Martha Baraka Live Perfomance
3:42
2 жыл бұрын
Martha Baraka Live in  Geita Lunzewe
3:37
Пікірлер
@tinahmaghanga5249
@tinahmaghanga5249 Сағат бұрын
Mambo ni mengi kwa familiar acheni kuhukumu wengine ata hao wazazi pia wamewafanyia maovu sana wakaamua kuishi kivao ili kupatA amani isitoshe uyu Beatrice kachukua mume wa Martha na sasa anamuharibia huduma namuomba Mungu wa haki ifunue ukweli na asimwache martha.
@millyambare5397
@millyambare5397 2 сағат бұрын
Amina
@EliaMwashibanda
@EliaMwashibanda 3 сағат бұрын
2025 bado nasubili
@aulerianomhaluka9029
@aulerianomhaluka9029 5 сағат бұрын
good song
@MiriamKanuya
@MiriamKanuya 9 сағат бұрын
Ndiyo hivi nuhu alipiga kelele kuwaambia watuu jamn kilichotokea Mungu tusaidie
@RhodaKibona-w9j
@RhodaKibona-w9j 14 сағат бұрын
Mathar mbona huyo siyo baraka?1kor7:1_5 naomba unisaidie,...
@BeatriceKwamboka-x7d
@BeatriceKwamboka-x7d 19 сағат бұрын
❤🎉🎉🎉
@BrianWasike-vn1mk
@BrianWasike-vn1mk 21 сағат бұрын
Nice bro my God bless you and increase you more song to sing for us keep it up
@jasonnyongesa6461
@jasonnyongesa6461 Күн бұрын
sweet song
@AmosTarus-p9c
@AmosTarus-p9c Күн бұрын
🎉🎉🎉🎉❤hii imenikuza sana God bless you more than anything else in the world
@PhoebyKamau
@PhoebyKamau Күн бұрын
79.
@GodfreyJosephati
@GodfreyJosephati Күн бұрын
dada kwel wimbo huu unanibariki sana sana mungu akubariki kwa huduma zuri
@ladye7464
@ladye7464 Күн бұрын
Mbona edit imepita kiasi jmn dj
@HeriethMsamba
@HeriethMsamba Күн бұрын
Wimbo mzuri sana ♥️♥️
@MdunduWillson
@MdunduWillson Күн бұрын
Hongera mama Kwa Wimbo mzuri
@electrotubes
@electrotubes 2 күн бұрын
This song still sounds in my mind When I pass difficult, happiness in all situations, I listen this song
@SophiaMogitu
@SophiaMogitu 2 күн бұрын
Mimi nakukubali sana halafu nakupenda sana kwa sababu unajitambua sana
@mariamambokile5732
@mariamambokile5732 2 күн бұрын
Nakupenda Sana Martha mungu azid kukutumia umeniimbia u wimbo😢
@SantraMosha
@SantraMosha 2 күн бұрын
@aburecywaswa2827
@aburecywaswa2827 2 күн бұрын
Kupitia kwa huu wimbo na liwe ombi kwa wale wanaopitia hali ngumu maishani. Tukumbuke mungu 🙏🙏🙏
@aburecywaswa2827
@aburecywaswa2827 2 күн бұрын
Kupitia kwa huu wimbo na liwe ombi kwa wale wanaopitia hali ngumu maishani. Tukumbuke mungu 🙏🙏🙏
@SylviaOnanda-mg1cf
@SylviaOnanda-mg1cf 2 күн бұрын
Amen nimebarikiwa sana
@VeronicaRugoyi
@VeronicaRugoyi 2 күн бұрын
Ameeen❤
@neemaneychricious6493
@neemaneychricious6493 2 күн бұрын
Nakupndaa snaa dad angu kpz napenda huduma yako ntaman cku moja niimbe na wew dear napenda hudum yako snaa haswaa ule wimbo wa kuabud(weweeee ni Mungu wetu ni Mungu unayewezaa daaah ) naupendaa mnoo
@JavasonZion
@JavasonZion 2 күн бұрын
Upako wa huyu mama nikam wa Angela Chibalonza..adi sauti yake
@RaychelleM
@RaychelleM 3 күн бұрын
More grace
@JeanlucKasongo-n2e
@JeanlucKasongo-n2e 3 күн бұрын
Bonjour tu vas bien
@mombeolunyonyi8027
@mombeolunyonyi8027 3 күн бұрын
May Almighty God bless your ministry in Jesus' name.
@PelesiJoseph
@PelesiJoseph 3 күн бұрын
Vile natamani kuonana na wewe dada yangu
@fadhilimwasyeba8548
@fadhilimwasyeba8548 3 күн бұрын
Ooh nice song
@HilarinaNgatimwa
@HilarinaNgatimwa 3 күн бұрын
Hakuna mwembamba
@juliusmgolitv6830
@juliusmgolitv6830 3 күн бұрын
Mungu akusaidie kusamehe na kusahau Wimbo huu umekuwa funzo kwa watu wengi walionikataa
@evancemidege5925
@evancemidege5925 4 күн бұрын
Nice one 🎉🎉
@VictoriaPendo-cq9ro
@VictoriaPendo-cq9ro 4 күн бұрын
Kweli mungu anabadilisha
@naomymwongeli2002
@naomymwongeli2002 4 күн бұрын
Kwa kweli Mungu ni WA nehema
@SalvatriceMitwele
@SalvatriceMitwele 4 күн бұрын
❤🎉❤🎉❤
@MRJ1308
@MRJ1308 4 күн бұрын
Nimependa na unavyopangilia nyimbo zako kwa channel yako, audio kwanza,inafuata video yake, safi kabisa
@MRJ1308
@MRJ1308 4 күн бұрын
Najipa jina la mshindi
@MRJ1308
@MRJ1308 4 күн бұрын
Uimbaji wako wa sasa ni another level
@kelvinsiha43
@kelvinsiha43 4 күн бұрын
Glory to God. Surely he is abled God. No one like heaven God Martha Mungu akubariki mno wimbo ni mzuri sana
@LoycemwaigomoleMwaigomole
@LoycemwaigomoleMwaigomole 4 күн бұрын
Umeimba dada angu
@BishibeSabuni-d2w
@BishibeSabuni-d2w 4 күн бұрын
Mivaliyo yako tu sikama ya martha
@BishibeSabuni-d2w
@BishibeSabuni-d2w 4 күн бұрын
Nakupendaga kwamivaliyo yako
@AhadiMkuyu-jo1rt
@AhadiMkuyu-jo1rt 4 күн бұрын
Kwel mungu sio mwadamu,nyimbo nzr inaujumbe
@Mpikaattu
@Mpikaattu 4 күн бұрын
❤❤😭😭😭🙏🙏🙏🙏nimebarikiwa sanaa naamini ipo siku watanitafuta
@Mariejo123-g2x
@Mariejo123-g2x 5 күн бұрын
Dada M. Baraka wimbo uko anointed, asante 🔥🔥🔥🔥🔥👍🏽
@laxmajor
@laxmajor 5 күн бұрын
Wimbo waote huu ❤❤❤❤❤
@salamsabdullah-st9pt
@salamsabdullah-st9pt 5 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NeemaMsigwa-d7c
@NeemaMsigwa-d7c 5 күн бұрын
Yalinikuta hayo😭😭😭
@alexsambasi307
@alexsambasi307 5 күн бұрын
Lulwimbo luno lunulu sana upeo khabili kooo❤❤❤❤