THAMANI YA MWANAMKE NO2 - SHEIKH OTHMAN MICHAEL

  Рет қаралды 24,017

MASJID MTORO ONLINE TV

MASJID MTORO ONLINE TV

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@sudyhamdun7041
@sudyhamdun7041 4 жыл бұрын
Shekh Nakupend kwaa Ajili Ya Allah Asant kwa kutukumbusha" honger sn
@bellbell9294
@bellbell9294 3 жыл бұрын
Maashaallah shukraan Sana sheikh wetu Allah akulipe kher
@afric01
@afric01 4 жыл бұрын
Aslm alkm wtw.... Sheikh Othman, Allah Akupe furaha Kama unavyo tufrahisha sisi. Ama hakika ndoa za leo ni ndoana na zitabaki kua ndoana hakuna mawadata wa rahman ndani yake. Kumpa mumeo majina mabaya huzusan jina linalo tokamana na maradhi ni kukosa adabu na heshma. Mumeo ni mumeo, wala hakuna kovu ya mke na mme sikwamba ninawasifu laa. Binafsi nimepitua mengi, na kuwaskia wenzangu kuhusu wanaume wa baya. Allah akulipe mema Sheikh wetu kwa kujaribu kutuweka sawa. Wanaume wa leo hawaelewki hataaaaa. Allah ataleta nusra. Jazakallahu kheir.Twakupenda Sana Sheikh wetu.
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 4 жыл бұрын
MashaaAllah jazzak la kheri Allah azid kukulinda uzid kutufunza
@RahmaNirham
@RahmaNirham 4 ай бұрын
Maanshaallah ❤️
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 4 жыл бұрын
Shukrani sana kwa mawaidh manzuri 🙏🙏 sheikh othman Allah akuzidishie umri mref wenye kheri insha Allah
@kajoakother6041
@kajoakother6041 4 жыл бұрын
Mashallaa mungu akuweke
@issaramadhani9714
@issaramadhani9714 5 жыл бұрын
Fawaiyda za kheyri na ilmu ktk mahusiano ya maisha ya ndoa tumepata fawaiyda kubwa sana ALLAH Mtukufu azidi kukunjulia heri juu ya heri ktk maisha yako na baraka nyingi ALLAH atukubali na aturidhie na tunamuomba ALLAH awajalie wanawake wajitambue thamani yao na washikamane na mwongozo wa wanawake wema waliopita.
@halimamwinyi5219
@halimamwinyi5219 5 жыл бұрын
Jazaka Allah kheri na mawaida
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Amin yarabi shukran
@hajikilangaiallhakulipeher4807
@hajikilangaiallhakulipeher4807 5 жыл бұрын
Mashaallh
@jamilamanariyojamila1487
@jamilamanariyojamila1487 3 жыл бұрын
Manshallah 🙏
@tatuazani2217
@tatuazani2217 4 жыл бұрын
Mashallah M Mungu akuzidishie Elmu
@saeedsaeed7381
@saeedsaeed7381 5 жыл бұрын
Masha Allah Masha Allah sheikh Othman mawaidha mazuri unatufunza mapema mengi mema..mungu akupe afya, furaha,Amman and emaan Ameen yarab
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 5 жыл бұрын
Shukran habibi
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 4 жыл бұрын
Subhana Allah eti kaniacha ivi ivi asante Kwa kutuongoa nimejifunza mambo mengi Sana
@jamuasmail193
@jamuasmail193 4 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah sheikh wetu mungu akupe kheiri
@sadaali8665
@sadaali8665 5 жыл бұрын
Shekh odhman masha Allh mpaka naona raha kukusikilza
@radhiamussa1629
@radhiamussa1629 5 жыл бұрын
Ma shaa Allah Allah aturuzuku waume wema wenye kuwafanyia hisani wajane pia kuwaongoza vizuri
@aminamohamed9955
@aminamohamed9955 4 жыл бұрын
Subhana Allah asante Kwa mawaiza mazur.
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 5 жыл бұрын
Walaykum salam warahmatullah wabarakatuh
@laylisaid9563
@laylisaid9563 5 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah shukuru jazaka allah heli ya Rabbi💖 akuzidishi mulimlafu na akupe afiya njema 👍👍
@zayyatiyussuf9566
@zayyatiyussuf9566 5 жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie ilimu sheikh
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Ameen
@smaihsmaih2815
@smaihsmaih2815 5 жыл бұрын
mashaa ALLAH shehe sichoki kukusikiza
@ashuashu3843
@ashuashu3843 5 жыл бұрын
Jazzak Allahu khairan Sheikh .
@mariammohamed2543
@mariammohamed2543 5 жыл бұрын
Mashaallah''
@rahmasalamalaykum7668
@rahmasalamalaykum7668 5 жыл бұрын
Mashaallah shekhe mungu akuzidishie umri
@fatumaramadhanmashaallahal9966
@fatumaramadhanmashaallahal9966 5 жыл бұрын
Shukran wajazaka llahu heri
@OmanOman-fu8xy
@OmanOman-fu8xy 5 жыл бұрын
Mashallah, 🤝
@paulinekababa524
@paulinekababa524 4 жыл бұрын
Mashaallah
@muhammadahmedaliyyu3854
@muhammadahmedaliyyu3854 5 жыл бұрын
Man'sha Allah Shukran
@husnaaabubakaru3671
@husnaaabubakaru3671 5 жыл бұрын
Wallah dini inarakha yake 😊😊😊
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah
@nusralilobwa4752
@nusralilobwa4752 5 жыл бұрын
Jazzaka Allahu khery
@mira-gq3qg
@mira-gq3qg 5 жыл бұрын
Allah akulipe pepo
@halimamwinyi5219
@halimamwinyi5219 5 жыл бұрын
Masha Allah
@aishaaisha9094
@aishaaisha9094 5 жыл бұрын
Duh kwakweli tutapona kweli kwahizo aina za tabia
@yusuphmruma1771
@yusuphmruma1771 4 жыл бұрын
mwenyezimungu anijaliye aniingize peponi na ww shehe nawaisilamu wote ila shehe umenichrkesha niutani au nikitu kimetokea kweli kisa sukari mwanamke amuite mumeo kishuga
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Mashallah shukuran
@bimumaulid1171
@bimumaulid1171 5 жыл бұрын
Tumekupata inshaalah tuyafatishe lkn kidogo simu nyingi
@maindamwinyi2566
@maindamwinyi2566 5 жыл бұрын
mashaallah
@nasraalismailiy5188
@nasraalismailiy5188 5 жыл бұрын
mashaAllah nimependa mawaidha sana samahan lkn sheikh naomba no yako please please ninasuali muhim sana na linaniumiza nataka nikulize
@athumanmichael8501
@athumanmichael8501 5 жыл бұрын
0652891126
@sarahmohamed337
@sarahmohamed337 5 жыл бұрын
Shukran Sheikh kwa Darsa lako zuri.ila nipo na tatizo ambalo siwezi kulielezea.Naomba no. Yako ya wats ap kwa hisaniyako.
@arafamnyoti9400
@arafamnyoti9400 5 жыл бұрын
Shukran sheikh kwadarsa tunajifunza mengi
@kajoakother6041
@kajoakother6041 4 жыл бұрын
kwamaiza natafuta muchumba mahariyangu a isomee juzuu sita akimariza ananiowa nipo boswana
@husnaaabubakaru3671
@husnaaabubakaru3671 5 жыл бұрын
😂😂😂
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
Wanawake tuna akili zaupepo😂
@karistkanuti2747
@karistkanuti2747 5 жыл бұрын
Natafuta mke Wa kuoa Wa kiislam,nna miaka 26, mwanamke awe na umri chin y miaka 23,npo Kigoma kasulu,0718771870
@halimakalinga7764
@halimakalinga7764 4 жыл бұрын
Muombe Allah pia funga akuonyeshe mwanamk wa kuoa inshaaAllah
@faizasaid8262
@faizasaid8262 5 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@aliyomar5772
@aliyomar5772 5 жыл бұрын
Mashaa allah
@tuliaabdallah8045
@tuliaabdallah8045 4 жыл бұрын
Masharllah
HISTORIA YA NABII ISSA NA MIUJIZA YAKE   - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:18:47
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 65 М.
KISA CHA NABII ADAM - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:11:01
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 35 М.
How to have fun with a child 🤣 Food wrap frame! #shorts
0:21
BadaBOOM!
Рет қаралды 17 МЛН
Война Семей - ВСЕ СЕРИИ, 1 сезон (серии 1-20)
7:40:31
Семейные Сериалы
Рет қаралды 1,6 МЛН
سورة البقرة كاملة رقية للبيت, علاج للسحر - القارئ علاء عقل Sourate Al-Baqara
3:45:26
027 4 OTHMAN MAALIM   KISA CHA ABDALLAH IBN OMAR
1:03:55
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 33 М.
AFARTANKII (40) QISO OO UGU SAAMEYNTA BADNAA_2022 iyo 2023_ SHEIKH MUSTAFA.
3:26:03
IFTIN BROTHERS STUDIO
Рет қаралды 2,6 МЛН
The life Of Imam Abu Hanifah by Sh. Omar Suleiman
3:52:53
Shah Inam
Рет қаралды 439 М.
NDOA INAITAJI HURUMA MAPENZI NA UJIONGEZE HASA MUME
27:55
OTHMAN MICHAEL ONLINE
Рет қаралды 4,4 М.
KISA ÇHA MASIH DAJJAL NA MWISHO WA DUNIA - SHEIKH OTHMAN MICHAEL
1:16:18
MASJID MTORO ONLINE TV
Рет қаралды 120 М.
SHK OTHMAN MAALIM ATOA QISA MUHIMU CHA KHALIFA WA TANO OMAR ABDUL AZIZ
1:09:18
Riyadh Tv Online Znz
Рет қаралды 71 М.
KISA CHA NABII MUSSA (A.S) - PART FOUR
1:14:32
Al Hijra Video Production
Рет қаралды 57 М.