EXCLUSIVE ASKARI SABASITA ANUNUA JENEZA LA MIL 3 KABURI LA MIL 10 "SIOGOPI KUFA"

  Рет қаралды 103,421

Millard Ayo

Millard Ayo

4 ай бұрын

Пікірлер: 368
@user-hi8le2vb7z
@user-hi8le2vb7z 4 ай бұрын
HUYO MZEE HANA SHIDA,YUKO SAHIHI 200%, NYIE MSIOMUELEWA NDO MNA CHANGAMOTO MKASONGE UGALI 🙏
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
👏👏👏🙌
@mangikariakoo4297
@mangikariakoo4297 4 ай бұрын
Ni Sawa na vizuri kuishi had kupata nafasi ya kujifanyia maandalizi
@jaliamasoud8877
@jaliamasoud8877 3 ай бұрын
😊😊bl
@aminakatibaomar131
@aminakatibaomar131 4 ай бұрын
Hata ulipambe vipi kaburi au jeneza mungu haangalii hivyo ila amali yk njema ndo itakua msaada mbele ya mungu
@nicotawi
@nicotawi 4 ай бұрын
Safiii sanaaa
@maymunahomar5016
@maymunahomar5016 4 ай бұрын
Sadaqta 💯
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 4 ай бұрын
Kweli kabisa
@zanzibamjimpya17
@zanzibamjimpya17 4 ай бұрын
kwani amekuambia kuwa akipamba ndo ataingia mbinguni yawezekan akaingia wewe ukabaki
@isaackbm1935
@isaackbm1935 4 ай бұрын
We mwnyw usikute huna amali😂
@susananyasani6526
@susananyasani6526 4 ай бұрын
Kazi nzuri anafanya mtengenezaji Genesa hiyo ni bei nafuu kwa Wananchi hongera Mzee wetu Mungu akubariki akulinde pamoja na Afya njema asante
@ahmadamohamed1907
@ahmadamohamed1907 4 ай бұрын
Afya njema ya nn ? Unaponunuwa gari unahitaji kuilijaribu afe kwanza tuone
@JulianaMushi-nq3kc
@JulianaMushi-nq3kc 4 ай бұрын
mandalizi mema mzee kaka mungu akusaidie usiliwe na mamba uje uingie kwenye nyumba yako nzuri ✌🤣
@AnethEdward-nf6sc
@AnethEdward-nf6sc 4 ай бұрын
Hiyo Kali sasa wanaopata mauti ktk anga na kuwa majivu,au ktk maji cjui wataandaa wapi.
@-magicstory
@-magicstory 4 ай бұрын
Huna haja ya kuogopa kifo bali huwe tayari na ujiandae ukijia mda wowote unaaondoka...safi sana mzee sabasita
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Ubarikiwe sana
@user-sv6zy3hc8o
@user-sv6zy3hc8o 4 ай бұрын
Hata mim sioni ubaya mana kila nafs itaonja umauti kwaio ni Bora mtu ajiandalie
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 4 ай бұрын
Shid dini zetu zimetutia hofu
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 ай бұрын
Ndio kufa kupo sasa kwanini tuogope cha msingi nikujiandaa tu
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 4 ай бұрын
Sahihi kabisaaaa mkuu
@josiacharles2778
@josiacharles2778 4 ай бұрын
Mzee uko sawa unawapunguzia familia mzigo, Cha maana zaidi ni wokovu Yesu ndie njia kweli na uzima, Pia umsii sana Mungu safari yako yamwisho isiwe ya taabu, Ajali ya ndege, meli, miili ukosekana, kama huna mausiano mazuri na mtoaroho iyo yote nikazi bure.
@bmdele5816
@bmdele5816 4 ай бұрын
Huyo mzee ameamua kujiandalia nyumba bora ya maisha yake, Pia ameamua kupunguza shida wakati wa maandalizi ya mazishi yake!.. Mungu ampe mwisho mwema
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 4 ай бұрын
Aminaaaa
@Judith892
@Judith892 4 ай бұрын
Mnhhhhh! Mzee amekata tamaa ya kuishi atashangaa ataishi muda mrefu Hadi Hilo jeneza liharibike lenyewe
@dayana5513story
@dayana5513story 4 ай бұрын
Wote tutakufa mzee umefanya vyema 👏
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 4 ай бұрын
Yupo vizuri sana yaani na hatuwezi kumuelewa kwa kuwa wengi tumeweka kifo kama ni kitu cha bahati mbaya siyo kitu cha lazima kutokea huyu anajua maana ya maisha na mwisho wa maisha!kiuhalisia historia iandike kwa mkono wako waachie watakaobaki siyo wao wadanganye historia yako ya maisha na mwisho wako
@vibetz9991
@vibetz9991 4 ай бұрын
Kifo ni Baraka kama umeishi maisha yako vizuri 100% na kwa kumpendeza mungu
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 ай бұрын
MIAKA 70 ikiongezeka hapo ni neema tu ya mwenyezi Mungu
@Fredrickwesonga-ym4rs
@Fredrickwesonga-ym4rs 4 ай бұрын
Waoo WangaTv KZbin channel will be life interview Atwoli cotu president of Kenya
@queenesther2639
@queenesther2639 4 ай бұрын
KUMBUKA kutubu NI HAPA DUNIANI baada yakifo HUKUMU Ile sala ya mweke pema peponi haitakusaidia siku hiyo utatamani kumpga huyo anayedanganya watu Kwa kumwambia MUNGU akuweke pema peponi hutaweza! Mpe BWANA YESU KRISTO maisha yako sasa
@asiashaban8283
@asiashaban8283 4 ай бұрын
Hajakosea kabisa baba yatu Yuko sahihi mungu ampe umuri mrefu amina
@Octavinaelisa-fn6js
@Octavinaelisa-fn6js 4 ай бұрын
Hongera baba duniani kuna sherehe 3 .kuzaliwa kuoa nakufariki sherehe ya mwisho ndoyakufa unaweza usifanyiwe vizuri kwasababu unakuwa huelewi chochote .maua yako mzee🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Bmsecret
@Bmsecret 4 ай бұрын
SIO SHERE SIKU KUUBWA TATU
@ashuramhandoashuramhando6798
@ashuramhandoashuramhando6798 4 ай бұрын
Sasa Akifa Mwili usionekane itakueje maana kuliwa na Mnyama ipo kupotea tu ipo ila siyo mbaya hakuna ajuae Mwisho wake Hongera Mzee Kazi Nzuri ❤❤
@joycemkeka3769
@joycemkeka3769 4 ай бұрын
Watazika mgomba 😂😂😂
@PacJunior-hd8ig
@PacJunior-hd8ig 4 ай бұрын
Safi Sana nimeipenda iyo waoga wapite kule
@user-mk5gq8ih5p
@user-mk5gq8ih5p 4 ай бұрын
Mnao sapoti niwareware makafiri watupu je yesu ariwekwa kwenye jeneza au haya mambo mumeyato wapi au kuiga washamba nyie
@MyName-wd8cp
@MyName-wd8cp 4 ай бұрын
Mungu akupe umri mrefu usife mapema ufikie uzee wenye mateso na dhiki na shida upate uchungu na ujutie pesa ulizo zitumia vibaya.. (amin🤲)
@ClementinaHabineza
@ClementinaHabineza 4 ай бұрын
Amina kbx
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 4 ай бұрын
Hiyo kwako na hayo maneno kwake ni dalili ya uoga kama unaogopa kufa huna haja ya kusali Kwa kuwa tunasali ili mwisho mwema utukute popote pale Sasa mbona yeye yupo sahihi au nyie Ndiyo hamumuelewi?😊
@abedamohamed2766
@abedamohamed2766 4 ай бұрын
Mungu ajalie mwisho mwema hongera kwa sherehe yako ya mwisho huu ni ushindi wa utayari.
@godsonishengoma5378
@godsonishengoma5378 3 ай бұрын
Mwenye hekima hawez yafanya hayo..
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 4 ай бұрын
Binafsi ninakosa cha kusema ,ila nahisi atakuja kufia mahala ambapo hata mwili wake hautaonekana,mfano atafia kwenye ndge ama meli, au hata kuungua moto na Wala majivu wasiyaone ,kifo hakija wahi kuwa na formula kuwa labda atafariki akiwa na mwili wa kuzikwa nao kama huo alio nao! Naongana na wale walio shauri akawekeze Kwa watu wenye uhitaji huko ndo kusogeza Mahusiano na Mungu,lakini pia upande wa pili tunamshukuru anajitahidi kupunguza gharama baada ya kufariki kutoka Kwa ndgu na marafiki
@mhangwacastory8765
@mhangwacastory8765 4 ай бұрын
Thanks for the like I have got
@davidlyimo8079
@davidlyimo8079 4 ай бұрын
Hongera saan kwa utayariii huuu...
@ellyjacob9897
@ellyjacob9897 4 ай бұрын
Yuko sawa ndg wanawaza Mchele na matent na viti maana kila kitu kipo tayari
@frankdanford8245
@frankdanford8245 4 ай бұрын
Nipe hongera sana marehemu mtarajiwa kwa kulibeba jeneza lake mwenyewe kabla ajafa
@user-cc7xu7gz1j
@user-cc7xu7gz1j 4 ай бұрын
😄😄😄😄
@ZainabuOmary-nt7xf
@ZainabuOmary-nt7xf 4 ай бұрын
Ata ww ni marehemu mtarajiwa tu
@emmanuelmsafi9581
@emmanuelmsafi9581 4 ай бұрын
Yaaani ni bonge la. Bahati
@sagengejackson3623
@sagengejackson3623 4 ай бұрын
Akifa baada ya miaka 20 Hilo jeneza s linakuwa outdated , kunakuwa na design zingine nzuri Zaid
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Kikubwa maiti inakaa tu
@michaelthadey414
@michaelthadey414 4 ай бұрын
Uyu jamaa alikuwa noma Sanaa Kwa majambaz Arusha maana Arusha kaacha jina lake maana alifanya had kina malebo walikimbilia Kenya ... alikuwa afanyi utan na jambaz
@josephlorri431
@josephlorri431 4 ай бұрын
Ongeza ibada, toa zaka na sadaka;kiufupi uwe karibu zaidi muumba wako. Maandalizi yako ni mbwembwe za dunia,zaidi sana fanya toba, saidia yatima,wagonjwa na maskini wengine kwenye jamii.
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 4 ай бұрын
Sahihi kbsa
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 4 ай бұрын
Utajuaje kama hatimizi uyasemayo?
@Hajer-be2kh
@Hajer-be2kh 4 ай бұрын
Nadhani mpka amefikia kujiandalia hayo maandalizi ni wazi ameshayajua hayo yote na kuyafanya na anaendelea kuyafanya ndo mana hana tamaa na maisha ya duniani hadi hapo Nadhani umeshaelewa😂😂
@anwaryabdallah7782
@anwaryabdallah7782 4 ай бұрын
Mukumbuke kuwa Anayofanya si ktk mafundisho
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 4 ай бұрын
@@anwaryabdallah7782 kaburi huitwa nyumban ya milele kama unaouwezo wa kujenga ruksa kama huna uwezo nyamaza ujengewe
@jacobnorbertchenga9465
@jacobnorbertchenga9465 4 ай бұрын
Mungu alivyo wa ajabu huyu mzee anaweza kusihi mpaka hilo jeneza atagawa.
@user-ei1sj2kk1e
@user-ei1sj2kk1e 4 ай бұрын
😂😂
@CandyVois
@CandyVois 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂 hata kama mama yake mzazi yupo basi mama mzazi ndo ataondo nalo
@sarahwawuda5164
@sarahwawuda5164 4 ай бұрын
😂😂😂😂
@mabondolawrence1812
@mabondolawrence1812 4 ай бұрын
Asisahau na manemane ila Kwa ushauri mzuri asumbukie Roho yake maana kaburi haliendi na Wala jeneza haliendi. Mtafute Yesu !
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
kwani kasema hana Yesu
@user-mk5gq8ih5p
@user-mk5gq8ih5p 4 ай бұрын
Ukafiri nimzigo sana mwenyezi mungu ametukataza mambo haya
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 4 ай бұрын
Yap.. mbn waislam.. wanalusiw kununua sand akaifaiz... Shid mnazikurupukia amzijui.. dini.. someni mandiko na myaelew kiundan na mumche mung roh na kweer
@petermanala6138
@petermanala6138 4 ай бұрын
​@@user-ub3xh7ug6c😂😂😂af ni mambo ya ajabu sana anamwitaje mwenzie kafir ujue neno hili ni gum hata kutamka anausafi gan ana hakika gan kama yeye atafika mbinguni😮😮
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 ай бұрын
Shida iko wapi au unawashwa,kapakatwe na babaako huko.
@meshack3266
@meshack3266 4 ай бұрын
Amekataza wapi iv kabili la yesu lilikuwepo au waliandaa baada ya kufa ko msikalili bhana acha afanye kimfaacho
@user-mk5gq8ih5p
@user-mk5gq8ih5p 4 ай бұрын
@@vincentcharles4385 kama mnamfata yesu kweri yeye arifanya hayo mkundu wa mama ako unafirwa na baba ako nasikia baba ako arifirwa utotoni fara we
@kolosii4351
@kolosii4351 4 ай бұрын
Mzee yupo tayari. Amewapunguzia kazi watoto wake. Sio shida. Nafikiri ndio tunakoenda siku za mbele.
@TatuHusseni-hs7mu
@TatuHusseni-hs7mu 4 ай бұрын
Mmh ujasiri huo me sina tuombe mwisho mwema to kwa Allah 🙏
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 4 ай бұрын
Mzee amepunguza ghalama kwenye msiba kabuli na jeneza akumbuke pia kujenga makanisa hata mawili huko vijijini Mungu atambaliki sana
@mikalwila9342
@mikalwila9342 4 ай бұрын
Sema mzee nimekuelewa umetafuta pesa jiandalie ukiwa hai unataka uzikwaje
@adriandanford208
@adriandanford208 4 ай бұрын
uku ni kumkufulu mungu kakupa uhai uishi wew unaisogeza Hali ya umauti kando yako , unajuaje labda utatwaliwa bila jeneza ,, ila asilimia kubwa ya awa watu Huwa wanakuwa ni watu wa secret societies or occultic groups members
@adkajisi4536
@adkajisi4536 4 ай бұрын
Acha uoga ndugu, utakufa tu
@user-ol2rz8jq7u
@user-ol2rz8jq7u 4 ай бұрын
Safi sana. Hakuna mwanafamilia mwingine ambaye naye anaitaji makazi mazuri msaidiane? Maana hiyo gharama !
@CandyVois
@CandyVois 4 ай бұрын
Duuuuuuuuu sawa mzeee
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 4 ай бұрын
Hongera babu
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 4 ай бұрын
Sawa na mim niko bize apa kuchagua 😂😂😂
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf 4 ай бұрын
AMPE YESU MAISHA KABISA,YOHANA 3:26-17.
@mitaocamilliusthegreatest9068
@mitaocamilliusthegreatest9068 4 ай бұрын
Ameshampa Ndiyo maana anauhitaji mwisho wenye maandalizi
@EsitaDavid2-wp1uf
@EsitaDavid2-wp1uf 4 ай бұрын
@@mitaocamilliusthegreatest9068 Amen.
@user-eo1iq2su5g
@user-eo1iq2su5g 4 ай бұрын
Watu kama hawa hawafagi mapema kwa sababu wamesha jiandaa vizuri kimani ukiwa mtu wa imani sana kuogopa kifo sio rahisi
@nicksonlyimo1562
@nicksonlyimo1562 4 ай бұрын
Saba SITA ,Mr Kimaro nimefurahi kukuonya kwenye shot vidio hii,nakufahamu na nimtu unakibali Sana kwa watu pia kutokana na historia yako Arusha ya kuchapa kazi vizuri na kujitoa kwa dhati nk,ushauri wangu kwako ,Okoka ndugu yangu kwani bila wokovu wa YESU KRISTO ni kazi Bure na kuishi hakutakua na faida binafsi endapo hutaingia ufalme wa Mungu ,elewa kua Dini sio njia ya uzima Wala njia ya Mbinguni bali YESU ndio njia ya kweli na uzima wa Milele,,lazima kutubu juu ya wewe binafsi na mambo ulioyafanya kwa amri au kwa kubidi yote hayo yana hukumumu mbele za MUNGU pasipo kujalisha sababu ,soma Yohana 3:16 na Yohana 1 12-13, wagalatia 5 16-21
@jonathansolomon456
@jonathansolomon456 4 ай бұрын
Jamani huyu baba ni jasiri mno
@abdallahlugendo3221
@abdallahlugendo3221 4 ай бұрын
Kila heri mzee wetu
@neemareuben311
@neemareuben311 4 ай бұрын
Huyu mzee ameshagundua kitu katika familia yake ndio mana ameona mbali sana kuandaaa safari yake mapemaaaa sanaaaaa asizikwe kishidaaaa shidaaaaaaa nimependa sana ni vyema mtu kujiandaa mapema sanaa nikutokuwa na uwezo tu😢😢😢😢
@user-jy4sc8gv8o
@user-jy4sc8gv8o 4 ай бұрын
Umeshajua utakufa kifo cha Aina gani😊
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 4 ай бұрын
Yuko sahihi maana hata sisi Muslims tunatakiwa ndani tusikose sanda
@vincentcharles4385
@vincentcharles4385 4 ай бұрын
Bora unaeelewa kuna vichaa humu ndani hawaelewi Hilo
@amanmaleko3085
@amanmaleko3085 4 ай бұрын
Hii kitu aijakaa sawa mzee mwombe mungu yeye ndie ajuae saa nawakati
@user-vy2bc6xg3i
@user-vy2bc6xg3i 4 ай бұрын
Hiyo akiba yaani hapo hata akiomba bipi lazima afe tu maana ni ahadi
@tumpaleakim825
@tumpaleakim825 4 ай бұрын
Ni kweli anaweza andaa lakn akafikia kwenye kifo hata maiti isipatikane labda kwenye maji
@moviccreativestudio
@moviccreativestudio 4 ай бұрын
Halisakha... Daa
@teddymwageni1763
@teddymwageni1763 4 ай бұрын
Bora ugeuze chumba Cha ibada,mafungo na maombezi tu
@bahatadof5543
@bahatadof5543 4 ай бұрын
We Mzee umechanganyikiwa Nini,mtoto mrembo Kama tunda anichongee jeneza ,hawezi hata kidogo hichi kitabaki kuwa chumba tu
@exsonmwakalobo8865
@exsonmwakalobo8865 4 ай бұрын
Hongera sana
@Abdul-rn5zj
@Abdul-rn5zj 4 ай бұрын
yupo sahihi 100%
@user-cx1xz2is5d
@user-cx1xz2is5d 4 ай бұрын
Kweli ww jasiri
@johnshirima6804
@johnshirima6804 4 ай бұрын
mzee 👍
@vagashappnecy4850
@vagashappnecy4850 4 ай бұрын
Baba tunda anajua hakuna haja ya kusumbua wanaobaki anajiandaa maana kifo ni sehemu ya mwanadamu.
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 4 ай бұрын
Ningefurahi kama ningeona mandalizi ya chakula pia pamoja na watao mzika
@salimmalaka256
@salimmalaka256 4 ай бұрын
MBONA HUJASEMA SUTI YA MILIONI NGAPI SAA YA MILIONI NGAPI VIATU VYA MILIONI NGAPI TUJE TUKUVUWE 😂😂😂😂
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 4 ай бұрын
Jambo moja huyu mzee hajui. Kwamba kifo ni siri ya mungu. Hatujui kwamba wengine ufa maji na mahiti zao upotea? Wengine uungua moto, wegine upotea tu bila kuwaona, wengine wanaliwa na wanyama. Mahiti hazipatikani.
@devisshirima6780
@devisshirima6780 4 ай бұрын
Maandalizi ya kifo chema ni kuishi maisha Matakatifu tuu, na si vinginevyo.
@cutebrown4017
@cutebrown4017 4 ай бұрын
Angeweka hadi hammer na viti na chakula kila kitu ikuwe tayari mambo zingine nikama movie sasa atawekwa kwa stima hiyo kaburi yake mwili yake inakauchwo
@user-ov3bt3pf1b
@user-ov3bt3pf1b 4 ай бұрын
Omba Mungu mzee Kimaro (sabasita) je ukipotelea baharini itakuwaje hilo kaburi na sanduku?
@queenesther2639
@queenesther2639 4 ай бұрын
Jamani sabasita mwamini BwanaYesuKristo awe BWANA na MWOKOZI WA maisha yako ndugu yangu hili li mwili la nyama halitaenda Mbinguni wala Jehanum litairudia ardhi maana NI la udongo lkn Yuko ndani sabasita ambaye ndiye ataenda Mbinguni au Jehanum! Hayo unayoyafanya yatakutupa Kuzimu kwenye Moto MAFUNZA yenye meno UTAJILAUMU MILELE
@avelinafurahaoisso5491
@avelinafurahaoisso5491 4 ай бұрын
Mmh hii ndio Dunia mie hata nisipo xikwa nifresh tu roho yangu ndio inahitaji maandalixi sio jeneza wala kaburi .
@OmaryLupange-yd3cw
@OmaryLupange-yd3cw 4 ай бұрын
Cna Cha kusema..
@angeldarlingtz2938
@angeldarlingtz2938 4 ай бұрын
Yuko vizuri na haf leo wala kesho ukute anajiadaa ma kiroho pia kwan mi mwenyewe nataman nijue wap nitazikwa maana kufa kupo hata tukiogopa ..
@jumamganga6236
@jumamganga6236 4 ай бұрын
M.MUNGU hatanguliwi . Unaeza ufie kwenye ajali ya ndege isibaki hata kucha.
@ezekielshija9251
@ezekielshija9251 4 ай бұрын
Yuko sahihi, Yesu aliwekwa kwenye kaburi la yusuph. Ambalo halikuwa limeandaliwa kwa Yesu
@user-ft9xf3fe5v
@user-ft9xf3fe5v 4 ай бұрын
Hata mbao ispoharika Kwani ND naww hutooza we mzee wa ovyo kweli
@OriginalSource1
@OriginalSource1 4 ай бұрын
Hataki kuliwa na panya wa makabulini😂😂
@user-os5yq3pg2e
@user-os5yq3pg2e 4 ай бұрын
Kasi nsuri ila mm nigeshauri hizo milioni kumi na tatu, agepauwa hyo nyumba yake na bati LA maana ( mzaus)
@annatemu4488
@annatemu4488 4 ай бұрын
Kwahiyo kaburi na jeneza tayari,kilichobaki🙌🏻🙌🏻🙌🏻
@salmamlokela1987
@salmamlokela1987 4 ай бұрын
😂😂 anamsubir mzee baba..tumuombee tu mwisho mwema asiliwe na wanyama na asifie baharini maiti ikakosa kuonekana
@SmilingElectricGuitar-wz3ij
@SmilingElectricGuitar-wz3ij 4 ай бұрын
Kufa
@ashamkesa979
@ashamkesa979 4 ай бұрын
Israel mtoa roho tu amalize kazi yake 😂😂😂
@Catherine-mh8sw
@Catherine-mh8sw 4 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ayoubmtumishi50
@ayoubmtumishi50 4 ай бұрын
Hiii ni kwamba inaonyesha ameishi vibaya na watu anaogopa hawatamzika vizuri. Mi nashauri atoe na pesa za kuwalisha waombolezaji na wazikaji wajue kabisa mapena 😂😂😂
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 4 ай бұрын
Sasa niulize hivi ukifa mungu anaenda kuangalia jeneza na kabur😂😂😂tengeza amali uchukue kw bwana mungu wako sio jeneza na kabiri hivyo vinaenda kuliwa mchwa utabaki na amali yako😢😢😢😢😢
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk
@AlexChristopherMuhanuka-wm2jk 4 ай бұрын
Huyo mzee mpumbavu hizo ml10 angeenda kuzitoa kwa watoto yatima ingekuaje kuma kwer
@ikungasyamwakitalu6540
@ikungasyamwakitalu6540 4 ай бұрын
Amejiandalia maisha yake ya milele ambao wote tutakwenda uko
@jj-iv1wm
@jj-iv1wm 4 ай бұрын
Wallah 😂 akili zingine sijui mnazitoa wapi duuh
@bakarikisuda4948
@bakarikisuda4948 4 ай бұрын
Hakuna kibaya hapo coz itamfanya afanye mambo yampendezayo mungu akijua mda nasaa atakufa.
@edwintesha
@edwintesha 4 ай бұрын
Namfahamu vizuri maana aliniwinda sana
@issaramadhaniathuman
@issaramadhaniathuman 4 ай бұрын
Hata mungu asema ujiandae na umauti ukiwa umeandaa jeneza pia sanda na kaburi kama unauwezo mungu akupe imani hiyo
@adriandanford208
@adriandanford208 4 ай бұрын
kujianda na mauti siyo ivi 😂 ,maanake ni kujitakasa, kutubu na kuwa tayari mda wote ishi kila kana kwamba ni siku yako ya mwisho chini ya jua
@anastaziamathias8861
@anastaziamathias8861 4 ай бұрын
​@@adriandanford208mbona waislamu huwa wanajiandalia sanda kabla hajafa? Kuna tofauti gani na Hilo jeneza?
@eliudshangali
@eliudshangali 4 ай бұрын
Superintendent Police 🔥🔥🔥
@surusuru1994
@surusuru1994 4 ай бұрын
Kunawatu wanalala jaa badala kubiga tafu mnategeneza makaburi milioni12
@user-jn6oo3ww5i
@user-jn6oo3ww5i 4 ай бұрын
Kuandaa makazi nijambo jema kawsababu mungu alisema Kila kilicho hai kitaonja maut kahiyo kifo hakikeepeki mda wwte saa yoyote
@ramadhanishabani807
@ramadhanishabani807 4 ай бұрын
Mzee wee ni mpumbavu sana, ivi unajua utaish mpaka ln
@NeemaSamson-ti8pc
@NeemaSamson-ti8pc 4 ай бұрын
Hajui ataishi mpaka lini ndio maana ameandaa mapema
@queenesther2639
@queenesther2639 4 ай бұрын
Mm unanifahamu NI mama commissioner Kigondo marehemu tumekuwa nawe ukiwa kijana shupavu na ndiko lilikotokea Hilo jina sabasita,,, Hebu Acha huo upuuzi uza Mali zako ukawape maskini Kisha mfuate BwanaYesuKristo Akupatie Uzima wa Milele
@user-xc8ec5uc5e
@user-xc8ec5uc5e 4 ай бұрын
Jenaza si kitu unawafurahisha watu je moyo wako uko wapi Mungu adhiakiwi na uo ni uaribifu wa fetha eri ungetoa sadaka kwa yatima na ombaomba kuliko kujitolea sadaka mwenyewe na angari unavyo
@marthaayuma7065
@marthaayuma7065 3 ай бұрын
😮😮😮 sikatai njia hiyakila mtu.ila huyu.mmmmh
@michaelmaziku991
@michaelmaziku991 4 ай бұрын
Mzee umesahau kuweka soketi ya umeme uwe unachaji na simu ukiwa kaburini pindi utakapozikwa
@user-jo9gp5tb9w
@user-jo9gp5tb9w 4 ай бұрын
Hapna aise mm siwezi japo kifo sio chakuogopa
@joejackson9282
@joejackson9282 4 ай бұрын
Sema tunda ndio maana anadrama😂😂
@AusiIssachimsala-pu1pf
@AusiIssachimsala-pu1pf 4 ай бұрын
Huyo alikuwa mafia na mkuu wa majambazi ,kaua watu wafanyabiashara wengi na kunyang'anya Mali za aliodhulum uhai wao
@user-xf4qs5ti5m
@user-xf4qs5ti5m 4 ай бұрын
Likikutana na mchwaa utajua ujuii
@valenakomba7686
@valenakomba7686 4 ай бұрын
BORA UMENUNUWA MWENYEWE UKISEMA USUBIRI MPAKA UFE, WANAWEZA WAKANUNUWA LA LAKI TANO WAKATI WEWE UNATAKA LA MILIONI 3. UNEWAKOMESHA.
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 4 ай бұрын
Hahahaaaa lakini si atafika aendako na hilo la laki 5 mln 2.5 angetuwachia tukalia ubwabwa
@oscarcharles9624
@oscarcharles9624 4 ай бұрын
hongera sana baba kifo ni njia ya yeyote mungu akupe mwisho mwema
@edithrwechungura2768
@edithrwechungura2768 4 ай бұрын
Ulaya ni jambo la kawaida tunashangaa Sisi waafrica . .ulaya yapo makaburi mengi wameshajitengenezea
@marcylinekanzo8760
@marcylinekanzo8760 4 ай бұрын
Tanzania muko na vituko si agesaidia masikini 😢😢😢
@melanialeonard4031
@melanialeonard4031 4 ай бұрын
Ni ulafi wa mali ni vile hawezi zikwa na nyumba angetaman afukiwe nayo
@Tiagoernest_4
@Tiagoernest_4 4 ай бұрын
Huyu ni muoga wa kifo😅😅
@omaryjudasymwanga7172
@omaryjudasymwanga7172 4 ай бұрын
Bado nina maswali sana mzee jee ukifia kwenye maji na usipatikane milele itakuaje au ajali ya ndege ukaungua ukawa jivu la jumla na wengine utazikwaje
@maleobustz2614
@maleobustz2614 4 ай бұрын
😮
@user-rg5sg1xz8p
@user-rg5sg1xz8p 4 ай бұрын
Yuko sahihi njia pekee ya kuludi tuliko toka ni kifo pekee
@cosmaslunyembeleka251
@cosmaslunyembeleka251 4 ай бұрын
Nakumbuka ujinga wa watu wapumbavu walioandaa siraha nyingi sana za kupambana na binadamu kumbe Mungu alitaka wasiishi hata mwaka. Watu uwa wanaangaika kuwaza kufa badala uo muda wangeutumia kueneza injili. Izo eka hazina maana yeyote ile kwani kuna watu ungewasaidia kuwapeleka kusoma thiology. Kwa kweli sisi ngozi nyeusi tunashida sana kufikiria. Watu uwa tunaandaa mioyo na mahusiano na Mungu kwa ghalama kubwa na si vinginevyo. Mkristo hana njia yake ya mafundisho bali tunajifunza kutoka kwa Yesu. Ivi yesu alivyokuwa na thamani angeandaa jeneza la namna gani kwa vito vya thamani. Tunashida sana sisi wanadamu Mungu Tusaidie ktk jina la Yesu.
@ZainabuOmary-nt7xf
@ZainabuOmary-nt7xf 4 ай бұрын
Kajiandalia mii sioni shida maana ata waislamu wanruhusiwa kununua sanda ww sema ss hatuna garama sanda elfu 20 unasafirishwa inshaallah Allah amuongoze na imani yake
@IdarousPossy
@IdarousPossy 4 ай бұрын
Wewe ndio unashinda kwasbbu hujui ulisemalo, maneno yako hayana maana wala point yyte uliozungumza
@user-ub3xh7ug6c
@user-ub3xh7ug6c 4 ай бұрын
Nakung mkon ajui akisemacho kakalilishwa cy mmoj huy​@@IdarousPossy
@RabiaIddi-ci2uz
@RabiaIddi-ci2uz 4 ай бұрын
Wewe ni mshamba kifo kipo tu hakikwepeki na hii ndo sherehe ya mwisho ya mwanadamu kwahiyo sio mbaya mtu kijiandalia mazingira apendayo
@PaulinaSemindu-ob3de
@PaulinaSemindu-ob3de 4 ай бұрын
Anaangalia siku yake y mwisho jeneza linavyoingia akitoka hospital
@dativajoachimwai1194
@dativajoachimwai1194 4 ай бұрын
Mwili huu ni wetu wakati tukiwa tuko ndani yao. tukishautoka mwili ni wa udongo. unatengenezea udongo. wewe halisi hautaingia huko.
@benancejohn1198
@benancejohn1198 4 ай бұрын
Angeandaa na chakula cha kuwalisha waombolezaji maana kufa ni kufaana.
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН
Double Stacked Pizza @Lionfield @ChefRush
00:33
albert_cancook
Рет қаралды 86 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 6 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 21 МЛН
New model rc bird unboxing and testing
00:10
Ruhul Shorts
Рет қаралды 25 МЛН