Kumbuka mlikotoka,wewe mdogo wako na mama yako,, mpende mama ako, na hata mdogo wako mpende kama Kuna jambo, msamehe mkumbwtie , uone Mungu atakuinua zaidi ya Hapo,, asimthamini yeyote aliyekuona ukubwani, asiyejua ulikotoka,, mama na mdogo wako ni wathamani kuliko,,,maana asiyewapenda wa kwako huyo ni mbaya kuliko asiyeamini,,, Shinda Hilo Jaribu,,
@PendoPendosКүн бұрын
Jamani matha msamehe mdogo wako mpatane namnawahibiria watu angalia usiangalie yawatu muombe mungu matha mpatane make kifamilia kama kunalolote nakupenda dada matha wote namdogo wako
@ferdaedward8373Күн бұрын
Poleniushauli nendeni mkayamalize nyumbani kwenu
@annamtapila5761Күн бұрын
Huduma uliyonayo ni kubwa. Muyamalize kwa wema.
@AgnessJohn-v8pКүн бұрын
Jamani mie naombatu wasameheane kwa yote wawe pamoja
@N-J-v9jКүн бұрын
Beatrice hajasema kwa ubaya noooooo Tena Martha hatakama mama yako akuulie mtoto but guess what she’s still her mother
@StevenmakelesilutonjaКүн бұрын
Uyu masa saiz cmpend tena huwez kutuimbia afu hupendi ndugu zako