Рет қаралды 537
#Marhox, #Beautifull,#2022
Wimbo huo ume rekodiwa pa nairobi n'a dar es Salam. Marhox ame piga colabo hiyo na msani (Esama) kutoka Tanzania n'a mwengine (Ach)kutoka Kenya.
Wimbo unaongea kuusu mapenzi. Ma demu mitaani ni wengi. Chaguo nyingi tu. Bali kuna mmoja ambaye tabia yake ya na ambatana na ya kwako.
Ata kama vishawishi ni vingi unaye pendana naye ma penzi ya tadumu.