MAPYA! SABASITA AJICHONGEA JENEZA LA MILIONI 3, AELEZA SABABU "WAZAZI WANGU WALIZIKWA KWA SHIDA"

  Рет қаралды 17,017

Wasafi Media

Wasafi Media

Күн бұрын

MAPYA! SABASITA AJICHONGEA JENEZA LA MILIONI 3, AELEZA SABABU "WAZAZI WANGU WALIZIKWA KWA SHIDA"
www.youtube.co...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 81
@bigirimanakevin5113
@bigirimanakevin5113 Жыл бұрын
Mzee hayoyote unayoyafanya hayanamaana,chamuhimu ungejianda kukaribiya Mungu
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Umeongea kweli
@thomastemu9938
@thomastemu9938 10 ай бұрын
Miliion Saba Angempa tunda afanye biashara au amsaidie whozuu kulea mtoto
@mazulacelestine3038
@mazulacelestine3038 Жыл бұрын
Dah, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa! Mungu kakusaidia umetimiza kazi yako salama, omba Mungu akupe rehema, pata Toba ya kweli, ishi maisha ya utauwa kwa Imani yako, mtafute Mungu uombe akupe hekima, maandalizi ya ufahari wa mazishi sioni Kama Ni Jambo la msingi, mwili Ni udongo, hata uzikwe kwenye friji bado utaoza tu, hii pesa uliyotumia ungesaidia hata wagonjwa na wajane, au lipia Ada watoto wasio na uwezo,, lakini pia afya ya akili ichukuliwe very serious!! Mungu awatangulie wengine wenye mawazo ya huyu 3 saba
@ziguagossipmedia
@ziguagossipmedia Жыл бұрын
Utajenga kaburi kwa ukubwa wa Allah waweza kufia mahali hata kuonekana maiti yako hayataonekana yaani unafanya upumbavu Allah ndio anapanga kifo chako
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 Жыл бұрын
Nikweli lakin Kwan siwatazika Picture na nguo 😂
@magepeter527
@magepeter527 Жыл бұрын
Kwenye mipango yako ya maisha kila siku kumbuka kuweka na mipango ya kifo
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 Жыл бұрын
Haya Mungu akusaidie yatimie unayoyaomba wengine wanafia majini miili haipatikani,
@EzzyK438
@EzzyK438 Жыл бұрын
Bonge la comment
@BizdenAfrica
@BizdenAfrica Жыл бұрын
😂
@grolykimario26
@grolykimario26 Жыл бұрын
Kwel kabisa
@mtzhalisi2232
@mtzhalisi2232 Жыл бұрын
Umetema cheche iliyonyooka Rubby
@myunaniniahmad6463
@myunaniniahmad6463 Жыл бұрын
😁😁
@Emiliana97
@Emiliana97 Жыл бұрын
Unaweza usife mpaka siku Yesu anarudi 😅😅 Usimchezee Mungu
@hassanmfulu470
@hassanmfulu470 Жыл бұрын
Maandalizi ni ibada toa sadaka tena mema
@josephfrancis9943
@josephfrancis9943 Жыл бұрын
Inaonekane ulitesa watu sana unaona umauti unakujia ww
@CyprianNyakundi-m8d
@CyprianNyakundi-m8d Жыл бұрын
Magumu haya sasa sijui kama Mathare inakuanga Tz ama n Nai pekee yaani sijawahi sikia haya magumu sana wee sahii ungerejra kwa mungu achana hayo yako yatisha sana
@franciscakija1702
@franciscakija1702 Жыл бұрын
Mwili na roho ni tofauti! Je uyaandaayo kimwili ni sawa na uyatendayo kiroho?
@TanzanianStars
@TanzanianStars Жыл бұрын
Ndo maana meja kunta alimkimbia mwanao 😂😂
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Na maandalizi ya unapokwenda baada ya kufa upaandae
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
Safi wee ndyo umenena vyema kuliko😮
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 Жыл бұрын
😂😂sio shida zake akuna alieenda akarud kusimulia palivyo ni story tu tusimvunje moyo mzee wetu tujifunze kitu hapa
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
@@gaspergasper9830 Mzee usiseme hakuna aliyeenda akarudi ni heri uamini maisha baada ya kifo yapo alafu ukute hayapo, kuliko kubisaha maisha baada ya kifo hayapo halafu uyakute...utasaga meno
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 Жыл бұрын
Kikubwa tuwe na hofu ya mungu ila maisha baada yakifo sahau Ukifa umekufa kwann ujidanganye sasa 🤷‍♂️
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
@@gaspergasper9830 Sawa jipe moyo
@flm1530
@flm1530 Жыл бұрын
Angejua huu mwili ni kama nguo tu roho yako ndo inatakiw uiandae kwa kuishi maisha matakatifu ndani ya YESU ukifa unaelekea Kweny ulimwengu wa umilele either mbinguni au jehanam ya Moto na roho yako ni ya muhimu sana
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 Жыл бұрын
Msimuhukumu mpk anafanya maandalizi yake ya mwisho kajiamini na anafanya Mema Kifo ni harusi ya mwisho anajiandalia Sherehe yake Ubaya uko wapi safi baba ni Nzuri sana❤❤🙏🙏
@AliciaMwalimu-ce2qt
@AliciaMwalimu-ce2qt Жыл бұрын
Kweli kbsa
@gradnessshitindi3694
@gradnessshitindi3694 Жыл бұрын
Huyu ndo baba Tunda Sasa🙌🏾
@derickdesdery-we9jm
@derickdesdery-we9jm 10 ай бұрын
mim namuunga mkono nampongeza sana sana tena sana
@hassanmfulu470
@hassanmfulu470 Жыл бұрын
Nani kwenye ukoo wenu amejiandalia mazishi au
@paschalvenance1833
@paschalvenance1833 Жыл бұрын
Dhuruma alizofanya zinamfanya awaze umauti mda wote, suluhu yake katoe sadaka kwa mayatima na masikini ili Mungu akusamehe.
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 Жыл бұрын
Andiko gani linasema hivyo, wanadamu mnapindua maandiko kwa faida zenu,neno linasema afichaye dhambi zake hatafanikiwa bali aziungamaye na kuziacha atafanikiwa.mithali 28:13
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Kusaidia yatima tu ndio kufuta dhambi😅😅😅😅. Kusamehewa dhambi ni pale unapotubu kutoka moyoni
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Saba sita huyu enzi zake duhhh....huyu sio bure, wakiamua kumpeleka wanakotaka wao..
@ProsperNgeniuko
@ProsperNgeniuko Жыл бұрын
pengne cheo icho alipata kwanjia halam za kixhetan
@joycekalago532
@joycekalago532 Жыл бұрын
Huyu mzee katili sana na dam za watu zinamtafuna tu
@cocorita8367
@cocorita8367 Жыл бұрын
Enzi zake huyu ni hatari sana nilikuwa mdg wkt nasikia habari zake😢
@joysekiza3944
@joysekiza3944 Жыл бұрын
Jamani aina haja ya kumnenea mabaya mungu mwenyewe hakujalie sababu watu kuogopa kufa
@FilbertHabashi-zn1qu
@FilbertHabashi-zn1qu Жыл бұрын
Ungekuwa na imani ungetoa izo pesa sadaka na kusaidia wasio jiweza
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
😆😆😆😆😆🤦🏽‍♂️ila uyu baba anatupeleka speed kinoma yan
@raphaelkaswahili323
@raphaelkaswahili323 Жыл бұрын
Mzee asie na busara ukimsikiliza vzr unagundua alipiga nyeto nyingi saana wakati wa bareheeee
@beatymassawe123
@beatymassawe123 Жыл бұрын
Pesa za shetani zinatesa.
@derickdesdery-we9jm
@derickdesdery-we9jm 10 ай бұрын
kwasabab kifo ni kifo tu na kila mtu atakufa mi naona ni jambo la kawaida kujiwekea mahali pake pa milele tena Hana maana mbaya
@janethjonas1700
@janethjonas1700 Жыл бұрын
Angeachana na kaburi arepee nyumba na kupiga rangi nzuri nyumba na anunue asset za kuwaachia watoto...kuliko kuwa mbinafsi kiasi hichi...
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 11 ай бұрын
😂😂😂😂
@happyhaule671
@happyhaule671 11 ай бұрын
Hiyo milioni 3 ungetoa sadak kwa yatima na wajane na watu waishio mazingira magumu ungempendeza Mungu wako
@michaeljohn9070
@michaeljohn9070 Жыл бұрын
Kaburi m7 na jeneza m 3 🤔mmh haya maandalizi yanafaida gani ukifa,,ata utupwe jalarani kama ni msafi kiroho,,hilo jalala litakuwa nisehemu ya pepo,,ila kama ni mchafu kiroho,, Mzee wangu utajuta kujiandalia vyote hivyo
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
Asante 🙏🙏🙏
@gaspergasper9830
@gaspergasper9830 Жыл бұрын
Mzee yupo Sawa ajakosea ningekuwa na eneo na uwezo mbona rahs ninge fanya
@fundi_feli6299
@fundi_feli6299 Жыл бұрын
Duuh😢 unaeza kufa familia ikaamua kukupeleka kwetu Burundi utakataa au??😊
@annastevensteven9515
@annastevensteven9515 Жыл бұрын
Uwo mzeee vip maan.sijamwelewa
@shadrackndossy8181
@shadrackndossy8181 Жыл бұрын
Nakubaliana na wewe baba tunda
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 Жыл бұрын
Mwehu mpya
@evansmtalo9406
@evansmtalo9406 Жыл бұрын
Yote sawa
@JenipherCharles-z2j
@JenipherCharles-z2j 10 ай бұрын
O it a😂😂😂😂😂yaani we mzee huna akili hata kidogo
@blackeagle4441
@blackeagle4441 Жыл бұрын
😆😆😆😆🤦🏽‍♂️daaah mzee anataka kudrend kama kina #gigy na #harmo
@SelinaPaschal-vq2iy
@SelinaPaschal-vq2iy Жыл бұрын
Ukifa baharini ukariwa na nyangumi itakuwaje🤔
@SophlaJackson-nt1nc
@SophlaJackson-nt1nc Жыл бұрын
😂😂😂😂🤔🤔🤔
@elisanteshayo3882
@elisanteshayo3882 Жыл бұрын
Mmhh
@elizabethswai7777
@elizabethswai7777 11 ай бұрын
Mmachame kama mmachame🤣🤣🙏
@innocentmallya6728
@innocentmallya6728 Жыл бұрын
Huyu Mzee ni bangi
@wajisheikh_
@wajisheikh_ 6 ай бұрын
😢😢😂😂km mazury ila yote haya nikukosa elimu ya dini lazima shetan awe anatawala kw kila namna
@AnneHarold
@AnneHarold Жыл бұрын
Baba mimi sikuelewi kabisa Umeshaichoka dunia sasa naomba nunua kabisa na ng'ombe mchele viungo vya pilau vinywaji mafuta mazaga yote ya kula ili tujue umemaanisha na waombolezaji wawe na amani, sio eti rambirambi hazitoshi tuchangishane malizana na mahitaji yote na ufanye hima kaburi litaingia mchwa hilo. Khaa!
@africano98.
@africano98. Жыл бұрын
Damu za watu aliyoua uyu jamaa ni nying sn ase zitamtafuna sn
@mwitaagness455
@mwitaagness455 Жыл бұрын
Yesu wangu, sio akili yake...
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m Жыл бұрын
Kweli subhannallah
@hellendaniel3809
@hellendaniel3809 Жыл бұрын
Tunda una baba aki😂😂😂😂. Sawa babu yake Lola
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du Жыл бұрын
Baada ya kufanya ibada au. Kutoa sadaka. Unazidi ujitia zambini. Uoni upuuzi napia kufulu
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Жыл бұрын
Otesha Mchele mzee sasa maana watu watakula pilau sanatu
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 Жыл бұрын
Yn baada uwaze mambo ya maana unawaza kufa kweli
@jamilajamal1584
@jamilajamal1584 Жыл бұрын
Duuh
@ProsperNgeniuko
@ProsperNgeniuko Жыл бұрын
cibule apo
@shijawilliam
@shijawilliam Жыл бұрын
Kama unakufa kufa unamuaga Nani sasa fala nn kangi zakuchanganya dingi
@ValentineFaustine.
@ValentineFaustine. 8 ай бұрын
Huyu yeye kaingia kwenye kundi la watu walioona kaburi na jeneza lao nijambo gumu sana kibinadamu ila ningumu sana watu kama hawa kuishi mudamrefu😢
@rashowshine7849
@rashowshine7849 Жыл бұрын
Baada ya kudhurumu na kutesa watu ndio unaandaa kaburi badala ufunge na kusali😢
@barackawithokiswaga2686
@barackawithokiswaga2686 Жыл бұрын
Sasa ndugu yangu, swala la toba ni kila mtu na Mungu wake, unajua akiwa faragha anaomba nini kwa Mungu? Kuna mambo sio kukaa una jaji, swala tu kila mmoja anapaswa kukaa katika utakatifu, na kifo kipo sio baya hapo!
@brivany9810
@brivany9810 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 54 МЛН
Aliyechimba kaburi lake ajipanga kujiandalia jeneza
2:52
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 123 МЛН