Subhanallah maneno ya sheikh Takadiri yamesadif kweli, Allah akuhifadhi baba kwa kututoa taka ama kweli historia ilifichwa subhannah
@djumakonki19643 ай бұрын
Mzee Mohammed Said Aksante sana kwa historia hii ya tanganyika. MwenyeziMungu akuzidishie kila la heri inshaallah.
@evelynemlingwa191Ай бұрын
W2222jue 2
@kitaaofficial41193 ай бұрын
Huu Umaskini wa Tanzania hakika Umejengwa na Wakoloni😢😢 Asante sn Mzee kufunua Ukweli❤❤❤
@sendisteve79812 ай бұрын
Mimi kwa ufahamu wangu watanganyika wengi hawakuwa na elimu hiyo ya darasa la 10.
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@kitaaofficial4119 Tanzania sio nchi maskini masha Allah tabaraka Rahman ina kila kitu madini ya kila aina, mazao ya kila aina mifugo wanyama wa porini, na hata kama hao wakoloni unao wasema wali tawala wali acha vitu vingi sana nchini ambavyo vili kuwa na manufaa kwa wa Tanzania, lakini kiongozi alie kuwa ame wekwa madarakani ndio alie leta umasikini
@hassanmfaume45227 күн бұрын
@@rayaalhabsi1725Ni kweli kabisa masharti yale yalimsaidia Mwalimu awe Rais apanage serikali ya udini na waingereza ndio hao hao waliomrudisha nadarakani baada ya kuondolewa na jeshi..! madarakani
@majaliwamussa92683 ай бұрын
Mzee Mohamad Said Allah akuhifadhi
@msamgunda76843 ай бұрын
Wallah nina kiu ya kumsikiliza huyu bwana neno kwa neno.ananikumbusha shekhe wetu ilunga allah amrehemu huko alipo.
@sheikhanasser47143 ай бұрын
Allahuma Aameen 🤲 Allah andika kwa herufi kubwa Allah Shukran
@herimallya33852 ай бұрын
Nguli wa Historia ya Nchi yetu.Asante Mzee.
@AllyHamran29 күн бұрын
Ndio hapo waislamu walijikwaa kuacha kuandaa vijana wao wakamuamini mkatoliki akawanyoosha.
@hassanmfaume45227 күн бұрын
Watu wa maulidi ndio waliotufikisha hapa hakukuwa na uislamu sahihi zaidi ya kupiga dufu na ubwabwa wa nyama nyingi kwa masheikh😅😅😅
@ibrahimgwasma12232 ай бұрын
Ndugu zangu Watanzania mzee wetu tumsikize lkn tusijeingia kwenye vita vya Udini NChini mwetu
@mohamedturanardan8871Ай бұрын
Wasiwasi wako ndo ugonjwa wako
@platotaurus23013 ай бұрын
Hii simulizi imenisisimua sana wallah. Dah!! Kumbe history tuliyopewa ni uwongo mtupu.😢😢😢😢😢 Dah!! Nahitaji mawasiliano ya huyu na vitabu vyake niketi kusoma kabisa
@yohanajoseph-w2u3 ай бұрын
Una uhakika upi kama hii ni ya kweli?
@platotaurus23013 ай бұрын
@@yohanajoseph-w2u we mkundu nn, nn kinakwambia history uliyofundishwa ni ya ukweli?
@suleymandachi7823 ай бұрын
Anavyohadithia huyu ndiyo wazee wengi wa Tabora walikuwa wanaihadithia tena mwaka 1972 hadi 77 TANU ilivyo badili na kuungana na ASP tulihadithiwa sana history ya Zanzibar na Tanganyika ambazo kuna mengi yalifunikwa na historia mpya
@walidmgonja36443 ай бұрын
@@platotaurus2301Ni kweli huyu ni mkundu,namfahamu.
@majaliwamussa92683 ай бұрын
Historia nyingi huko nyuma imefumbwa
@KHALIDKIRAMA-iq6en3 ай бұрын
Nyerere huko Kwa MUNGU ni kama namuona, eti baba wa taifa
@MedardAndrew-v3w2 ай бұрын
Jamani kwenye vikao yanayozingatiwa ni mahitimisho au makubaliano ya mwisho ya kikao husika. Sasa ndugu unataka historia iandikwe eti waligombana, wakapigana, wengine wakalia hii sio sawa. Na huyu mzee katika maelezo yake ametaja kuwa mwalimu aliwauliza kama maoni ya yule mzee wa bakora yalikuwa maoni ya wanakamati wote wakajibu "hapana" tatizo liko wapi? Wengi wape, yeye alikuwa mmoja na wenzake wachache
@mohamedturanardan8871Ай бұрын
Nyerere, ALLAAH akulaani na akuzidishie adhabu ya kaburi. Ameen
@sonnyr18993 ай бұрын
Daaaaaa kweli historia ya kusisimuwa.
@MdNasr-jm8pj3 ай бұрын
Nyerere alikua Adui na wenziwe waengereza😢laana inamtafuna
@kitaaofficial41193 ай бұрын
Alikuwa ni Kibaraka Mkubwa wa Waingereza
@machintangachibwena59222 ай бұрын
Amiin
@KHALIDKIRAMA-iq6en3 ай бұрын
Waislamu ndio walihusika pakubwa kuipigania uhuru wa nchi hii, lakini baadae Nyerere akawageuka
@danielmarwa51222 ай бұрын
Aliwageuka vipi waliotakiwa kulalamika walipaswa kuwa wakristo ambao walitaofishiwa shule na taasisi nyingine ili waislamu wapare elimu Shida ya waislamu no kuwa na udini uliopitiliza ndiyo maana nchi karibu zote za kiislamu zima migogoro
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Kweli kabisa maneno yako mzee, na walikuwa hawataki wa Islam wasome walikuwa wana wabaguwa. Hasbiya Allah wani'mal wakiil kwa kila dhalim mpaka siku ya qiyama
@gabrielmdem42712 ай бұрын
Weebunaongea nini mavi wewe msikilize mzeee kenge wewe huna pimbavu
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@@gabrielmdem4271 ukweli ndio huwo wengi wao ni wa Islam
@mzungu20122 ай бұрын
Waislam walipigania uhuru wa waislam au uhuru wa watanganyika? Mbona mnaeleza kana kwamba ulikuwa unatafutwa uhuru wa waislam? Nafikiri hao wazee baadhi hawakuweza kutofautisha nchi na dini, ndo maana mnakuwa disappointed mpaka leo
@MwazoaMwazoa3 ай бұрын
Mpaka leo mtu Akivaa kofia tu tunamuamini.Nyoyo zetu ni safi mno.ndio udhaifu wetu Duniani kote
@zabronpaul75993 ай бұрын
story tamu sana aseee....mzee apewe muda zaidi
@richardhosea88273 ай бұрын
Mara ya mwisho Mzee Pacha na Mzee Ndugulile toka Nzega 1984 walikuwa Wajumbe Jumiiya ya Wazazi Mkoa nilikwepo na sàsa Nipo
@stanslausmteme84552 ай бұрын
Hongera sana Mohamed nakufuatilia sana
@abdallahmsham-eb7jz2 ай бұрын
waengereza ndiyo walotumaliza duuuu
@StevenKapugi-y7bАй бұрын
Duh kwan waislam walikuwa hawasomi
@Mtuwawatu19933 ай бұрын
Tafadhali tafadhali naomba msaada nimekitafuta sana icho kitabu cha Abduly saksi kwa ghalama yoyote nimekitafuta maktaba zote sijakipata
@alijuma78823 ай бұрын
Kinapatikana msikiti wa manyema dares salaam kuna maduka ya vitabu Copy ya kiingereza nafikiri na ya kiswahili
@Mtuwawatu19933 ай бұрын
Asante sana nashukuru nitaenda kukitafuta
@abdallahkaggy14523 ай бұрын
Tanzania ni Tangaa Tanga ni Tanzaniaa ❤
@edwindavid7037Ай бұрын
Hivi vizee vya pwani viongo, yaani vinajifanya vijuaji kama bila vyenyewe tusingekuwa huru
@akimzeli50303 ай бұрын
Daaah, asee! Yamesadifu.
@msamgunda76843 ай бұрын
Shekh mwenye hii chanel tafandali tuwekee kwa ukamiliifu mwahojiano yako na huyu bwana,tafadhali sana.
@mahmoudhamisi6733 ай бұрын
Mzee wetu kuna historia ya mkapa tungeomba tupewe
@msamgunda76843 ай бұрын
Asalaam aleykum.mbona kama haya mazungumzo umeyaka pakubwa?wallah huyu bwana ameleta habar kubwa sana kabisa.😂😂
@RichardLibuma3 ай бұрын
Sasa huyu mzee mbona yupo sana kidini? Watu kama hawa hawafai kusikilizwa.
@johnbunga62833 ай бұрын
Hivi vitabu navipataje Sheikh wangu?
@albogast3 ай бұрын
Divide and rule Mwalimu alifanikiwa😂
@Ninjamchomeleaji.19942 ай бұрын
Uyo mzee Takadiri udini ulikuwa unamsumbua
@edsonnelson44643 ай бұрын
Mbona sasa ndiye Nyerere aliyeleta Uhuru na ilikuwaje mpaka
@lusajoabel26002 ай бұрын
Kuna watu wanalishwa ujinga hapa...na wao wanafurahiii😅
@lordnicky2 ай бұрын
Ni hivi waislam walikuwa hawana elimu wengi wao walikuwa maaa muma
@AbdallaMwagora-sm1rj3 ай бұрын
Mm na aamini mwalimu Nyerere hakuanzisha chama cha TANU kwasababu haiwezekani chama cha TAA kilizaliwa mwaka 1929 na Nyerere amezaliwa 1922 haiwezikani mtoto wa miaka sita aanzishe chama . Nyerere aliikuta TAA na mwaka 1954 Tanu ilianzishwa akibadili jina kuto taa . Nyerere alikaribishwa tuu.
@abdallahmmary85912 ай бұрын
Weeew piha kimy nyerere nni kakumbia kuwa ndie alinzisha taa
@eliezagama52912 ай бұрын
@@abdallahmmary8591 andika vizuri
@gabrielmdem42712 ай бұрын
Hijii lolote lanye ukoo cjooni sikiliza histoli kwa mzeee erim tatizo upo madrasaa haya jifunze kiarabu
@autoimmunesecurity21402 ай бұрын
Waislamu ndo wa kwanza kujua kusoma na kuandika na hesabu, sasa ilikuwaje tena hawakusoma??
@abdallahhamza96892 ай бұрын
Mwambieni huyu Mzee anitafute kuna MTU anamfaa sana
@mgendihdellicy621026 күн бұрын
utopolo tu,siwapendi watu wanaohibiri udini
@jidaramadhani34782 ай бұрын
Endeleen kutuhabarish ukwel
@1959412333 ай бұрын
Mbona hiyo ni dhahiri. Nyerere aliikuta TAA. Kilikuja badilishwa nakuitwa TANU ili kukabiliana changamoto za kudai uhuru wa Tanganyika.
@BeckamGaliyogela2 ай бұрын
Ni ungese tu
@wechemakambo21823 ай бұрын
Mzee huyu haandiki au kuongea kitu bila kuonyesha chuki zake juu ya Ukristo...anajua Wazi Nyerere alimshinda Urais wa TANU ABDULWAHID SYKES ...anakuwaje kuwa Muasisi wa TANU?
@hemedbamja31973 ай бұрын
Uchaguzi TAA 53,TANU 54; hivyo TANU ni zao la TAA
@saalimlubeya42363 ай бұрын
Haya hayasemwi kabisa, naomba viandikwe vitabu vya kutosha tena kwenye lugha yetu ya Kiswahili.
@fasterwalker14643 ай бұрын
Vyann hatuna haja ya kujua story za kishamba kama hzi eti oooh huyu akipata nchi atawakumbuka wakristo tu mbn baraza lake lilikua na waislam wengi tu na nchi alimwachia mwislam tena mzanzibar Mwalim hakuwai kupenda udini
@mpalawamnongani20532 ай бұрын
@@fasterwalker1464Njoo na hoja kama mzee alivyofanya na sio kutuonyesha mapenzi yako...
@gabrielmdem42712 ай бұрын
Aseee
@hamzakimaro37643 ай бұрын
historia huwezi kuificha inakuwa sawa na moto itafukuta tu!!
@gabrielmdem42712 ай бұрын
Duuu
@yusufige7030Ай бұрын
Sheakh takadiri aliona mbali nyerere ni kibaraka tuu
@MuftyMageni3 ай бұрын
Allah ndo hakimu, atalipwa kwa dhuluma yake iii nzito.
@DadialiDadi2 ай бұрын
Wewe paka waqrabu Wana nn tulizaaa mshonooo wewe tafta historiaa usomeeeeeee
@nunumrisho65482 ай бұрын
Ya Do unia ya kupita tu
@tumainimalulu77082 ай бұрын
Sasa hivi hatuongelei utanzania wala uafrika wetu tunaongelea dini zetu. Dini za kigeni. Hii ni aibu.
@AliyJumaIbrahim3 ай бұрын
WAZEE WETU SIJUWI NI KITU GANI KILICHO WASAHAULISHA HATA KUMFANYA NI RAFIKI WAO HATA KUMU AMINI KWA KIASI KIKUBWA SAANA HATA KUMUWEKA PAHALA ALIPOKUWA HAAYATI YULE,,!!!
@MrKhatibu3 ай бұрын
Ilibidi iwe hivyo maana Muingereza angelichukua mda mrefu kuitupa uhuru kama kiongozi wa Chama angeli kuwa Muislam
@SimbaHaji-jm7md3 ай бұрын
@@MrKhatibuhata hivyo uhuru uko wapi
@albogast3 ай бұрын
@@SimbaHaji-jm7md uhuru upo kiongozi japo ni wakuforce sahizi kama tanganyika na zanzibar zikitaka kutengana ni mswaada unapelekwa bungeni mnajadili kwa hoja mnafikia makubaliano nahisi kwa sasa tukianza kujadili udini tutaludi nyuma sanaa
@swalehejuma66113 ай бұрын
Vitabu vinapatikanaje?
@msamgunda76843 ай бұрын
Sasa ninasubcribe inshaallah.
@jetstreams29863 ай бұрын
Nyerere Nyereeee alikua Dhalim Alikua Aduiiii tuu ... .. Chuki tupu Maneno yake na Hapendi Waisilamu Jitu Mmoja la Porojo sa Kisiyasa ....!! Sasa Hivyi Ananyoshewa Fimbo ya Molla Dhalim Mmoja Yuleee Kwani Nani Yeye Asinoyoshwe Bakora ...!! Wacheni Ujinga Wenu .
@fasterwalker14643 ай бұрын
Huna akili kaabisa hv mm nweusi na waambia wenzangu huyu atakumbuka ndugu zake? Kvp na wote lengo letu 1 huyo mzee alileta Udini ndomaana nyerere alilia lengo ni umoja kama mwl angeangalia udini Tz isingekua km unayoiona leo naamini hata ww kama unaweza ukawa kabila tofaut na mkeo ila kwasabab ya mwl waislam tunazika wakristo na jumuika nao kwa shughul zote za kijamii nawao hvo wanaoa waislam na kuja misiban ya waislam na kujumuika ktk shughuli zote za Kijamii bila mwl pengine hao mnaoona waasisi wasingeleta uhuru mwl ndan ya miaka 6 tu kua tanu uhuru ukapatikana vp hao waasisi tangu 1929 walileta nn nchini ogopa sana udini na Ukabila Wengine hata saut ya risas hatujawi kuisikia ni kwasabab ya mwl aman tunayo kubwa hilo jambo ni alama kubwa sana kwa taifa Chamwisho mwl haadhibiwi na yyt yule ajaadhibiwa dunian wala hatoadhibiwa akhera
@lacroquetalacroqueta68132 ай бұрын
Dhwalim mkubwa sana
@mussai.sillas37962 ай бұрын
Ukumbukwe. Enzi hizo waislaam hawakuwa na shule walizojenga wao. Wakristo waliku na Shule za makanisa. Ikumbukwe ,waislaam nao hawakupenda kwenda kusoma kwenye shule za misheni. Ikumbukwe kuwa ni Nyerere huyohuyo ndiye aliyelazimisha shule zote ziwe za umma,kusomesha wanafunzi wa dini yeyote. Hapo ndipo waislam wakaanza kuingia kwenye hizo shule kabla ya kuzigeuza hizo shule kuwa za umma. Hili nalo tuliseme hata kama halitakiwi kusemwa
@mzungu20122 ай бұрын
Kwa hivyo waislam wakati huo walitaka kuipambania Tanganyika au kupambania waislam? Maana ni kama walitaka kupambania waislam ndani ya Tanganyika. Sidhani kama ingekuwa sawa
@jetstreams29862 ай бұрын
@@mzungu2012 Ikiwa Hujui Histotoria ya Nchii yenu Basi Huna Maana Sababu Tanganyika qabla ya Yote iliwapokea Watu Wa Maqabila Tafautti Na Mbali Ya yote Ilikua Hakuna Kabisaa Roho Chaffu la ya Uqabila dini wala Utamaduni ...Ukiwa ni mtoto wa Jana Nenda Ukanyo nyeshwe Maziwa Baba
@mzungu20122 ай бұрын
Mi naomba kufahamu zaidi, maneno ya Sheikh Takadiri yamesadifu? Kwani leo nchi imepewa watu ambao si watanzania? Au waislam walitaka kupambania Tanganyika au walitaka kupambania waislam? Kama ni kumbania Tanganyika, hofu ilikuwa nini?
Udini tu m, kwamba mlitaka mjikute nani? Acha kuwajaza wenzio. Ujuaji ni mwingi ila huyu bwana udini na upwani unamsumbua sana. Laana
@saalimlubeya42363 ай бұрын
Wewe pia ni mgonjwa wa kuto utaka ukweli.
@abdunnurahmedsilim74563 ай бұрын
Aliyoyazungumza mwanahistoria huyu mahiri ni HAKIKA ZA KIHISTORIA (HISTORICAL FACTS), fanya utafiti ukiwa na akili huru utagundua kwamba yote hayo yamethibiti katika historia.ya nchi hii...Usihemkwe na UDINI WAKO. SOMA KITABU "KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA BARA 1953 - 1985 CHA DR. SIVALON" na ndani yake utajua kwamba NYERERE HAKUWA MZALENDO WA NCHI BALI ALIKUWA (MMISIONARI) MZALENDO WA UKRISTO (ESP. UKATOLIKI) NA HATA UJAMAA WAKE ULITUMIKIA UKATOLIKI.....
@walidmgonja36443 ай бұрын
@@angelsblackboard8008 Akili huna,umedumazwa na roho mtakavitu pimbi wewe
@sylvestercameo62633 ай бұрын
Ukweli upi? Je ni Nyerere aliyewazuia waislamu kwenda shule? Mbona ni Nyerere huyo huyo alietaifisha shule za sekondari za wakristo ili watoto wa kiislamu wapate elimu? Je, mbona hata baada ya utawala wa Nyerere miaka 40 iliyopita wengi wa wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Kuna tofaûti ya kimtazamo kuhusu umuhimu wa shule kati ya uislamu na Ukristo. Waislamu walikataza watoto wao kwenda shule kwa hofu ya kubadilishwa dini.
@walidmgonja36443 ай бұрын
@@sylvestercameo6263 waislam wana akili nyingi,walifahamu hatari ya kuwasomesha watoto wao kwa makafiri ambao hatimaye wangewaritadisha,can you imagine that today a prominent people who received the so called circular education yet they believe non sense Kwangu mimi ninayejitambua ni bora mtoto wangu aishie std 7 kuliko kuwa kafiri
@aroncosmas96833 ай бұрын
Huyu n mbaguz wa iman kwann kila baada ya sentens 1 unazungumzia uislaam kwan wakat huo wa kristo walkua na sifa hzo za kupga kula
@HeboniBabu3 ай бұрын
Ukabisha nini nawakati ukweli unafichwa wewe Kwanza bado dogo
@Nedjadist3 ай бұрын
Hujasema kwa nini Waislamu hawakuwa na elimu? Kwa sababu wakati wa ukoloni elimu ya juu, zaidi ya darasa la nne, ilibidi kwanza ubatizwe na kubadili dini. Pia ingawaje Waislamu walikuwa wa kwanza kuwa na elimu ya kusoma na kuandika Tanzania, ila kwa herufi za Kiarabu, Mjerumani alipiga marufuku na kutohesabu elimu yoyote isiyo ya herufi za Kilatini si elimu. Ghafla Maelfu ya Waislamu wakafanywa 'illiterate!' Unaona uonezi dhidi ya Waislamu tangu wakati huo hadi leo Tanzania, na duniani! Ona Samia ana watendaji wengi Wakristo zaidi ya 80%, lakini yule Warioba adai kuna Udini! Kauli hii huisikii ikiwa rais ni Mkristo hata ikiwa baraza la Mawaziri 90% ni Wakristo, kama wakati wote wa enzi za Nyerere, Magufuli, nk Nyerere alikuwa adai Waislamu hawana elim ya kidunia.Nini excuse ya Magufuli na wengine hivi sasa? Ndiyo maana kwa sababu ya woga, hata marais Waislamu wanawapendelea Wakristo katika madaraka ya juu. Rais pekee aliyekuwa haangalii mambo ya dini ni Mkapa, pekee!
@AmanMediaTz2 ай бұрын
Acha kushoshea chuki...Udini mbaya sanaa, Unaongea uongo bila relevant information
@lulanjamd38862 ай бұрын
Bila nyerere Zanzibar yote ingekuwa chini ya Waarabu na nyie weusi wenzangu mgekuwa wafanya kazi wa ndani katika nyumba za Waarabu
@muhsinrajabu2 ай бұрын
hoja za kiwendawazim hizo
@samiraali16322 ай бұрын
Kwani sasa mmepata uhuru mnafanya kazi kwenye nyumba za nani? Si za haohao waarabu wandani ya nchi mpaka wa nje ya nchi, kwa roho zenu mbaya hata hamkijui mnachokisema na ukweli unaonekana
@mohammedsaid30452 ай бұрын
Nyiye hamuwezi kubadilika kwa chukki zenu kwa waarabu nikulize hakuna waswahili wanaofanya kazi kwa waswahili wenzao kazi za ndani bwge ww?
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
@@samiraali1632kweli kabisa maneno yako
@rayaalhabsi17252 ай бұрын
Wanao wa saidia kwa kila kitu ni waarabu lakini uta kufa kwa ubaya wako. Hasbiya Allah wani'mal wakiil
@mhifadhi7972 ай бұрын
Azma yako ni nini kuleta history za hivi
@lordnicky2 ай бұрын
Huyu mzeee anahisi hii nchi na Waislamu pekee yao ana shida kidogo
@SalvatoryMtunga3 ай бұрын
Udini sasa?
@angelsblackboard80083 ай бұрын
Kwahiyo waislamu mlitakaje Yani?
@ramadhanimandoa7163 ай бұрын
Inaonesh una upungufu Ktk uelew wako
@angelsblackboard80083 ай бұрын
@@ramadhanimandoa716 kuelewa nini acheni kujipa umuhimu kila mahali. Dunia sio yenu
@KHALIDKIRAMA-iq6en3 ай бұрын
Tatizo mnapotosha ukweli, na tulinyimwa haki ya elimu, na fursa nyingi ikawa zinapewa wakristo
@sylvestercameo62633 ай бұрын
@@KHALIDKIRAMA-iq6enElimu mlinyimwa na mababu zenu waliojiaminisha kwamba wakiwapeleka watoto wao shule watabatizwa na kuwa wakristo. Je, miaka 40 tangu utawala wa Nyerere mbona idadi kubwa ya wahitimu wa elimu ya juu ni wakristo? Elimu kwa wakristo ni sehemu ya utamaduni wao.