Hongeren sana kwa kuweka hizi kumbukizi. Unajua hii mahojiano. Kuna mda I real wish kama hii technologia ya ku record video mahojiano kama hivi ingerudi kama 4 generetion back then tu document Viongozi wa kimila wa makabila yetu. Kuna vitu vingi sana tumepoteza. Kuna mda nikiangalia hizi story za hawa wazee wetu inanipa kufikiria sana namna walivyojikuta wamekomaa kimajukumu wakiwa na umri mdogo for the sake of inchi..
@othmanrashid8400Ай бұрын
Mzee umeongea historia nzuri yenye Elimu na kusisimua tunahitaji hii historia imefichwa Sana. Tuwajue freedom fighters kabla mwalimu nyerere na baada yake. Kitabu chako tunakipata vipi
@iddikibwana9185Ай бұрын
Mara nyingi historia ya kweli hufutwa
@saddamsalum919Ай бұрын
Kitabu kinaitwaje tafadhali msaada
@samitungoАй бұрын
Othman kitabu kinauzwa elfu kumi Ibn Hazm Media Centre Msikiti wa Mtoro, Manyema, Kichangani na Mtambani.
@hamzakimaro3764Ай бұрын
wezi wa fadhila!!mewafaa nini?
@HatibuKaoneka-h8mАй бұрын
Yanafichwa ila yeah mwishoo
@mohayussuf2057Ай бұрын
Walianzisha chuki kuwakataa waanzilishi wa taa na tanu