Maa shaa llah. Sheikhe M. Issa Allah akuhifadhi hiyo mijamaa mikorofi haijitambui
@jaberalyafei2742 жыл бұрын
Mashaa Allaah Mashaa Allaah kiarabu safi ilmu tele utafiti wa hali ya juu abul eddy hafikii kabisa kabisa hata material ya kuzungumzia yenye maana
@makhanguwakhutu24082 жыл бұрын
Sheikh muhammad issa Allah akuhifadh uzidi kuelemisha umma wakislam
@mohdkhatib2232 жыл бұрын
Haya maneno ya shekh Mohamed Issa inafaa yaandikwe kwa wino wa dhahabu. Ni ujumbe tosha kwa masufi wanaowatetea nguruwe wa kishia.
@hassanmsangi41499 ай бұрын
KUWA MSHIA SIO KWA KUSOMA TU BALI NA ALLAH APENDE KUKUONGOA KUWA SHIA . WATU WANASOMA SANA DINI LAKINI WANAWAFUATA WATU WALIOMUUZI NA KUMDHARAU MTUME, USHIA NDIO MADHEHEB YA MTUME MUHAMAD
@hamzakimaro37642 жыл бұрын
SHEIKH MUHAMMAD ISSA,MAAJENTI WA MASHIA WASIKUTISHE!!HII DINI SI YA BAKWATA! MASHIA NI WAJANJA SANA,WAKIONA WAMEBANWA HUWA WANATAFUTA HURUMA YA DOLA!!NA WALE WANAOSHIRIKIANA NAO KAMA ILIVYO BAKWATA!!
@ramadhanibahati28292 жыл бұрын
Kwani imamu Alli, imamu Hassan na imamu Hussein siyo maswahaba wa mtume Muhammad saww. Mbona hamuwataji , au maswahaba ni wale wakwenu tu
@twaibumikidadi73772 жыл бұрын
Shekh İddi achana naye yule tunamuelewa n shekh ......
@maryamabeidally39532 жыл бұрын
Shekh unafahamika sana shia hawafai
@jumakambunga18822 жыл бұрын
Hujafanya utafiti huna nafasi ya kuzungumza,Allah akuongoze ktk haki
@binhussain34452 жыл бұрын
Hajafanya Utafiti upii?
@hassanmsangi41499 ай бұрын
MASUNNI NI WAOGA SANA , HAWAWASAIDII KIJESHI WAPALESTINA KWA CHOCHOTE BALI HAMAS WANAPATA MSAADA KUTOKA KWA MASHIA WA IRAN NA HIZBULLAHNA HOUTH
@MkindiJujan6 ай бұрын
Hujielewi ww tangu mwaka 1947 mpaka 1967 ni nchi gani zilipigana vita na Israel na wakati huo Iran ilikua wapi????? Hivi sasa Iran ipi inawasaidia Palestine mbona ni kipigo kinaendelea kila uchao Hammas uwezo wa kupambana na Israel hawana hivyo rejea Quran ili kuwashinda Israel nn kifanyike
@makameally19622 жыл бұрын
Shia Sunni mawahhaby ni tofauti Suni wapo kivyao Shia wapo kivyao mawahhaby nawao wapo kivyao
@MohamedAhmed-yi1yf2 жыл бұрын
Ushia ni janga lingine kushinda climate change
@suleymansalim57322 жыл бұрын
MBONA MMEITUMA NUSU ????
@ramadhanibahati28292 жыл бұрын
Bwana issa, wewe siyo mtu wa kwanza kuwashambulia mashia , walikuwepo akina bani umaiyya, yazid n. k, Hakuna aliyefauru , na wewe utafeli tu. Huwezi kupambana na haki . Haki siku zote huishinda batili.
@ibrahimubakarisuhuzwa47372 жыл бұрын
Hata hjakosea mashia watshindwa tu hawawezi tukana maswahaba na mtume na Allah lazima watadhalilika nawatajuta siku yakiyama watakapo ingizwa motoni
@MohamedAhmed-yi1yf2 жыл бұрын
Tushirikiane nao tutukane masahaba?
@mikidadiyusufu23192 жыл бұрын
Mwendawazimu mkubwa wewe
@msemasungura56512 жыл бұрын
Wewe mzee umefeli kama unaweza ita mdahalo namashia
@halimaally20842 жыл бұрын
Kafiri voce
@saidkondo51122 жыл бұрын
Mbona qassimu mafuta anawabomoeni kila siku mashia ,hamumjibu mnakimbia
@salimkauguza99862 жыл бұрын
On my vew you sheks have no priorities in your teachings, rather you would have taken most of your time to change your mindsets.
@jumaazuberi93172 жыл бұрын
مارأيك أنت تغير عقلك أ ولا واضح أنك لاتعرف شيءا في الإسلام هداك الله.
@hamynas2 жыл бұрын
kwa nn wewe mohammed issa huongelei kutokua na ukaribu wa MAWAHABI NA MASHIA? WEWE NI SUNI? KWA NN UNAWAELEKEZA MASUNI NN CHA KUFANHA NA NN SI CHA KUFANYA? wewe ni wahabi pure usijitietie ktk u ahlusuna please
@saidkondo51122 жыл бұрын
Jomba shule ni lazima,jitahidi hata memkwa itakufaaaa
Bila Shaka wewe ni Shia pure.. Innaalillahi wainnaa ilayhi rajiooon
@abuurauzwat1006 Жыл бұрын
Kuna mpumbavu mmoja humu ktk koment kauliza swali ety kwani Hassan na Hussein wao so maswahaba ? Pumbavuuuuu Kwani Uyo Hassan na Hussein na babayao ndo maswahaba pekeyao ?.
@MkindiJujan6 ай бұрын
Huo ni ushahidi Tosha mafundisho ya ushia ni chuki ubaguzi visasi na ushirikina Ni kuwaonea huruma watu namna hii na ndo wamejaa ktk jamii na ulimwengu wa Kiislam leo hiiii
@hamynas2 жыл бұрын
kwani ukisema kwa kiswahili moja kwa moja kuna shida gani? na hilo gazeti unalosoma umeandikiwa na nani? mbona huna mawazo yako binafsi?
@binhussain34452 жыл бұрын
Wewe Unachuki nimeshakugundua🤐🤐
@hamynas2 жыл бұрын
@@binhussain3445 ni ukweli kaandikiwa au kakopi desa huko na anaonekana anasoma na kutafsiri...kama kusoma hujui macho huna? we jamaa unatia kichefuchefu
@hamynas2 жыл бұрын
halafu upo bias saana maana unaelekea unasoma taarifa au gazeti lenye kuwachukia mashia moja kwa moja hivyo unakosa rational ya kuaminiwa hicho unachokieleza hapo
@abiabi93532 жыл бұрын
Yani naona huyu jamaa anajizungusha kuzuga. Ishu iko hivi.atwambie je mawahabi si mujassim yani watu wanaompa Mungu viungo? Ja mawahabi hawasemi masuni ni mubtadih na nimushrikina na makafiri? Je hawasemi kuwa damu za masuni ni halali kumwagwa.kama hizo ndizo itikadi zao kwa nasuni mbona wanata kukurubiana nao. Alafu wanata masuni wawa tenge mashia.yani select. Kunakubwa zaidi ya kutofautiana akida na tawheed? Kwasababu akida na tawheed ya mawahabi na suni nitofati lkn Tawheed ya shia na suni ni sawa. Sasa yipi ndiyo anatakiwa atengwe.? Kuwa na itikadi moja juu ya maswahaba lkn mnatofautiana juu ya tawheed yane mpo mbali sana.kwahiyo wanaharamu wakiwahabi kama mohamed issa wanatakiwa wadharauliwe tu kama mufti alivyosema
@binhussain34452 жыл бұрын
Hayo unayoyazungumza umeyatoa wapi?Yaani Answaru Sunnah waseme kuwa Damu za Massuni ni halali! Hebu wewe tuonyeshe wapi wamezungumza..
@qurannasunnahtzonlinetv74322 жыл бұрын
Sunnih na makafiri wa kishia tokalini akida yao ikawa sawa sunnih gani anaye tukana maswahaba
@abiabi93532 жыл бұрын
@@qurannasunnahtzonlinetv7432 kila mara nasema mawahabi ni majahili.hawana wajuacho zaidi ya propaganda. Kama wanaelimu kweli wakanushe niyosema ndiyo ni wape ukurasa kwa ukurasa. Sasa mimi shia na masuni utatufananishaji na tawheed ya mawahabi. Mawahabi wao nimakafiri wa wazi maana wao ni mujasim.wana tawheed ya kiyahudi..Sasa wao watakuaje waisla.nakama kuna kidume wakiwahabi anapinga kuwa wao si mujasim asema nimporomoshee wa ushahidi kutoka kwenye vitabu vya ibn taymiyah na Uthaymeen
@saidkondo51122 жыл бұрын
Wewe jamaa nawe ,usiwe mshamba hivo usiwe unakuja kukomenti mitandaoni kwa habari za kusikia, unaonyesha udhaifu wa marifa ,yaani unaropoka kifupi,hebu fafanua sasa itikadi ya masunni ni ipi na mawahabi ni ipi,mbona hujielewi
@ramadhanibahati28292 жыл бұрын
Sunni na Shia ni ndugu, adui yao mkubwa ni mawahabi, au answaaru sunna Shia na Sunni wanasoma maulid, Wanafanya ziara Wanafanya tawasuri, wewe kwako hayo yote ni haraam. Sasa adui mkubwa ni mawahabi. Acha ndugu waelewane. Pili pili usiyo kula yakuwasha nini
@ibrahimubakarisuhuzwa47372 жыл бұрын
Wewe unaonekana hata Elimu yko ndogo Sana kwani kusoma maulid ndo dini
@swalehemrombo93012 жыл бұрын
Ramadhani..hakuna udugu wa suni ba shia usipotoshe shia ni ukafiri kabsaà
@hamynas2 жыл бұрын
shia masheikh wa kiwahabi na masuni subirini ramadhan ifike ramadhan sijui kama mtaendelea na upotezaji muda mnaoufanya wapumbavu kabisa
@binhussain34452 жыл бұрын
Unaelewa unachokizungumzaa na je aliyekwambia kutukana Mashekh ni sawa ni nangu?
@hamynas2 жыл бұрын
@@binhussain3445 wewe ni mpumbavu kuanikana aibu masheikh wenu ktk mitandao ni jambo jema? naulizia hilo unakuja na komenti za kipumbavu kabisa ooh unajua unachoongea? jinga kabisa wewe
@hamynas2 жыл бұрын
wanachuoni wa saudi arabia? wanachuoni gani hao? hao wanaokaa kimya wafalme wanatawala? quran si imekemea wafalme? wapuusi nyie mawahabi
@saidkondo51122 жыл бұрын
Mjomba na wewe katafute elimu, kuropoka sio vizuri
@hamynas2 жыл бұрын
@@saidkondo5112 mawahabi tabia zao moja..ukiwauliza maswali wanakuambia TAFUTA ELIMU AU KASOME...sababu hamna hoja wala hamjui kujibu na hamna majibj..nyie ni maroboti mumewekewa program tuu mwende uelekeo huu kama treni mkiambiwa kuna kona hamuezi na mnakasirika saaana ha ba haa
@saidkondo51122 жыл бұрын
@@hamynas ndugu yangu maneno yako unayapima kweli!! Au unaongea tu.sasa bila elimu utamjuaje aliesoma ,utaujuaje ukweli,?mbona mkienda hospitali mnataka madaktari ndio wawtibie ,tena dasktari bobezi haswaaa,ila katika dini mnataka mfanye mambo kiwehu wehu bila kusoma,wewe unasentesi zako katika komenti zako zinaonyesha hujui chochote kile ndio maana nikakushauli bora utafute maarifa kidogo. Kuliko kuchanganya maneno kama hujielewi boss wangu
@hamynas2 жыл бұрын
@@saidkondo5112 msomi anayeufyata sheria za Allah zikipindishwa? mtume saww anasema ukiona munkar uondoe kwa mkono au kemea au chukia lakini wao wanaushabikia!!!wasomi hao? haihitaji akili tena kumjua huyo msomi wa HOVYOO
@hamynas2 жыл бұрын
@@saidkondo5112 wewe ndiye hujatafakari mambo yako vzuri
@abiabi93532 жыл бұрын
Mtu kama mohamed issa kwatsbia zake.nakuhakikishia kwa asilimia 90 mtu akimchunguza atagundua kuwa na mtoto wa zinaa
@MohamedAhmed-yi1yf2 жыл бұрын
Abi Abi juwa ushia sio uislamu
@abiabi93532 жыл бұрын
@@MohamedAhmed-yi1yf nakama shia si uislam basi wewe hujui uislam na pia uwahabi si uislam zaidi.mimi nakuapia naweza kukuthibitishia kuwa uwahabi ni ukafiri.ukitaka kujua soma tawheed yao yakiyahudi
@binhussain34452 жыл бұрын
Hayo unayozungumza jua kuwa utakuja kumlipa Shaykh Mohammed Issa ikiwa hutamtaka Radhi..