MARIOO anawakutanisha DIAMOND,ALIKIBA,HARMONIZE na RAYVANNY leo kwenye listening party ya album yake

  Рет қаралды 12,185

Middle simba

Middle simba

Күн бұрын

Пікірлер: 42
@ndahalizaarchimede4586
@ndahalizaarchimede4586 Ай бұрын
iyo kali sana kbs nakubali sana marioo👍👍👍👍👍👍👍👍
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA Ай бұрын
Napenda events then waje mastaa ❤❤❤
@Ibraahnationnuzy
@Ibraahnationnuzy Ай бұрын
Diamond ❤❤❤❤
@DadaSmithdor
@DadaSmithdor Ай бұрын
Diamond platnumz simba baba lao africa
@ImaniMsafi
@ImaniMsafi Ай бұрын
Simba diamond platunanz ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@FreddyJackson-d3m
@FreddyJackson-d3m Ай бұрын
Rayvanyn ❤❤
@Lebonofficiel
@Lebonofficiel Ай бұрын
Wa kwanza from drc🇨🇩
@DadaSmithdor
@DadaSmithdor Ай бұрын
Diamond platnumz the king of africa
@shannarsaidSwahili
@shannarsaidSwahili Ай бұрын
Feat Aslay itakuwa ngoma kubwa saana
@Anthonyzombie-d2s
@Anthonyzombie-d2s Ай бұрын
Mondi awe mgeni rasmi
@IsaacSalali
@IsaacSalali Ай бұрын
Middel simba❤
@ramazanitr8541
@ramazanitr8541 Ай бұрын
Kiupande sija amini kama Ali kiba atafika, yule mwamba anavi sababu 🤔🤔🤔 mond anaga nomaa, wait and see 🚶🏾🚶🏾🚶🏾
@ZakariaMachibula
@ZakariaMachibula Ай бұрын
Diamond hawezi kwenda kisa kiba kuwepo😂😂
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare Ай бұрын
@@ZakariaMachibula 🤣🤣🤣🤣🤣haezi enda kabixa ata kwa dawa
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 Ай бұрын
Ni kweli hapendi wanafki
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 Ай бұрын
Nakbali mido simba
@chelahkenyah3596
@chelahkenyah3596 Ай бұрын
Ata bien hakualikwa
@DjemsTorontos-d8p
@DjemsTorontos-d8p Ай бұрын
Diamond platnumz na harmonize awawezi kwenda ata kidogo 😅
@JumaGendeye-sv6yl
@JumaGendeye-sv6yl Ай бұрын
Tusubiri tuone tusisemee mengi lakin Rayvan sizan 😂😂😂
@CheloDangote
@CheloDangote Ай бұрын
@draxelr-vc9wr
@draxelr-vc9wr Ай бұрын
Chuiii awezi kwenda ata mumshkie mitutu kunasababu😅😅
@saadabakar7750
@saadabakar7750 Ай бұрын
Mmmmh wamealikwa tusubiri hao watakaoalikika 😂😂😂
@mrtallentsgp2623
@mrtallentsgp2623 Ай бұрын
Kuna mtu hataendaa
@jembelakijiji
@jembelakijiji Ай бұрын
😂😂😂😂chubudi chubude na harmonize nawashuku
@RehemaKatana-m6l
@RehemaKatana-m6l Ай бұрын
Ata mm 😂😂
@mrtallentsgp2623
@mrtallentsgp2623 Ай бұрын
@@jembelakijiji hakikaa
@jembelakijiji
@jembelakijiji Ай бұрын
😂😂😂😂chubudi chubude na harmonize nawashuku
@wilsonsilva3718
@wilsonsilva3718 Ай бұрын
Diamond sio nsani tena sasa ni nfanya biashara awezi ku enda uko...anapoteza muda wake wa pesa
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare Ай бұрын
Simbaaaa haezi enda ata kwa dawa ...ataenda south africa na zuchu kula bata😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NduwimanavovobiVovobi
@NduwimanavovobiVovobi Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@WycliffeAbdulLigare
@WycliffeAbdulLigare Ай бұрын
@NduwimanavovobiVovobi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukweli mtupu dai never
@amyboyfighter7281
@amyboyfighter7281 Ай бұрын
.
@-thegreat-zawadimmasa307
@-thegreat-zawadimmasa307 Ай бұрын
Hv unajua maana ya kuwakutanisha watu au una post tu ili watu waangalie content zako ? Wasipokuja je ? Jifunze bhana
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Ай бұрын
Yaani diamond 💎 aende kumuangalia Mario really? Ujinga tuu!!!!! Wacha kiba aende hana kazi yeyote
@AshaHadhidha-hj3oo
@AshaHadhidha-hj3oo Ай бұрын
Like seriously enyewe wako na album ya Zuchu
@wodnyaseje
@wodnyaseje Ай бұрын
Inatitwaga support bro, anaenda kusupport
@RehemaMgoba-v4z
@RehemaMgoba-v4z Ай бұрын
We ndo mjinga kwan diamond Ni nani akojoi au anyi Kwanza ana nini
@ReobenGilberth
@ReobenGilberth Ай бұрын
We kichaa unashangaa nn sasa
@ReobenGilberth
@ReobenGilberth Ай бұрын
Hii ambayo Yuko na aslay ndio itakuwa fire
@SaimoAbusei
@SaimoAbusei Ай бұрын
Una jipya wewe kapiku
@mtotowamanka
@mtotowamanka Ай бұрын
Xx hap ndy kuwakutanisha middo badilika bhn kwney Head 🗣️ content
Enceinte et en Bazard: Les Chroniques du Nettoyage ! 🚽✨
00:21
Two More French
Рет қаралды 42 МЛН
Dully Sykes & Alikiba - Zali (Visualiser)
2:52
Dully Sykes
Рет қаралды 2,1 МЛН
ILA STEVE NA NDARO ONA WALICHOMFANYIA BOSS WAO
17:56
Steve Mweusi
Рет қаралды 463 М.
Marioo feat Bien - Nairobi (Visualiser)
3:23
MariooOfficial
Рет қаралды 1,4 МЛН
Marioo feat Harmonize - Wangu (Visualiser)
2:50
MariooOfficial
Рет қаралды 3,4 МЛН