Dah hii vita ishakua mambo mbaya Mungu awasaidie Wa Congo Vita iishe
@josuensiama17779 күн бұрын
mwisalie Kongo, ulinzi ya Mungu juu ya inchi yangu . Acheni vita wakazi wafa , wapoteza yote tafadhali mtusalie Wakongo
@HARIFHODARI4 күн бұрын
Kwa nini loncliff anapenda kucheka wakati taarifa ni ya kuskitisha
@raphaelkahindi46199 күн бұрын
❤❤
@noelmmari85709 күн бұрын
Nini maana ya jumuiya ya EAC, Kama kikundi kitesa moja ya mwanachama, n upumbavu Kama Wana jumuia hawana ushirikiano
@SamsonOtieno-v3q7 күн бұрын
Where's Mamadou 😭😭😭 vivons congo
@jeannyiridandi47249 күн бұрын
Arikuwa Nterahamwe ndo muwuwaji akawa ndo Boss wa bana mugambo gutoka Rwanda
@LucySimba9 күн бұрын
Jamani umoja wa Mataifa Angalieni hili kule DRC 😭😭 watu wanaisha namtafute kabisa hilo Jeshi la wassi linatoka wapi? Ndio Tuweze kukomesha vita vya Taifa la Congo woooooooh umoja wa Mataifa msilale.
@barakajohn80059 күн бұрын
This is a shame to african union & SADC...mmeshindwa kusaidia watu wenu waishi kwa amani.
@khajumkhamis79109 күн бұрын
Yarabbi wafanyie wepesi watu wa Gaza na uwape nguvu na ushindi thidi ya mayahudi WA izrail
@ezekielezekiely84769 күн бұрын
Kagame,Yahwe is ever.reaping what you saw.
@jinikosjinikos53749 күн бұрын
This very sad in Africa war really hate I see before I pray Allah give uria waaa amani deply sorry Congolese people
@monerexshowz52004 күн бұрын
gaza vita itarudi, hamasi wamewahua mateka hawana cha kutoa
@lisawilliam24919 күн бұрын
mmmmh heeeh MUNGU waokoe hawa watoto wanao umia ni wanawake na watoto
@radaonlinetv19229 күн бұрын
Hapa Kuna mkono wa Kimagharibi ndio zinazo sababisha damu ya kiafrica iyendelee kumwagika
@GivenessErnest-e5v8 күн бұрын
Kabisaa alafu hasa marekan kuna kitu kongo wanafanya