Aisee wimbo ulikuwa faraja katika ndoa yangu ila ukweli nililia Sana
@lilianmofat97144 жыл бұрын
Naamini pia mm mwaka huu nitaimbiwa huu wimbo katika jina la yesu kristo
@vilendapquirog60542 жыл бұрын
Aminah🙏🥰
@estermnunke9485 Жыл бұрын
Mungu akusaidie
@ZawadiSeso3 ай бұрын
I believe kua mungu atanipa na Mimi
@iddmasyen4258 Жыл бұрын
Mungu nijaalie ndoa ya baraka mie na mke wangu.
@masalumanumba61782 жыл бұрын
Endelea kupumzka kwa amani baba yangu kila nikisikiliza hii nyimbo nakumbuka ulivyocheza nami kwenye send-off yangu uliipenda sana hii nyimbo upumzke kwa amani king of my heart ❤
@fransavinhonacmela8273 жыл бұрын
Mbeya mambo vipi? Huwa nakumbuka mbari sana nisikiapo ngoma hii. Kwani nilikuwa #somewhere. Mikoa miwili tofauti. Iringa na mbeya. Kama unaingia hapa mwaka huu #2021March gonga like Tujuane
@luhekelondelwa97143 жыл бұрын
Nilikuwa naupenda huu wimbo ashukuliwe mungu nami alinipa wangu wimbo mzur sana
@LeonidaAniset-w1o3 күн бұрын
I believe it na me itafika siku kama hii
@LeonidaAniset-w1o3 күн бұрын
I believe it na me itafika siku kama hii 🙏
@erickmeshac3135 Жыл бұрын
Nausikiza huu wimbo Hadi natamani ndoa,ila bado najipanga ili nioe
@EmmanuelJulius-ru3ti Жыл бұрын
Asantee dada angu NAMI ipo siku nitaambatana na wangu na mtanitakia safar njemaa 😻😻
@veronicajuma90554 жыл бұрын
Naipenda san huu wimbo. Ee mungu namim nipe wangu
@vedastomtasha3 жыл бұрын
NIPO HAPA JAMAN
@faithrachel76963 жыл бұрын
@@vedastomtasha 😂😂😂😂
@vedastomtasha3 жыл бұрын
@@faithrachel7696 ndio aje hata wewe nichek
@vedastomtasha3 жыл бұрын
@@faithrachel7696 vedastomtasha@gmail.com
@vedastomtasha3 жыл бұрын
@@faithrachel7696 kwa hyo wanicheka
@asimwejohn15424 жыл бұрын
Ee Mungu 2jalie na ss 2pate wenz walio bora na sahih
@josephchege3496Ай бұрын
U r the real Angela chibalonza kipit up.
@charlesjacob12734 жыл бұрын
Mungu ni mwaminifu atakarbia kweny Moto wangu
@marychristian6035 жыл бұрын
Mungu nijarie soon na Mimi naipenda Sana hii nyimbo😍
@vedastomtasha3 жыл бұрын
JAMAN MBONA NIPO
@denismwibeleca8516 жыл бұрын
Napenda hiyi nyimbo xaaaaana tu! From USA California Los angles tuna kupata
@SaraBeauty-v6y7 ай бұрын
Mungu nijalie nipate ndo na Mimi 🙏🙏🙏
@EliasmichaelIpanda Жыл бұрын
Mungu akutunze sana hiii nyimbo ni nzuri mno ,hii ni wito wenyewe
@JeffJohn-u1p2 ай бұрын
Daaah jamen Martha mzuri sanaaa ana uno zurii
@dianagervas-gg9xz Жыл бұрын
Mungu nijalie mwanzo tunaoenda kuanza tuanze nawewe mungu pia tumalize nawewe mungu
@edina4741 Жыл бұрын
Naupenda sana wimbo. Na mimi sku Moja nitaambiwa nenda salama ♥️♥️♥️♥️ Mungu akubariki mama
@WellingtonBarasa Жыл бұрын
The finest music for the last hour of dead end of beting bye to the loved on marriage
@jamesandayi27544 жыл бұрын
Wimbo mzuri ...naomba Mungu pia nijaliwe na Rebecca wangu😘😘
@philemonpaulo17903 жыл бұрын
Sawa mkuu
@philemonpaulo17903 жыл бұрын
Sawa mkuu
@GetrudeCosta3 ай бұрын
Ameen
@koffianodichisesa2383 ай бұрын
nyimbo nzuri sana
@ruthngaliwamuuo6142 жыл бұрын
Martha are you the one appearing in the song really? It's a good song indeed inaonyesha kweli umetoka mbali
@getrudathomas87504 жыл бұрын
kwaher nenda Salama balikiwa sana Dada Martha balaka
@angelakadinda8504 Жыл бұрын
Nami karibu naimbiwa huu wimbo, kwa jina la Yesu
@mariammgimba68256 жыл бұрын
Dear umeimba Mwaya Mungu azidi kukupa neema ya kuinjilisha
@jojoalvin85845 жыл бұрын
wimbo mzuri sana aunichoshagi yaan since 2015
@philipomarwa68046 жыл бұрын
Bigup servant of living God when am watching this song I feel my marriage to be new
@happymushi8566 жыл бұрын
nnakupenda sana nyimbo zako znanibark ,mungu akupe miaka ming uweze kumtumikia zaid
@loycestanley84755 жыл бұрын
Barikiwa mnoooo
@joseckolala88094 жыл бұрын
The song comes at the right time
@angeljohn65704 жыл бұрын
Asante sana wimbo mzuri sana
@justicesanga3504 Жыл бұрын
Hapo mlipendeza sana
@EmmanuelJulius-ru3ti Жыл бұрын
Umenena kweri 💜💜💜
@hajimgogoro53263 жыл бұрын
Huu mwili urudi tena madam
@petercharles24885 жыл бұрын
Umejitahid mungu akuzidishie kipaji
@shanililobwa20783 ай бұрын
Sijapenda kusema amejitahidi wakati mimi naona one of best comment song kuhusu ndoa
@NakawukiJoan-x7h Жыл бұрын
Barikiwa sis
@cosmasmpwage31556 жыл бұрын
😍😍😍 dah nakumbuka mbali
@issacklyandala30213 жыл бұрын
Wapi Baraka sasa
@RichMotherr2 жыл бұрын
This song nlianza kuipenda nkaanza kupenda ndoa nikiwa darasa la saba 😁🙏
@jlove52382 жыл бұрын
😂
@PriscaJuma-r2e24 күн бұрын
❤❤❤
@hillarynyaata.51772 жыл бұрын
Good song my sister.
@yaassinridhiwani35586 жыл бұрын
Nice song from Martha Baraka
@kaibungweta4406 жыл бұрын
Veeeeery nice song to stay much blessed by Mwashuya joshuaa
@rashidnzunda54146 жыл бұрын
Sana
@getrudapoul3855 жыл бұрын
Naipenda nyimbo hii nahic ndo nitamach nayo kwenye harusi yangu mungu nisaidie siku hiyo ifike
@mosesabi2617 Жыл бұрын
BWANA YESU!
@asimwejohn15424 жыл бұрын
Among ze best song of my dad,.
@elizabethmligo31806 жыл бұрын
nakupenda mumy wangu
@elizabethmligo31806 жыл бұрын
stay blessd
@mosesabi2617 Жыл бұрын
KUSUDI LA MUNGU KWA NDOA. Biblia inasema, “BWANA Mungu alipoziumba mbingu na nchi, na mche wa kondeni haukuwa umeonekana bado juu ya nchi, wala mche wa kondeni haukuwa umechipuka bado, kwa maana Bwana alikuwa hajainyeshea nchi mvua. wala hapakuwa na mtu wa kuilima ardhi, bali vijito vikapanda kutoka katika nchi, vikamwagilia uso wote wa nchi; Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai, mwanadamu akawa kiumbe hai. Basi Bwana Mungu alikuwa amepanda bustani upande wa mashariki wa Edeni; na hapo akamweka yule mtu aliyemfanya. Bwana Mungu akachipusha katika ardhi kila aina ya miti iliyopendeza machoni na kufaa kwa kuliwa. Katikati ya bustani kulikuwa na mti wa uzima na mti wa ujuzi wa mema na mabaya. Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza. BWANA Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, ‘Matunda ya mti wowote wa bustani unaweza kula; lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana ukila matunda ya mti huo utakufa hakika.’ Yehova Mungu akasema, ‘Si vema huyo mtu awe peke yake. nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.’ Basi Bwana Mungu akaumba kutoka katika ardhi wanyama wote wa mwituni na ndege wote wa angani. Akavileta kwa mtu huyo ili aone atawapa jina gani; na kila aliloliita mwanadamu kila kiumbe hai, ndilo jina lake. Basi huyo mtu akawapa majina wanyama wote wa kufugwa, na ndege wa angani, na wanyama wote wa mwituni. Lakini kwa Adamu, hakuna msaidizi anayefaa aliyepatikana. Basi Bwana Mungu akamletea mtu usingizi mzito; na alipokuwa amelala, akatwaa ubavu mmoja wa yule mtu na kupafunika mahali hapo kwa nyama. Kisha Bwana Mungu akafanya mwanamke kutokana na ubavu alioutwaa katika Adamu, akamleta kwa Adamu. Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!! Yule mtu akasema, ‘Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu na nyama katika nyama yangu; ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume” (Mwanzo 2:4-23). NDOA ILIUMBWA KIMSINGI ILI KUTIMIZA HITAJI LA MUNGU
@rachelmagomba14645 жыл бұрын
nice song my sister
@veesessy19586 жыл бұрын
Kazi nzuri
@ZMTV-dt9bw6 жыл бұрын
mungu akubarki sana
@esthergloria3 жыл бұрын
One of my few songs that I like from her
@gaudencehaule73984 жыл бұрын
I always love this song
@LeonidaAniset-w1o3 күн бұрын
😊
@djapplekidtz84815 ай бұрын
Good ❤
@puritymngindo98204 жыл бұрын
trusting in God
@gabrielmwaikuka96962 жыл бұрын
Edson mwasabwite
@estermnunke9485 Жыл бұрын
nasikiliza siumalizi
@olivermwamakimbula7872 жыл бұрын
UNAIMBA VIZURI SANA, MUNGU AKUINUE UMRUDIE MUMEO WA KWANZA
@emmanyuelokabefu56996 жыл бұрын
inasisimua hii nyimbo
@ashurathomas4825 жыл бұрын
Kabisa jamani
@mathekahenri70082 жыл бұрын
Awesome 😎
@warshatissa712810 ай бұрын
Ameeeeeeeeeen
@damasmangole26046 жыл бұрын
Barikiwa kazi nzuri
@veronicatamson82865 жыл бұрын
damas mangole balikiwa dada
@baemaiko42874 жыл бұрын
ngugu ubarikiwe
@agnessdaud62505 жыл бұрын
amina
@philipzesco17783 жыл бұрын
My lovely song
@zipporahshore94186 жыл бұрын
Woow
@bonifacebochela4717 Жыл бұрын
Good song
@salomenkwabi3776 жыл бұрын
be blessed by god
@mwitajohn75036 жыл бұрын
God bless you
@monikamgeni62706 жыл бұрын
Nc song
@patrickmalange72945 жыл бұрын
good work mamy
@cosmassimfukwe65792 жыл бұрын
Nice video
@rabecalemtya84054 жыл бұрын
Amen
@ToshaBya10 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@yohanalukasimundo35446 жыл бұрын
soon i will do this
@zakaliaobedy55835 жыл бұрын
Mungu nimwema azidi kuku tumia
@rehemahamisi66974 жыл бұрын
Hakika unafungua mioyo ya watu uliyokuwa imefungwa mungu akubaliki
@hiholly51036 жыл бұрын
nice song
@pendomwambogolo61795 жыл бұрын
penda sana ww dada
@JeskaFransis Жыл бұрын
🎉
@IbrahimFakuri10 ай бұрын
Merci
@noelafabrice52832 жыл бұрын
😊😊😊😊😊😊🎉
@philemonpaulo17903 жыл бұрын
MWANZO 24 :58 inaaemaje??????
@reilambepela10625 жыл бұрын
Nice
@borysraphael80715 жыл бұрын
Ninaposikikiza wimbo huuu namkmbka mchmba wang alikuwa akiupenda Sana kwan alikuwa akiitwa mesia pumzka kwa amani
@irenefavour89495 жыл бұрын
Father lord....locate my partner for me.. trust me in my wedding...have to invite you ..I love this song
@juliusdarabe72823 жыл бұрын
Leo mmeachana hata siamin matha umeolewa tena
@LeonidaAniset-w1o3 күн бұрын
I believe it na me itafika siku kama hii 🙏
@JeffJohn-u1p2 ай бұрын
Daaah jamen Martha mzuri sanaaa ana uno zurii
@kaibungweta4406 жыл бұрын
Veeeeery nice song to stay much blessed by Mwashuya joshuaa