WAARABU NA WAAFRICA ACHENI UBWEGE. BARAZA LAUSALAMA UMOJAWAMATAIFA ICC VIMEWEKWA KUKUKANDAMIZENI NYIETU WATU WAPOREMALIZENU NYOOOOH.
@CharafimalisalimoAli-qw3hk8 ай бұрын
ALLAH atawaahungulikiatu wasalitiwote mdawowote yaani misri na saudiyya umoja wa wajinga wakiarabu na muizraeliwao.
@uwezawamungumkuu.amaniafrika8 ай бұрын
Tunaitaji amani Afrika. Tafuteni njia njema ya kutatua vita na migogoro..
@mutulasafari76648 ай бұрын
Leo BBC AMUJA ONGELEA RWANDA KWA SABABU ANAKAZWA KOO ETHIOPIA 😅😅😅
@uwezawamungumkuu.amaniafrika8 ай бұрын
Afrika kunashida gani?. Tunashindwa kujimudu wenyewe. Umoja wa Afrika ujitambue sasa na usaidie watu wanaoteseka kwa njaa na vita.
@AbdillahSOthman8 ай бұрын
La kushangaa wanaopigana ni maskini viongozi na familia zao mbona wao hawaingii katika hivyo vita kupigana kazi yao kutoa maneno tu? kama muna uchungu na watu wenu nendeni katika vita na nyie mukakione huko.