirishauur5795
@amirishauur5795 Жыл бұрын
kupitia huyu mchungaji kuna ukabila na jambo fulan siwezi shea hapa ndani ya kanisa la KKKT upande wangu sio sawa
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Hapo ni ukabila na kuonyesha jeuri ya pesa Hakuna la ki Roho
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Inaeleka KKKT hamfundishwi WAla kulifuata Neno la Mungu tena kususia Ibada duuh hammpendi Mungu
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Ukabila na kuonyesha jeuri ya pesa Hiyo pesa wangepeleka kwa wahitaji Mungu angewabariki sana.
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
@@mamachris6811 yaani we Acha tu
@zainabusona5901
@zainabusona5901 Жыл бұрын
Mbona wagacha tu 😂😂
@annamsuguri4345
@annamsuguri4345 Жыл бұрын
Kutoka 20:4-6 Usijifanyie SANAMU WAla mfano WA KITU CHOCHOTE kilichoko Mbinguni WAla duniani WA chini majini chini ya Dunia kwa maana Mimi Bwana Mungu WENU NI Mungu MWENYE wivu
@abdallahdataguy
@abdallahdataguy Жыл бұрын
inaonesha kuna ukabila hapo kanisani. uchaga umetamalaki 😊
@zumbeshauri8114
@zumbeshauri8114 Жыл бұрын
👍kabisa inaonyesha hivyo
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 Жыл бұрын
Itakuwa humfuatiliagi huyu mchungaji ndo maana unasema hivyo.
@erickasenga2594
@erickasenga2594 Жыл бұрын
Kimaro ni baba wa wengi kiroho. ni lango katika taifa. Taifa linampenda
@bethndaki3772
@bethndaki3772 Жыл бұрын
Jaman tusishindanee na Mtu mwenye Ugongwa wa Afya ya Akili.Maana hakuna chichote ulichoombwa uchangie unaandika vitu visivyokuwa na maana .Wewe kama hujui neno UPENDO kaz unayo na ndoo maana huelew .so usitutoe uwepon mwa mtumishi wetu ☹️
@aronadam5093
@aronadam5093 Жыл бұрын
Ujumbe umefika na karudi kijitonyama kkkt
@philbertcelestin7057
@philbertcelestin7057 Жыл бұрын
Amerudi lini Kijitonyama???
@Nyamko-christmas
@Nyamko-christmas Жыл бұрын
Ukiwa na ushawishi mkubwa kwenye taasisi kubwa ni fact kuwa utapatashida sana utapata migogoro utachukiwa na waumini mnachofanya ndio mnazidi kumfanya achukiwe na viongoze wake na chuki inaendelea kubwa sana
@lyimoej7198
@lyimoej7198 Жыл бұрын
Huyu anatakiwa kuwa askofu mkuu wa kkkt
@fibesolomon926
@fibesolomon926 Жыл бұрын
Acheni kuchochea ugomvi
@romanamassawe814
@romanamassawe814 Жыл бұрын
Kila penye kondoo hapakosi mbuzi mwitu
@skyquakeinteriorsandfurnit5614
@skyquakeinteriorsandfurnit5614 Жыл бұрын
Ni baba yetu hiyo.sasa hivi ako na anwani mpya(new address) heshima take imepanda viwango vya juu,ametambulika zaidi.yeye ni baba wa mataifa.
@juliethdaniel2664
@juliethdaniel2664 Жыл бұрын
Hao ni wachaga sio waumini
@modeemojombo5662
@modeemojombo5662 Жыл бұрын
Umewahi kutana na mtu akakuinua kiroho? Huujui upendo
@esterpaschal6080
@esterpaschal6080 Жыл бұрын
Hao n wachaga tu
@raiderking4637
@raiderking4637 Жыл бұрын
Wachaga ni wabishi
@Pihansmo
@Pihansmo Жыл бұрын
Ndio jad ye2
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Wana ukabila na jeuri ya pesa Kwanza hawana Mungu mmoja Bado wanaabudu na miungu ya kwao 😃😃😃
@justinekashililika6329
@justinekashililika6329 Жыл бұрын
Wote nyie wahuni tu.kanisa sio la wahuni
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Sawa kabisa hii ni MIHUNI isiyo na Kazi
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Ni uhuni , ukabila na kuonyesha jeuri ya pesa Wana maana bila wao hakuna Usharika wa Kijitonyama Hakuna chochote cha kiRoho Hiyo pesa wangepeleka kwa wahitaji Mungu angewabariki sana
@clevermngao7565
@clevermngao7565 Жыл бұрын
Kanisa lina utaratibu wake, anaweza kufanya kazi popote atakapopangiwa na viongozi wa juu wa Kanisa! Ndio maana ROMAN CATHOLIC CHURCH wanatukimbiza kiakili na kimaendeleo kwa sababu hawana huu ujinga!!
@sarahgaula2220
@sarahgaula2220 Жыл бұрын
Kwa kweli . Mimi ni Anglican nimeolewa Lutheran Ila naona wanakoenda wachungaji wanaweka mizizi. Tena hao ni wachanga hao . Haya mabango Kwanza yakatazwe Uhuru umezidi na waumini wanapenda Sana kubarikiwa maongezi yake sijasikia kutubu dhambi.
@joshuamoshi392
@joshuamoshi392 Жыл бұрын
Mchango wako hapo ni...........
@lilianmateru4806
@lilianmateru4806 Жыл бұрын
@@sarahgaula2220 wivu tu huo
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
Kweli kabisa ni ujinga,wanaendekeza ukabila sana Na jeuri ya pesa Hiyo pesa wangepeleka kwa wahitaji Mungu angewabariki sana.
@mamachris6811
@mamachris6811 Жыл бұрын
​@@sarahgaula2220 hawana la kiRoho hapo na ukizingatia wana miungu ya kwao bado wanaabudu sana
@georgeigogo9259
@georgeigogo9259 Жыл бұрын
mnaacha kumtangaza Mungu mnamtangaza binadamu
@henricamikambi6147
@henricamikambi6147 Жыл бұрын
Ni kazi sana, Imani inapaswa ielekezwe kwa Mungu na si kwa binadamu, Mungu wetu ni Mungu mwenye wivu
@hidayaswai3119
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Huwezi kumpenda Mungu km jirani yako humpendi. Wasingemjua Mungu bila kiongozi wa ibada
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 Жыл бұрын
Wewe ndo hujui hata kinacho endelea kwe biblia, ple sana
@ericron6115
@ericron6115 Жыл бұрын
​@@prosperjohn2047 hajui wakati anasema ukweli
@dhinatsimbano8854
@dhinatsimbano8854 Жыл бұрын
Wanamtangaza Mungu kupitia yeye.
@tozzowilliams308
@tozzowilliams308 Жыл бұрын
Kama dayosisi imemsimamiaha
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 Жыл бұрын
Mnakuza mgogoro wa mchungaji na wakuu wake kwa kukosa hekima.
@gracenkembo8318
@gracenkembo8318 Жыл бұрын
Alie wafanya hao watu wa mwamini nungu ni kimalo ndio maana wamemuwekea bango.huyo mungu unae msema wewe hawjawai kumuona
@mcback4384
@mcback4384 Жыл бұрын
'Leti zea bi laiti' wewe reporter umemaliza la 7 kweli?
@johnmalembo6464
@johnmalembo6464 Жыл бұрын
Wewe la ngapi umemaliza...?. Hivi huwa wanamaliza mangapu Ili wamalize.?... Nina mashaka nawe...hujamaliza pale wengine walipo maliza... !
@jeremiamwakilimaji8284
@jeremiamwakilimaji8284 Жыл бұрын
KUWEKA BANGO KAMA HIVYO HIZO NI VULUGU, MNGEFUNGA NA KUOMBA TUNGESEMA NI UPENDO KWELI. MUNGU WA MBINGUNI AWASAMEHE. WAZAZI WENU WAKIGOMBANA NYUMBANI NYIE MNAWEZA KUINGILIA KWA MTAZAMO HUO. ACHENI HUO NI UCHOCHEZI.
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Uko sahihi 💯
@gibsonjosephat6352
@gibsonjosephat6352 Жыл бұрын
Hao walioweka hilo Bango kuhusu Mch. wa KKKT wamedandia hili dhehebu baada ya kukosa Kazi Dar es Salaam. KKKT inamisingi yake sio Kanisa la mtu binafsi. Wote ni WAHUNI TU. Waende wakafanye haya kwakina Nabii na Mitume wa mchongo. Sisi KKT tunajua kuwajibishwa kupo na tuko hapahapa Dar. Hizo fedha zaidi ya Milioni 6 mngepeleka kwa watoto yatima.
@carolinerubeya7817
@carolinerubeya7817 Жыл бұрын
🤯
@jacqueli18
@jacqueli18 Жыл бұрын
Na roho yako mbaya Leo kimaro yupo free
@emmamaanga1161
@emmamaanga1161 Жыл бұрын
saw sisi wauni wewe mtakatifu
@jackyluns9413
@jackyluns9413 Жыл бұрын
Hukitambui wew kama huna pesa tafuta pesa
@emmamaanga1161
@emmamaanga1161 Жыл бұрын
BABA ajazaa mapoza
SPIKA TULIA AFOKEA WAZUNGU ULAYA “NIHESHIMUNI MIMI SIYO MUNGU”
8:51
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН
怎么能插队呢!#火影忍者 #佐助 #家庭
00:12
火影忍者一家
Рет қаралды 14 МЛН
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 7 МЛН
MJADALA MZITO KUHUSU ZANZIBAR ILIVYOHARIBIKA (SEMA NASI)
33:19
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 7 М.
TETEMEKO LA ARDHI LAZUA TAHATUKI DODOMA, MAMLAKA YAELEZA HAYA
8:20
啊?就这么水灵灵的穿上了?
00:18
一航1
Рет қаралды 57 МЛН