Ungekuja na mambo mengjne haya yq Niffer yame expire hatutaki kuyasikia tena tumegundua mnamchukia sana na chanzo kikubwa ni wivu
@FekiHappy8 сағат бұрын
Bint anawaumiza sana watu sijaona kiti kibaya alichofanya niffer ila watu wanamhofia sana kwa kuwa kaanza na uji sasa anapanda watubhutaka kukusqidia ukiwa huko chini yanii kila.mtu anainuka na.lake kumshusha moyo fichu la siri watu Wana majiko.mioyoni mwao yani imekuwa kitu kikubwaaa wamwungana japo hawapendani ili kukamilisha
@jacquelinemwakasala956318 сағат бұрын
Jina lake anaitwa Jenifer au niffer jina lipi LA ajabu.jina zur
Anasubiria misiba na ma event ndo akutane nae kwhyo bibie mashalavu ana mkataba na mungu ataishi milele? Mana anataka akutane na mgomvi wake misibani 😅
@maureenlilykiwia15155 сағат бұрын
Mkipewa nafasi badala ya kuongelea mambo ya kujijenga mnaleta mambo ya magonvi yasiyoa na kichwa wala miguu
@meryamabdullah20814 сағат бұрын
Waandishi si ndo maswali wanayouliza hawaulizi mambo ya maana ye anajibu alicho ulizwa