Ameni mtumishi barikiwa sana somo zuri Neema ya Mungu initoe katika maisha haya kwa jina la YESU KRISTO
@anethpalangyo63198 ай бұрын
Mungu akubariki sana,Mungu anakutumia kwa ajili ya maisha yetu kabisa,hasa kwangu,Mungu anipe neema siku moja niweze kufika hapo kanisani
@petermunuo1657 Жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@myfuraha93610 ай бұрын
Ameen
@emmymatigula48702 жыл бұрын
Naendelea kujifunza Nasimama for my whole family Namwamini MUNGU BABA ALIYEHAI,tutapenya. Barikiwa mpakwa mafuta pst S Kyando.
@rafikiyesu31342 жыл бұрын
Oooh... Neema ya Mungu na damu ya Yesu yatosha kutuondoa ktk laana na vifungo. Kwa akili ya kawaida si rahisi kuyaelewa na kuyafanyia kazi ili yaondoke. Roho wa Mungu kwa nguvu na uwezo wake atushike mkono, kutufundishia, kutuonyosha na kutufungua🙌
@jeanbaptiste55122 жыл бұрын
🙏🙏🙏 Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU. Alafu baba hiyo juma pili tuletee live maana hii iliopita walifika wanakata ulipoanza somo👏👏
@angeljoseph46662 жыл бұрын
Mungu naomba uhutoe isikali kwenye maisha yangu kwa jina la Yesu
@dorcasmakori81012 жыл бұрын
Hee mungu wa Joshua niokoe niponyoke 😭😭 kweli mmi ni punda kwa watu ,,,,nikumbuke baba 🙌🙌
@jumamajenga50202 жыл бұрын
Amina Mungu akuzidishie upako wa kufundisha neno
@upendolaizer47752 жыл бұрын
Shalom man of God! samahani mtumishi shuhuda unazotoa za watu mbalmbali uliwaombea wakafunguliwa uwe unamalizia mpaka mwisho maana zinatugusa na tunafunguliwa kupitia hizoa shuhuda.
@siakiwelu32552 жыл бұрын
Kweli jamani
@vestinanzuguma26512 жыл бұрын
Kweli
@naimakaguo37732 жыл бұрын
Amiin mm n lango katka jina lako ruhus niinuke eeeh muumba mbing na Nchi 🙏🙏
@marynjeri3702 жыл бұрын
Hard labour, chopping firewood and fetching water...oh my God😭, remember me.
@aminatatounkara21432 жыл бұрын
Have mercy Lord
@amanmponji2192 жыл бұрын
Shuhuda baada ya somo kuisha. Mtumishi, nimeamua kufunga kabisa. Maisha nayoishi sio yangu. Nimejenga nyumba. Lakini naishi kwenye nyumba ya serikali.
@louisendunguru71062 жыл бұрын
Naukataa u “ Isakari” katika maisha yangu katika jina la YESU!🙏
@ziadasaidi84262 жыл бұрын
Amina baba ninabarikiwa sana na mafundisho yako
@mhamdahmd77582 жыл бұрын
Amen
@jeremiaisowe44432 жыл бұрын
Amen Mungu atuokoe kwa Neema yake
@annatoliraphael16862 жыл бұрын
Amen nimebalikiwa sana shuhuda zinagusa
@annstersianganga67722 жыл бұрын
Amen Amen napokea pia mimi asante
@mugoliciroyi50882 жыл бұрын
Amen 🙏
@happinessakim26792 жыл бұрын
👏👏👏🙏🙏🙏🔥🔥🔥
@jumasango16372 жыл бұрын
Tuma namba yako BABA tunakuhitaji katika shida zetu mimi niko mbali kidogo