Marekani na nchi za Magharibi zinaisukuma Urusi kuvuka ‘mstari mwekundu’ - Putin

  Рет қаралды 15,949

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 66
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 22 сағат бұрын
Marekani mimi sijui inataka ni ni inazani itatawala dunia yote au kila inchi mwenye iko n'a uwezo wakutawala dunia ni mungu tu
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 23 сағат бұрын
Huyu mwamba ni hatar anaenda kwa kuangalia sana kwa hesabu kubwa
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 Күн бұрын
first comment first wacther🎉🎉
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 13 сағат бұрын
Uyu mwamba hatari
@ShehaHaji-k8t
@ShehaHaji-k8t 22 сағат бұрын
Bara aenede ivo ivo kikubwa umakini Coz akianzisha mashambulizi ya Nyuklia ata. Kwke hatari Coz, geographic Y ukrein ipo karbu na urusi mionz itawaathiri.
@festohaule9716
@festohaule9716 22 сағат бұрын
Russia pia ipereke Quba na Iran Makombora mazito na yenye kasi kubwa!!!!!
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 13 сағат бұрын
Putin baba lao ❤🌹🇷🇺🇷🇺🇰🇪
@goodluckmsoka3660
@goodluckmsoka3660 6 сағат бұрын
Avuke tu uwo mstari Nch za Ulaya ndio zinasubiria
@cidewashington670
@cidewashington670 8 сағат бұрын
Mzee Putin unawadekeza hao wasukumie makombola ili tuheshimiane nchi na nchi
@HercaIlunga
@HercaIlunga 23 сағат бұрын
Atoke pale anapenda kuonea Ukraine atajuta
@sonnyr1899
@sonnyr1899 18 сағат бұрын
Ihurumiye kwanza Congo yako imeonewa miaka zaidi ya 100 na watu walio kufa na zaidi ya mil 12 ila wewe umemezeshwa uongo eti mrusi Ndio mbaya
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 16 сағат бұрын
Ttea ushoga shog sjasema ww
@akidashekue163
@akidashekue163 22 сағат бұрын
De dollarization coz problems
@africanQueeny-u7o
@africanQueeny-u7o 22 сағат бұрын
😂😂😂😂😂 nilisha wambie akuna kitu apo nakumbuka alisema atakae ipatia Ukraine sila za masafa marefu atapigwa 😂 leo anaongea kujitete subili utafirwa mpaka ufurike😅😅
@Viva01Bigs-r7f
@Viva01Bigs-r7f 22 сағат бұрын
Kaitikisa Dollar Unaumia ukiwa wapi brother kabla ujatowa comment kasome usichekwe na wadogo zako mzee Nishauri wa bure tu
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 21 сағат бұрын
😂😂 huyu labda waende kumshika Tako maana kama mchanga watu washaputa yeye Kila siku vitisho mchina nae kma kamkata ye mwenyewe anategemea support ya kiduku na khamei Sasa anategemea Ukraine ndio asitumie msaada yani unipige wewe ukachukue misaada Mimi nikuangalie tu.
@habarinamichezo6427
@habarinamichezo6427 21 сағат бұрын
​@@Viva01Bigs-r7fmaji na damu hujitenga siku zote umesikia tamko la trump na umeona India na SA walivyojiami hata huyo mchina sio wakumuamini ni kama uturuki pale middle East.
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 20 сағат бұрын
SS matusi ya nn
@burukinyebo6294
@burukinyebo6294 20 сағат бұрын
Ukiwa mtoto wa zinaa lazima ukose wisdom
@KenedyThabiti
@KenedyThabiti 13 сағат бұрын
Wewe mzee pigana acha kulaumu watu
@BarakaKusalula
@BarakaKusalula 23 сағат бұрын
Sasa yeye Kama anaona vita inamgharimu si aondoke tu Ukraine
@uwimana6533
@uwimana6533 23 сағат бұрын
Chizi mkubwa
@ajsmainde5138
@ajsmainde5138 23 сағат бұрын
mawazo yako ndo yameishia hapo..?😅
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 22 сағат бұрын
Putin ni kichaa
@shaabansulaymaan4478
@shaabansulaymaan4478 Күн бұрын
Ana bla bla nyingi Mwenzie marekan alipopga Nagasaki na Hiroshima hakuleta taarab nyingi Huo mstar mwekundu ushakuwa green tyr
@AbubakarMinya
@AbubakarMinya 23 сағат бұрын
Hapo Ako naubinadamu kuliko wao
@mudighurayra
@mudighurayra 23 сағат бұрын
Kwaiyo ndio unaona walifanya jambo zuri kupiga si ndio
@SelemaniMsuya-q8n
@SelemaniMsuya-q8n 23 сағат бұрын
We mpuuzi hujitambui
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 сағат бұрын
​@@AbubakarMinyaHana ubinadsmu bali anaogopa.
@maulidi8479
@maulidi8479 21 сағат бұрын
Kumbuka urusi wajaaa wanajali sana utu na America ni Mabepali wajali saana capital
@alimkumbukwa8363
@alimkumbukwa8363 16 сағат бұрын
Da! zeleski anatuponza😢
@salumrashidabdullashmely2558
@salumrashidabdullashmely2558 15 сағат бұрын
Tunaomba piganeni nyuklia, wengine hatujaona inavyofanya kazi.😂😂😂
@doubletapkama3901
@doubletapkama3901 14 сағат бұрын
yeye anaogopa kufanya venye anafanyia wengine
@AhmedMuhammad-b5n
@AhmedMuhammad-b5n 7 сағат бұрын
Urusi iache Ukraine ni nchi huru
@issalyanali4119
@issalyanali4119 7 сағат бұрын
Israel iache Palestina pia Israel itoke Syria hizo ni nchihuru
@AhmedMuhammad-b5n
@AhmedMuhammad-b5n 6 сағат бұрын
@issalyanali4119 ndio ni kweli kabisa ili vita ziishe
@princegabytv7251
@princegabytv7251 23 сағат бұрын
Kasongo yeyee, ......
@Visionofeagle9689
@Visionofeagle9689 22 сағат бұрын
Mobali nangaa, sunga libala ooyee mbona wewoo😂😂
@aboudasilver6541
@aboudasilver6541 22 сағат бұрын
Aw acha ujinga anaonea ukren au Ulaya yote ndio inayo pambana na Putin Kwa akili yako unafikir ni ukren acha ujinga kijana
@Brunotarimo10
@Brunotarimo10 Күн бұрын
Putin wapige Urkaine nyuklia
@OnesmoEphrata
@OnesmoEphrata Күн бұрын
Mbona kakimbia huko Syria?? Maji ya shingo
@Uyumunsi-tv
@Uyumunsi-tv 23 сағат бұрын
​Vipi ninyi huko afghan😂😂​@@OnesmoEphrata
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 сағат бұрын
​@@Uyumunsi-tvkwani yeye Afghastan hajakimbia.Afghastan marekani ilishinda vita na kuuondoa utawala wa Muller useme wale waafghanstan waliokabidhiwa nchi baada ya ushindi ndio walishindwa kuilinda nchi yao.
@evansogutu4167
@evansogutu4167 23 сағат бұрын
Mstari mwekundu ni upi na unavukwa vp
@MarcellySumaye-bv5lh
@MarcellySumaye-bv5lh 11 сағат бұрын
Hizo ni sheria za kivita za umoja wa mataifa
@Clever-l8v
@Clever-l8v 7 сағат бұрын
Baina ya tako na tako😅
@muhammadmbaraka4515
@muhammadmbaraka4515 23 сағат бұрын
Ili jamaa Lina akilli sana na wanaomuelewa ni wenye akili tu.. kama humuelewi wewe ni kiazi
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 22 сағат бұрын
Utoporoo mtupu utoporoooooo Ajaribu aone watakavyo mnyoa anafikiria Amerika 🇺🇸 ni Ukrein 😂😂😂
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 сағат бұрын
Ww ndio kiazi mjinga hujitambui.
@mwengejames9182
@mwengejames9182 11 сағат бұрын
​@@zebedayokatamaduni9676Shida huelewi anachoongea putin
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 11 сағат бұрын
@@mwengejames9182 Anaongea nini? Pumbafu tu huyo kiazi mwenzio
@ibrahimmbilizi1726
@ibrahimmbilizi1726 17 сағат бұрын
Tayari alisha zoofika
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 14 сағат бұрын
wewe ni lijinga hujui kitu mmbwa wewe Bora ukae kimya
@JeanMalilo
@JeanMalilo 23 сағат бұрын
Avuke tu ndo tuone sasa” Putin ni mjinga kama wajinga wengine tu kina Assad
@EmmaNkuba
@EmmaNkuba 22 сағат бұрын
Na Akina Biden
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 22 сағат бұрын
​@@EmmaNkubaBiden mjanja.Akili mingi na ndio maana syria kafanikiwa kumfukuzisha Putin na Assad na Ukraine putin atashindwa vile vile.
@FredWabwire-w3q
@FredWabwire-w3q 23 сағат бұрын
Warusi wawache kulalamika, nani aliwatuma ukrein?
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 23 сағат бұрын
Hawalalamiki wewe Acha ushabiki Wana inform walimwengu ili likitokea lakutokea wapige nuke msije mkasema ni watu wabaya jins mlizoeshwa na wa magribi kuambiwa uwongo.
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 22 сағат бұрын
​@@thelonewolf4429 Kwa hiyo nyuklia anayo yeye peke yake huyo kichaa Putin. Mpaka Pakistan anazo hatishii mtu
@faridmichael1307
@faridmichael1307 12 сағат бұрын
Wewe kwel zebeda​@@zebedayokatamaduni9676
Donnie Yen vs. Kara Hui | Wu Xia aka Dragon (2011)
8:37
Gabriel Thum
Рет қаралды 355 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,7 МЛН
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 57 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 15 МЛН
Ukraine yadaiwa kumuua Jenerali Mkuu wa Urusi kwa Bomu huko Moscow
2:32
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 8 М.
В Москве убит начальник войск химзащиты РФ
1:01
Euronews по-русски
Рет қаралды 80 М.
Hakikat Jiwa Manusia Di Bongkar Pendiri Mekanika Kuantum
17:11
Q10 Universe
Рет қаралды 57 М.
WAJIB TONTON.!! MINIMAL 1X SEUMUR HIDUP KAMU TAU SEJARAH INI❗❗
2:16:50
TV-PG edit of The Terminator (1984)
1:43:51
ConfusingFool93
Рет қаралды 723 М.
Trump asema Zelensky hajaalikwa kwenye kuapishwa kwake
2:47
Simulizi Na Sauti
Рет қаралды 5 М.
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 1,7 МЛН