SHUSHA COMMENT YAKO HAPO CHINI NIAMBIE NI SEHEMU GANI UMEIPENDA KWENYE WIMBO HUU (Niko hapa nasoma na Kujibu)
@ZacharieBaombwa7 күн бұрын
Penzi mbn limenoga...., Nihit baby,baby wang, Sweet wng ...iyo sehem ndio naipenda❤❤❤ Ongera
@BimenyimanaJules-i5k7 күн бұрын
Nyimbo kali kl respect mrio harmonize munaeza Nasisi uku 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 🇧🇮 tumepend nyimbozenu
@bennice077 күн бұрын
Konde hapo mwisho alipopiga TAKO😅😅😅
@emmanuelkaka66437 күн бұрын
apo kwa penzi limenoga na kumwagika kama maji ya bomba...... BOMBOCLAAAAAAAATTT
@kelx7 күн бұрын
The best!
@mashabikiwaharmonize8 күн бұрын
Wapi mashabiki wa KONDE GANG damu na wale wanao kubali konde akikutana na MARIOO
@peternyameto2348 күн бұрын
Unyama mkubwa dogo
@bobbybrayanskiprotich.55758 күн бұрын
Bommboclaaat from kenya much love
@joebaben95937 күн бұрын
Tuko apa 🔥
@Stafamuigizaji7 күн бұрын
Yaani harmo hadi kwenye video katafutiwa pisi Yenye makalio 😂😂😂😂
@DjumaAigle-l7c7 күн бұрын
❤️❤️❤️
@SadreckAman8 күн бұрын
Weweeeeeeeeeeeheee!! Harmonize ni mtu na nusu naomba like 10 tu
@SeifJuma-l8t8 күн бұрын
Wa kwanza kutoka Alooooo☎️ Naomben like kama kwel mnakubali kaka angu Omary marioo 🔥🔥🔥🔥 ngoma kali sana Hii kwangu ndo ngoma ya mwaka
@AllyChikwela-os4tc8 күн бұрын
Kaka Yako wangapi😂😂😂😂😂
@Maron-Tz8 күн бұрын
KING🎉
@Profesional_Studios8 күн бұрын
😂😂😂@@Maron-Tz
@joebaben95938 күн бұрын
Kweli
@SeifJuma-l8t8 күн бұрын
@@AllyChikwela-os4tc Upande wa mama mkubwa
@alikibaOfficial7 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥👏🏼
@rillrizzy93245 күн бұрын
Bro Ali kiba i wish niwe kwenye lebo yako..mi ni msanii mzur sema sijapat lebo. Unaweza kuangalia kazi zangu though jina RILL RIZZY🎉
@KhalidMsumali5 күн бұрын
Ali kiba wewe ni hatari sana
@dailyuplift-on2 күн бұрын
Alikiba fanyeni remix nyingi na huyu marioo, abba anajua kutupa beats nzuri na pia jay melody, harmonize na wengine
@chiberjr2 күн бұрын
Noumaaaaa sana
@chiberjr2 күн бұрын
Kali sana
@CarlitacelestinoLimas7 күн бұрын
Oya oya oya Oya we konde Boy unajuwa mpaka unakera brow ❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@gracewanjiku65816 күн бұрын
Kama unakubali Harmonize alifunika kwa hii ngoma show love Konde❤️🇰🇪🇰🇪💪💪🎤🎤👊
@EriyudyErisy5 күн бұрын
Umeupiga mwingi
@Scabascuba888 күн бұрын
🔥🔥🔥asee bonge moja la ngoma marioo ametisha ile mbaya halafu Bomboclack kauwa kabisa
@habarikivu8 күн бұрын
Wa congo kama munakubali verse ya konde tembo nipeni like zangu🎉
@UsdJunior7 күн бұрын
Aucune idée
@ItsChiber2 күн бұрын
Noum sana
@ItsChiber2 күн бұрын
Balaaaa sna a
@ItsChiber2 күн бұрын
Kali snaa
@ItsChiber2 күн бұрын
@UsdJuniobalaaaa r
@HarmoïseKasereka-p4o8 күн бұрын
Wangapi wajuwa kwamba konde kafunika marioo kwenye iyi wimbo?kama unamkubali konde gonga laik hapa❤
@emmanuelchilimo12 сағат бұрын
Konde ana mashairi mengi
@Kebaclassic107 күн бұрын
Jamani ebu wait wait mulisikiya yale maji Yaliyo mwagika kwenye vers ya BOMBO CLAAAA AAAAH ❤ kk yangu tujuwane basi mm ni mdogo wako kwa mama wakambo ni RADJABU Bien sol ❤❤❤❤❤❤❤❤❤👍
@Mrpittyofficial8 күн бұрын
Bad nation na konde wakiungana huo ni bombu 💣 sijapata ata likes 100 kwa nyimbo ya marioo ❤
@chiberjr2 күн бұрын
Tishaaaa sana
@chiberjr2 күн бұрын
Noum sana
@chiberjr2 күн бұрын
Noum sanaa
@chiberjr2 күн бұрын
Noum sana
@chiberjr2 күн бұрын
Noum sana
@BekaBoss-jl9my8 күн бұрын
Marioo kaka we nimtuwa maana sana kaka Twende naloo sasa🎉🎉🎉🎉
@Dennis_Okelo7 күн бұрын
Mario na Harmonize are like a pair of Nyash. Non can survive without the other❤❤❤ team Bomboclaaat
@MussaRamadhani-q7v8 күн бұрын
marioo kwa hii ametisha sana verse hajazidiwa hata chembe kongoreeeeeew 🎉🎉🎉
@TMBBenji8 күн бұрын
I'm 24, & i started music when I was 17. Marioo’s success story inspires me sm. I pray one my songs goes viral someday. Until then, stay blessed.
@LoveSulle-by2mo2 күн бұрын
❤ mungu awape nguvu zaidi kuwafikishia ujimbe walio kat tamaa
@Salim-ko3pp8 күн бұрын
Ah aiseee❤🎉🎉🎉❤penzi mbona linamwagika😅❤❤❤Love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@Freddymedia-p7d8 күн бұрын
Nigerians 🇳🇬, tanzanian🇹🇿, Burundians🇧🇮,congolese🇨🇩, Ugandans🇺🇬, Americans🇺🇸, Zambians🇿🇲, south Africans🇿🇦, Zimbabweans🇿🇼, Rwandans🇷🇼, Namibians🇸🇸, Kenyans🇰🇪,my wicked landlord and I approve this song as our unite anthem
@Malalenduttu16 сағат бұрын
Nomaaa
@Malalenduttu16 сағат бұрын
UnJuaaa
@Malalenduttu16 сағат бұрын
Fujoo
@Malalenduttu16 сағат бұрын
Kiwangoo😊
@Malalenduttu16 сағат бұрын
Kaliii
@emmanuelchilimo12 сағат бұрын
Mash Up yako Harmonize huwa na Bomba sana, respect him aseeeeee.....toto baaaaad
@SmilingCells-gz4rk8 күн бұрын
Marioooo to the world. Asantee brazaaa kutoka alooo
@JEANS-TZ8 күн бұрын
Wanangu wa KONDE GANG tumupe like zake Marioo 👇hapa ame tisha sana ❤
@yatbonanzarofficial1076 күн бұрын
Wakali wa Africa mkikutana nakubali sana kazi Yatbonanzar from Kenya 🇰🇪❤
@_lexuslexy8 күн бұрын
Bomboclaaaaat ❤wangu my best 🇰🇪
@beatman4018 күн бұрын
Daaaah😮😮😮😮Ila#Konde 🤔🤔🤔Hakuna Msanii #Tz Kama #Harmonize,Hiii Nyimbo Tangu Ina Toka Nimeiskiliza mara 10 kwa Siku,#Harmonize kaua Humo Dani From🇰🇲🇰🇲🇰🇲🇰🇲Comoros
@visualcreativestudios7 күн бұрын
sana kaka verse za harmonize zipo very tough ukilinganisha na za marioo marioo verse zake za kawaida sana humu kaimba kawaida sana sema nyimbo 10/10 naipa mellody kali kwa wote wawili
@MosesMwangi-qs1gp7 күн бұрын
Any Kenyan 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 gather here for Marioo wapi likes yake hapo chini
@Rubinchannel2544 күн бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@joebaben95932 күн бұрын
🔥🔥
@BakaryMbua-wk8kl16 сағат бұрын
Sanaa
@BakaryMbua-wk8kl16 сағат бұрын
@joekinlmbaben9593
@BakaryMbua-wk8kl16 сағат бұрын
kinlmaa
@jadevevo968 күн бұрын
🎉🎉🎉kali nawakubali from kenya 🇰🇪
@Maldioso8 күн бұрын
Marioo katisha kwenye mistari yake💯🔥
@victorvinquez5548 күн бұрын
Sema all in all nimependa marioo alivyo imba katisha kinoma noma
@DjRoyalD8 күн бұрын
Hii nayo ni moto🔥🔥 2 Kings👍 Much love from Kenya
@RITANYASUGUTA3 күн бұрын
Marioo kweli mnoma ❤❤❤ watching from kenya..nyi wakora wa ruto hebu like❤
@Symosmith7 күн бұрын
Niko kenya kuseme ukweli marioo na harmonize nawatambua mbaya,,,,, hii imeningusha wallai ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@shadyarif6538 күн бұрын
Nakubali kenya namba moja hapa🎉
@joshualaizer17078 күн бұрын
Harmonize oyaaaa msenge anajua adi anakera oyaaaa🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥💥
@muhammedymadati8 күн бұрын
Kiboko Yao huyooo. Hawataki tu kukubali kmmke 🔥🔥🔥
@onesmusmutinda487516 сағат бұрын
Kibao kama kibao, niite baby, niite..❤
@JamesNailsTzJamesNailsTz8 күн бұрын
Marioo tunakikubal saan kaka ngoma yamoto 🔥🔥🔥🔥
@Musicahofficial-j4w8 күн бұрын
Best duo in whole world ❤❤ila awa wawili
@zepinashatibu51494 күн бұрын
Malaika nakuita tenaa umeweza❤❤❤ dada umechukua akili za watu kuwarusha roho
@kindbwoy_ke83678 күн бұрын
Marioo & harmonize to the world 🌎 ♥️
@WilfredPeter-e9d6 күн бұрын
Kutoka alooohhh na bombockaaaat wakikutana hawajui kuharbu hawa watu wanajua konde gang hapa
@lovenessitiku62937 күн бұрын
Heee ila huyu mmakonde anaimba dah oyaaaa noma sana❤❤❤❤❤
@charlessamson66256 күн бұрын
Harmonize kiboko kweli kweli, huwez kumfunika kizimbe kweny Collab, kama unamkubali harmo, acha like hapa🇹🇿🇨🇩🇿🇦🇿🇼🇺🇬
@chiberjr8 сағат бұрын
Kutoka alooooo
@chiberjr8 сағат бұрын
Balaaaaaa sana
@chiberjr8 сағат бұрын
Balaaaaa sana
@chiberjr8 сағат бұрын
Kali sanaaa
@chiberjr8 сағат бұрын
Tishaaaaaa mnooo
@RichardJacob-s6k8 күн бұрын
Kutoka halooooow .....❤❤❤. Bombo craaaaaaaack 🔥🔥🔥💯
@JunizzyMaria8 күн бұрын
💥
@SimonPaul-tp7cc7 сағат бұрын
Olooo napenda vile unabidii na uedelee ivo
@AsifiweDawson8 күн бұрын
In ma Playlist this December oa hii ngoma imenibamba
@FREDCHILUMBA-hf5dm8 күн бұрын
Muombe Mungu uzimaa, 🎙️ Tatizo la mapenzi kanituma mimi 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@chiberjr15 сағат бұрын
Noumaaaaa sanaaaa
@chiberjr15 сағат бұрын
Noumaaaaa sanaaaa
@chiberjr15 сағат бұрын
Ngomaa kali sanaaaa
@chiberjr15 сағат бұрын
Tishaaaaa Sanaa
@chiberjr15 сағат бұрын
Noumaaaa aisee
@frankchibago32064 күн бұрын
Oyaaa weeee 👑👑👑👑👑👑duuuu kumbe furaha ikizidi nahalibu sasa sijui nikua ni semenini kuhusu King 👑 na dul hingoma nyoko
@MichaelDawizzy-lm8my7 күн бұрын
Bomboooooo claaaaa ameufanya mwingi sanaa
@jamesraphael95817 күн бұрын
Marioo.ft harmonize bonge la kolabo.tena❤❤❤
@pence_fx8 күн бұрын
Don’t know about you but after you visit the east you soon discover that any “Marioo featuring Harmonize” song is always a hit .Too much love to you guys from Cameroon 🔥🔥🇨🇲 ❤😂
@nancyachuchi51518 күн бұрын
Kutoka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeikubali hii hapa❤
@Reinblacks7 күн бұрын
Ila harmonize anapenda sana Nyash bombo Claaaaat🔥🔥🔥
@Lovemama-g6r2 күн бұрын
Nomaaaa
@Lovemama-g6r2 күн бұрын
Unajuaaaa
@Lovemama-g6r2 күн бұрын
Tishaaaa
@Lovemama-g6r2 күн бұрын
Snaaaaa
@Lovemama-g6r2 күн бұрын
Motooo
@chidi_don8 күн бұрын
Mumeuwa Hu Ndani Yani Hamuna Baya 🔥💯🚀🙆🏻♂️
@puritylugonji23538 күн бұрын
4/12/2024 kutoka Nairobi tutakumbuka
@cheydazedon58988 күн бұрын
Hii ngoma ni ya moto sana🔥🔥Ila Konde ameshakata kamba
@steezymarafikiofficials3218 күн бұрын
Konde Mario always a special Collabo ,hawajawai boesha , Likes from 254 hapa
@ShukuruJonas-dm2tm8 күн бұрын
Goma kali wanao amini harmonize kaua gonga like hapa
@MartinDaudi-r6p2 күн бұрын
Nomaaa
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI8 күн бұрын
Marioo kaua kwa verse 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌
@ASHAKHAMISMUSSA8 күн бұрын
Napenda sauti ya marioo ❤❤❤❤❤❤
@tonnysgalleries58488 күн бұрын
Hii mechi marioo kashinda
@visualcreativestudios7 күн бұрын
marioo humu kaliwa kichwa na harmonize verse za marioo nyepesi sana ukilinganisha na za konde
@LUCAS_LUMBASI_SIMULIZI7 күн бұрын
@@visualcreativestudios sawa.. ilaa nikuulize, kwenye hii ngoma kat ya verse za Marioo na Konde, verse gan zinaitambulisha ngoma?? Sawa marioo ni nyepesi lakn uwepes wake ndo umefanya watu wapende kutoka moyon.. utaskia tu "tulikutana tiktok....😃"
@jimprincemelody83507 күн бұрын
Hamo lyrics strong sana, pia harmony na Melody
@romaman7378 күн бұрын
Watu wangu wa Rwanda gongeni like huh wimbo tamu sana ❤
@Abmediasite88 күн бұрын
Love from Kigali rwanda 🇷🇼 ❤❤❤eve though we don't understand kiswahili well but the beat and melody for us give us like tz people ❤
@Manoti_Mk8 күн бұрын
From NY nime kupata toto bad👏👏👏
@EusébioisaiaspauloPaulo8 күн бұрын
Good job from mozambique nimpeni leo tatu tuu
@arthurb3508 күн бұрын
Two of the best make the best song .
@wairimu9113Күн бұрын
Mnaeza tukana diamond hata mumpake matope Lakini mtu asiguze konde boy wallahi!!!! Karibu Kenya anytime superstar ❤❤❤❤
@MoiseAkilimali-z6o8 күн бұрын
Wa kwanza toka Drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@LuvandaOnesmus8 күн бұрын
ila marioo🙌🔥🔥
@doriceMelisa2 күн бұрын
Marioo and harmo kill vibe 😉😉😉😉
@ramsgdn048 күн бұрын
Wimbo wa mwaka anaye kubali gonga ❤
@Cheedmastafilm8 күн бұрын
My favourable artist nakubali sana kaka
@AndreaMason-od4de5 күн бұрын
Konde Forever 🎉ungeimba tu ww wimbo wote
@AndrewFikwa8 күн бұрын
Huyu harmonize ni noma snaa adi ananitishaa duh
@FikiriKibingira8 күн бұрын
Wakwanza kutoka 🇿🇦 naomba like zangu
@matildamalinganya32842 күн бұрын
Mafundi wawili katika ubora wao. Ngoma kali mno❤
@Sir_Yoka6 күн бұрын
Ila hawa jamaaa wakikutana wanakamiana na kufanya kazi nzuri sana big up all bros
@mrsinia30648 күн бұрын
Hii ndio inaitwa funga mwaka sasa big up sana my brother's 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Zunguboy3607 сағат бұрын
Kondeeeeeee
@Kwa_suzie_salon8 күн бұрын
This is my favorite ❤
@mathiasbosire79278 күн бұрын
Kali sanaa kutoka kenya
@mwanaidikingazi42222 күн бұрын
Mafundiiiiii wawili 🔥🔥🔥🔥
@BongoVibesTV8 күн бұрын
My favourite track now on repeat, mmeua humu wakuu
@luinchingunjiri87648 күн бұрын
East Africa well represented🇰🇪👏💯💯🔥
@KashBoy-zo4du3 күн бұрын
Motoooo ngoma nzuliii sana 🔥🔥
@Khellymigeyo-u2u8 күн бұрын
Nmekua wa kwanza kuiiona hii
@Reekrazy8 күн бұрын
Kkkkubwa 🎉🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@BUDDYMWAFRICA7 күн бұрын
Marioo and CEO wa Kondemusicworldwide never disappoint ❤❤❤🎉
@leykekasereka8 күн бұрын
Bombo claaaaatt harmonize 🔥🔥🔥🔥❤️❤️
@jonesdangote5018 күн бұрын
Badgang❤🎉
@epodoijudith8982Күн бұрын
Mario atunii nguvu sauti inajiongelea but they killed it mam❤❤🎉
@strawboiofficial30878 күн бұрын
bomboclaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥baaady
@dicksonmsengi39768 күн бұрын
Ngoma ya kwendaaa⚡
@KeflineYohana2 күн бұрын
Nomaa
@MwitaOhura8 күн бұрын
Hapo naona wamekutana mafundi wote mmetisha sana wanetu
@Dr_Cayden_Official8 күн бұрын
King Bad Always ❤
@ManziNte2 күн бұрын
Absolutely
@gideonwambua35388 күн бұрын
Konde forever ❤❤❤
@francisnyangaresi67 күн бұрын
Hamwezi nipea hata likes kutoka Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SojaGwantanum5 күн бұрын
Oyaaa hili ngoma nimenyoosha mikono🙌🏾🙌🏾🙌🏾
@nbzongamusuc7 күн бұрын
KL baba mariooo nakubali San kwaibolo umenupa leo nanakubali San pia