MARIOO: SIJUI KUHUSU DIAMOND, MBOSSO | UKISIKILIZA ALBUM YANGU LAZIMA URUDI STUDIO

  Рет қаралды 22,145

Crown Media

Crown Media

Күн бұрын

Пікірлер
@FrankMsuya-u7g
@FrankMsuya-u7g 7 күн бұрын
Dj d ommy crazy Tisha sanaaa unamzukaaaaa mbaya🔥🔥🔥
@abdulsambi9011
@abdulsambi9011 8 күн бұрын
The kid you know huwezi kuifunika.
@LidyaJoctan
@LidyaJoctan 8 күн бұрын
Album kal sana Ina nyimbo tamu
@LuandaKubuya-qi6he
@LuandaKubuya-qi6he 6 күн бұрын
Congratulation marioo
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 күн бұрын
Marioo unatisha sana kama njaa hongera kwa Album qali...🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 8 күн бұрын
Dj nimnoma😂😂🔥🔥🔥🔥
@AyubuKhan46
@AyubuKhan46 3 күн бұрын
Umetisha san DJ D OMMY
@Lion_killer4
@Lion_killer4 7 күн бұрын
Me marioo namupendaga saaan anaimba vizuri saaan ila akifika kwenye album anaimba km sio yeye hachangamuki kama ninavyo mujua km shabiki wake naomba kwenye album ajiongeze mimi natoka burundi napenda music nawasani watanzania kutowaemo ccibu na zuchu wake
@AliMfundo-q1k
@AliMfundo-q1k 8 күн бұрын
Bad bad Album imeweza Marioo,Sober ngoma yangu pendwa
@hilsalboy4118
@hilsalboy4118 8 күн бұрын
"SIJUI" kuwa makini
@MwajumaRajabu-i8y
@MwajumaRajabu-i8y 8 күн бұрын
Kiukwl marioo nakukubali ila Album kiukwl unaniangusha Sana ktk Album uoneshi ukubwa wako kiukwl Album niyakawaida ...ila big up tunashemu akuna kazi ilio rahisi
@celestinblack1551
@celestinblack1551 8 күн бұрын
Hujui Maana ya mziki mzuri
@mlamytz
@mlamytz 7 күн бұрын
@@celestinblack1551huyo jamaa yupo sahihi
@mis2ra766
@mis2ra766 7 күн бұрын
Álbum kali sana mwamba Marioo 🎉❤❤❤
@faiththawe4371
@faiththawe4371 7 күн бұрын
Kawaida sana
@issashabani-c7r
@issashabani-c7r 8 күн бұрын
Kuandaa album sio kitu rahisi kabisa kibasa na ndio maana wasanii wengi wanashindwa kufanya hizo album kwasababu album sio kitu cha kuingia studio 🎙️ na kutoka album ni mchakato wa muda mreeeefu sana na album inahitaji mipango miiiiiiingi sana na hiyo mipango haiwezi kutimia kama unakuwa huna hela ya kutosha kwasababu kuna watu na vitu ni lazima utumie pesa ili uwapate hao watu na ni lazima utumie pesa nyingi ili kuvipata ivo vitu 💰 yani kiufupi ukitumia pesa nyingi ndipo unapo pata madem wazuri 😂 namaanisha pesa ndio kitu pekee kitakacho kufanya upate kufanya kila unacho kitaka ✅
@AnnahkiswangzKishwangz
@AnnahkiswangzKishwangz 8 күн бұрын
Dj d ommy ametisha sana
@DR.DADI_MTUMBATU
@DR.DADI_MTUMBATU 8 күн бұрын
SIJUHI NDIO KISWAHILI GANI TENA MNATUANGUSHA JITAHIDINI KUHAKIKI MANDISHI KABLA YA KURUSU
@KefaMsambya
@KefaMsambya 8 күн бұрын
Hivi ni maandishi au mandishi Nielewesheni tafadhali
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 күн бұрын
Mpk hapo nawew ushakosea tayar 😂😂
@ushindirecord7742
@ushindirecord7742 8 күн бұрын
😂😂😂 acha zako na ww
@rosemahenge9071
@rosemahenge9071 7 күн бұрын
Na ww kabla hujatoa kasoro jitahidi usirudie makosa yale yale😂MANDISHI❌MAANDISHI✅KURUSU❌KURUHUSU✅
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr
@OptimisticSpaceAstronaut-cu5sr 7 күн бұрын
​@@KefaMsambyasi unajua ujuaji ukizidi😂😂😂😂
@SuleymanBwembwe
@SuleymanBwembwe 8 күн бұрын
Noma 🔥
@AdamGome-f6x
@AdamGome-f6x 8 күн бұрын
Mario #THEGODSON
@Davidchali-y6p
@Davidchali-y6p 8 күн бұрын
mimi nina penda wangu
@bakariomary5781
@bakariomary5781 7 күн бұрын
Say yeeeyeee "we dj d ommy " 🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 8 күн бұрын
Media yenu hiii
@SalumsaidNassoro
@SalumsaidNassoro 8 күн бұрын
Toto bad
@HamisiMwazikeni
@HamisiMwazikeni 8 күн бұрын
Nomaa
@kjb_user0077
@kjb_user0077 8 күн бұрын
Dollar laki moja na 20 ni uongo hapo ametuchapa za uso
@medadyjuma5756
@medadyjuma5756 7 күн бұрын
Kweli kabisa katuchapa za uso
@echasafuraha3423
@echasafuraha3423 2 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@Sampovoice8088
@Sampovoice8088 7 күн бұрын
Bad anajua sana
@DeusMasunga-lq1jo
@DeusMasunga-lq1jo 8 күн бұрын
❤️❤️❤️🔥🔥🔥
@SolomonHenry-y7h
@SolomonHenry-y7h 8 күн бұрын
God Son 👑
@MNYAMA_KING
@MNYAMA_KING 7 күн бұрын
Ommy🎉
@princemesha9611
@princemesha9611 8 күн бұрын
😂kawaida Sana sijaona chaajabu
@LAMECKSHEDRACK
@LAMECKSHEDRACK 8 күн бұрын
Sasa momo ameivaaaa. sio kwa ubaya lakini jamen. Sasa mtachagua nyie muende na lesa au momo.
@MJB-Africa
@MJB-Africa 8 күн бұрын
Where is KELELE GAAAAAAANG
@aliimwachondo
@aliimwachondo 6 күн бұрын
Album naiskiza kaa mara kumi kwa siku
@Mrishowalengamina-bx2to
@Mrishowalengamina-bx2to 8 күн бұрын
❤❤❤❤
@AmosCharo-q3x
@AmosCharo-q3x 8 күн бұрын
Dj d jitu nakubali😂
@DadiYanka
@DadiYanka 7 күн бұрын
Sasa yeye ata asipoenda atapunguza nn diamond ni mkubwa sanaaaa😂😂😂😂😂
@ASHAKHAMISMUSSA
@ASHAKHAMISMUSSA 8 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉
@Davidchali-y6p
@Davidchali-y6p 8 күн бұрын
lbm nibora sana
@FrankLucas-z9p
@FrankLucas-z9p 8 күн бұрын
Dudu Baya alisema ukwel
@fiston-asifiwe
@fiston-asifiwe 8 күн бұрын
Alisema nini
@Godfreykaimenyi
@Godfreykaimenyi 6 күн бұрын
Wise
@ChristianChuwa-cy1du
@ChristianChuwa-cy1du 6 күн бұрын
Album kali sana ila hits song ndy zilizotoka 😂
@kizzobkali1691
@kizzobkali1691 8 күн бұрын
Acheni uchochezi Wawa sanii bila kumtaja Diamondi amtoboi mumwache simba
@GervasKajembe
@GervasKajembe 6 күн бұрын
Nilivo elewa ulikuwa unapanda levo nyingine
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 7 күн бұрын
Albam mbovu
@mohamedmanga8391
@mohamedmanga8391 6 күн бұрын
Chunga sana na huyo mtangazaji mwenye ushamba aliyekuhoji mwisho, epuka njia ya mabifu anayokusogezea. anatafuta kujipendekeza kwa kiba.
@AlfroLyd
@AlfroLyd 8 күн бұрын
Hizi Ngoma mpya zote kwenye hiyo album, Ngoma moja Tu ndo nzuri, Mario na Patoranking, hiyo Tu. Sema jinyi mnao mu hoji mnampa Tu sifa naye anazani Ni album Kali. Naipa tu siku 7 hamta sikia Tena hii album
@mrsinia3064
@mrsinia3064 8 күн бұрын
Basi we mchawi
@mlamytz
@mlamytz 7 күн бұрын
Imeshindwa kukaa namba one trndng
@georgekenga
@georgekenga 5 күн бұрын
Album imeweza sio kama ya diamond ya kipididi pididi tu😂
@mtutulaclassic6207
@mtutulaclassic6207 8 күн бұрын
Huyu msenge anayewaandikia hizi caption hajaenda shule nini? Kila siku anaandika upumbavu tu SIJUHI ngo kitu gani
@Newpowerog
@Newpowerog 8 күн бұрын
We mwenyewe umeshakosea ngo kitu gani ndo nini sasa
@BigDreamsWorldwide
@BigDreamsWorldwide 8 күн бұрын
Attractive 😂😂😂
@RajabuJumanne-bf3zs
@RajabuJumanne-bf3zs 7 күн бұрын
Mbn m nimesikia Ile ya ubaya ubwela tu mmshabiki wa Simba nyimb zngn natafuta sipatii 😢
@mlamytz
@mlamytz 7 күн бұрын
Ibrah anawapelekea moto kuna nyimbo yake inaitwa ww nan ndio funga mwaka
@zaaraseason21st5
@zaaraseason21st5 7 күн бұрын
Hivi ali kiba alienda mbona anasemwa mond na hayupo kwenye album
@backieb205
@backieb205 8 күн бұрын
Guys where's lisa
@backieb205
@backieb205 8 күн бұрын
We miss her
@jonathanvevo2223
@jonathanvevo2223 4 күн бұрын
😂😂😂
@ivantompoo-c9k
@ivantompoo-c9k 8 күн бұрын
Crown mpo frexh
@dangomc_niger
@dangomc_niger 8 күн бұрын
AWA WATANGAZAJI WACHONGANISHI ETI HSZUJIII IVI MOND KWA LEVLE ALIYOPO WEE NI WA KUMTISHA ETI HAUJI
@MohamediNampungilah
@MohamediNampungilah 8 күн бұрын
❤❤
[BEFORE vs AFTER] Incredibox Sprunki - Freaky Song
00:15
Horror Skunx 2
Рет қаралды 19 МЛН
Marioo feat Harmonize - Wangu (Visualiser)
2:50
MariooOfficial
Рет қаралды 1,2 МЛН
AKILI MIA NA MCHIZI MOXIE PART 1
35:05
Akili100_ Asili100_Platform
Рет қаралды 1,5 М.
Diamond Platinum and Zuchu make appearance on 10 over 10
13:04
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 339 М.
SOO DHAWEYNTA FANAAN ISMACIIL DANAN EE MINNESOTA
14:33
Gobsoor Media
Рет қаралды 30 М.