Wanaiibia Serikali. Wanyonge wanaishi maisha ya tabu sana. Mungu Anawaona!!
@magechuwa8043 жыл бұрын
🤑🤑🤑🤑🤑kipesa manake nini hao ni washabiki wa yanga
@magechuwa8043 жыл бұрын
Ukisikia wananchi ndo yanga au niongeze volume
@flowintawete51023 жыл бұрын
Eti matajiri 10 wanaidhamini utoplo. Wote pumba tupu
@magechuwa8043 жыл бұрын
Kuwa na hela ni siri yaooooooooo upooo
@DevotaMafwimbo5 ай бұрын
Unaongea kama unakula bana
@charlessayi98993 жыл бұрын
Mkuu una subscribers wangapi wewe? Jichunguze - huu uandishi wa kipuuzi niliowahi kuona. Hawa ni matajiri au watu maarufu kwenye klabu ya Yanga? - Una shida ya kujua Mdhamini na Mfadhili. Pole sana ndugu.