No video

MATESO YA FAMILIA (SEHEMU YA TATU) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 24,656

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando KZbin
/ @pastorsunbellakyando

Пікірлер: 40
@lovenesskapange2904
@lovenesskapange2904 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie kuokoe tunateseka Sana Sana zaidi sana.
@jefrineliaselias691
@jefrineliaselias691 2 жыл бұрын
Barikiwa Sana mtumishi sunbella hakika unatulisha chakula Cha Roho kinachositahili
@esthermwaiteleke1773
@esthermwaiteleke1773 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa somo zuri Kweli familia zinateseka sana na hivyo vifungo
@petermunuo1657
@petermunuo1657 2 жыл бұрын
Amen mtumishi barikiwa sana
@blessedtumaini516
@blessedtumaini516 2 жыл бұрын
Asante Mungu Baba kunikumbuka na kumtumia Mtumishi wako kunena nami nashukuru kuniletea wokovu na kunisaidia mateso hayatainuka tena mara ya pili Bwana umayakomesha. NAHUMU 1:9. Barikiwa Mtu wa Mungu KYANDO. Mwalimi.
@matildakilufi7739
@matildakilufi7739 2 жыл бұрын
Mungu wasaidie watoto wangu watoke kwenye mateso ya familia
@sheshem5453
@sheshem5453 2 жыл бұрын
Power Full Word!... Mungu azidi kukubariki Man of God.
@jacquelinekamachira5127
@jacquelinekamachira5127 2 ай бұрын
Kubariki pastoral sunbella
@bahatimwikola2093
@bahatimwikola2093 2 жыл бұрын
Nafuatilia Sana mafundisho yako Baba,huwa yanagusa Sana maisha yangu, Na hili SoMo! linanitoa machozi Sana Tena Sana.
@mashaulienock786
@mashaulienock786 Жыл бұрын
Nimebarikiwa sana mungu azidi kukutia nguvu mtumishi
@NeemaMgaya-ez9un
@NeemaMgaya-ez9un 6 ай бұрын
Mungu nisaidie hili somo ni langu japo imepita miaka mingi naamin niwakat wangu when itis your time its my time
@jamesokothmiyumo4890
@jamesokothmiyumo4890 Жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi
@markoesombo8440
@markoesombo8440 2 жыл бұрын
Mungu akubariki kwa maneno ya fahari ya kimungu. Powerful message Man of God.
@chikuamedeus8700
@chikuamedeus8700 2 ай бұрын
Eh MUNGU naomba uguse aridhi yote ya ukoo wangu. Ikomboe kwenye kila kifungo kilicho funga kilaa matanga waloweka kwenye family yangu naa muru ikawe mwisho naachilie family yangu yote kwa jina la yesu
@gemakaremela489
@gemakaremela489 2 жыл бұрын
Mungu nisaidie haya maisha halisi kabisa
@sophiamwakila3300
@sophiamwakila3300 2 жыл бұрын
Nimechoka kuishi chini ya kiwango. Damu yako Yesu inafuta laana zote za mababu, za wachawi na kila aina ya laana. Naitumia damu yako Yesu kufuta kila laana, uchawi na hila zote zinazoifuatilia familia yangu . Amen
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
Something is going to happen in my life very extraordinary sante Mungu uliyefuta mipaka ya kila Aina kwangu.
@dorcusloy4773
@dorcusloy4773 2 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua mno,ubarikiwe sana kwa huduma yako
@stellagwao497
@stellagwao497 2 жыл бұрын
Bblsd more than how you can invisage in life as the know how you have in the things of God indicates you can surely carry the weight thereof and Manage rightfull righteously to Glorify AbbaThe only Heavenly Father we have Amen Man of God.Amazing
@margaretkapolesya3979
@margaretkapolesya3979 Жыл бұрын
Amen Amen Amen
@niwaelmono8407
@niwaelmono8407 2 жыл бұрын
Mungu wewe ni halisi sanaaa🙌🙌 na neno lako la wakati ni kwa ajili yangu , napokea 🙏
@vicentkilonzo924
@vicentkilonzo924 10 ай бұрын
Amen
@josephmuhindo7393
@josephmuhindo7393 Жыл бұрын
Ameeen
@Dmsiris5
@Dmsiris5 2 жыл бұрын
God Bless You abundantly Pastor Sir
@Empressever254
@Empressever254 2 жыл бұрын
Glory be to God 🙏🙏🙏God bless you man of God for the powerful message you've shared with us 🙏🙏let Lord continue to anoint you 🙏
@mosesmelkiadkisasua2150
@mosesmelkiadkisasua2150 2 жыл бұрын
God is Good all time
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 Жыл бұрын
Thank you God, through your preacher Neno lako linatufikia wengi, tumetambua Mungu maisha tunayohishi sio yetu bali Nyota zetu ziliibiwa, thanks for your word
@bennamuchau6487
@bennamuchau6487 2 жыл бұрын
Mercy father.. Have mercy😭
@marymwalyema9820
@marymwalyema9820 2 жыл бұрын
Mungu tusaidie kwa kweli hii ni injili ya kweli isikurudie bure
@superadventures8060
@superadventures8060 2 жыл бұрын
Ooho lord deliver my family from every alter and generational curses
@magiehermess9949
@magiehermess9949 2 жыл бұрын
Powerful message . BARIKIWA mtumishi wa Mungu
@judithwilgis6491
@judithwilgis6491 2 жыл бұрын
Nabalikiwa Sana
@jordanasadjah8451
@jordanasadjah8451 2 жыл бұрын
Timely message...More grace upon you M.O.G pastor Sunbella
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
God do not withhold your mercy from me.....
@josephkazaula8678
@josephkazaula8678 2 жыл бұрын
Jumapili ya Tarehe ngapi Baba
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 2 жыл бұрын
Ukipiga simu ya reality hawapokei wala sms hawajibu
@neemachalamila590
@neemachalamila590 Жыл бұрын
Nimepiga mwezi mzima lakini hakuna matokeo
@limelemon2916
@limelemon2916 2 жыл бұрын
PLEASE GET THAT TRANSLATOR TO BE LOUDER. VERY HARD TO HEAR HER. SHE IS GIFTED. OR GET A LOUDER PERSON.
@eustokiaantony1141
@eustokiaantony1141 2 жыл бұрын
This is me 😭😭🙄
@isabellarkageha7707
@isabellarkageha7707 2 жыл бұрын
Amen
MATESO YA FAMILIA - VI (MAOMBEZI)- PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:35:59
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.
MATESO YA FAMILIA (SEHEMU YA PILI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:02
Reality of Christ Church
Рет қаралды 35 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН
Whoa
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 54 МЛН
АЗАРТНИК 4 |СЕЗОН 1 Серия
40:47
Inter Production
Рет қаралды 1,2 МЛН
MAHUBIRI KONKI  YA MASANJA YATAKAYO KUUMIZA NA KUKUFUNDISHA
59:43
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 20 М.
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 20 М.
Jinsi ya kuacha tabia usiyoipenda.
8:54
Joel Nanauka
Рет қаралды 161 М.
NYIMBO ZA KUABUDU/SWAHILI VIDEO  WORSHIP SONG NONSTOP 2024 VOL 3
2:03:27
NYIMBO ZA KUABUDU
Рет қаралды 424 М.
LEO YAKO NI MATOKEO YA JANA. (SEHEMU YA KWANZA) BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 13 М.
Mateso Ya Familia - Pastor Sunbella Kyando
14:44
Chomoza Tv
Рет қаралды 2 М.
MATESO YA FAMILIA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:05:23
Reality of Christ Church
Рет қаралды 77 М.
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН