....Hii vita ni Mbaya sana ila Kuna Wakati Naona Bora pia Hao Ukraine wale kichapo Maana wanaendeleza Ubaguzi wa Rangi....
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Wamebaguliwa na Nani, wa Afrika Ndio yunabaguwana wenyewe hata shule zetu zipo hovyo. Hao wafrika huko Ukraine wanadeka kwanza walitakiwa wasaidie vita, wanaume. Eti waache kujali wazee na watoto wavushe haraka wanaume vijana wazima wenye nguvu??? Haiwezekani Ulaya kipaombele ni watoto na wazee wengine wapambane watafute wenyewe njia ya kurudi. Ukraine wana kazi ya kupigania nchi yao sio kuwaza wanao ondoka.
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Kichapo hicho kwa Ukreini ni mwafaka kabisa, mabwana zake US na NATO wanam-provoke anavutia kichapo anaanza kulia
@barakamolistv57322 жыл бұрын
Kwel
@yahyasaid53282 жыл бұрын
As my ngu ni mwema
@kalugululugata74252 жыл бұрын
nataman wazungu wauane Sana tu Sina huruma na mzungu yeyote mungu mmoja
@mussajelee87472 жыл бұрын
Urusi Sawa kabisaa kuivamia. Yukreen
@ghaniyaebrahim15932 жыл бұрын
Mumeona jinsi wazungu wanavyo chukua hataua ya haraka kutaka kusimamisha vita vita hata wk mbili hazija timia lkn ingekua wa Africa tunge dhalilishana mpaka tungetia akili
@philemonmagesa55482 жыл бұрын
Sisi kwetu afrika wanatupatia siraha ili tuendelee kupigana ila wao hawataki vita ili uchumi wao uendelee kuwa juu
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Ndio upumbavu wetu, ujinga mweninge ni Elitrea pekee ndiye kaondoa unafiki, wengine wote ama yamepiga Kura upande wa Nato au eti hawafungamani. NAM ni unafiki mwingine wa kiafrika
@LudoMwamsaku-x2u3 ай бұрын
Ambaye hajui umoja wa mataifa ni marekeni aje hapa tumueleweshe.
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Nyie wanafunzi shikeni siraha msaidie Vita😂😂😂.
@maherzain6152 жыл бұрын
Marekani ameangamiza mataifa krbu 20 hatukuona ulimwengu ukiongea sahii Russia amrekebisha jirani yke mekua kila mmoja kelele shenzi.marekani ametumia mpka nuclear japan
@Ernestpastory2 жыл бұрын
ONGEZENI SAUTI IPO CHINI SANA
@josephatjordan55602 жыл бұрын
Nunua IPHONE 😂😂
@Princewaweru2 жыл бұрын
Wazungu wamenda had mwezin hawajamwona mungu acha wafanye wanachotaka
@crissinkala31102 жыл бұрын
Afrika mjifunze jambo hapa wazungu hii Vita ni mjadala wa kila siku lkn Vita vya afrika wala huwa hawajli kabisa
@sunrise63712 жыл бұрын
Kweli kabisa wazungu, Wana jipendelea ,ila matatizo waliyo sababisha kweli Africa Tujifunze Kwa kweli Africa Tujifunze!!!
@immamwandolela68512 жыл бұрын
Ulaya ivyo ndivyo tunaumiaga waafrika mnavyo tuvamiaga na kutuuzia silaa vita mbaya
@kalugululugata74252 жыл бұрын
mbwembwe za kutafuta mafuta wao ndo chanzo za vita
@shakilamasoud29832 жыл бұрын
Katarina anaenda wapi tena jamani 😢🙆🤔
@gideongerald28462 жыл бұрын
Sauti zenu ziko chini tofauti na channel zingine muongeze sauti
@salimmasoud12532 жыл бұрын
wkipigwa zungu wanalalamika na kusaidiana na kusema uvamizi ugaidi na mauaji na kuchukua hatua mbali mbali ila wengine kama wa Iraqi na Afghanistan pamoja na palestina kila siku wapalestina wanakufa kutekwa na hapasemwi kitu vp apo jamani hawa ni wabaguzi
@suleimanabdallah98232 жыл бұрын
Sio ubaguzi hawa nimbwa washenzi
@sanoureyaliwadoakaroyo16962 жыл бұрын
Na ndio Maana Nasema Wauwane Tu Wafee Mbwaa Hawa wameuwa watu sna
@hasanimkamba14482 жыл бұрын
mngekuwa mnatumia nguvu kubwa kama mnayo tumia sasa hakika kule parestna kusengekuwa namauwaji makubwa vile ila inavonekana.kuna upendeleo
@peterolucas95192 жыл бұрын
Pole sana
@gilbertkalanda93542 жыл бұрын
Vyombo vya Magharibi mnataka tusikie mabepari wanachotaka sio?!
@Zrss6022 жыл бұрын
Haswa
@innocentman59542 жыл бұрын
Picha ya Russia na Ukraine inafanana na Tanganyika na Zanzibar, tofaut ni kua ndani ya wiki moja wa ukraine 1000 waliuwawa.. wakat Zanzibar ndani ya siku tatu watu zaid ya 10,000 waliuwawa. Ni sawa na kusema Watanganyika walifanya unyama usiolezeka!!
@lady_ziysam67992 жыл бұрын
😮😮
@ikrissaidrissa86132 жыл бұрын
Wee mdomo huo
@yohanamhagama89752 жыл бұрын
Ukikamatwa na kuambiwa uthibitishe utathibitishaje na kwa ushaidi gani...
@missmrs8292 жыл бұрын
Mchonganyishi mshenzi mbwa wewe ebu tuletee ushahidi 😏
@patricialpatrick99272 жыл бұрын
chizi
@fabiansam81572 жыл бұрын
Sasa mbona Marekani wakivamia nchi hakuna wa kulaani kwani yeye ndio mwenye haki na mustakabali wa maisha yetu wote duniani ila nchi nyingine zikifanya hivyo ni kosa kubwa sana
@zerock29732 жыл бұрын
Hawa mbwa wanapigwa na Urusi lakini bado yameshikilia ubaguzi tu, Urusi iendelee kuwapiga hadi watoke damu masikio
@immamwandolela68512 жыл бұрын
Umoja wa mataifa ni kwajili ya mataifa mengine mbona marekani anafanya fujo umoja unakaa kimya tu
@btsanime61382 жыл бұрын
Imma Mwandolela Umoja wa mataifa ni Marekani hivyo sasa hata wa kivamia nchi zingine hakuna atakaeongea lolote kuhusu Marekani. Angalia, Sylia,Libya , Afghanistan 🇦🇫, Congo na sehemu zingine hamuoni kwamba Marekani ni wachokozi??
@immamwandolela68512 жыл бұрын
@@btsanime6138 upo sahihi
@sunrise63712 жыл бұрын
Kweli kabisa umoja wa mataifa ni Kwa wengine ila marekani na washirika wake NATO Huna nguvu Siri imefichuka Asante Sana Moscow
@hechechacha40322 жыл бұрын
Tangu nimekuwa Moja ya mambo yaliyowahi kunikasirisha Sana ni lissu kupigwa Risasi , mbowe kubambikiwa Kesi Mdogo wangu suguta kuuwawa kituo Cha polisi na polisi kwa Kisu Hili la urusi kuivamia Ukraine nalo ni Moja ya yaliyonipa hasira
@georgemassebu20832 жыл бұрын
Mzee @Heche... Tutaaminije kua Mbowe amebambikiwa kesi na hana makosa ilihali hatupo nae muda wote wa shughuli zake? Tutaaminije pia Lissu alipigwa na Serikali na si wabaya wake tu wengine? Hakuwahi kupindisha Sheria na mtu akakosea haki zake? Maadui ni wengi na wala usituaminishe kwamba walionewa
@allyduniaomaryally90542 жыл бұрын
We kafili kimya
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Uongozi wa Udictator na Urusi KAUWA sana wapinzani nchini kwake. Afrika wanaipenda Urusi ila Putin anaongea vibaya sana kuhusu Afrika
@titoeliatv6842 жыл бұрын
@@vanessastafford5120 Urusi haijachukua Mali yoyote kutoka Africa.USA na NATO ni wezi wakubwa.pole Sana soma historia ujue mambo mengi.
@vanessastafford51202 жыл бұрын
@@titoeliatv684 ushasema ni History the world has moved on.
@alihijiiddi89772 жыл бұрын
HUYU SI MRUSI NI MUYAHUDI NA ANAKAA HSPO URUSI NDIOKATIKA MAYAHUDI🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱🇮🇱👹😇💀
@mahirmahir92572 жыл бұрын
Video ya leo haina sauti boss
@mtakimjinja23282 жыл бұрын
Hapo nimalekani na urusi
@khamisramadhan43812 жыл бұрын
WAZUNGU WAMECHOKA NA HII DUNIA KITAMBO SISI NDIO KWANZA TUNAITAMANI HEBU WASUBIRI KWANZA ATA TUTUBU ZAMBI ZETU KWANZA KISHA NDIO WAIZIMU DUNIA.
@muranisaitabau51492 жыл бұрын
Aki tunaomba tuende Ukrainian tusaidie kiukakamafu nikipewa nafazi nitaenda kweli watu wanaumia tukiangalia tu
@ikrissaidrissa86132 жыл бұрын
Western country means Europe na marekani acheni kuchochea bwana toeni uhuru wa habari Kwa pande zote nani asiye jua marekani anafanya biashara ya silaa ambapo Kwa vigezo hivyo hivyo Russia ilipofanya Kwa Cuba marekani walichokifanya mpk now mpo kinywa please be fair western Media
@kimadamolebanga39662 жыл бұрын
Kama watu wanakataa kwanini kuwalazimu? acheni kulazimu watu. vita vinaua ma milioni ya watu, vina sababishwa na marecani, kwanini haisemwi?
@jimmycliff69772 жыл бұрын
Tusingae hapo baadae Ukraine baada yakuporwa eneo lao watahitaji kulipiza kisasi
@mansourkombo5872 жыл бұрын
Adui akikufta nyumbani kwako lazma umfate nyumbn kwake na umize kizaz chake ili ajuw maumiv gan umeyapitia wew rais wa ukren anakwama wap kwani hawaon wasomal jins walivo
@chazy7ya2162 жыл бұрын
uyo msaliti wa ukrein akamatwe akatwe vipande vipande anasababisha watu wanakufa kwann anakiuka mkataba uliowekwa
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Mkataba upi, huo umoja ulishaporomoka miaka 40 iliyopita na nchi nyingi tu zimejiunga na union tofauti. Katafuta tu kitaifa chakuonea. Kila Taifa lina haki yakuchagua kushirikiana na Taifa linalopenda hata TZ hajalazimishwa kujiunga na UN au na umoja wa East Afrika Sasa Kwa nini Ukraine 🇺🇦 wasichague. Dunia ime move on yeye analazimisha History. Mavi ya kale hayanuki.
@williammsenwa26272 жыл бұрын
Huyo mchanbuzi Dar es Salaam iko poa
@halfanihalfanih35652 жыл бұрын
Bora kidogo hii vita imekuja kumaliza covid
@mussajelee87472 жыл бұрын
Ajisarimishe raisi wayukireen
@jerrymaison55222 жыл бұрын
Rais wa ukraine aliwapa raia wake silaha wapambane dhidi ya urusi, leo hii analalamika raia wake wameuawa vitani, Zelensky ametumia raia wake kama ngao vitani.
@joshuaswai82032 жыл бұрын
Angekutumia wewe? Lala tu huko kw
@allymusa61192 жыл бұрын
Ningependa wa malizane sisi huku dakika za mwisho tutatetewa na Mungu kwa sbb hatumchokozi mtu wala nia ya nyukilia.
@barakakusa76062 жыл бұрын
Ila kwanini Warusi wanaua wenzao bila hatia.
@sunrise63712 жыл бұрын
Wemepigwa Kwa sababu nyumba ya pazia wapo mabeberu (NATO)
@abdulmajidsina78382 жыл бұрын
Duuh kumbe na ukren inamiliki nyuklia??
@chazy7ya2162 жыл бұрын
kwaajili ya umeme siyo ile ya mabom
@braystuskibassa38422 жыл бұрын
Tuombe kwanza Marekani na NATO wanapovamia pia waadhibiwe na taarifa muweke wazi kazi kama hizi za Urusi kwasababu sioni kama wapo sahihi kuadhibu wengine wakati wao ndo vinara wa kuvamia, kupora, na kuua hatujasahau Libya, Kongo, n.k
@sunrise63712 жыл бұрын
Kweli kabisa wazungu NATO ni watu Hatari SANA 👍👍👍 usiwaone wanang'a Kama nguruwe mweupe samahaninijamani Wao hutuita ngedere nap tuwafananishe na swine -pig Yaani manguruwe!!! Wanawatenga wanafunzi wa kiafrika; Wacha Putin awafundishe adabu HAWA mabeberu ( manguruwe) Hatuna JINSI Waafrika amkeni Jamani
@umpump84722 жыл бұрын
Leo ndiyo namona alizabet kazibure mrembo
@MikiGermany2102 жыл бұрын
Tanzania sisi tumerogwa wapi, Uranium ipo pale Wilaya ya Bahi singida haijaanza hata kuchimbwa, Tanzania kwanini tusichimbe tuuze jamani dah
@saumusalimuhassan24992 жыл бұрын
Allah nusuru hili la vita iishe 🙏😢
@danielaloycedaniel.11782 жыл бұрын
Huku waafrika na watu weusi wakiachwa kwenye mipaka ya Ukraine. Yaani Hawa watu wanaleta ubaguzi hadi kwenye vita.
@hassanibakari96672 жыл бұрын
kwanini iwe urusi.Hakika dunia inashanhaza sana. marekani uinhereza imeingia vitani iraki imeuwa watu wangapi ikiwa na kumnyonga Sadamu. na mulikiri kuwa mulifanya makosa nani kachukuliwa hatua. urusi ipo sahihi kwa hatua anayochua ni kwa ajiri ya usalama wake kwani amerika ni manafiki wa dunia
@joshuaswai82032 жыл бұрын
Wewe ni kilaza huna lolote zaidi ujinga mwingi
@omaryregga53152 жыл бұрын
Ukraine ni wabaguzi san
@edsonpascal5982 жыл бұрын
Kelvin clemence
@lady_ziysam67992 жыл бұрын
Daah god bless Ukraine 😥😥
@yonayohana27372 жыл бұрын
E MUNGU TUSAIDIE ISITOKEE VITA YATATU YA DUNIA
@maimunaqueenmaimunamaimuna90012 жыл бұрын
This is a new world order yaani wanataka tuwe taifa Moja inshallah mungu atatulinda dajjal atauliwa na mungu
@obrigadoofficial15062 жыл бұрын
Hata Tanzania tuna uza urani nishati ya umeme Sasa tupo vizur na mama kzbin.info/www/bejne/o2Skf2muq7mae6M
@kaburembodaniel51512 жыл бұрын
.....
@chazy7ya2162 жыл бұрын
ata bbc ni wazee wapropaganda tuu ilatushawajuaga
@vanessastafford51202 жыл бұрын
Unapenda kudanganywa, BBC ni ukweli mtupu search google uone kama wanaongea uongo.