Ukweri yesu ndiye mchungaji wangu kwann niogope.blessed man of God
@ericbenjamin23325 жыл бұрын
Dah! Kwa wimbo huu Mungu hushuka na kujibu maombi
@viviankanale90082 жыл бұрын
Wewe ndiwe mwamba wangu Kisima cha uzima wangu ewe mwezi wangu usiku unaangazia njia zangu (Wewe ndiwe kinga yangu baba unapigania vita vyanguX2) REFRAIN Yesu ni uzima wangu,tena ni mchungaji wangu Siogopi dhoruba,Yesu 'tanipiganiax2 Unanipa faraja tele wakati mimi ninapoteswa unanipa matumaini ya kuishi tena wakati mimi nakata tamaa wanionesha upendo wako tele watu wote wakinikimbia uuuh wasema..(utanipigana) vita sio vyangu (utanipigana) ni vyako kwa Roho (utanipigania) kwa yoteeeeee
@laudriguemwikewa42432 жыл бұрын
asante Kaka nikisikia nyimbo zako na rizika sana maisha mwangu, Pia yesu awe pamoja nasi iposiku tutaonana mas.
@gambaproductions2 жыл бұрын
Mungu Akubaliki
@georginakabanga17624 жыл бұрын
Barikiwa sana kaka nyimbo zako zina ujumbe mzito sana.
@celestinmbilizi33202 жыл бұрын
God bless you brother for this inspiring song
@rwamosalomon47205 жыл бұрын
Amen amen ubarikiwe mutumishi wa Mungu Mungu azidikukutiya nguvu katikakaziyake Halleluya Halleluya upewe sifa Yesu wangu
@dorothynorah84165 жыл бұрын
i Do not be afraid or terrified because of them, for the LORD your God goes with you; he will never leave you nor forsake. Indeed there's hope in the Lord