Hao ma rais pia wanafaa kushauri vijana kuheshimu viongozi.wawe pande zote mbili na waaache kuegemea pande ya serikali
@georgemaina41482 сағат бұрын
Kwani wewe ni mmjoa wa watekaji nyara?. constitution clearly says.wapelekwe kortini washtakiwe wala c kufichwa mahali haijulikani
@KhuroUweСағат бұрын
@@andrewmusa-x1z yeah ju ata kwani vyombo vya habari hawaoni vyenye vijana wanakosea heshima serikali? Na wananyamaza tu mbn wasiwe kielelezo wao kama kio cha jami?