Dada pole ...niwakati wako wakusimama kiroho pia..ukainene Ardhi popote alipo ikamtapike..Mungu ni mwaminifu sana ..ukipambana kimwili usisahau na kiroho pia.
@zitongwang62783 сағат бұрын
Ardhi inatapika kivipi ??
@witnessmbilinyi32813 сағат бұрын
@@zitongwang6278unahitaji kuwa wakiroho ili uelewe lakini ardhi inatapika na kumeza
@lucymtui868054 минут бұрын
Kwa kweliii Asimame kiroho
@lucymtui868052 минут бұрын
@@zitongwang6278 Ardhi inasikia na inafanya unavyotaka Soma Luca 10:19
@iviejustified810921 минут бұрын
Amina!
@zawadimasamki2465 сағат бұрын
Sasahiv Tanzania sio nchi ya amani tena ni nchi ya utekai 😢😢😢
@Jggdesigner4 сағат бұрын
pole sana jaman ,MUNGU akutie nguvu katika hiki kipindi kigumu...MUOMBE SANA MUNGU ATAPATIKANA TU....(Mambo kama haya yasikie tu kwa JIRANI yakitokea kwako utaelewa).....
@MsifuniMahenge2 сағат бұрын
Dada pole tena pole, Mungu awe nawe kwa kipindi hiki kigumu kwako, tuzidi kumwomba Mungu apatikane haraka
@RoseKillian-b8k37 минут бұрын
Waah, hii ni kali washike Agent, anajua yote huyu, Kunguni wa nyongani ndie akulaye😢😢
@LazaroSalon5 сағат бұрын
Jamani wa mungu kwani hii Tanzania niile Tanzania ama imekuaje mungu suwauwe nao waone uchungu na ipo siku mungu tashusha kiboko yake watashangaa pole sana dada tutamuombea arudi salama
@edinachami431856 минут бұрын
Huyo agent akibanwa vzuri atasema
@sophiakimaro51743 сағат бұрын
Mimi bado hii sheria ya polisi ya kusema masaa 24 mimi siielewi jamani.huenda tumerithi hiz sheri lakn nataman taarifa ikitolewa mara moja uchunguzi ungeanza jamani.ni bora hata kama kutakuwa kuna na uzembe wa muhusi alipishwe fain lkn huenda tukaokoa wengi.Mungu amtetee huko alipo.
@hemedisalim5522Сағат бұрын
Katika waandishi Wa Millard Ayo ukiacha Millard mwenyewe uyu jamaa anajua kuhoji
@iviejustified810922 минут бұрын
Refresh!! Hatari saan
@happyiskaka2 сағат бұрын
MUNGU atusaidie. YEYE ndie anajua zaidi yote yanayoendelea na kutendeka....... Dah inaumiza SANA... Dada MUNGU akupe Ujasiri na family kwa UJUMLA.... Inauma MNO.
@maisaalawy85495 сағат бұрын
Lazima kila mtu ajichunge sio serikali, watanzania baadhi wameamua kua makatili na uombe mungu utokapo na uingiapo.
@SharyMary-s8t5 сағат бұрын
Kabisa Maadui wanajipenyeza huko huko
@fatmaallyabdul17325 сағат бұрын
Well said,binadamu baadhi wamekuwa wabaya kuliko hata wanyama,ila lawama zote tunapelekea serikali wananchi nasi tujichunguze na kuchunguzana
@HamisMghuna-fj3vz3 сағат бұрын
Tatizo la w bongo n mazombii ww huwezi tegemea police,ana tembea bila kisu,au sime ww una contena huna mpambe,uko ka mdada,tukusaidieje wee mwenyewe hujiongezi,kisu au sime,baba kitaeleweka moja ukufa nae
@Ahmadiyyāh.022 сағат бұрын
@@HamisMghuna-fj3vz😂😂😂😂😂😅
@paulinewangila-cs6ysСағат бұрын
@@HamisMghuna-fj3vzZombie vipi?kuna mengi chinichini yanaendelea na watu wanajuwa nchi ya amani hawataki kuandamanaaa😂
Kuna watu wamekuwa wanafuatiliwa. Wamelalamika sana hakuna mtu anaewasikiliza wala kujaribu kuwasaidia. Ni ajabu
@israelmkaka28075 сағат бұрын
last seen Locatiin ya simu yake lazma ioneshe Route yake,
@StrongbowArrow20043 сағат бұрын
Tumuombee tu aweze kupatikana jamani😢😢😢
@abdullaomar960636 минут бұрын
Bongo inasikitisha, haya mambo yanafanyika Nigeria, sasa na ss tunaiga. Tuige mambo yenye maana, kuliko haya ni aibu.
@MarymwakilamMwakilama5 сағат бұрын
Mungu amlinde
@chalokalunde9429Сағат бұрын
Hili jambo la kupotea watu wazima na akili zao linaudhi sana,lisipokemewa litakula kila familia.
@allymwakomola44704 сағат бұрын
Kwanini wanaume wanapotezwa tujiulize jamani
@Stellastella-yi5vu5 сағат бұрын
Mungu tenda miujiza yako arudi salama
@godfreymushi69665 сағат бұрын
Askari polis tips kupotea kwa watu mara nyingi watu wa karibu huusika .kamata simu zote za watu wa karibu anza na mkeweo
@leokamil62844 сағат бұрын
Cha kushangaza ni kwamba kunakikosi cha upelelezi wa mitandao mbona hawafuatilii watu wakipotea?
@kadokemarco99664 сағат бұрын
Umenena vyema sana.
@raheemsaleh145 сағат бұрын
Nimeskiliza vzr apo sifa za ulomi na maswali ya muandishi, sasa tuwaachie police wafanye kazi yao, pole kwa familia
@mengikiguruwe67504 сағат бұрын
Kwenye matukio km haya ni rahisi serikali ikatupiwa lawama lakini ukweli ni kwamba kuna mambo mengi yamefichika kwa mfano i)mahusiano mabaya ya kibiashara, ii)migogoro ya chini kwa chini ya ndoa n.k ila wanaopanga maovu hayo wanataka tuangalie upande tofauti na uhalisia wa tukio.
@HappyShirima-k9t48 минут бұрын
Daaaah Mungu saidia jmn
@chikusangalala77595 сағат бұрын
Hao walio mpigia simu ndio wakamatwe hao wamehusika
@StellaPendaeli5 сағат бұрын
Umewaza kama mimi
@nicodemuswidambe51323 сағат бұрын
@@chikusangalala7759 abanwe agent
@johnssaimon4503 сағат бұрын
Watu achen kuhukumu huyu mama yaan angetoa machozi mngesema pia anajifanyisha, sio sawa kabsa.
@GraceMarine-vo9hu2 сағат бұрын
Mimi ninamashaka na agent, hili linataka kufanana na yule mfanyabiashara bonge waliyeshindwa kumteka, maana nayeye aliitwa akakutane nawatu wa waongelee biashara
@davidwalalason76303 сағат бұрын
Ndio Tanzania yetu hii, kutoka kwa wanasiasa Hadi wafanya biashara
@jacklinelyimo7407Сағат бұрын
Watanzania Nchi haina utawala ukiona mambo Kama haya yanatokea kila siku na rais asimami mbele ya adhara kutoka tamko ujue hatuko salama,Waziri mkuu kimya,makamu Wa Rais kimya kuna tatizo lipo watu waamke.
@GraceMarine-vo9hu2 сағат бұрын
Agent anajua huu mchongo,apigwe busha atasema
@Zuuh4286Сағат бұрын
Tz yetu imekuwa kama kenya sijui nn mbaya na binadamu watu wafanye kz kwa kujituma jaman waache hizi tabia kwann sasa tusiishi kwa amani mpka Mtu hata unaogopa kudamudaka asubh sana kwenda kwa shughuli 😢😢😢Mungu yuko naye amulinde huko aliko
@user-cg3vf2bl6b20 минут бұрын
Kenya yetu ,NI serikali ndio inafanya hayo ,lakini uko kwenyu labda NI majangili Tu ama wafanyi biashara wenzso
@Zuuh428615 минут бұрын
@user-cg3vf2bl6b kabsa kenya mambo na utekaji serikali yenu ndo inaongoza ila sisi wetu wako na msimamo hawataki ujinga ila wapo wafanyabiashara huwa wanaoneana wivu ndo hufanya hivyo ila wakikamawa huna cha huruma kabsa 🥲🥲
@patriciamuganda449816 минут бұрын
Haya matendo yanaashiria umaskini wa mali na umaskini wa roho. Ndio maana baadhi ya watu wanatenda maovu bila woga. Ni kama dhamira zimekufa kabisa
@rashdiyange77582 сағат бұрын
AISEE IH TOMUCH KIPIND CHA MAGU MBONA UHU JINGA UKU WEPO MAMA SAMIA USICHEKE NA AWA WANNA KUALIBIA MAMA
@bonifacewanyonyi35555 сағат бұрын
Poleni sana
@JosefuSwai6 сағат бұрын
Poleni sana mama ulomi
@mrsdeborahurio4 сағат бұрын
Mungu wetu mwema, tunakuomba umlinde na kila aina ya ubaya ,mrudishe salama!
@AllyMadenge-u6o19 минут бұрын
Nina mashaka na hilo Contena lilikuwa na Mzigo halali kweli au Magumashi maana mwenye Contena lake kabla ya kwenda mwanzo alikuwa anagomagoma kwenda
@Eric_HackzСағат бұрын
YESU TUNAOMBA HURUMA YAKO BWANA.PASIPO WEWE HATUWEZI.
@Hadija-o5b4 сағат бұрын
Poleni sana mungu atafanya kitu , police wapo kazini selekali ina mkono mrefu i, muamini mungu
@OrafMathiasСағат бұрын
Ivi maisha yatanzania tutetewe nanan jaman mana malais mbona wamepita Weng natuliongozwa salama shida nn lakin jaman yatanzania tunakazi
@judithtitomalyeta40005 сағат бұрын
Mhuuu watekaji wa nn jamani dhambi hebu watu wamerudie mungu kwann wamekuwa katiri zaidi ya Simba
@SharyMary-s8t5 сағат бұрын
Mmh 😢
@AnnaKavwanga5 сағат бұрын
Kaa na familia yako ombeni Sana mungu amlinde then atarudi mzimaa kwamungu hilo dogo sanaaaa,
@SalmanMughal-lq5lt4 сағат бұрын
Mungu hataki kuimbiwa Anataka kuanudiwa
@AnnaKavwanga2 сағат бұрын
@SalmanMughal-lq5lt means ombeni
@Shaniatwain06Сағат бұрын
Huyo aliyemwita ndy anajua waliomchukua maana ht Sativa alipigiwa cm na dalali wake wa nyumba kumbe police ndy wanatumia hizo njama kwa mtu wako unaewasiliana nae
@JescaMwagama-oc9yt2 сағат бұрын
waliompigia ndo waliomteka
@RebeccaEmmanuel-e1y4 сағат бұрын
Mungu Asimame jaman
@EmanuelMbandiСағат бұрын
Utawala huu mbaya sana
@TeophilBuilding4 сағат бұрын
Nina wasiwas na huyu mama kwa asilimia 90 anahusika alaf anatuchezea akili anahusika bila kupepesa kwanz Hana hata wasiwas
@nancyg86642 сағат бұрын
ulitaka atoe kamasi ili ujue hisia zake...ebu acheni kuhukumu tena uwenda wewe ndo unausika😊
@Jamila-c7k2 сағат бұрын
Pole sana
@sais2460Сағат бұрын
Hakuna aliye salama bora upiganie haki na wanaharakati sababu watakupigia Kelele, utafikiwa pamoja na ustaarabu wako.
@jamessiame5169Сағат бұрын
Sasa chadema wakise maandamano munakataa ahaya sasa tanzania
@barakamanga550215 минут бұрын
Hiii ni hatari sasa
@mujunvicta63795 сағат бұрын
This is too much Kwanini Watu Wanapotea sana kipindi hiki ? Kuna Jambo La Kufanya ususani serikali hii
@husseinmramba3 сағат бұрын
Acha mihemko na kujazwa na taharuki kama wanavyolishikilia kidete, kupotea inahusiana vip na serikal moja kwa moja huyo mtu aliepotea unamjua vzr, background yake unaijua vzr na watu waliomzunguka unawajua wote?
@rumdeesonsoa18115 сағат бұрын
Mim ata wanawake siwaamini. Mkeo anaweza akachonga dili na wahalifu na atakuwa anawapa ramani kuhusu ww
@ChristineElias-bn4dw5 сағат бұрын
Mmmmh sio kweli hiyo
@annabyekwaso-wt7oi3 сағат бұрын
Hakuna mke wa hvo labda wako.
@Ahmadiyyāh.022 сағат бұрын
@@annabyekwaso-wt7oi😂😂😂😂😂😅wakati mwingine inatokea sana kwa wanawake waovu
@rumdeesonsoa18112 сағат бұрын
@@annabyekwaso-wt7oi Wapo tena wengi
@MwantumuAbdyСағат бұрын
Pambana na hali yako ww usilazimishe mambo mbona km umepanic😂
@deodathsilayo36393 сағат бұрын
Hao waliompigia cm waanze kuhojiwa. Kwanza
@HappyShirima-k9t43 минут бұрын
Alafu unakuta lijitu linasimama na kusema ety tz inchi ya Aman kwelii ??? Angalii ni inchi ya utekaji yaani kwa kiufup Sasa hv watu wanatembea mabarabaran ila Aman ya moyo hawana
@RamadhaniKitala-gx6wc5 сағат бұрын
Ila huxu mama mkavu huyu kingereza kingiii hata huzuni kidogo
@DM.22004 сағат бұрын
Kwamba akilia ndo atarudi?
@josephlorri4313 сағат бұрын
Maongezi yake tu, kuna jambo analijua.. ??tukio lilipangwa?? @@DM.2200
@Brunn-mh2bq2 сағат бұрын
Wataka kumuona anagaragara chini ndio ujue ana uchungu ama? Kizungu gani kaongea hapa
@nancyg86642 сағат бұрын
yan kuna watu ni wapumbavu kwahyo kulia ndo mnadhan ishara ya kuonesha uchungu au kuchanganyikiwa? wengine wanatumia machoz kuficha maovu yao ujue
@DM.22002 сағат бұрын
@@nancyg8664 kabisa umeongea point mama wa watu anataka msaada sasa akiongea uku analia ataeleweka nn anaongea? Watu wengine wanafikiri kulia ndio sign ya kuumia kumbe wap.
@MagrethKyaruzi4 сағат бұрын
Kwa maelezo ya Dada kuna mtu hapa 😢😢 anajuwa mwanzo mwisho
@nursechunga44704 сағат бұрын
Mungu akutete dada, ila nimesikiliza vizuri mahojiano hayo, hao TRA waliokua wanamkazania aende kule wachunguzwe
@sais2460Сағат бұрын
Wafanyabiashara wazawa wananyanyaswa sana na serialism ya Tanzania. Wachaga wanasumbuliwa sana lakini wahindi na waarabu wanasaidiwa , Jamari tunaelekea wapi kama nchi? Tunarudi utumwani kwa ha waafrika hawawezi kufanya chochote. Hima hii sikukuu wachaga mnapokua mnakula ndafu jipangeni mnaporudi mjini muwe na magroup mshirikiane kulindana.
@anoldamkumba32084 сағат бұрын
Huyo mkewe atoe ushirikiano ,
@bwagizoselemani8434Сағат бұрын
Ila juz aliuliwa mtu wa TRA serikal imekuja juu ila katika haya maswala aaah wala hawajali yaan sijui jesh linakwama wap katika kuwapata hawa watu
@RomanusBussa-g7q2 сағат бұрын
Samia yupo wapi kwel yupo tz kweli
@JonasMapudi3 сағат бұрын
Dada angevua miwani tunge yaona machozi yake lakini Mungu ndio mwenye kujua
@HarithSalim-l1xСағат бұрын
Sasa anapoteaje dar wakati ni mwenyeji wahapo Dar jamani bongo Mhhh
@matikowambura76575 сағат бұрын
Au nae ni wale wale tarifa inatuchanganya mara mzigo wa dukani mara wa nyumbani
@ramadhanmkandas57335 сағат бұрын
Mbona hii indicator sio nzuri kwa taifa letu, tunahijaji tujitafakari kama binaadamu wenye akili wapi tunaelekea
hata mimi nina wasi wasi nahuyuyu mama amekaa kimasta sana
@MariamMustafa-b8i4 сағат бұрын
Ata Mimi Nina wasi wasi Nae macho makavu Hana ata uzuni kabisaaa kashiriki
@mwitaagness4553 сағат бұрын
@@MariamMustafa-b8ikuna watu si rahisi kulia, na msiamini sana kulia ndio huzuni na kulia sio kutokujua jambo, mama angu huwa pia sio rahisi kulia, tena waliaji wengine ndio wafanya jambo, msipende kuamini machozi... Mungu amsaidie huyu dada kupotelewa kunauumiza sana.
@johnssaimon4503 сағат бұрын
Sawa kabisa angelia wangesema jambo lingine watu wameumbwa tofauti wengine wanaumia ndani tu utakuta mtu anadondoka puuu na alikuwa haliii.@@mwitaagness455
@nancyg86642 сағат бұрын
@@mwitaagness455fact mwita
@JamilaJamilaiddСағат бұрын
Ni huyo agent amefanya mchongo angekamatwa huyo kwanza na pia fanya maombi dada fatilia komboa family atarudi kwa JINA LA YESU
@alexvenas26992 сағат бұрын
Nani asimame atoe tamko lenye Nguvu juu ya upoteaji wa watu TANZANIA?😢😢😭😭😭
@WilleBale6 сағат бұрын
😢dah
@zakiamseka9698Сағат бұрын
Tulikuwa tunaona kwenye movie za Nigeria leo yapo tz
@HamisMghuna-fj3vz3 сағат бұрын
W bongo n mazombii ww huwezi tegemea police ana tembea bila kisu au sime yuko ka mdada tukusaidieje sasa hana mpambe,
@Furahinikatkabwana4 сағат бұрын
Rais hana msaada jibu alishatoa hivyo ni vidrama,Mungu ndio kimbilio la wanyonge
@Bilioneabichwa3315 сағат бұрын
Yesu niokoe, Yesu ni Mungu
@kiluiWanguvu5 сағат бұрын
Yesu c Mungu na hawezi kuwa Mungu na hawezi hawezi kuwa Mwenyezi Mungu
@SalmanMughal-lq5lt4 сағат бұрын
@kiluiWSbhanaAllah kunawatu wavivu kusoma Maandiko na kuelewa pia kugumuanguvu
@Bilioneabichwa3313 сағат бұрын
@@kiluiWanguvu ubishe usibishe Yesu ni Mungu, na hakuna Mungu mwingine zaid ya Yesu
@DavidTarimoСағат бұрын
@Bilion🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eabichwa331
@ototek80373 сағат бұрын
Itakuwa TRA maana na wao wanawajibu wa kumteka mtu na kwenda kumkaguwa mapato, mkamuulizie na huko.
@SabraAbuu-f5z2 сағат бұрын
Mimi naona wale watu wasio julikana wamesha fanya yao🤔🤔
@AllenSalewa5 сағат бұрын
😢 class mate wangu huyu
@hanifamziray277Сағат бұрын
Daah
@JoyceMourice2 сағат бұрын
Alafu wanaume wa tegeta wakifanya yao wanaonekana wamekosea
@NemaAli-zh6hrСағат бұрын
MUNGU amlinde jmn
@linahtairo18594 сағат бұрын
Police wangebadilisha huu utaratibu wa mpaka masaa 24 yapite
@IsiahMoslСағат бұрын
Naomba kuuliza haya matukio yanafanyika bila mawasliano?mbona taarifa zote kwenye mitandao wanaziona mpaka wnatoa sir za watu hili utekaji unafanyika vipi.
@AshaMwamba-m5x4 сағат бұрын
Jamaniii yameanza.munguu.jamanii
@ferdinandikubila36695 сағат бұрын
Serikali hasa viongozi wajitafakali kwa hili kwa nn kila wakati watekaji??
@nicodemuswidambe51325 сағат бұрын
Agent aulizwe!!
@SalhaAlly-x8q5 сағат бұрын
POLE SANA SANA ,MUNGU NI MWEMA ATAONEKANA INSHAALLAH
@SalmanMughal-lq5lt4 сағат бұрын
Aaaamina
@rubbenmabuga3058Сағат бұрын
Mtu anapotea siku zote izo wazaz wake hawaambiwi! Waambiwe akiwa na mwaka, ama?
@ScopionScopion-zj9cd2 сағат бұрын
ila mbona yupo fresh2 sio mpaka alie ila mtu mwenye sad utamjua2 halaka halaka
@sofitanzanian9552 сағат бұрын
Ashikwe ajenti kwanza
@chemli235 сағат бұрын
Huyu mama mbona hana hata chozi.
@linahtairo18594 сағат бұрын
We moyo wake unajua unamaumivu kiasi gani watu wanajikaza ili aweze kujibu maswali vizuri asaidike
@SabraAbuu-f5z2 сағат бұрын
Bado kuna kitu akiko sawa
@SabraAbuu-f5z2 сағат бұрын
Huyo agent alipata wapi namba ya huyo bibi wa uloya? Ama ni mimi naelewa vibaya,
@SamiriHassan-dp9kn3 сағат бұрын
Uyo aliepija sim ndo achunguzwze
@davidkihiga35316 сағат бұрын
Aisee! , hii ni uchafuzi wa serikali tu . Yaani watu wasiohusika ndiyo watekwaji
@gracemacha93573 сағат бұрын
Tz kisiwa cha Amani nlivyokuwa mdogo ndiko tulikofikia kwa sasa?
@SalumuRamadhani-y4y4 сағат бұрын
uyo dada aulizwe vzl
@ZuenaRamadhani2 сағат бұрын
Ndo watu wakichukua Shelia mikononi polis wanakua wakali unakuta mtu anashkwa anapakiwa kwenye gali mchan kweupo laia wanatazama tu
@asiakhamisi4692 сағат бұрын
Muhangaike upande wa pili waingiye wazimu walomchukuwa