Mashabiki washtushwa na muonekano wa Gardner G Habash kwenye video hii 'You need to see your doctor'

  Рет қаралды 110,027

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 219
@janethjonas1700
@janethjonas1700 6 ай бұрын
#psychologically wanamtibu kwa kumpa majukumu kuliko wangemtenga ingeonyesha kumnyanyapaa na kuona hafai kabisa yuko vizuri aendelee kupewa kazi ajue dunia tunamuhitaji na bado anaoneka vizuri
@spreadlove5300
@spreadlove5300 7 ай бұрын
Ila jamani watu waache kuongelea afya za watu kwa uhuru kiasi hiki mtu anaweza kufa hata kwa maneno ya waja 😮😮😮
@dianajohnson7268
@dianajohnson7268 7 ай бұрын
kabisaaa,
@HaniffaOmary-v5r
@HaniffaOmary-v5r 7 ай бұрын
Kweli kabisa😂
@CatherineNzeki
@CatherineNzeki 7 ай бұрын
Umesema kweli
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 ай бұрын
Sio kufa huwenda akajufatilia kama haumwi aende hospital kufanya check
@DubaiRolla-rx9nz
@DubaiRolla-rx9nz 6 ай бұрын
😂😂
@btylove1870
@btylove1870 7 ай бұрын
Bongo watu wengi wanakunywa pombe nyingi sana kwa sifa ila wengi hawajuwi madhara ya too much alcohol kwa mwili! Mungu akuponye Gadner🙏🤍
@HASSANBAKARI-q9c
@HASSANBAKARI-q9c 7 ай бұрын
Aaah wabongo mnajua kuchambua bhana😊,,
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 6 ай бұрын
@@HASSANBAKARI-q9c kwani hujui kama Mamajusi walitokea bongo kuifuata nyota? Chezea bongoland wewe
@shakilamasoud2983
@shakilamasoud2983 5 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ampumzishe salama
@Saripa234-u7g
@Saripa234-u7g 5 ай бұрын
Mwenyezi mungu Amrehemu
@benwilliams7812
@benwilliams7812 5 ай бұрын
so much true love from his fans. maskini poleni sote. RIP
@zahirallyzorro3940
@zahirallyzorro3940 6 ай бұрын
Unnecessary ni maradhi. Labda ana Sukari. Ameamua apungue. Sio tatizo. Nilipokata Uzito Marafiki wanahisi ni na 🔥 sio kweli
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 5 ай бұрын
RIP GARDNER Gabriel Habash. Parents poleni sana.
@liannsambu7264
@liannsambu7264 6 ай бұрын
Jamani garden 😢😢😢😢😢
@zephaniamwangu9857
@zephaniamwangu9857 6 ай бұрын
So sad Amefariki asubuhi ya Leo
@kissamwamunyange1018
@kissamwamunyange1018 7 ай бұрын
Tumuombee ndg yetu Allah ampatie afya njema. Gadner anaumwa gaut
@rosehaule6765
@rosehaule6765 7 ай бұрын
Mungu ni mwema atamponyaa Marathi ni kawaida tu mbona jamani tumshukuru Mungu na kuzidinkumuomba atuepushe na Marathi nankuombea wenzetu
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 7 ай бұрын
Samahani gaut ndio ugonjwa gani?
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus 6 ай бұрын
Aletaye afya na uponyaji ni Bwana Yesu pekee na si vinginevyo
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 6 ай бұрын
Ugonjwa huu unasababishwa na ulaji wa nyama ya mbuzi isiyoiva vizr ​@@sabinahobe3478
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 6 ай бұрын
​​@@sabinahobe3478 gout ni mojawapo ya dalili za kinga mwili kuwa weak na wakati mwengine kinga mwili kujishambulia zenyew yaan autoimmune disease
@safiamani7005
@safiamani7005 7 ай бұрын
Ana jikongoja doze doze! “Mambo ✊matano “✊
@letisiamakonda3873
@letisiamakonda3873 7 ай бұрын
😂😂😂
@trice_yanga
@trice_yanga 5 ай бұрын
dah😂😂😂
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 7 ай бұрын
Daaah...aiseee bora azingatie treatment zake..ahache ku mis dose atapotea
@AishaHaji-jn7sg
@AishaHaji-jn7sg 7 ай бұрын
Kwani wewe kakwambia anaumwa nini…punguza ujuaji
@leaherasto929
@leaherasto929 6 ай бұрын
Anaendaga JKCI sijui shida nimoyo
@nancyg8664
@nancyg8664 6 ай бұрын
Jaman
@lilyjones3584
@lilyjones3584 6 ай бұрын
Katika comments zote, hii ndiyo haikukosea tatizo lake! RIP Gardner G Habash. You'll always be missed 😢
@nancyg8664
@nancyg8664 5 ай бұрын
@@lilyjones3584 yan kabisa masikin
@foodbasiccourt2028
@foodbasiccourt2028 7 ай бұрын
Mbona hapo ana unafuu aliisha
@maroahkissiry4863
@maroahkissiry4863 7 ай бұрын
POMBE HASA POMBE KALI NI HARARI KWA AFYA . SNS pin hii comment yangu tuwasaidie wengi
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 7 ай бұрын
Ukitazama Afya ya Gadner utagudua macho yake yamekuwa ya njano, amevimba magoti, amevimba viwiko vya mkono na tumbo limevimba pia maana yake Ini na Figo kilichobaki ni mapafu kujaa maji maana yake moyo kutanuka. Mungu anakupenda Gadner mrejee akupe Afya njema na uzima wa Milele bado muda upo
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 7 ай бұрын
Kwa hiyo hawezi kupona jamani
@magorymara5515
@magorymara5515 7 ай бұрын
Mara hii umeshampima majibu unayo😂😂 bongo nyoso sana
@nancyg8664
@nancyg8664 7 ай бұрын
​@@magorymara5515😂😂😂kaona na magoti ndan ya surual noma sana
@aediayumgo8546
@aediayumgo8546 7 ай бұрын
Siyo mchezo nataka uwe Daktari wangu😅😅 Kwa vipimo hivi😂
@HaniffaOmary-v5r
@HaniffaOmary-v5r 7 ай бұрын
Weeh umetisha sana 😂😂
@vikimartin9441
@vikimartin9441 6 ай бұрын
Jamani! Kukonda kupo au tuseme wembamba upo,hata ukimtazama G.na huyo jamaa wanaeongozana nae jamaa ni mwembamba Ila muonekano wake ananguvu, lakini! Bro G.kapungua au niseme Kawa mwembamba Ila mwili wake haina nguvuu, Ila sauti yake bado Ina nguvu yakutosha,bro.alipofikia azingatiwe misosi, jd ulipo okoa maisha ya brother, ulishe Kama mtoto,mlazimishe kula msimamie ale.
@Gersah
@Gersah 6 ай бұрын
R. I. P Gardner
@hawagwao8352
@hawagwao8352 6 ай бұрын
R.I.P so sad
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 6 ай бұрын
AUKO TENA NASI KAKA R.I.P TURORUD UKU BAADA YA MWAMBA KUTANGULIA AISEEEE😭😭😭😭😭😭
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 7 ай бұрын
Itakua sukari au ngoma?
@malichanda3146
@malichanda3146 7 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@Gersah
@Gersah 6 ай бұрын
R.I.P Gardner
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 7 ай бұрын
inawezekana ikawa sukari,sukari mbaya sana isikie tu kwa mwezako,,pombe hawezi kuwa hivyo mtu mwenye pesa pombe haiwezi kumkondesha hivyo ,,
@yvesniyongabo9437
@yvesniyongabo9437 7 ай бұрын
Hata kwenye Pombe kuna Sukari nyingi tu
@queenlinda255
@queenlinda255 7 ай бұрын
Inawezekana ni sukari kweli
@jimboulaya
@jimboulaya 7 ай бұрын
Pombe inasababisha sukari pia na kufeli kwa figo
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 7 ай бұрын
@@jimboulaya mi nimeongelea ugonjwa sukari yani inawezekana anaumwa sukari ,,habari ya mtu kukonda anaweza akakonda kwaajili ya pombe kupita kihasi au anaweza akakonda kwaajili ya sukari ugonjwa ,,sio kila anaekunywa pombe anaumwa sukari ,,
@EstarMichael
@EstarMichael 7 ай бұрын
kweli magonjwa nimengi sana kwenye hii dunia.. muhimu aangaliwe vzr na ndugu jamaa na marafiki kama nitatizo kubwa aseme asaidiwe mapema kupata matibabu❤
@angelzighe4254
@angelzighe4254 4 ай бұрын
RIP 😭😭
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 5 ай бұрын
But lazima tu Tufe... whatever it is.......
@deecokujory
@deecokujory 5 ай бұрын
Jmn kumbe alianza kuumwa mda mungu ampumzike salama jmn😢
@neemareuben311
@neemareuben311 7 ай бұрын
Hii itakuwa ni sukari huwendaaa aiseee jmn 😢😢😢 inaumaaa sanaaaaa ila bina dam wataongea vitu ni vingi sn aiseeeeeeee jmn jmn 😢😢😢😢
@Hillary_Daudi_Mrema
@Hillary_Daudi_Mrema 7 ай бұрын
Bado Mungu anakupenda Gadner mrejee akupe Afya njema ila tatizo haukubali kwamba Pombe sio nzuri kwako na bado unapenda kushindana na Vijana katika Pombe. Ikifika Mwaka 2050 Mkoa wa Kilimanjaro utabaki na wanawake tu maana wanaume wengi ni walevi hasa Rombo hakuna Vijana wameisha. Pombe ni hatari naomba Vijana tunywe Maziwa na juice ni bora
@fredmbossa-kc3qn
@fredmbossa-kc3qn 7 ай бұрын
huyu sio pombe hatakuwa anaumwa unaweza kuta sukari ila sina uhakika
@mycmeranyswai7957
@mycmeranyswai7957 7 ай бұрын
sio kweli ndugu yang hayo ni mawazo yko tuu
@josephkiwale374
@josephkiwale374 7 ай бұрын
Kwan huyu Mzee ni WA kule Israel ya bongo
@jumaamohamed2815
@jumaamohamed2815 7 ай бұрын
​@@mycmeranyswai7957Ni kweli jamaa ni mlevi sana
@paulabelleghe451
@paulabelleghe451 6 ай бұрын
Jamani roho imeniuma
@farajasaid9209
@farajasaid9209 6 ай бұрын
Jamani tusimshangae sn qtapata unyonge
@davidlyamboko7477
@davidlyamboko7477 6 ай бұрын
Wanaomshangaa hata afya zao hawajapima na wao binafsi huenda wana matatizo makubwa sana ya afya, ni suala la mida tu.
@aminakipande5645
@aminakipande5645 6 ай бұрын
😂😂🎉🎉🎉
@Ostica..Omie..junior
@Ostica..Omie..junior 7 ай бұрын
Uyo jamaa...hapo amepata nafuu kidogo..ila alikonda zaidi ya hapo akawa ndani tu atoki nje kabisaa..hapo mnamuona sasahivi kidogo mwili umeanza kurudi kwa mbali
@sabinahobe3478
@sabinahobe3478 7 ай бұрын
Mm sina habar kumbe alikuwa anaumwa? Kwan bado yupo lipindi cha Jahazi?
@BenedictaMagantg
@BenedictaMagantg 6 ай бұрын
Mungu amsimamie.
@ConsalvaMumbara
@ConsalvaMumbara 6 ай бұрын
Mungu amponye
@HipHop_2024
@HipHop_2024 5 ай бұрын
Leo ameagwa na anaend kuzikwa
@RamadhanAthuman-d4c
@RamadhanAthuman-d4c 6 ай бұрын
Inawezekana akawa na maradhi au kisukari pole sana gadiner
@bahatadof5543
@bahatadof5543 6 ай бұрын
Maskini captain jamani labda sukari,Mungu amponye jamani,
@HilaliKapanda
@HilaliKapanda 5 ай бұрын
Daaaah
@Paplick9
@Paplick9 6 ай бұрын
Rest in peace father 🙏🙏🙏
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 7 ай бұрын
Alivomtesa Jide enzi zile huwezi amini ni huyu daah kweli wanasema time will heal!
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 6 ай бұрын
Alimtesaje yan????
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 ай бұрын
@@geofreylucas7870 na mapenzi dear, alikuwa ana mademu wengine
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 5 ай бұрын
@@geofreylucas7870 na mapenzi
@itanzaniaAS
@itanzaniaAS 5 ай бұрын
Huzuni sanaaaa
@emanuelgavile3503
@emanuelgavile3503 7 ай бұрын
Fatilieni nyimbo ya jide mambo matano mtanishkuru
@FettyIddy-ps8lo
@FettyIddy-ps8lo 6 ай бұрын
Aisee
@wemakingdaily1462
@wemakingdaily1462 6 ай бұрын
Huyo atakuwa amemloga
@GbpAud_King
@GbpAud_King 5 ай бұрын
Figo
@simonmushi7468
@simonmushi7468 6 ай бұрын
RIP captain
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 7 ай бұрын
Hata kutembea inakuwa tabu kidogo, hafadhali nyumbani watu wanakwambia uku nje mpaka ufike hospital wazungu wanakwambia una miezi kadhaa tuu ya kuishi kama hujijalii
@prosecutorprince281
@prosecutorprince281 6 ай бұрын
R.i.p kakaa😭😭
@mohamedyusuph1321
@mohamedyusuph1321 6 ай бұрын
Levi hilo
@NgaizaKimbeNgaizakimbe
@NgaizaKimbeNgaizakimbe 7 ай бұрын
Pole Bro Ila Punguza Pombe Kama Ni Sabababu..🚶🚶🚶
@officiallnobystar
@officiallnobystar 7 ай бұрын
Sio Pombe Tu Na labda Matatizo Ya Figo
@happynelson1136
@happynelson1136 5 ай бұрын
Kama mtu anakonda na pombe na mimi ningekonda maana pombe inanifanya ninenepe kila nikijaribu kupunguza uzito sipungui mpaka nipunguze pombe na nimekunywa pombe kwa mda wa miaka kumi, jamaa huenda alikuwa ana ugonjwa unamsumbua na hakuutibu mapema mpaka ikapelekea kulazwa na baadaye kufariki, apumzike kwa amani
@majidfrolian4904
@majidfrolian4904 5 ай бұрын
Kweli
@happynelson1136
@happynelson1136 5 ай бұрын
@@majidfrolian4904 pombe sio tatizo lake mimi nakunywa pombe miaka kumi na pombe inanifanya ninenepe nimekunywa pombe miaka kumi na leo nimekunywa bia kumi na nipo fresh ila kupungua mwili sipungui maana pombe inanifanya ninenepe
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 7 ай бұрын
Maradhi yapo Pole gadner utapata nafuu kwa uwezo wa allah
@GoodDeeds-Jesus
@GoodDeeds-Jesus 6 ай бұрын
Jina likimbizalo mapepo na kuleta uponyaji ni Jina la Yesu pekee na si vinginevyo. Hallelujah
@Sylvester1993
@Sylvester1993 6 ай бұрын
Dah amepatwa na nini shemeji yetu wa zamani?
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 6 ай бұрын
daaah amekwisha sana kikwelo hayuko sawa
@EvalinaMunishi
@EvalinaMunishi 6 ай бұрын
😊pombe Kali anakunywa sana, ila jamani mke ana faida sana kwenye familia. Alipokuwa Na Jide alikuwa na afya nzuri sana
@najmasalim-rg6ow
@najmasalim-rg6ow 6 ай бұрын
Hio mipombe kweli kaah
@annamussa185
@annamussa185 6 ай бұрын
Mnamwonaje eti yuko sawa mnieleze😊😅
@aminakipande5645
@aminakipande5645 6 ай бұрын
😂😂😂ila watu
@sistertrashid2488
@sistertrashid2488 7 ай бұрын
Chezea watanzania wewe wewe tuma picha tunakupima tu hatuna baya vipimo macho
@florangido202
@florangido202 5 ай бұрын
Huyu atakuwa alikuwa na Sukari, sema akutilia maanani Na ndiyo maana alipata matatizo ya Moyo. Sukari akiwa nyingi kwenye Damu bila matibabu MOYO UTANUKA....Hakuwa serious na na Sukari (Dayabetic)
@LinnaJohn
@LinnaJohn 7 ай бұрын
Kondeni nyie sasa mnajadili watu
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 7 ай бұрын
jamani
@ElishaSolomoni-kc4zk
@ElishaSolomoni-kc4zk 7 ай бұрын
Duh aisee pole xna kaka
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 6 ай бұрын
Rest In Peace Gadner G Abash
@peresmagasi5330
@peresmagasi5330 6 ай бұрын
DM
@safwaqusa7941
@safwaqusa7941 6 ай бұрын
kati ya ini au figo vinamuhusu huyu mzee though hatujui km kashaenda hospital or not but for the sake of health clouds media should give him a break
@YunisJerald
@YunisJerald 7 ай бұрын
Mmejuaje mgonjwa
@michaeljames3480
@michaeljames3480 7 ай бұрын
😢😢😢😢 duhhh amekonda sanaaaa
@sophiekindem9071
@sophiekindem9071 6 ай бұрын
Acheki Kisukari!!
@bigirumanalululouise4540
@bigirumanalululouise4540 5 ай бұрын
😢😢😢😢😢
@jasminimussa6214
@jasminimussa6214 7 ай бұрын
Huyu baba amebaki kichwa tu jmn😢so sad 😢 sijui nn shida….😢.
@gibbs1320
@gibbs1320 7 ай бұрын
Amebaki kichwa tuu kama wewe ulivyobaki na KOMWE lako tuu.
@noelbryson7840
@noelbryson7840 7 ай бұрын
Wewe acha unafki mpuuzi wewe! Yani huna hata chembe ya aibu kuandika vitu vya uwongo? .. Unasema amebaki kichwa?? .. Kudhoofika kwa mwanadamu ni hali ya kawaida..
@JaneMasengeta
@JaneMasengeta 6 ай бұрын
3:19 ​@@noelbryson7840
@barakakusa7606
@barakakusa7606 7 ай бұрын
Hayo ndiyo Mambo matano ya Komando Jide so sishangae pengine ni stress za mapenzi,Jide mrudie mwenzako tafadhali dada😢😢
@zariadunia6328
@zariadunia6328 5 ай бұрын
Huyu mwanae alijua kugombea malai za baba yake pasi nakumuangalia mzee wake alikuwa akinywa sana pombe nahisi mambo yaliharibikia hapo angekuwa anaishi na baba yake akimpikia nabkuhakikisha anakula lkn binti alikuwa akiishi peke yake sawa lkn angemuangalia kwa chakula kisha akaondoka kwake
@helenkambi3918
@helenkambi3918 5 ай бұрын
Maskini kumbe alikua mgonjwa kitambo Gardner jamani ila ni kazi ya Mungu
@ChristinaWallasch
@ChristinaWallasch 7 ай бұрын
Mambo ya health food, gym, inaleta slim shep,
@wemaMichael-fr4th
@wemaMichael-fr4th 7 ай бұрын
mim niligundua hili tangu mwaka jana
@hijamwinyi3233
@hijamwinyi3233 5 ай бұрын
Hebu mpimz8sheni muonekano wa nnkama yuwauma alikuwa anenepe sio vizur
@OmanOman-dn6dj
@OmanOman-dn6dj 5 ай бұрын
Hapa Alikuwa amepata nafuu..sasa amezikwa leo😢
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj 7 ай бұрын
Ana Sukar itakua maskini mm pia tuna kkangu alikua na mwili wake alipogunduliwa ni Sukar in amaliza mtu mwili haraka
@LandrickXl
@LandrickXl 7 ай бұрын
Eee 😢
@millymack1370
@millymack1370 7 ай бұрын
That's alcohol
@SalumOmary-t5y
@SalumOmary-t5y 7 ай бұрын
Wanakuka sana watoto wazur niamin watu maarufu wengi wana cycle ya HIV
@estakapufi7582
@estakapufi7582 7 ай бұрын
Japa haukuna kingine apunguze mitungi, mpaka yupo ivo vitu vya tumboni avufanyi kazi ipasavyo jamani, maana haifichiki kabisa aende hospital akapimwe tu mapema siompaka afikie hatua ya kulala kitandani.
@LovenessFedrick-cy9fh
@LovenessFedrick-cy9fh 5 ай бұрын
Nilimuona mkaka mwanza alikuwa mnene siku Moja nikajua kumuona aliisha mwili uliisha wote dah sikari SI nzuri
@NgengeMkeni-uo5hq
@NgengeMkeni-uo5hq 7 ай бұрын
Nahisi sukari pia
@LandrickXl
@LandrickXl 7 ай бұрын
tunalalamika kuhusu afya yake na akiisema tukaombwa misaada tunakimbia
@EstarMichael
@EstarMichael 7 ай бұрын
hatutakimbia wote bwana wapo watu wema Bado kwenye hii dunia❤
@jrm9448
@jrm9448 7 ай бұрын
Pombe sio chai.
@benjo_brighter
@benjo_brighter 7 ай бұрын
Amekonda sana aisee 😳🤔
@HadiaMohammed-ec2dn
@HadiaMohammed-ec2dn 6 ай бұрын
😢😢😢
@NawechiTemu
@NawechiTemu 6 ай бұрын
Pombeeeeeeeeeee
@godfreykeita9804
@godfreykeita9804 6 ай бұрын
RIP
@abn8331
@abn8331 6 ай бұрын
Itakuwa mapombe tu huyo
@Jureyji
@Jureyji 7 ай бұрын
Sugar
@christinainnocent3184
@christinainnocent3184 7 ай бұрын
Labda kisukari sio pombe jamani si dunia nzima wangekonda🥱🥱🥱
@kiondomashaka6276
@kiondomashaka6276 6 ай бұрын
Ameamua mpangilio wa vyakula tuu
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 6 ай бұрын
Pole mwambaa
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 7 ай бұрын
Mambo ma5
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 7 ай бұрын
Pombe tu
@hanifamziray277
@hanifamziray277 7 ай бұрын
Alisema hawezi kulala bila kunywa pombe atakuwa mvivu kulA
@judyngowi391
@judyngowi391 7 ай бұрын
Atakuwa anafanya diet
@StevenJulius-u1d
@StevenJulius-u1d 6 ай бұрын
Mungu wangu ni yeye kweli!
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 6 ай бұрын
Mpaka adondoke ghafla!
@ScopionScopion-zj9cd
@ScopionScopion-zj9cd 5 ай бұрын
lisemwalo lipo kama halipo linakuja Mimi siku moja rafikiang kaniangalia kwenye macho akasema ww huna mda utaumwa nakweli wk mbali hazikuisha nikapigwa nakitu kizigo ila mungu akanisaidia kukipangua mala moja nikalejea kazi kazi marafiki 36 Ninao fanya nao kazi kitengo kimoja walibaki 3 ndani ya mwezi dah dunia hiii
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 7 ай бұрын
Kwan huyu jamaa anaumwa nini au kaukanyaga?
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 7 ай бұрын
Walioukanyaga sikuhizi wananenepa
@YusuphMangulusa
@YusuphMangulusa 5 ай бұрын
Huwa wanakondaga kwanza wewe
@edsonnelson4464
@edsonnelson4464 7 ай бұрын
Inawezekana ni pombe, pombe ikikuzidi hata kula hauli na usipokula ndiyo matokeo yake hayo
@vanessalaizer4363
@vanessalaizer4363 6 ай бұрын
Kweli mi nikinywa glass mbili za wine kula mbinde adi kesho yake jioni
@vi3ayo1622
@vi3ayo1622 7 ай бұрын
Jidee popote ulipo huyu ni mume wako wa ndoa, sahau yaliyotokea msaidie now anahitaji msaada huyu baba hana kazi hana kitu please jideee
@shwaibukhatibu2838
@shwaibukhatibu2838 7 ай бұрын
Kwahyo clouds anafanyaje
@Aziz-p6s
@Aziz-p6s 7 ай бұрын
Mama careen pia yupo
@judyngowi391
@judyngowi391 7 ай бұрын
Kwahiyo clouds anafanya nin8
@geofreylucas7870
@geofreylucas7870 6 ай бұрын
​@shwaibukhatibu2838 😂😂😂😂 inachekesha comment
@enoskilongo7685
@enoskilongo7685 6 ай бұрын
Laana za JAY DEE😂😂😂😂
@geofreymdemu1938
@geofreymdemu1938 6 ай бұрын
Kwa hiyo Binti Wambura ni Kirusi cha magonjwa ama?
@KilwaStar23
@KilwaStar23 6 ай бұрын
Pombe, pombe
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
РОДИТЕЛИ НА ШКОЛЬНОМ ПРАЗДНИКЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 4 МЛН
Unakumbuka haya maneno matatu ya Mzee Mengi kwenye msiba wa Ruge
4:57
Incredible Moments Caught on Camera
30:40
UNSORTED
Рет қаралды 4,6 МЛН
Cook with Wema Sepetu - S07E10 Gardner G Habash
8:16
Wema Sepetu
Рет қаралды 41 М.
Mapokezi ya Gadner G Habash CloudsFm baada ya kuondoka E Fm
4:28
#MatumiziExtra
Рет қаралды 104 М.