MASHEIKH WA BAKWATA WANAWASAPOTI MASHIA TANZANIA sheikh Mohammed Issa

  Рет қаралды 4,331

SHALBA OnlineTV

SHALBA OnlineTV

Жыл бұрын

Пікірлер: 34
@HassanAhmedAbdallah
@HassanAhmedAbdallah 2 ай бұрын
Allah akuhifadhi na akufanyie wepesi wa kuingia jannah kama unavyo ifanyia haki wepesi wa kufahamika
@abdulrashidjuma8229
@abdulrashidjuma8229 Жыл бұрын
Allaahu akuzidishie kheir nyingi sheikh Mohammed Kwa kusema kweli
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 2 ай бұрын
Umefeli sanaa
@mams1892
@mams1892 Жыл бұрын
Innalillahi wainnaillahi Rajionn Allah atustiri na vizazi vyetu amin ya Rabb
@SherallyHussein-tu1nk
@SherallyHussein-tu1nk 2 ай бұрын
Nyie mpingao maelezo hayo ya Sh. Muhammad Issa, katika watetezi wa Mashiia au Mashiia wenyewe, Cha kufanya ni KULETA HOJA DHIDI YA KAULI YAKE. SI kubwabwaja TU. :- Qul haaatuuu burhaanakum inkuntum Saadiqiin.
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
BAKWATA ILIUNDWA KUUSAMBARATISHA UISILAM TANZANIA !! LEO WAMEUZA NYUMBA NA PLOT ZA WAKFU ZA WAISLAMU!!
@FridayMwassa
@FridayMwassa 22 күн бұрын
Nenda mahakamani
@user-gp1rj2hp2u
@user-gp1rj2hp2u Ай бұрын
Hadi huruma watoa comment umu wengi munaonekna ni mashiaaa....badilikeni.
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 2 ай бұрын
Wewe shiba ukalale
@HamijeyHamijey
@HamijeyHamijey 3 ай бұрын
Sheikh umewaambia ukwer hela ndio inamkoroga amemsahau allah
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
KWELI MASHIA ARUSHA WAMEANZA KUONYESHA MAKUCHA YAO KUPAMBANA NA AHLUSUNNAH WALJAMAA!!
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 3 ай бұрын
Allah akuongoze ktk sunna
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
mpaka mseme mashia ni bora kuliko waisilam wengine , hampambani na mambo mengine kila siku mashia na mashia wana elimu ya kutosha ila ninyi hamna elimu yoyote
@user-gp1rj2hp2u
@user-gp1rj2hp2u Ай бұрын
Yani kweli watu wanawatukana maswahaba munafurai ALLAHU atatuadhibu siku ya kiamaaaa
@habibuchakusaga7981
@habibuchakusaga7981 Жыл бұрын
Jazaka llaah kheira
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 2 ай бұрын
Hata sisi tulizaliwa tu tulikua hatujui uwahabi
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
mashia ndio wakweli masuni waongo sana
@yateramadavaathumanmmbaga7776
@yateramadavaathumanmmbaga7776 18 күн бұрын
Acha kupotosha watu weeeee naona ushalambishwa za wa Iran
@user-oc8uo9rl3u
@user-oc8uo9rl3u 2 ай бұрын
Ukiingia mtandaoni Mawahabi utadhani nchi nzima wamejaa wao ila uhalisia uwahabi wachache sana. Mawahabi wazee wa Mtandao
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
😀😃😄😁😆🤣😂 shekh anajiwekea kinga ya usalama kwa kuielezea answari inavyofanya kazi zake nchini
@rajabuhashimu-bv8qt
@rajabuhashimu-bv8qt 2 ай бұрын
Hakuna ulicho ongea ni kupiga kelele tu ongea kwa dalili acha kutupigia kelele
@FridayMwassa
@FridayMwassa 22 күн бұрын
Kumbe Kuna wakati mashia wanakuwa siyo waislam na wakati mwingine ni waislam,nasema haya baada ya kuwaona waislam wengi wakiwasapoti Iran kwamba ni waislam wenao lakini mijadala kama hii mnawakataa kwamba siyo waislam
@HabibuMudhwahir
@HabibuMudhwahir 2 ай бұрын
Wewe rudi darasani ukasome hekima huna elimu yadini
@abdulrahmansalim9773
@abdulrahmansalim9773 Жыл бұрын
BAKWATA WAPATA PESA KWA MASHIA NJAA ZIMEWAWEKA MOYONI BUSTARDS
@saidkitula4982
@saidkitula4982 Жыл бұрын
Mashia hawana sifa ya uislaam hata
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Unakuta kuna mtu ana akili zake timamu anawafuata na kuwasikiliza masheikh wa BAKWATA
@Kekulebenzene
@Kekulebenzene 4 ай бұрын
Kama hawaogopi kuwasapoti mashia, wataogopa kuwaongopea waislamu? BAKWATA ni sehemu ya kupiga pesa tu
@wazirihamisi6484
@wazirihamisi6484 3 ай бұрын
​@@Kekulebenzenebaarakallahu fiyka
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
hamna shekh hapa sasa hivi anawasifu nyerere na madiba wakati alinza kumponda ayatollah khomeini kwa kupinga umagharibi na kusimamisha dola ya kiisilam ya iran , hamna akili hapa bali ni hasira
@dauddavid6837
@dauddavid6837 2 ай бұрын
Yani huyu anavyoongea anaonesha wazi kwamba hana alijualo kuhusu mashia bali nikuropoka tu
@Sh_Taqee
@Sh_Taqee 2 ай бұрын
Huyu ni Mzuri kwa kupiga kelele na ni Jahili.
@AL-WAARITHUUNTZtv
@AL-WAARITHUUNTZtv 7 ай бұрын
Wee mzee wewe hapo unawapaka mafuta .au jamaii gani kwani hiyo jamii mashia hawao we tengeneza nchi yako uhamie
@dauddavid6837
@dauddavid6837 28 күн бұрын
Huyu mzee muongo nyie mawahabi na salafy sindo mmenza kuwatenga wenzenu mkawaita watu wabidaa na makhuraf leo wasema mlikua pamoja mzee acha uongo
@hassanmsangi4149
@hassanmsangi4149 2 ай бұрын
elimu ndogo haongei kwa kutoka kwenye kitabu cha hadith wala quran bali apapatika toa hoja ya kidini sio kuongea usichokijua . kazi ni kuponda hamna lolote
IMAM SHAFII...WEMA WALIOPITA
31:39
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 431 М.
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН
Heartwarming Unity at School Event #shorts
00:19
Fabiosa Stories
Рет қаралды 22 МЛН
A teacher captured the cutest moment at the nursery #shorts
00:33
Fabiosa Stories
Рет қаралды 31 МЛН
MOHAMMAD ISSA   MIKAKATI YA FREEMASON
1:26:50
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 194 М.
Mikakati ya free Manson...Na sheirk Muhammad issa.
1:26:50
DEEN TV KENYA
Рет қаралды 2,7 М.
MSIMAMO WETU NIKUA MASHIA SIYO WAISLAMU
27:46
SHALBA OnlineTV
Рет қаралды 27 М.
SHIRKI NDANI YA VITABU VYA MAULID || SHEIKH MUHAMMAD IS-HAQ
1:47:55
MISIMAMO YA MASHEIKH  DHIDI YA USHIA KUNAKO MANENO YA SHEIKH MZIWANDA
28:05
Who has won ?? 😀 #shortvideo #lizzyisaeva
00:24
Lizzy Isaeva
Рет қаралды 66 МЛН