Ndo tulivyo wana adamu tukifikwa na matatizo ndo tuna mkumbuka Mwenyezi Mungu hio si sawa tuwe na Mola wetu Mlezi siku zote kwani ametuleta kwenye hii dunia kwa ajili ya ibada na si kuja kuitumikia dunia.
@mariamumechara339814 күн бұрын
Ufai kalme
@donaldmgunda497014 күн бұрын
Musevenii muboweee kagameee Mugabe group of dictator leader 😅😅😅
@aabedi54114 күн бұрын
Siamini yakwamba Maria alitekwa inawezekana ya kwamba ni mahigizo.
@ibrahimkibira994314 күн бұрын
Kama mama ako anavyo igiza
@DirectahJayden13 күн бұрын
mwaka ulio pita kenya kulifanyika utekaji nyara wa mmoja wa wapinzani nchini uganda kwaiyo kwa kenya hicho ni kitu cha kawaida na inawezekana ikawa ni ukweli kenya sio sehemu salama kukimbilia ukiwa una pingana na serikari ya kwenu